07July

TID ON SPORAH SHOW....

UWIII TID KAPINDAAAAAAAA......

YANI NILIWEKA HII VIDEO KABLA SIJAIANGALIA....AISEEEE JAMAAA KAPINDA....LOL...UWIIIII

NAHISI TUKIFATILIA ZILE FAMILY TREE TUTAWEZA KUTA CHRIS BROWN NA T.I.D NI NDUGU, YANI

T.ID. NI CHRIS BROWN FULUUUUUU........MINUS THE MONEY OFCOURSE.....LOL.. MAANA CHRIS BROWN NA YEYE WAKIMUULIZAGA MASWALI

HAYAPENDI ANAPATAGA HASIRA KAMA MBOGO.....LOL

I LOVE ME SOME T.ID MEEEEEIIIINNN........

Comments (71)

 • MXIIUUUU

  MXIIUUUU

  07 July 2013 at 11:05 |
  Alinikera alipokuwa anajibu jeuri kwenye interview.Hakumbuki yuko hapo alipo kutokana na mashabiki.So inakuaje hao hao mashabiki wako wanapotaka kujua vitu kutoka kwako unaleta nyodo?Hivi hawafahamu watanzania hawakawii kuku-mr nice we mwache.Pia ukimuangalia kakonda na kanyorodoka kwasababu ya madawa ya kulevya japo alipooulizwa alikataaa.
  • MISS U TURN

   MISS U TURN

   07 July 2013 at 11:24 |
   Jamani tuangalieni huku na huku pamoja yote Spora alikuwa km ana mdhalilisha mnyama mi nimependa za Tid alivyo weza kusimama km yeye bila kuwa muoga kumjibu spora yupo real..japo hakiri kwamba amesha haribu maisha yake kwa sembe na anaonekana kabisa inamuumiza alafu uendelee kumuuliza maswali ya kingese,eti mdokozi?eti nini na nininot listening mtu kesha changanyikiwa km si unatafuta akutie ngumi useme anamaasira ya hara nini..Kwakweli nimeipenda mbaya kwanza kamvumilia Spora..na hivi ndiyo inatakiwa kuwa.peace TID..UKITAKA KUBADILIKA UTABADILIKA
   • Anonymous

    Anonymous

    07 July 2013 at 18:56 |
    Mdau kula tano. Ingekuwa mie ninge nyanyuka na kuondoka kabisaa nisingevumilia maswali ya kikuda hata kidogo. Utamwambiaje mtu "mdokozi"? mara "anapokezana sigara kwenye club" "mara yeye anahasira sijui ana masifa" clearly Sporah wanted to humiliate mr TID!!!! hata kama fans wa TID wamemuuliza hayo maswali, Sporah angeyachuja kwanza kabla ya kumuuliza TID? Sporah hakujiandaaa kabisaaa na hiii interview alikuwa anabahatisha maswali tu na mengine alikuwa hata hajayasoma kabla ya TID kufika hapo maana unaona kabisaaa yalikuwa yanamshinda kusoma. Sporah I really like you but this was the worse interview I have seen from you young lady!!!!! Not good! a mess!slapping
 • Anonymous

  Anonymous

  07 July 2013 at 11:20 |
  interview imelenga kum VICTIMIZE TID. Hakumpa nafasi ya kuzungumzia chochote cha maana kuhusu maendeleao ya bongo flava zaidi na kusoma maswali ya umbea umbea! Nje ya bongo ukipungua uzito unapongezwa huyu Spora yuko UK lakini bado anaabudu watanzania wenye unene na vitambi! Ingawa alichukua maswali ya mashabiki lakini kachagua yale mabaya tu na kuifanya iterview NEGATIVE all the way! Nusu ya interview ingetakiwa kuzungumzia kazi za TID na kumptomote - ndio umuhimu wa talk shows kwa entertainment industry. Badala yake 80% ni majungu tu!! Pole sana TID kwa adha uliyopata!! Spora jifunze kwa interview ya LULU na ZAMARADI namna alivyobalance, skendo, majungu na kum promote msanii
  • muddy washington

   muddy washington

   07 July 2013 at 18:13 |
   sometimez tuwe fair we need to know the other sides of our celebrities life,we know a lot about their music,lakini maisha yao binafsi tunayahitaji cuz wao ni kioo cha jamii...tutamponda sporah lakini Na huyu je?

