05July

KWA NINI HAKUNA MTU ALIEPATA PICHA NA MICHELLE OBAMA????

Naongelea ile African First Ladies Summit iliyofanyika Bongo last week....

walienda wadada kibaoooooo kwa kweli i expected kuona mapicha ya wadada  wakiwa na Michelle Obama

ila hakuna hata mmoja aliepata bahati hata ya kumsogelea.

Sasa sijaelewa ni kwamba Michelle Obama hakutaka kabisa ku socialise na wadada wa kibongo after the meeting ama??

Im sure they were very disappointed.

Yani nilitegea instagram ijae mapicha ya wadada na Michelle Obama ila mpaka leo holaa...

Kuna anaejua what happened? kwanini first ladies wengine walijichanganya kasoro FLOTUS???

Comments (68)

 • Macho Kodo

  Macho Kodo

  05 July 2013 at 11:31 |
  Kwa mujibu wa ratiba ilivyokuwa, may be she participated in a meeting for an hour or less na aliondoka mapema kabla ya break.
  • muddy washington

   muddy washington

   05 July 2013 at 16:18 |
   FLOTUS...duu hii sikuwahi kuinyaka kwamba ni First Lady Of The United State..imebidi nikaulize google kwanza ili nijiridhishe
 • Anonymous

  Anonymous

  05 July 2013 at 11:39 |
  yaan acha tu we ril wished to do that bt hyo security acha kabisa na alinyomaliza kuongea akasepa cha kufia jela nn
 • Anonymous

  Anonymous

  05 July 2013 at 11:40 |
  yaan acha tu we ril wished to do that bt hyo security acha kabisa na alinyomaliza kuongea akasepa cha kufia jela nn
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 13:57 |
   tuko wenye picha ila hatuna ushamba kama wako kila kitu instagram tunatumiana wenyewe kwa wenyewe kwa njia zetu tunazoziheshimu kajipange tena
   • Anonymous

    Anonymous

    05 July 2013 at 22:57 |
    Wewe ni mwongo kabisaaaa hata marehemu aliyekufa akipiga picha na Michelle Obama angeituma kwa njia moja au nyingine usitubabishe aakili hapa!!! eti "tulipiga tukatumiana kwa njia zetu" Bull shit!!! LOL! You wish ungepiga naye!! Woote walijirundika kwa Laura Bush na Rais mstaafu George W. kungekuwa hata nammoja wao kapiga na Michelle Instagram, Facebook na hata hapa kwenye U-turn zingeshaletwa tu chezea wadada wa Mujini!!!! kwi kwi kwi !! Kama mdau alivyosema Michelle aliondoka haraka sana kabla kabisa ya mkutano kufika hata katikati tukaona security team imemnnyanyua juu juu huyoooooo waka sepa. Hakuna aliye pata nafasi ya kupiga naye picha wala kuchapa naye story. Habariiiiiiii ndo hiyoooooooo!!!!shame on youarguethumbs upnail bitingsilly
    • Anonymous

     Anonymous

     06 July 2013 at 01:18 |
     joto hasira angalie usife na presha
    • DIVA BOY

     DIVA BOY

     06 July 2013 at 03:39 |
     Mdau anazungumza tu,upige picha na mish alafu uikaushie tu bila vishindo,wamarekani wenyewe huwa wanahaha kupata nafasi hiyo,hebu watizameni hapa
     http://www.youtube.com/watch?v=OeFTZ1xyLpU
 • m a r i c h u i

  m a r i c h u i

  05 July 2013 at 11:44 |
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 20:52 |
   lile godoro umeshahamishia kule sehemu?
   • Anonymous

    Anonymous

    06 July 2013 at 12:09 |
    hahahaha hii alipewa wapi huyu mlugaluga?
 • k0ku

  k0ku

  05 July 2013 at 11:53 |
  kiinglishi mange! lmao...
  • kuntuafro1

   kuntuafro1

   05 July 2013 at 22:47 |
   Kiinglish hiyo sio sababu Koku wadada wa Mjini wengi wanaongea Kingereza vizuri tuu kuliko unavyofikiria.
 • MISS U TURN

  MISS U TURN

  05 July 2013 at 12:25 |
  Nami nilitegemea kuona post ya Nancy summary..akishow respect na wife wake Bush coz angalau alifika hapo..
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 23:00 |
   Mbona wengi tu walipiga na Mrs Bush!!! what is your point? say it..... Yoyote aliyekuwa mjengoni angetaka kupiga naye picha au kutia naye story angeweza tu not a big deal. Mie nilikuwepo nimekaaa pembeni na sikiliza wanayo yaongea na mkutano ulipo isha nilikimbia nyumbani kumnyonyesha mtoto wangu sikuwa na muda wa ku zunguka zunguka kuwinda picha kabisa.oh go oneducation
 • Anonymous

  Anonymous

  05 July 2013 at 12:30 |
  Kupiga picha na FLOTUS kunalipiwa $10,000 kama huna lala mbele

  http://favstar.fm/users/UberFacts/status/260905210652807169
 • Havinitishi

  Havinitishi

  05 July 2013 at 12:33 |
  We c uko nae marekani mbona hujapiga nae.idiot
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 23:01 |
  • Anonymous

   Anonymous

   06 July 2013 at 02:19 |
   hahaha Watu mna hasira...Subiri kiduchu anajipanga atakuletea hapa.
 • Muke ya Mutasha

  Muke ya Mutasha

  05 July 2013 at 13:07 |
  Muda alikuwa hana kabisa ...they had very tight schedule..they spent 24 hrs only in TZ.
 • m a r i c h u i

  m a r i c h u i

  05 July 2013 at 13:34 |
  Dongo la kiutu uzima ...I dont want to see
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 23:03 |
  • c's mum!

   c's mum!

