
1 YR AFTER MARRYING LINDA A.K.A Mama wa nuksi MUME AKAFILISIKA....LOL......
Alafu naambiwa Mange Kimambi anaishi maisha feki. lolest.....
Linda unavyojua kuongelea mambo ya watu daily na mitusi, mbona hili hukutumbia???
kutwa kututukana watu wameolewa na maskini we mume wako tajiri, haya matajiri wana file for bankruptcy since when?????
Haya mama endelea kurusha matusi huko facebook... mie matusi yangu ndo haya.....
GOODNIGHT.
Yule mlala hoi wa Sinza naomba tuachane nae tafadhali , naomba msitume comments zinazomuhusu in my blog, yani
abakie huko huko na balaa lake. Ya jana yamemtosha. Jamani unapoamua kuweka mambo ya watu hadharani make sure ya kwako masafi au na yako weka hadharani.
Kutwa unahangaika na ndoa ya Mange kumbe wewe yako ilikushinda, kutwa kusema wenzio hawajasoma kumbe wewe nawao hamchekani, kusema watoto wa wenzio wabaya kumbe wako unajua mwneyewe.
kusema wenzio malaya unawaweka kumbe wewe ndo mwalimu, kuanika wanawake wenzio unawaita wezi kumbe we mwenyewe ni mwizi tena wa kampuni. EEEISH.....
Leo nimetumiwa mpaka picha za mamake watu wanataka nimuweke humu eti watu waone alivyochoka wanafanya nae kazi airport.Nimekataa kuziweka ,Mama wa watu hajanikosea kitu sitaki,
kutafuta laana bure, sorry kwa kuwadisappoint.
Anyways, it's official nimesha close that chapter ya yule low life wa Kaole. Naomba tumove on , staki kusikia anything abiut her humu.
akahaingaike na dunia sasa.....
Unajua kuna watu wanasemaga Mange mgomvi sana. Mie sio mgomvi , tena nikitaka mie huwa ni mvumilivuu mno.
Ila tatizo binadamu wengine wanamazoea mabaya, ukimkalia kimya anapata bichwa anajua umemwogopa, hajui umedharau.
Yani anakuchokonoa mpaka anataka kukuingiza kidole machoni.Huyu Linda Bedui leo namjibu only because kaniuzi kuniita mdhalilishaji wa wanawake.
Matusi yooote anayonitukanaga kwneye facebook yake huwa naignore sina hata time nae. Namwonaga Bibi jinga tu. Mwanamke unamiaka zaidi ya 40, watoto wanne,
ndoa ya tatu sasa sijui ya nne bado unatime ya kutukana watu facebook daily???
Yani nahisi ana ratiba kabandika nyumbani kwake.
jumatatu nimtukane Mange Kimambi, Jumanne nimtukane Missy Temeke, Jumatano nimtukane Loveness Mamuya,
Alhamisi Nimtukane Jakaya Kikwete, Ijumaa niitukane CCM nzima, Jumamosi niwakumbushe kuwa nilikuwaga muuza unga,
hivi mmeshwahi kuona mtu yupo proud kusema alikuwaga muuuza unga??? hivi huyu mtu mzima kweli??
Anyways, waache kina Miss temeke, kina Loveness , wamekukalia kimya ila huachi, hawakuogopi ila wenzio wana akili timamu
hawataki facebook wall zao zijao mitusi kama wewe. Hivi wewe mwanamke unapata baraka kwa MUNGU saa ngapi? You are full of hate.
Myo wako umejaa chuki , naona hata usiku hulali unawaza tu ukiamka ufungue facebook uanze kutukana. Yani lazma upate wa kumtukana kila siku. Kila siku kuchambana.
Embu nenda hata holiday kidogo upumzike. Kha, ubongo wako hauchoki kuwaza mitusi ya kutakana watu facebook.
Unanitukana kila siku nakaa kimya sikuogopi ila nna mambo ya maana zaidi ya kufanya na maisha yangu.