   http://www.youtube.com/watch?v=-5Z0cKKLDqE
   • Anonymous

    Anonymous

    08 July 2013 at 06:30 |
    Account waliniboaaaaaaaaa
   • Anonymous

    Anonymous

    08 July 2013 at 14:51 |
    lengo la hivi vipindi si kuzungumzia tu bad side ya mtu bali both bad and good side. kama ni kuzungumzia bad side tu hakuna celebrity angekubali kwenda kuwa humiliated! ni bora nijipumzikie kuliko kwenye kwenye interview ya kuwa humiliated. And this is what happened to TID, he defilitely regreted going to this program. Kuacha kung'ang'ani umbea Spora angetakiwa aulize:
    (a) Hali ya bongo flava, ya zamani na sasa
    (b) Upigaji wa bongo flava kwa live band kama TID band
    (c) Kwa nini inakuwa shida kwa bendi kama za TID au Jide kufanya shows nje
    (d) Mjadala wa hatimiliki na tuhuma kwamba radio stations zinawaangusha artists
    (e) Colabo za old na new artists, artists wa kike, nk
    Majibu ya haya yangekuwa na umuhimu kuliko kumuuliza mtu kama anachangia sigara na kudokoa dokoa which are childish questions from a standard seven pupil on facebook/twiter!!!!!!!!!!!!!!!
    • muddy washington

     muddy washington

     09 July 2013 at 00:10 |
     vipi kuhusu issue ya yeye kuwa anatumia mihadarati hakutakiwa kumuuliza wakati ndio iko hot kwa sasa baada ya msanii mwenzake aliekua nae karibu wakishare a lot of things kufikwa na mauti huku chanzo kikielezwa na utumiaji wa mihadarati kupita kiasi?hudhani kwamba hilo lilikua ni swali zuri ambalo lilipaswa kuulizwa likiambatanishwa na hayo uliyopenda aulize?i'm just askin' sitaki kubishana cuz siku hizi tunaambiwa kuna "FREEDOM OF SPEECH" hutakiwi kuchallenge hoja yeyote!!!
  • Anonymous

   Anonymous

   07 July 2013 at 18:58 |
   Zamaradi is the best!!! Anajuwa kubalance majungu, umbea na uchumvi!!! Huyo Sporah ameeegemea upande mmoja tu wa majungu jiko!! Hands down for TID kwa kusimama imara.freedom
   • muddy washington

    muddy washington

    08 July 2013 at 00:35 |
    Sporah ameshawahi kumuhoji Mnyama before zaidi ya mara mbili so maswali mengi alishamuuliza lakini maswali aliyokua akimuuliza leo ndio ni mapya ambayo mashabiki wake nikiwemo mimi hatukuwa na majibu yake,kwa hiyo ulikua ni wakati mzuri sasa kuyajua kupitia yeye,isingewezekana amuulize maswali yale yale aliyowahi kumuuliza kwenye interviews zilizopita,nasimama upande wa sporah kwenye hili ingawa sio big fan wake,alimuuliza maswali "mazuri" ambayo hajawahi kuulizwa na yeyote,ule ndio uanahabari tunaoutaka ambao ndio upo kwenye nchi zilizoendelea,mtu kama kuna fununu kama ni gay ukija kwenye angle yake kama mwandishi that will be the right time kumuuliza mwenyewe hata akisema no comment ni jibu pia,sporah did her job,hana tatizo.
    • Anonymous