   06 July 2013 at 08:38 |
   miss u, kha! tukutane posta askari monument upige picha na mimi!lmao
 • OUT OF TOPIC

  OUT OF TOPIC

  05 July 2013 at 14:15 |
  Mwanaume Mlioachana kwa kuchuniana ( Bila sababu lakini alianza yeye ) akikutumia message hii anamaana gani ?

  THE WOMAN I RESPECT THE MOST AND ALWAYS TRULY LOVED , YOU AR THE ONE , I WILL NEVER DARE TO HURT YOU


  Kaka Muddy huyu Jamaa Yenu anamaana gani ??

  Alikokwenda yamemshinda au huwa mnakumbukiaga ??
 • Anonymous

  Anonymous

  05 July 2013 at 15:00 |
  Who is Michelle Obama ?
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 23:05 |
   Michelle Obama is the first lady of the greatest country in the world!!!!!!!!!! Got it? Better believe baby. She is the one and only......blowkissheartlovelicking
  • SHESHE

   SHESHE

   08 July 2013 at 14:14 |
   Are you alive or dead 15 years ago?
 • Mrembo by Nature

  Mrembo by Nature

  05 July 2013 at 15:23 |
  Ila South niliona amepiga picha kiasi na watu ...
 • jamaa

  jamaa

  05 July 2013 at 15:27 |
  Nadhani security issues na muda. Ngelii......sidhani.
 • tentemente

  tentemente

  05 July 2013 at 15:45 |
  kusema kweli security ilikua kali kinoma ila michele alivyoniona tu akawaomba walinzi wao waniruhusu apige picha na mimi,nikataka kukataa ila nikaona itakua sio vizuri kumuaibisha mgeni wa taifa letu,nikakubali kishingo upande ila nikampa sharti kuwa lazima tupige kwa camera yangu,basi akasema sawa ila akanisisitizia sana niziweke instagram halafu nimtag.Picha zimetoka vizuri ila simtag michele wala nini maana nahisi anataka umaarufu kupitia mimi,sipendi kabisa watu wanaotaka kutoka kupitia jina langu.
  • EAGLE EYES

   EAGLE EYES

   05 July 2013 at 23:16 |
   bring it on hiloooooooooooooo
  • Anonymous

   Anonymous

   06 July 2013 at 01:01 |
   Nimechekaaaa Asante kwa kunitoa stress.
   • Lady Billionea

    Lady Billionea

    07 July 2013 at 14:36 |
    Ha ha ha ha ha! unenifurahishajeeeeeelaughinglaughinglaughing
  • SHESHE

   SHESHE

   08 July 2013 at 14:16 |
   blowkiss love u
 • Lady Billionea

  Lady Billionea

  05 July 2013 at 16:21 |
  Yaani mmmmh! Maybe next time coz this time alikuwaje na maharaka yakusepa b4 time......
 • baby ya Mange

  baby ya Mange

  05 July 2013 at 16:30 |
  Guess that's what makes her special!!!(world1st lady)....i mean she can only be special bydoing that not to socialise kiholelaholela... takin pic with everyone or anything....come on baby...she the world 1st lady!!...she gotta maintain that !...I love it that way hihihijij
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 19:48 |
   Baby ya Mange unamsema Mange kijanja eti: i mean she can only be special bydoing that not to socialise kiholelaholela LOLEST maana huyu Mange ndio anayepigaga mapicha kiholelaholela kwelikweli
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 23:11 |
   Baby ya Mange is back with solid points!!! yeeey I love it! You said it very well baby ya Mange. That's how she is suppose to roll as the world's first lady.blowkiss
   • baby ya Mange

    baby ya Mange

    06 July 2013 at 02:27 |
    Lol...thanx for the kiss...Hug!
 • Anonymous

  Anonymous

  05 July 2013 at 16:47 |
  unafikiri watu wote wanapenda publicity kama wewe? hata kama nafasi ingetolewa sio wote wanaoabudu binadamu wenzao kama wewe,ok?slapping
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 23:13 |
   Wewe Anonymous punguza hasira halafu kunywa maji baridi moyo wako usije toka ukafa bureeeee!!! Sasa mtu kauliza swaali ambalo wengi wangependa kujua pia? wewe unachachamaa kama kichechee why? what for? Ebu tuonyeshe hiyo picha uliyopiga na first lady tuione baasi au ni hasira za nini? Kunywa Fanta baridi upunguzee joto.goodluck
 • Anonymous

