14May

DIAMOND NDANI YA SPORAH SHOW.....

Kama una maoni tuma  ila yasiwe ya matusi plsss... Naomba maoni ya kiutu uzima.....

Personally i think the interview was interesting but scandals took over the interview

nothing about his career, life, new album etc  mambo ya wanawake tuuuuu....lol......

 

Ila huyu dogo na mambo yake yooooote nidhamu na mapenzi aliyonayo kwa mamake vitamsaidia sana......

 

UPDATE....

Wapenzi nimesoma comments zenu 90% mshabadilisha mawazo mnamuhukumu Wema sasa.

Jamani sometimes tumieni akili sawa. Hivi ingekuwa wewe ndo Diamond knowing 90% of ur fans are women,

ungesema nini???? Ungesema uliamua tu kumwacha Wema sababu alishakusaidia kupanda chati?? Si inabidi tu

ujisafishe. Diamond alishawahi kunieleza alichoongea hapo kwenye interview on BBM kipindi kile cha diamonds are forever

and i asked Wema hapo hapo kwa BBM. Wema was  shocked and almost in tears, all she said was i started seeing somebody else

baada ya mambo yake na Kidoti asiseme nilikuwa na mtu before that. She was so mad kiasi cha kwamba hakutaka hata kuchat tena

aliji record kwenye voice not akanitumia voice not maana alihisi kwa maneno sitaelewa vizuri. Ningekuwa nna ruhusu yake labda ningeiruisha hiyo voicenote mumskie

majibu yake kwenye hizi allegations za yeye kuwa na wanaume wengi.

Hivi kuna mwanaume ambae anaweza kweli kuvumilia mwanamke wake analiwa na wanaume kibao yeye yumo tu eti huko in love???

Kama asemayo Diamond ni kweli basi ni kwamba he never loved Wema alikuwa anatafuta fame alivyoipata ndo akaona hawezi kuwa na mwanamke malaya au???

Jmanai kama kuna mwanamke mie namajua who knows how to love a man bila hata kuwa na senti ni Wema Sepetu, she is always after real love.

yani kile kipindi cha Jumbe nilikuwa nakasirika mpaka nataka kupasuka , namgombeza aachane nae anasema, ' I love him'. Same na huyo Diamond

she used to say 'I love him, i cant leave him' sasa Diamond akisema Wema had so many other men pembeni, it just doesn't register with me.

Diamond is the real drama creator hapa, Bongo kuna wanawake milioni kidogo, kwanini atoke na wanawake wenye link na Wema and therefore create drama?????

Kipindi nipo Dubai Kuna siku nilimtuma Wema kitu kwa mamake akaniambia anaenda at a certain time, mie nikawa nasubiria anipe jibu hanipi kuingia BBM

kaweka picha na status With my BFF Penny at her place. Nkampigia simu kugombeza anaona ni maana zaidi kuspend time na Penny kuliko kwenda kwa mama nilipomtuma?

Thats how close she was with that Penny chick.So wema might be over Diamond but the fact that the girl he is with now was her bestie

yawezekana ndo kinachomsumbua mnoooo.........

Jamani wanaume wa kibongo wote tunawajua tabia zao sasa sijui kwanini hata tunapata tabu ya kupata jibu la 1+1 =

yawezekana maybe only 10% or less of Tanzanian men are capable of being faithful...

Wengine mnamsema sijui katoka na mume wa mtu, eeeish so what??? Unajua sometimes tuangalie reality ya maisha and not what we think life should be like....

Alafu utakuta 90% ya wanaocomment kuhusu mume wa mtu weneywe washabeba waume za watu.

When it comes to mapenzi au waname, it's survival of the fittest.....

I only have a problem with a woman, who pretends to be my friend, comes to my home and holds my children then she is sleeping with my husband,

huyo ntamnyonya macho but some woman out there that i dont even know, hanijui simjui, aisee i will deal with my husband. It's probably not even her fault.

kwanza hujui mumeo alimwambia nini huyo mwananmke mpaka akamkubali, hujui alifanya nini mpaka akampata.

So ladies stop blaming or dealing with a woman u dont know, hujui hata kamjuaje mumeo,, but if she was ur bestie unaruhusa ya kumuua kabia

hata mahamani unaweza kuclaim 'provocation au crime of passion' ....hehehhehehheheehh

 

PS. Mnaosema i hate DIAMOND, i don't hate him hata kidogo. Hate is too personal jamani. I'm actually a huge fan of his music. Ila im a blogger so akimake news

inabidi niziongelee  especialy zinazomuhusu Wema. Otherwise im not a diamond hater not even close.......lol

14May

HUBBY'S FIRST DAY @ NEW JOB....

So hubby is gonna stay behind for work.. mie narudi home kulea watoto

waiting for Bhoke to finish her semester ndo tuhame.....

 

 

 

 

There goes my baby........

 

 

 

 

 

Hubby off to work, wifey sleeping in........lol...

 

 

M

Muke ya Muzungu....

 

 

On my way home.... Cant wait to kiss and hug my babies....

13May

MOTHER'S DAY .........