     Anonymous

     08 July 2013 at 07:52 |
     That is your Opinion and I have mine. So, I said Sporah did an ugly job with the interview as she did not respect TID!!! and you say it was good. kila mtu na Opinion yake so tafadhali sana tusianze kubishana.freedomshakebutt
     • muddy washington

      muddy washington

      08 July 2013 at 08:38 |
      P.O.A.
    • Anonymous

     Anonymous

     08 July 2013 at 14:55 |
     wewe uneona talk show gani ambayo
     (a) Mtu anayehojiwa hapewi nafasi kuzungumzia kazi yake ya kisanii
     (b) Host anatumia maswali ya social media tu!!!
    • Anonymous

     Anonymous

     08 July 2013 at 15:45 |
     -wengine hatukuona hiyo interview ya kwanza
     -kutakuwa na follow up questions toka hiyo interview ya kwanza - the world is not static - it changes
     -kufanya interview moja si justification ya kum humiliate mtu kwenye interview ya pili.
     • muddy washington

      muddy washington

      08 July 2013 at 19:40 |
      nimeamua kukaa kimya hata kama nina hoja za msingi za kutokubaliana na too much critism kwa sporah cuz some folks can try to shut down hoja zangu kwa bango la FREEDOM OF SPEECH,a strategy of don't wanna be challenged,i respect.
 • m a r i c h u i

  m a r i c h u i

  07 July 2013 at 13:05 |
  Kaaaaaaaazi kweli kweli ......softdrink
 • Anoni

  Anoni

  07 July 2013 at 13:11 |
  Poor tid,good guy gon bad

  Ila sporah amekosea maswali yake, angekaa na tid before the show na kumuuliza angependa aulizwe maswali yapi na maswali yapi asiulizwe, the guy is short tempered halafu anazidi kumuuliza maswali ya kumpandisha hasira! Sio vizuri...
  Kama mdau alivyosema, sporah shld take note frm zamaradis intvw wth lulu, au aende intrntnl zaidi aone oprah anavyo intrvw watu! Most of the times oprah wld never ask qstns to an artst coming frm fans on social netwrks etc!

  Ajue kabisa,sio kila mtu anaweza kuwa fan wa tid ndo akaulizwa swali! Wengne ni maadui wa tid na ndo walouliza maswali mengi hapo!
  • Anonymous

   Anonymous

   07 July 2013 at 19:00 |
  • Anonymous

   Anonymous

   08 July 2013 at 14:58 |
   ur right - mara nyingi 'fans' huwa wanakaa kimya na 'haters' ndo wana dominate opinion za social media. t
  • Anonymous

   Anonymous

   08 July 2013 at 21:30 |
   Kweli zamaradi sijui jina lake vizuri alimfanyia lulu interview nzuri sana,Kusema kweli sporah kachemsha kwa TID pia mimi binafsi naona zamaradi ni hodali sana kuliko sporah.Imemsaidia yupo majuu tu.Pia anapenda kusikiliza mambo ya comment sijui kwa watu wa FB au INST...Au TW... ZAM UPO JUU KWENYE KUOJI PIA Sporah anapenda nywele za simba kuzivaaa azimpendezi.
 • mammu2

  mammu2

  07 July 2013 at 13:55 |
  RIP MANGWEA
 • Segito

  Segito

  07 July 2013 at 15:03 |
  sporah kuwa makini na maswali balance ni muhimu na zingatia unayemuuliza ungeweza kuacha hayo na kuendelea na maswali mengine maana unamuona anavyobadilika angalia usije kupata ngumiiiii. mnyama sauti bado ipo ilaMJ
 • Anonymous

  Anonymous

  07 July 2013 at 15:29 |
  duu huyu jamaa mwanamke wake ana shida sana.sijui ni madawa?he is weird.ila inaonyesha ana akili sana,na anajua kujielezea,tofauti na mastaa wengine wanapohojiwa,kujielezea sifuri ila huyu huwa anajua ku make points
  • muddy washington

   muddy washington

   08 July 2013 at 00:48 |
   STRONG POINT.... hapo kwenye kujieleza mchizi yuko okey
   • Anonymous

    Anonymous

    08 July 2013 at 07:53 |
 • Tutulicious

  Tutulicious

  07 July 2013 at 16:07 |
  Sporah I know you are reading this...JIFUNZE. Talk show sio majungu na kumvictimize mtu. TID is not an angel, he has done his fair share of mistakes and the least you could have done is uplift him and motivate him to be better. You have a crowd to please but you also have to be considerate of the person you are interviewing.
  It's ok to criticize but offer constructive criticism.
  All in all, I think you have so much potential, horn your skills usije ukapoteza muelekeo.
  • Anonymous