  Anonymous

  05 July 2013 at 17:33 |
  KUWA VITU VYOTE ILA SIO RAIS WA USA. ROHO YAKO IPO MKONONI KILA WAKATI YANI ULIZNI UNAPITILIZA HATA MICHELE AU MUMEWE AKITOA KIUSHUZI KILE CHA KIMYA MASECURITY WATAKISIKIA. TENA BORA WAKIWA KWAO ILA NJE YA KWAO ULE ULINZI ULIPITILIZA WALAI. YANI KM WANAOGOPA ILA WANAJIKAZA TUrolling eyesrolling eyes
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 23:15 |
   Unachekeshaaaa sana!!! Kuwa vitu vyoote lakini si rais wa USA!! Kwahiyo uwe rais wawapi sasa India? Iran? Nigeria? Egypt? Nimechekaaa sana!!! Haya bwana naona freedom of speech imechukuwa mkondo wake hapa. Nakutakia kila la kheri na utakachokuwa ukikuwa mtu mzima.goodluckyahoo
 • Malimo

  Malimo

  05 July 2013 at 17:51 |
  Muda na Security. Hakuwa na muda kabisa, hata dakika moja isingepatikana. Hata Obama alikuwa anakimbiza mambo balaa. Muda kwao ilikuwa ndo mambo yote, ukichangaya na Security unapata jibu.
 • Mama JJ

  Mama JJ

  05 July 2013 at 18:20 |
  Michelle aliondoka mapema that's why! nadhani angekuwepo hadi mwisho angeshow some love..
  • Anonymous

   Anonymous

   05 July 2013 at 23:16 |
 • miami bitch

  miami bitch

  05 July 2013 at 21:15 |
  eti dollar 10,000 kuiga picha na huyo michelle...fyuuu!!! kijijini kwetu dola elfu kumi namjengea room mbili bibi yangu tena naezekea vigae na floor itakuwa na tiles...
 • Nothing but the truth

  Nothing but the truth

  05 July 2013 at 22:00 |
  Ushamba mnao tena sana tu mkinywa MOET tu mnazipiga picha sembuse kupiga picha na mrs Obama Hilooo mmezoea kuuza sura mmeshushukaje Jipange next time
 • MISS U TURN

  MISS U TURN

  05 July 2013 at 22:18 |
  SASA TUTAFANYAJE UMBEA UKITUKABA KM SASA..NASINA PAKUUTAPIKIA LOL..MAANA UTALETA GUMZO..WACHA NIBAKI NAO NIONE KM NTAPALIWA...
  • MWANAUME NI KIUMBE KILICHOSHINDIKANA

   MWANAUME NI KIUMBE KILICHOSHINDIKANA

   06 July 2013 at 08:49 |
   HATA UWE MZURI KAMA MALAIKA MWANAUME NI MWANAUME TU HAACHI UMALAYA , YAKO WAPO BOSS LADY ???????hurl MPAKA UNAKUBALI UKEWENZAhurlhurl
 • Anonymous

  Anonymous

  06 July 2013 at 01:07 |
  Mangenita; kuna interview amefanya Sporah show na TID/mnyama ebu ilete hiyo clip humu mpenzi maana inachekeshaaaa mpaka baasi!!! TID amesimama kidedea na Sporah mpaka inatia huruma!!!! Please irushe humu. Ni ya juzi wakati TID alivyo tembelea London. Yaani ni moto wa kuotea mbaaaali aiseee!!!lmaopeacehahaha
 • moureen

  moureen

  06 July 2013 at 02:02 |
  Samahani Mange, unaweza ukaweka post jinsi ya kuwa na VIP on BigBrotherAfrica, i mean jinsi yakulipa. Mana i tried nimeshinswa.
 • Anonymous

  Anonymous

  06 July 2013 at 04:29 |
  Big up to ma gal Suzan Mashibe as one of the contributors on African First Ladies Summit!
 • neylicious

  neylicious

  06 July 2013 at 12:58 |
  Hahahaaaa mbona mkuu kauliza kistaarabu ila km kuna raia wanajibu kwa kupanic nin shida lakini
 • Anonymous

  Anonymous

  06 July 2013 at 13:14 |
  Vipi mbona hautuwekei Wema Sepetu reality show teaser? si unasemaga ni mdogo wako na umemdiscover wewe? au kwa vile umestukia Wema hana mpango na wewe kivileeee? LOL
 • Anonymous

  Anonymous

  06 July 2013 at 18:54 |
 • Anonymous

  Anonymous

  07 July 2013 at 07:02 |
  OFF TOPIC:am just trying to think out loudly hivi MK ndo ungekua ndo wewe ulimvalisha beyonce pangetosha?sipati picha kweli Mungu anajua nani apewe hiki na nani akose kile
 • neylicious

  neylicious

  09 July 2013 at 08:32 |
  Hata ivo tenda wema nenda zako sikutegemea Obama aje tz mpk anaondoka hajanitafuta Yan kashindwa kunisubiri kisa nimeenda Dubai kufanya shopping ontym nwy walopita si ndwele....LMAO