Kuna msomaji wangu mmoja ndo kanistua nikaangalie hii list kwa Dina Marios....
Apparently Dina aliuliza watu ni watu gani maarufu wangependa kukutuana nao and why
basi HAWA NDIO WATU WALIOPENDEKEZWA KWA WINGI NA WATU.....
Mmefurahi kumwona CEO wenu kwenye list????? LOL...
Why do you guys think people want to meet me?????LOL
kumpata Dina Marios bonyeza hapa

Haya ndio majina yaliyotajwa zaidi...
Wema sepetu muigizaji wa filamu za kitanzania na mkurugenzi wa endless fame.

Dina Marios mtangazaji wa leo tena ya clouds fm.

Joseph Kusaga Mkurugenzi wa clouds media group.

Jacob Steven JB mwigizaji

Asha Rose Migiro aliyekuwa naibu katibu mkuu wa UN

Mh.Jakaya Mrisho Kikwete raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Mh.Edward Lowassa mbunge wa jimbo la Monduli

Mh.Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma kaskazini

Mh.John Pombe Magufuli warizi wa miundo mbinu

Said Salim Bakhressa mfanyabiashara mkubwa Tanzania

Shamim Mwasha blogger 8020fashions

Millard Ayo mtangazaji wa clouds fm amplifire

Nancy Sumari former miss Tanzania

Janet sosteness wa Ongea na Janet talk show

Dr.Fenela Mkangara
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Gerald Hando mtangazaji wa PB ya clouds fm

Mange Kimambi- blogger +Fashion designer....
WOw, what an honor being among these very important people....