Nimekujibu leo ili tu ujue sikuogopi ila staki tu kulumbana humu 24/7, especially na mtu mzima. Naona kama naweza pata laana kutukanana na mtu mzima kama wewe.
Haya turudi kwenye point iliyonifanya leo nikaongea, Unasema mie mdhalilishaji wanawake sababu nilimdhalilisha mwanao Leila in my blog. Linda ,sijawahi kumdhalilisha mwanao
sijawahi kuweka post nikamtaja mwanao wala mimi kama Mange nikamsema mwanao vibaya. Kama niliachia comments za kumsema mwanao vibaya it's because wewe ulikuwa
unatukana wanangu na familia yangu on your facebook.
We mwanamke mwenzio nahitaji support ya wanawake 2015 kugombea ubunge naomba uache kusema nadhalilisha wanawake.
Kwanza kabisa hakuna mtu anaemdhalilisha mwanao Leila zaidi yako wewe Linda. That's just the truth. Linda mimi nimekujua last yr na 1st thing nimejua about you is that
mwanao Leila was sexually molested. Wewe ni mama gani unaandika facebook kuwa mwanao alikuwa sexually molested??? wewe ni mama gani unajirekodi kwneye video, (nimetumiwa clip)
ukihadisia binti yako alivyobakwa alafu unaweka video facebook? madai yako unamwaibisha the person who molested your child??? yani una akili finyu na ujinga wa mashindano kiasi kwamba uko tayari kumdhalilisha mwanao
dunia nzima ijue mwanao wa sexually molested just because unataka kumfix huyo aliem molest mwanao? ARE YOU REALLY A MOTHER LINDA? Huyo mwanao unadhani aanapenda dunia nzima ijue she was sexually molested???
Linda wamama wengine uwaga wapo tayari hata mahakamani asiende ili mradi watu wasijue kitendo cha aibu alichofanyiwa mwanae, ila wewe unahadithia daily on facebook. Uko tayari kudestory life ya huyo molester at any cost including
destroying you own child's life in the process.
Mimi kama Mange Binti yangu akifanyiwa kitu alichofanyiwa Leyla hata mahamani sidhani kama ningeweza kumpeleka huyo mtu, sababu I wouldnt want to put my child through that pain over and over again.
Yani ningemprotect mwanangu kwanza na hiyo aibu hata kama ingebidi huyo molestor asihukumiwe. Ningejitahidi kufanya mwanangu asahau hicho kitu na sio mimi mamake kumkumbusha kila siku kuwa aliwahi kuwa molested.
Huyo aliemmolest mwanangu mahakamni nisingempeleka ila angewish bora ningempeleka mahamani, maana hata bongolicious ningefungilia mbali maana mtaji woooooooooooote ningeutumia kumpa street justice.
Na nisingekuja kwenye blog au facebook kutangaza jamani wmanangu kawa molested na so and so and so because THAT would only mess up my child.
Unadhani sababu huyo mwanao ana smile inside she is not suffering?? uliza watu waliokuwa molested utotoni ina wahaunt mmpaka ukubwani na wewe kama mama yake kumtangazia dunia nzima alikuwa molested inauma zaidi.
Wewe ndo unaemdhalilisha mwanao sio Mange.

Nimeweka picha ili tu kujitetea na kuweka facts, nani anaemdhalilisha mwanao mie au wewe?
unaweka facebook makalio ya mwanao mdogo unaona sio udhalilishaji huu???
Unawaambia watu ana round butt sasa unataka wayashike na wao ama???