For mother's day lunch my dear husband took me to the most exclusive restaurant/hotel in the city....

He warned me we would definately run into celebs at the hotel and he made me promise i wont scream,stare or go talk to them...hahahha...

Nika promise fastaaaaa maana nsingepelekwa....

The place was fully booked but leaving was not an option so they let us have lunch at the bar....

 

Mama Bhoke...Mother's day 2013....

Outfit will be available wakati wa Bongolicious in Bongo and Arusha...

It comes in Orange, yellow,white and Beige.

Come in 3 small, Medium and large

Gerard Butler of 300 and bunch of other movies was at the restaurant too.

Hubby alikoma i was like sorry naenda kupiga nae picha chief....hehehhe...

Ila nilikuwa naogopa kwenda but the waiters were like nenda he is really nice, he wont mind

ila Robert De Niro usimsogeleee hachelewi kukuchapa kibao....lol...

So i waited mpaka his girlfriend went to the bathroom then huyoooo nkamfata..

Yeah, men are way nicer to other women when their girlfriends/wives are not around...hahahahha

OMG, he was super nice, yani kwanza alisema okay lets take a selfie...hahahahha..

i was like no i need a better pic, so i called a waiter akatupiga,

huko Baba Kenzo anatingisha kichwa tu...hahahhahahaha...

He is the coolest dude ever.... Super nice!!!!

Im soooo watching his new movie this week.....

 

 

Gerard Butler and Mange....aaaawwwwww

The $115 dollar steak..... Siendi toilet 1 month......till i feel nimepata  my moneys worth....lol..

 

So i asked hubby hiki chakula changu au cha sungura????

Alichekaaaaaaa, kidogo adondoke....lol

 

 

 

 

 


 

 


 

Viguu vya kipare...lolest...

 

 

Me and my baby.....

 

After lunch nkavua high heels hao tukaendelea na kilochotuleta....


 

We saw about 8 houses today......

 

Goodnight friends.....


12May

NEW CITY,NEW STATE, NEW LIFE......DAY 2....

Orijino Muke ya Muzungu....

 

 

Dont i look like a mannequin in this pic??? lol

 

Awwwww..... flawless!!!

 

 

 

 

 

Early in the morning we met with our realtor John , introduced to us by my girl Theo.

Thank you mama Shani, John is great!!!

By the time we got back to out hotel nilikuwa nakaribia kulia kwa kuchoka....lol

 

My husband is super organized, he even brought a map and marked the areas

we wouldnt mind buying a house in.......

 

Wao wanaongea mie najipiga picha.. hahahahha

 

Im seriously in love with myself.....hehehhehehe

 

 

'All i need in this life of sin , is me and my girlfriend

Down the ride till the very end it's me and my boyfriend'

 

 

Lunching at a Japanese restaurant...

 

Nothing is more ratchet than not using the sticks when eating at a Japanese restaurant...lol

It's easy just practice...


The jealous wife goes like 'who you texting?' lol

 

 


11May

NEW CITY, NEW STATE, NEW LIFE..........

Im off..... i will  miss my kids......

Mommy & Daddy go watiti,watiti bayaaaaaaa, in Kenzo's voice

 

Hubby is already on the other side will meet him at the airport...

 

 

Too much kusifiwa nywele na wanawake & wanaume...

Napendaje kusifiwa sasa....lol

 

So i have lost too much weight i guess, the pants are size 4US

Just last month nilizivaa kwenye ile photoshoot ya bongolicious na zilinibana fresh leo

nimevaa uwiiii zinakaribia kudondoka nkatafutaje mkanda fastaaaaaa....lollll

 

Nine west flats, Ralph Lauren pants, James perse shirt, Lous vuitton bag + Virgin Indian Remy hair (hihihi, sijatulia)

 

I miss my days on buying Loubs and stuff....lol...

Starting a new business aint no  joke aisee nimekuwa mbahiliiiiii, naijua hela balaaaaa.....

 

Gotta love wazungu... They mind their own business.....lol...

Ingekuwa bongo hapo zishatumwa bbm msg mia kidogo

'yani kuna huyo dada sijui anatafuta bwana, maana anajishaua kupiga piga picha hapa'

hehehhehehehe

 

Hubby and i... We about that life!!!!!

10May

EARLY MOTHERS DAY ORCHIDS....


My hubby is the most thoughtful man in the whole world...

Since we wont be home with the kids on mothers' day which will be on Sunday, he came home with these beautiful

orchids for mommy......

Bhoke isnt too happy mommy wont be home on mothers' day....Poor baby!!!!


Tomorrow by this time i will be in the State we moving to....

Saturday morning tunaamkia kwenye house hunting with our realtor.....Ntachokaje....


I wish msijue napohamia mpaka nihame kabisa ila i cant help it maana the whole weekend ntakuwa huo mji na hubby keshaandaa mtoko wa mothersday

na itabidi tu nirushe picha....lol...

So chungulia humu Sunday to know where Mange Kimambi is moving to....lol..


PS: Mnaoshinda mtandanoni kumgoogle Mange mnapoteza muda hamtokuta bankruptcy report.......

Fanyeni yenu jamani......