21September

PREPARATIONS FOR THE PHOTOSHOOT.....

Nimesharudi home watu wangu

Leo nimeamkia kwenye issue ya kufatilia cargo, kutafuta models, etc

If you look like a model and live in South Florida holla at me. Yes i will pay you...lol...

nawaambia sababu one of the models must be black na ningependa awe mtanzania mwenzangu....

 

kama ungependa kushirikiana nami wasiliana nami hapa This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

 

 

Comments (93)

  • Anonymous

    Anonymous

    21 September 2012 at 00:43 |
    Mutoto ya kipareukojuu yeah 'Sky is the limit' kila la heri
    • muddy washington

      muddy washington

      21 September 2012 at 07:34 |
      wanawake na maendeleo..
      • Uturn Addict

        Uturn Addict

        21 September 2012 at 20:19 |
        MANGE NAKUBALIANA NA WADAU WENGI HAPA KUHUSU JINA .....

        NASHAURI LIWE MK (MANGE KIMAMBI)
        AU BK (BHOKENZO)

        AS MOST OF THE UTURNERS WANAVOSHAURI
  • VUVUZELA ORIGINAL

    VUVUZELA ORIGINAL

    21 September 2012 at 01:01 |
    Mange mama uko juu !! Mungu akusaidie na ninasubiria project iive!!

    Fanya kazi mama mdhungu, naamini it's gonna b a talk of the town!!

    Hongera!
  • MWANDANI

    MWANDANI

    21 September 2012 at 01:29 |
    Ungekuwa UK ninge kuja na spanx zangu umbo la model linge patikana,DHW turuke,all the best Mange
  • romiego

    romiego

    21 September 2012 at 01:35 |
    mbona hujaelezea sifa za model unayemtaka mana nwdayz hata wanene ni models then awe msichana au mvulana
  • Afro-Mdhungu

    Afro-Mdhungu

    21 September 2012 at 01:48 |
    heartbreak but girl unafana umecoka kweli, iyo pose inaelekeya kabsa vile ulivo, sasa sijuwi pica zitatoka aje?smoke
  • Anonymous

    Anonymous

    21 September 2012 at 02:02 |
    Tuko wengi Bongoblowkiss .
    • kiruuu

      kiruuu

      21 September 2012 at 17:56 |
      bora useme...lmao
  • MISS U TURN

    MISS U TURN

    21 September 2012 at 02:04 |
    teammange DAA NIMEFURAHI KUONA UMETOA NAFASI YA KWANZA KWANZA KWA MTANZANIA MWENZAKO I WISH NINGEKUWA US...MBONA NA KAUNENE WANGU FLANI UNGENIONA....mange UNAMOYO MZURI NA UJASIRI PAMOJA SANA K KIMBAMBIZZZZZZZZZZZZZZ.
  • MISS U TURN

    MISS U TURN

    21 September 2012 at 02:05 |
    teammange PLEASE BANA BADILISHA HIZO NYWELE SORRY KWATOZIPENDA NADHANI NI RANGI YAKE HAIKUPENDEZI..freedom
    • romiego

      romiego

      21 September 2012 at 13:50 |
      unataka asuke hako kipilipil chako..ovyoooooooo msonyoooooooo
    • anonymous

      anonymous

      22 September 2012 at 05:50 |
      hata mimi natamani abadilishe
  • MISS U TURN

    MISS U TURN

    21 September 2012 at 02:11 |
    NAKUTAKIA KILA LA KHERI MPENDWA WETUceo KWA HARAKATI ZAKO I HOPE HATA SISI TULIYO NJE YA US TUTAZIPATA.. K,KIMAMBI FASTION..AND I HOPE ITAKUWA KISOMIeducation
  • Anonymous

    Anonymous

    21 September 2012 at 03:26 |
    You are a hard worker dear, be blessed!
  • WATITI

    WATITI

    21 September 2012 at 03:44 |
    Haya haya wale wanaojiona wanafaa kuwa models nafasi ndo hiyo changamkieni tenda..ukikaa na waridi(mange)huachi kunukia..miss u_turn unasonyaje sasa umekosa bahati ya kuwa model kama vip mpandie ndege mpaka miami!
  • Born Town