   Anonymous

   08 July 2013 at 07:55 |
  • MGENI

   MGENI

   08 July 2013 at 08:35 |
   Uko sahihi kabisa mdau.....I think Sporah needs to learn on how to manage these kind of interviews. Awe anachanganya maswali kutoka nyanja zote, rather than sticking to issues chache tu. Mfano mfupi ni kwenye interview ya Diamond, yaani toka mwanzo Wema....Wema.....mpaka jua linazama. Inawezekana kwa wengine ikawa ndio mara yao ya kwanza kuona interview ya mtu aliyekuja kwenye show, sasa bila kuingizia na maswali on 'before and after' anabaki kujiuliza kuwa huyu mwanamuziki (or any other), ya kwake ni haya tu?
 • Anonymous

  Anonymous

  07 July 2013 at 18:04 |
  TID ana matatizo yake, lakini kwa hili namtetea. Maswali yalikua mabaya sana! Yalikua ya kumfanya azidi kuonekana mbaya kwa jamii. Spora awe anachagua maswali ya kuuliza! Me nimependa TID alivyomshushua.
 • Anonymous

  Anonymous

  07 July 2013 at 18:49 |
  Mangenita wanguuuu na kupendaaa sana. I have been waiting for this clip for the last 2days!!!!! It is here on our blog finally!! I think Sporah was being very rude to TID!! Sporah alikuwa na muweka chiniii TID, mwishowe TID akaaamua kumkurupukia kama paka!!!LOL! That was so damn funny when TID told Sporah "your questions are nonsense" sasa jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Sporah ni nani hadi kumwambia mwenzie ana afya chafu? Halafu hata kama fans wa TID wanauliza maswali kwenye mitandao, Sporah anatakiwa kuchuja yapi yanafaa na yaapi hayafai kuuliza. Sporah amekutana nakiboko yake hapo, maana TID hakukubali kabisa naye akawa anamjibu kibabe. I love you TID the fact that you do not take shit from anybody is a great thing.freedomblowkiss
 • Anonymous

  Anonymous

  07 July 2013 at 18:51 |
  Jamani ni mie tu au naona Sporah hakuwa amejiandaaa kabisa katika kumuhoji TID? kwanini alikuwa anamuhoji Kiswahili wakati TID anajua English nzuri sana tu!! Halafu Sporah alipokuwa anamuuliza kiiswahili yeye TID/Mnyama alikuwa anamjibu kiinglishi! Majanga!!! Sporah sio kila mtoka bongo hajui kiinglish kama Diamond platnamz na Lina na wengine. Huyu TID anajiweza kizungu vibaya sana so I did not understand why you were asking him in Kiswahili?shakebuttnot listeningat wits' end
  • muddy washington

   muddy washington

   08 July 2013 at 01:00 |
   • MISS U TURN

    MISS U TURN

    08 July 2013 at 06:16 |
    Moody thankx for this..lakini hili siyo jibu nadhani spora alijisahau..BUT NAMPENDA MNYAMA KWAKWELI KWENYE INTERVIEW ZAKE HUBOWEKI KABISAA anajuwa kujibu bila kuogopa na kujiuma uma..freedom
    • Anonymous

