25April

MTOTO WA MIAKA 2 AUWAWA NA MBWA WA FAMILIA......

 

Uwiiiiii, mpaka nimeumwa na tumbo la uzazi.....yani i just read this story kuhusu mtoto wa miaka 2

kung'atwa na mbwa wao mpaka akafa. Imagine alikuwa mbwa wa family for 8 long years.

yani this story hit home for me maana mie na mume wangu hapo ndo tunapokuwa hatuelewani.

Mume wangu anataka mbwa ili awe anacheza na Kenzo mie ndo staki kuona mbwa ndani kwetu maana nawaogopa balaaa...

mie vi puppy tu vinaweza kunifanya nipande juu ya makochi..lol..

I think ni jinsi nilivyokuwa,  kwetu kulikuwa na mambwa 6, hayo mambwa yanafunguliwa usiku tu tukiingia kulala. Tena yalimzoea mlinzi wetu tu basi

anybody else yanaua, wezi walikuwa hawasogei nyumbani kwetu, hata sie wenyewe tulikuwa tunawaogopa balaa.

yani ilikuwa kama mtu umetoka out unaanza kuwaza hivi ntaingiaje nyumbani...hehehehehe

Yani this is all i know about dogs, kuwa ni wanaua sio wanyama wa kupeti peti.....

Sasa mume yeye ndo anapenda mbwa balaaaa....

Leo nilivyoona hii story yani ndo nimepata nguvu ya kumwambia,  unaona?????

yeye mweneywe kaishiwa nguvu kabisaaaaaaa, kakaa kimya maana imagine ajali kama hii

mwanao aliwe na mbwa wako mpaka afe si utaokota makopo kwa kudata??? maana wanasema hakuna maumivu kama maumivu ya kuzika mwanao.

Yani huyo mama hapo pichani sijui ana hali gani. Maana bora mtoto aumwe au apate ajali, ila kuliwa na mbwa in your house , du????

unaweza kujilaumu mpaka siku unakufa.

Yani hii story imenikumbusha story ya mama  wa kihindi Dubai, walikuwa wanakaa very close na kwetu, basi kashuka chini kumpandisha binti yake kwenye school

bus akamwacha her 5yr old son upstairs kalala. basi mtoto akaamka akaamka akaenda dirishani akawaona mamake na dadake chini akaanza kuwaita, mama mtu kuangalia juu

anamwona mwanae anachungulia dirishani akadata anamwambia mwanae atoke dirishani sasa sijui mtoto akazani anaitwa na mamake asiruke dirishani nini, toka ghorofa ya 8 sijui.

Mama mtu hakuongea na mtu, alipanda tu lifti watu wakajua anaenda ndani kwake kulia, huyo kafika kwake nae akajirusha dirishani alipojirushia mwanae....

Baba mtu alikuwa kazini, kufika home anakuta kabaki binti tu ,mama mtu na the son gone...

uwiiii, nililiaaaaa utadhani nawajua, nililia ka chizi....

Eeeh Mungu, tutunzie wanetu jamani......

kwa kusoma zaidi story ya mtoto aleuwawa na mbwa ingia humu

kusoma story ya huyo mama wa Dubai ingia humu.

nimeshangaa hiyo story bado ipo online hadi leo

25April

WANAWAKE LONDON MSIENDE SHOW YA DIAMOND......

Unajua wanawake wa kitanzania sijui kwnaini hatuko strong. Chris Brown alikiona cha moto na aliomba msamaha mpaka akili ikamkaa sawa ndo watu wakaanza kumkubali tena.

Inabidi Diamond afanywe mfano kwa wanaume wengine wanaoona it;s ok kudhalilisha wanawake kwa kiasi hiki.


Naamini binadamu wote tunafanya makosa ila tofauti inakuja pale tunaposhindwa kukubali makosa na kuomba msamaha,  ningemuona ni mstaarabu iwapo angalau angetoa public apology kwa alichokifanya, Ila kakaa kimya anajua bado mtaendelea kumfagilia.

That was really bad what he did. Najua kuna watu ambao hawana mitoko huko London na huu ndo mtoko wao wa maana sana wa kwenda kurushana roho. Ila natamani kama hizo nguo mlizotaarisha mkaziweka mvae kwenye shughuli ingine kama ya Ommy Dimpoz ,etc.