    Born Town

    21 September 2012 at 03:46 |
    Out of topic.humu kijiweni nani ni top celebrities?naombeni jibu tafadhali
    • romiego

      romiego

      21 September 2012 at 13:51 |
      bahasha wako wa manzese
  • Mshamba

    Mshamba

    21 September 2012 at 04:19 |
    Naona kweli Mama Kimambi-Lowrey umejipanga! Good stuff! I can see big efforts in your project even though you try to show us that you are partying and shopping more but some of us know that putting a business together require a lot of energy, time and effort. Yaani saa nyingine nashangaa unapata wapi muda wa kublogua. Kweli nimeamini kuwa unatupenda wana U-turn! Naomba usitusahau mambo yakichanganya na ninaona kabisa muda wa kuchanganya uko ukingoni kabisa.
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      21 September 2012 at 09:04 |
      Hahhahhaa eti mda wa kuchanganya .........

      Am still waitin MSHAMBA
  • mimi

    mimi

    21 September 2012 at 05:17 |
    mane when is the phote shoot i can fly to south beach seriously niko us and would love to do ur job kama ni next week let me know when ntakuja for real ..ill check on in inbox acebook
  • kuntuafro1

    kuntuafro1

    21 September 2012 at 05:57 |
    Sky's the limit CEO kama watu wengine wameweza kwa nini CEO wetu ushindwethumbs up MANGE.
    • maudodo

      maudodo

      21 September 2012 at 12:20 |
      haya wadau wa US (SF) nafasi ndo hiyo, i wish ningekuja bt nipo bongo....hop utatuandalia na siye ya kibongo bongo hahahahahaaa....
  • muke ya kenzoki

    muke ya kenzoki

    21 September 2012 at 06:15 |
    kanuna love u mange
  • mama kayaii

    mama kayaii

    21 September 2012 at 06:33 |
    You go girl, am a plus size woman, am I qualifying?
  • Eva longoria

    Eva longoria

    21 September 2012 at 06:33 |
    GUDMORNING TO OL AMBAO KWAO NOW NI ASUBUHItea much luv to mama bhokenzo naona kweli hii project umeipaniagoodluck
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    21 September 2012 at 06:42 |
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      21 September 2012 at 09:02 |
      Yule mdau wa english teacher nlikua mm
      Cjui kwann ilikuja km anony
  • Muke ya Muchina

    Muke ya Muchina

    21 September 2012 at 06:49 |
    danban Yehuuuu Mange mie nipo tena free wala usihofu ila mi nitawakilisha wale wa shepu ya MICHELLIN na shape ya NAMBA TISA (9) LOLILOOOOOO!!!goodluck Mange,
    :goodluck: MIMI MWENYEWE
    • michellin

      michellin

      23 September 2012 at 15:29 |
      asante muke ya muchina kwa kutuwakilisha sie wenye mipingilipingili..drinkbeer
  • parrotkasuku

    parrotkasuku

    21 September 2012 at 07:32 |
    Mange wishing you all the best! Kama unaitaji plus size model niko tayari kufly to Florida at my own cost nice model wako. I have a diplomatic passport so worry not. Holla if u need a black plus size model, ntakuja na ntafanya bure' just to be kwenye spotlight ya MKblowkiss
  • Nai Nai

    Nai Nai

    21 September 2012 at 07:52 |
    All the best Mange, kila kitu kitakwenda sawa Inshaallah.

    It is very exciting kuangalia project kama hii tangu inaanza na mpaka inakuwa launched, lakini it needs dedication, determination and hard work, all qualities ambazo unazo, Well done Mange and Good luck.

    Mungu akulinde na vijiba na husda zao! Waadhirike kwa roho mbaya zao!
    Jicho baya lirudie kwao!
    Ameen!
  • RUKIA BINTI KASRI

    RUKIA BINTI KASRI

    21 September 2012 at 08:12 |
    goodluckmukeya tunasubiri kwa hamu go girlcheers
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    21 September 2012 at 08:18 |
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    21 September 2012 at 08:20 |
    wapi NAI NAI,DHW,MUDDY, nA WENGINE CHANGAMKIENI TENDA AKIJA BONGO MAMODO TUTAKUWA WENGI SNA
  • c's mum!

    c's mum!