Kutwa kumsifia mwanao mzuri, sawa kila mama anamwona mwanae mzuri sana, ila wewe unamsifia mwanao kwa kumdhalilisha sio kama
wanawake wengine wanavyosifia watoto wao. Kutwa kuweka viungo vya mwili wa mwanao facebook unavisifia. Hata siku moja hujaweka status kusema
jamani mwanangu kapasi shule, au mwanangu ana perform kwneye school play, wewe ni viungo tu mwanao na kuongelea alivyokuwa molested. Alafu unanipakazia mie ndo namzalilisha.Hivi hii dunia ya leo
kweli ni dunia ya mama kumpa mwanao wa kike bichwa kuwa yeye ni mzuri sana? Dunia ya leo hakuna mwanaume anaoa mwanamke eti sababu ana shepu au sura nzuri
Dunia ya leo Elimu na tabia ndo vinavyofanya mwanamke akaonekana mzuri. Hujioni wewe mama mtu, Mshukuru Mungu alikupa uzuri wa sura (Mwili ngoja nkae kimya) je mpaka leo hii huo uzuri wako wa sura umekusaidia nini?
na uzuri wote unaojitamba nao umeishia kubebeshwa madawa ya kulevya ukiwa mdogo, kila mwaka una mume mpya, umemaliza wanaume wa mataifa yote,watoto utitiri, kila mtoto na baba yake, Hakuna mwanaume kaweza kuishia na wewe kwa jinsi ulivyo na tabia mbaya, yani uzaramo umekukaa hata ukae US miaka mingapi uzaramo haukutoki, mdomo na matusi ya kizaramo yamekujaa.
unakaribia miaka 50 ndo unastuka una talent ya kudesign nguo, unaanza kusutana na watu facebook. Age hii bado unahangaika na vihela vya kula.
Huoni kama wewe ndo mfano tosha kwa mtoto wako kuwa uzuri peke yake haumsaidii mwanamke kwenye dunia ya leo.

Linda sijui umekulia wapi wewe mwanamke...... Ndo maana mtoto alikataliwa kugraduate high school.
alafu unasema walimu walimuonea, walimu hawakumuonea tatizo wewe umekuwa shosti wa mwanao na sio mzazi.
I tell my daughter everyday, i would love to be your friend but the most important thing to me is to be your mother hayo ya urafiki baadae sana.
Unaweka facebook picha za mwanao anakatikiana na wanaume then unasema mnage anakudhalilishia mtoto?
Wewe kama unaweza kukatikiana na wanaume mbele ya mwanao unadhani later unaweza kumkanya mwanao????
Then watu wakisema ,ooh Mange anamdhalilisha mwanangu.....

Unaweka picha mwanao anatongozwa , eti madai yako watu waone mwanao kaombwa number ya simu na Mzungu.
huu sasa ndo udhalilishaji.......
Kweli nimeamini kuzaa watoto msururu sio kuwa mama,,,,,
Hivi kuna mama anaweza kuweka picha ya mwanae wa miaka 18 facebook eti anatongozwa???
Alafu alivyotaahira siku nyingine anaandika status kuwa Leila bado ni bikra alimpeleka kwa Gyno
,Gyno akamcheki huko chini akasema mtoto bado kigoli. Imagine mama mtu anaandika ushenzi kama huu on facebook.
and still she doesnt see this as child abuse au kumdhalilisha mwanae.
What kind of a mother tells the public about the status ya ubikira wa mwanae kwenye facebook?
Really hata kama ndo ulikuwaga unakula na kuuza madawa ya kulevya hizo effects haziwezi kulast this long jamani..
You can't be normal Linda.Yani wewe sio mzima, mpaka naishiwa maneno.
Future ya huu mtoto ipo mikononi kwa Mungu sio kwa taahira kama wewe.

Ukaona haitoshi , ukaweka na hii picha ya kitovu cha mwanao facebook, wanaume wamtamani sijui, unajua mwenyewe
sasa naomba tuwaulize wananchi jamani huyu Leila anadhalilishwa na Mama yake mzazi au anazalilishwa na Mange Kimambi?????
sababu msiwe mnaniharibia jina langu kwa utaahira wenu wenyewe.

Hivi kuna mama mnamjua dunia hii ambae amewahi kuweka picha kama hii ya binti yake wa 18yrs old kwenye facebook?