     Anonymous

     08 July 2013 at 07:57 |
     Mnyamaaaaaaaaa amenguruma kisawa sawa!!!MJlmaopeacedanban
  • bella

   bella

   08 July 2013 at 08:09 |
   Bila kumtaja diamond hujisikii raha,
 • SINA MAKUU MIE

  SINA MAKUU MIE

  07 July 2013 at 18:57 |
  SPORA SHOULD LEARN HOW TO CONDUCT INTERVIEWS. SHE REPEATED SOME OF THE SILLY QUESTIONS.SHE COULD HAVE ASKED TID THE SAME QUESTION IN ADIFFERENT MANNER,AS HER QUESTIONS DID NOT COME OUT VERY POLITE. BUT I LIKEHOW TID HELD HIS OWN.
 • k0ku

  k0ku

  07 July 2013 at 19:53 |
  bye napita tuu!!!
  • KUKO

   KUKO

   09 July 2013 at 11:16 |
   Pita Haraka lohchase
 • c's mum!

  c's mum!

  07 July 2013 at 20:56 |
  karibuni uji wa kungu na visheti vya kijitonyama!!
  • m a r i c h u i

   m a r i c h u i

   07 July 2013 at 22:23 |
   Best umehamia kijitonyama si Sinza tena !

   Missing u ......blowkiss
 • Anonymous

  Anonymous

  08 July 2013 at 00:30 |
  HIVI STAR TV WALIMUPAJE HUYU DADA HII KAZI? NI SWALI TUU YEYE YUPO UK STAR TV IPO TANZANIA... AU NDIO KUJUANA?
 • Anonymous

  Anonymous

  08 July 2013 at 00:31 |
  Kitu ya star tv nyie toeni machozi tuu
  • Anonymous

   Anonymous

   08 July 2013 at 01:43 |
  • Anonymous

   Anonymous

   08 July 2013 at 03:34 |
   SHIKAMOOOOOOOOOO SPORAH
 • baby ya Mange

  baby ya Mange

  08 July 2013 at 02:44 |
  Noooo jamani sijapendezwa kabisa na hii interview na imenifanya nishindwekuelewa sababu hasa ya Sporah show!mbona maswali hayamjengimtu?full of negative maskini hadi minimejiskia vibaya,maswali gani ya kumuuliza mtu katika public interview? Tena nimeskitika zaidi Sporah anavomwambia he is not healthy kwa maconfidence kabisa.....yani mpk Tid unaona kabisa alichange...kwa kweli hii ni big No..hata kama Sporah uli-aim kumfikishia ujumbe Tid kutoka kwa fans wake that was abit too much..pole sana Tid..?... Sporah minadhani ungetafuta jinsi ya busara zaidi kufikisha ujumbe kwa muhusika lakini sio kwenda na maswali direct kama hivi haipendezi kwa kweli.
 • faa

  faa

  08 July 2013 at 08:36 |
  sijapenda hata kidogo..sporah alivofanya kwakweli,
  mnyama tunakupenda saana ila sikupenda pia ulivofanya...kweli sporah alikua anakukera na maswali yake..ungemuonesha kua she was wrong kwa kumjibu maswali yake bila jazba, lakini ulivofanya umeonekana kama kweli anayoyasema yote ni sahihi..
  • Anonymous

   Anonymous

   08 July 2013 at 14:10 |
   Kwakweli, sporah maswali yake sio mazuri kabisa... yaani yupo UK anauliza maswali ya kijinga namna hii?
  • Anonymous

   Anonymous

   08 July 2013 at 18:56 |
   Kutokana na style ya maswali na attitude ya Spora,...TID really did the best he could....yani mie sivuti bangi wala situmii pombe but i felt bad....

   Spora that was very unprofessional.....u cant judge someone unhealthy thats not ur proffession and even doctors themselves dont tell that on air...it would be unethical....