For once wanawake embu tushikamane, hivi ni nani kati yetu hajawahi kumpigia ex wake kubembeleza penzi?  can you imagine ungekuwa na hali gani kama huyo mwanaume angeweka hiyo clip yako kwenye youtube? Si ungetamani Ardhi ipasuke????

kuna walionitumia email wanasema washanunua ticket sasa wafanyaje? oh well, ticket zenyewe si pound 10 tu sijui 20. Embu fanya kama umetoa sadaka uisahau.


Kwa kweli mimi na wana uturn wenzangu we are hopping kwamba next week hakutokuwa na picha za mademu wanakata viuno na jamaa stejini..... Itatuhuzunisha sana......

Najua nilisema atakaekwenda niletewe picha zake humu tumchambue, i was just joking. Kila mtu ana choice yake maishanani, kama wewe unaona huna haja ya kushikamana na wanawake wenzio kwa hili haya nenda.


The guy is using this woman kukuza jjina, yupo tayari kumdhalilisha ili mradi tu yeye apande chati, nyimbo zake mbili zilizopanda chati ndnai zina jina la Wema Sepetu, maana anajua akimtaja wema tu basi nyimbo itapanda chati. Basi bora angekuwa anatumia jina lake kwenye nyimbo zake ila anamuheshimu na kumtreat kama dadake sababu mapenzi yameisha, ila anamtumia kukuza nyimbo zake na bado anaona haitoshi akaona amdhalilishe vile.


NAOMBA USOME TENA MANENO ALIYOANDIKA WEMA LAST WEEK, IMAGINE NI MDOGO WAKO ,NDUGU YAKO, DADA YAKO AU NI WEWE MWENYEWE JE UNGEENDA KWENYE SHOW?


Na kama Diamond angekuwa ni mtu anaetambua makosa yake kama binadamu wengine angeomba msamaha. Si haba angesamehewa sababu hakuna binadamu alie perfect. Ila ndo kwanza anaona ni sawa alilofanya.

 

PS: Mtakao amua kuwa kichwa ngumu mkaenda haya its  ok ila mkumbuke karma is a bitch.......

25April

BONGOLICIOUS AFRICAN PRINT MAXI SKIRT.....

This is what i wore today..... Chic casual look...

the skirt is available for sale

www.mybongolicious.com

24April

LACE WIGS NDO HIZOOOOOO.....ZIPO NJIANI......

Hey guys lace wigs zipo njiani kuja bongo.....

Zikifika ntu ntawajulisha.....

nilichelwa kutuma mzigo sababu nilikuwa nasubiri corsets zifike ili nitume pamoja na lace wigs.

Ila corsets bado hazijafika mpaka sasa,nikaona bora nitume tu lace wigs kwanza, maana wateja wa lace wigs ni wakali sana...hehehehe...

Corsets zinatoka Columbia, nimeplace order weeks ago ila wanasema bado kidogo watanitumia either this week or next week.

So kuweni na subira na msiwe na wasiwasi.....Corsets zenu zitakuja na hata kama zisipo kuna mnanijua mie ni mama wa ku-refund watu....

hata nilivyokuwa Dar walisema hawataki tena kusubiria lace wigs niliwarudishia pesa zao fasterrrr.....

so your money is safe with me......

hatapelewi mtu hapa.....lol....

 

 

Sasa lace wigs nimezipanga kama hivi

kila mtu nimemfungia kifurushi chake juu nimeweka jina lake na number yake ya simu.

zikifia Dar mtapigiwa simu mkachukue. NTAWAAMBIENI ZILIPO.

KINA UTURN ADDICT , JOAN MUNGEREZA, MARYAM LWNO- MANYWELE YENU YAMO HUMO. SIKUWASAHAU THIS TIME..

Last time mlininuniajeeee....lol...Maudodo sorry love, ulichelewa kidogo kutuma bank slip, nywele yako itakuja na mzigo wa corsets.

wadada wa Arusha pia nywele zenu zipo humo,itabidi muwatume watu wakawachukulieni.

 

 

Baada ya kuweka kwenye vifurushi niweka kwenye maboksi mawili makubwaaaa.....

HAYA KAENI MKAO WA KULA WANAWANE....LOL...

24April

CONGRATULATIONS SAUMU ADADI...... EDUCATION IS SEXY!!!!

Last week my lil' cousin, Saumu Adadi graduated from Coventry University in Coventry,UK with a Masters degree in Advertising and Marketing

 

The graduate with her dad, Mh. Adadi.

 

Awwww,

so proud of you my lil' cousin....

23April

BONGOLICIOUS IN KOKUGANZA'S A FIX VIDEO....

Thank you Koku for all you do to promote Bongolicious out there.....

Really ahsante sana mpenzi....