|
ASHTAKIWA KWA KOSA LA KUAMBUKIZA WATU UKIMWI KWA MAKUSUDI.... |
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 19 August 2010 17:23 |
|



Nadja benaissa mwimbaji toka kundi la no angels la ujerumani ameshtakiwa kwa kumwambukiza mwanaume mmoja na gonjwa la ukimwi na kwa kujaribu kuwaambukiza wanaume wengine wawili na gonjwa hili…
Mwanadada huyo amekiri mwenyewe kuwa amekuwa akitembea na wanaume bila protection na bila kuwaeleza kuwa ana ukimwi…
Some people are just cruel, I mean wewe tayari unajijua utakufa hivi karibuni na kwenda kukutana na muumba wako alafu bado unaua watu???mmmmh
|
|
KILLY'S SUMMER VACATION IN EUROPE..... |
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 19 August 2010 17:14 |
|







|
|
MSAADA WA KUANZISHA BIASHARA... |
|
Written by Mange
|
|
Tuesday, 17 August 2010 18:49 |
|
Mimi ni mama wa 2 kids nahitaji kuwa mjasiliamali .
Nina mtaji wa Tsh 5,000,000.00 tu nataka kuanza Biashara angalau na mie nijikwamue kimaisha
Nashindwa nianzie wapi hapa dar kupata kibanda gharama na Bei kubwa ambayo itanimalizia mtaji wote
Kina dada / mama / baba wenzangu nipeni mawazo nianzie wapi mie nimechoka kuwa tegemezi nahitaji kutoka natamani sana .
Dada mange usiweke mail yangu. Kama kuna mtu atahitaji kuwasiliana na mie nitampa
regards
|
|
LOOK OF THE DAY....HAWA... |
|
Written by Mange
|
|
Tuesday, 17 August 2010 18:46 |
|

|
|
Written by Mange
|
|
Tuesday, 17 August 2010 18:40 |
|







Kutoka kwa mdau
|
|
MKENYA AMUUZA ALBINO KWA MIL.400....SCARY.... |
|
Written by Mange
|
|
Tuesday, 17 August 2010 18:31 |
|

Raia wa Kenya Nathan Mtei anayetuhumiwa kumleta nchini mlemavu wa ngozi(albino) Robinson Mkwana Mnyoti (hayupo pichani) ili kumuuza jijini Mwanza. (Picha na Clara Matimo).
BAADA ya wimbi la mauaji ya albino kwa ajili ya kuuza viungo vyao kudhibitiwa na Jeshi la Polisi nchini, mbinu za wauaji zimebadilika na sasa wameanza kuwauza wakiwa hai. Hali hiyo imedhihirika baada ya polisi mkoani hapa kufanikiwa kumnasa raia wa Kenya akituhumiwa kumsafirisha albino kutoka nchini mwake hadi jijini hapa kwa lengo la kumuuza. Mkenya Nathan Mtei (28) hivi sasa anashikiliwa na Jeshi hilo mjini hapa kwa tuhuma za kumsafirisha binadamu mwenzake, albino Robson Mkwana Mnyoti (20) kwa lengo la kumuuza. Kamanda wa Polisi wa Mkoa Simon Sirro, jana alithibitisha tukio hilo na kusema, “ni kweli tunamshikilia Mtei tangu Agosti 15 mwaka huu alipokamatwa saa 10 jioni akihusika na tuhuma za kufanya biashara ya viungo vya albino.” Sirro alifafanua kuwa walipata taarifa kutoka kwa raia wema na askari wakajifanya wanunuzi wa viungo vya albino. "Tulipata namba yake na tukampigia Mtei akatuahidi kuwa atafika nchini Agosti 12 mwaka huu akiwa na ‘mzigo’, ni kweli alifikia hoteli moja (jina tunalo) iliyopo Nyakato na tulipokwenda akaomba Sh milioni 400 ili aweze kutupa viungo hivyo,” alisema Kamanda Sirro. Aliongeza kuwa baada ya kutoa hizo Sh milioni 400 walishangaa kuona wanakabidhiwa binadamu hai na kuambiwa waende wakashughulike naye wenyewe. Alisema baada ya kumhoji mtuhumiwa, alikiri kuwa kweli hufanya hiyo biashara ya viungo vya albino ingawa hakuwa tayari kusema amekwishafanya mara ngapi. Kamanda Sirro alifafanua kuwa Mtei alimchukua Mnyoti kwa makubaliano kuwa anamleta Tanzania kumtafutia kazi ya udereva, lakini haikuwa hivyo. Kamanda alisema mtuhumiwa atafikishwa mahakamani leo kujibu mashitaka yanayomkabili. Tanzania iligubikwa na mauaji ya albino na viungo vyao kuuzwa kwa imani za kishirikina, kwamba vikitumiwa vinaweza kusababisha utajiri. Hivyo wavuvi na wachimbaji madini walikuwa wakiaminika kujiingiza katika imani hizo na kusababisha mauaji hayo kukithiri, huku baadhi ya albino wakinyofolewa viungo wakiwa hai na kuachwa na ulemavu wa kudumu. Hata hivyo, Serikali iliamua kulivalia njuga suala hilo na baadhi ya watu kufikishwa mahakamani na baadhi yao kuhukumiwa vifo.(Picha na stury from Habari Leo)
|
|
LOOK OF THE DAY....MBONIE.... |
|
Written by Mange
|
|
Monday, 16 August 2010 19:13 |
|

|
|
Written by Mange
|
|
Monday, 16 August 2010 19:11 |
|
Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.
Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.
Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.
Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.
Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.
Nisaidieni mwanamke mwenzenu
Kuwasiliana na uturn tuma email kwenda
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
|
|
MY DAILY EVENING WALKS.... |
|
Written by Mange
|
|
Monday, 16 August 2010 18:48 |
|



i walk every evening for an hr...its my favorite time of the day, just me,myself,my ipod,my camera and my kikopo for an hr...NO CELLPHONE...
|
|
LOOK OF THE DAY....MAMA UTURN.... |
|
Written by Mange
|
|
Sunday, 15 August 2010 21:23 |
|

|
|
|
|
|
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
|
|
Page 4 of 102 |