   TID am proud of you, ungekuwa yule wa zamani nadhani ungemchapa vibao huyo dada...lol
 • mrs tid

  mrs tid

  08 July 2013 at 11:34 |
  Yani this was so unprofessional of her ..nimemchukia...this interview made me want towant to get in the laptop and slap her...ueye mbona anaonekana anaafya kama ya tid pia....those she think her weight is what defines health...bitch....yani nimechukia maswali machafu sana
  • Anonymous

   Anonymous

   09 July 2013 at 03:31 |
 • neylicious

  neylicious

  08 July 2013 at 15:23 |
  slapping zimuendee sporah namadole yake meusi hat kutumia mkorogo classic hawez msyuuuuuu...
  Pole sana mnyama bt next tym ungemrushia ngumi Yule binti hawez kukudhalilisha na maswali yakishamba kiukweli nimependa English yko Yan ulikuw unamjibu ile ile alidhan wewe wa mbagala sio sasa umemuonyesha na busara yakutojibu maswali yake yakizushi nimekupenda zaid tid
 • lulu

  lulu

  08 July 2013 at 16:13 |
  poor TID, I really appreciate this guy. I love his music and everything. Inshort the guy is talented hapa lazima tukubali ila sasa labda the avenue he is taking right now would never do him good. lets pray for him maybe he will change one day. To you sporah, I like watching your show but this time my dear you tried hard to critisize him why? Is there any special agenda or what was your motive behind? No no the guy deserves better treatment sis.
 • YONDO SISTA MWANAMAMA

  YONDO SISTA MWANAMAMA

  08 July 2013 at 17:22 |
  Mmmmh haya nawaachia baba na mama
 • EAGLE EYES

  EAGLE EYES

  08 July 2013 at 22:14 |
  shotsfired to sporah shame on you and your show TID is too good for you
 • Anonymous

  Anonymous

  08 July 2013 at 23:38 |
  TID ni mwembamba tangu Shabarn robert sec school
  WE sporah ulimpania mtoto wa watu.MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI TID SHULE ALIKUWA KICHWA ALIKUWA ANAKILI SIO KUWA PILOT AU DR AU EDUCATION IS SEXY LAKINI ALIKUWA KICHWA
 • mrs carter

  mrs carter

  08 July 2013 at 23:55 |
  Naomba tid please do not attend her show anymore...did u see the stupied whore eti give me a hug tid akagoma omg thats so embaressing. Halafu the way she kept asking the same question over and over again just using different words...really puting him on a very bad spot and such a disrespectful interview..hata kama ni ukweli jama and all but she had no right do to that...and on and on...yani nimechukia sana plus kakaaa uk miaka nenda her english ana accient mbaya english mbaya show yake kama wanarecodi na simu tena not even a smart phone...such an annoyingbitchbitch bitchh
 • neylicious

  neylicious

  09 July 2013 at 08:20 |
  happy jaman interview ya prezzo na hotmix was amazing asee Yule jamaa nikichaa Yan akiulizwa swali la madem anazuga amepagawa na fatna hyohyo anaemuuliza kweli nimegungua kinachotuteka wakina dada kwa president wa Kenya in short he has too many drama bt in a brilliant way which is difficult to understand em...luv u prezzo bigoooff topic
 • jullie

  jullie

  09 July 2013 at 13:36 |
  Ya Prezzo niliona ila jamaa km alkw kalewa hv,then kazidi kujifagilia bana eti ooh hamjui msanii yoyote wa Kenya zaidi yake yeye!kila anachoulizwa anajibu Prezzo mara ooh niko kwny kamusi!!!really??????
 • Anon

  Anon

  09 July 2013 at 17:10 |
 • ANONYMOUS

  ANONYMOUS

  09 July 2013 at 17:11 |
 • starcy

  starcy

  10 July 2013 at 13:18 |
  Japo TID huwa simpendi na anamadharau sana, ila alichofanya Sporah sio utu ni kumdhalilisha mwenziwe na kumharibia soko. How can u tell someone 'u are unhealthy'??? TID angemnasa makofi kidogo.
 • Anonymous

  Anonymous

  30 January 2014 at 13:01 |
  omg ddah huyo sporah nyoko kweli maswali gan hayo kwa mnyama bata wewe
 • Anonymous

  Anonymous

  09 July 2013 at 03:25 |
  lmaofreedom mambo?wavescheerthumbs upnot worthy