Tena very proudly. Linda you are not giving this beautiful young lady a chance in life. Mwache aje afanye mistakes zake mweneyewe kama msichana,
sio apate akili zake akute tayari mamake keshamfanyia hizo mistakes. Anapiga hizi picha sasa hivi sababu ni mtoto hajui alitendalo im sure
akifika in her 30s hatotaka mumewe aone when she was 18 she was already katikiaring wanaume kwenye dancefloor, au mumewe aone at 18
she was already exchanging numbers with men in night clubs, au at 18yrs old tayari alikuwa mapepe na pia im sure angetaka yeye mwenyewe ndo amwadisie mumewe kuwa
she was molested na sio ayasome kwenye ma internet huko sababu mamake alikuwa taahira anaanika mambi yake private kwenye internet.
Uninyooshea mie kidole kwa kumdhalilisha mwanao badala ya kuangalia jinsi wewe unavyomdhalilisha mwanao.
Kama ndo unataka kuonyesha watu familia yako mnaishi maisha ya kizungu, chief huu uzungu wako umewazidi hata wazungu wenyewe.
Mange kimambi picha zangu za 18yrs utaniona nimevaa kimini na ki just because nimesimama kwneye ngazi nyumbani kwetu,
Au nipo kwenye beauty pageant ucharwa za shule zimbabwe, ila hutokaa kuona picha za Mange Kimambi akiwa na miaka 18 eti nakatikiana na wanaume
au eti natongozwa na wanaume au uone picha nimebong'oa matako sijui najibashia. Picha zangu za ajabu ajabu basi ni za uzeeni huko tena nishaolewa najiachia na mume wangu.
Kutwa kunisema nimekugeza idea zako, sijui nguo zako, mara jana unasema sijui Diamond kasema sina talent ya kudesign.
wew mwanamke unakazi kweli huko facebook. sawa mie sijui kudesign wala sijali, nachojali ni kwamba nguo zangu ZINANUNULIWA.
Wewe unaejiona ni designer wa maana sana umewahi kuuza hata chupi???? Kama uantaka kushindana na mie naomba tushindane kwa sales receipt sio maneno,
weka hapa umelipa how much tax this yr kwa hizo nguo zako na mie niweke tax zangu. Ndo utajijua wewe ni designer au ni Mshona magwanda ya Chadema???
Designer huuzi hata chupi????? acha kunifatilia na kazi yangu. fanya kazi yako achana na yangu.
kama sijui kudizaini juu yangu, wewe unaejua sana embu uza sasa tukuone. Kama hutoishia kutoa nguo bure ushindane na mimi. Mfyuuuuu.... na hata ukitoa bure hakuna atakaevaa nguo za Haloween.
Unashadia mambo ya Diamond wakati mwanao unashindwa kumsomesha. Eti watu walijaa kwenye show , ajiulize alikosa viingilio vya watu wangapi? angepata watu mara 5 ya waliofika kama sio tabia zake za udhalilishaji.
hao wanawake waliokwenda kwanza ni wale ambao hawana computer wala internet nyumbani, wale waliozamia UK miaka 20 iliyopita, umeona mtoto wa kishua kwenye ile show pale??????? Usiwe unaongea ongea.
Kina dada mlioenda tumewasamehe tunajua hamkusikia tangazo, next time tutawarushia tangazo BBC naamini hata kama hamna lap top ,TV mnazo... Wale mliotikia wito thank you.....

Jana ukanitukana tena facebook, Hardcore Mange fans wakakugeukia huko huko...
Mamaa, utaishia kufuta na kublock watu wote facebook sababu yangu, usidhani sababu u hate me then kila mtu hates me.
Wanakushangaa mwanamke mzee ka wewe hukai ukafanya yako,kutwa Mange Kimambi.
PS: Kusema ukweli leo im super ashamed of myself, yani sijatuma order za watu hadi saa tano hii Nimekaa hapa nalijibu hili mama lililoshindikana,ngoja niwahi posta