    21 September 2012 at 08:25 |
    mange u inspire me loads, yaani upo juu mbaya!!! wish u the best my dear, mafanikio yako ndio furaha yetu U-TURNERS, lol!goodluck
  • The Evile HR Lady

    The Evile HR Lady

    21 September 2012 at 08:41 |
    that's whats up !!!!

    hili tumbo lilivyokubwa, am just have to do some situps to get it back in shape...

    hope utafungua Bongolicious , huku Bongo na utukumbuke wa maofisini, classy, sassy but ndefu kidizaini
  • Mijjalicious

    Mijjalicious

    21 September 2012 at 08:50 |
    God bless you mum bhokenzoblowkiss
  • MASHA

    MASHA

    21 September 2012 at 08:55 |
    goodluck Mange!!u ril are a mtafutaji woman,I admire that about u,cheers
  • Uturn Addict

    Uturn Addict

    21 September 2012 at 08:58 |
    Wish u all d very best in ur photoshoot
    igaufe
  • Anonymous

    Anonymous

    21 September 2012 at 09:09 |
    ukojuu but ningeomba this time uwe serious isije ikawa kama ile biashara yako ya nywele hata ilipo ishia haieleweki.Wishing you all the best!
  • Mdigo

    Mdigo

    21 September 2012 at 09:09 |
    mama upo juu vibaya mno...mange
  • Butterfly

    Butterfly

    21 September 2012 at 09:09 |
    Mi nafaa kuwa model chibonge maana nikivaa nguo za kibongo bongo haki utauza ila sipo ughaibuni ndio shida
  • MAPENDO DAIMA

    MAPENDO DAIMA

    21 September 2012 at 09:18 |
    All the best swt one..Hard work pays for real,God ll pave your ways and make everything right.goodluck Mange
  • tayz

    tayz

    21 September 2012 at 09:26 |
    UUWWWWWWWWWWWIIIIIIIIIIIII DA MANGE, MIMI AM LIKE A MODEL I WISHI NINGEKUWA HUKO BAD NIPO TZ, GOOD LUCK TO ALL WATAKAO FANIKIWA.
  • lynn

    lynn

    21 September 2012 at 09:29 |
    wakimbize mamii all the best, tunasubiri na bongo pia hopeful soonblowkiss
  • EVE

    EVE

    21 September 2012 at 09:47 |
    kanuna keep it up mama bhokezziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......................!
  • Anonymous

    Anonymous

    21 September 2012 at 09:48 |
    mi naomba kuwa goodwill ambassodar!!! hahaaaaakanuna
  • lucky

    lucky

    21 September 2012 at 10:10 |
    Ningekuwa ktk nchi hiyo, ningekuja kuku support tena bila ya malipo kwani ndio kazi yako ya kwanza, chakula na malazi ndio ungenilipia, nina vigezo vyote vya kufanya kazi hiyo.Wish you agoodluck
  • nana

    nana

    21 September 2012 at 10:10 |
    duh!, yani u r going places ndugu..... Mungu akutangulie
  • ndebi

    ndebi

    21 September 2012 at 10:11 |
    sonya chezea ceo...yaan hawakuwez...kwanza mange hao wanawake waote umewafunika umependeza mbaya jamani mangereza ana vaa kinouma...duh sijaona wa kumfananisha nae...all the best ceo
  • SITOHARISHA

    SITOHARISHA

    21 September 2012 at 10:21 |
    Nani Kanuna?????????????????cheers
  • Muke ya mupare

    Muke ya mupare

    21 September 2012 at 10:24 |
    Mange what about PLUS SIZE MODELs au atutakiwi??GLuck
  • Mammu

    Mammu

    21 September 2012 at 10:47 |
    Mange GO GO GOblowkiss
  • MPAMBE

    MPAMBE

    21 September 2012 at 10:54 |
    Watiti nimependa jina lako Kenzo kaleta kamsemo duh.
  • Anonymous

    Anonymous

    21 September 2012 at 10:56 |
    Kwa nini usimodel wewe mwenyewe kwa hiyo nafasi ya black lol. It will save you money and you look great. Najua wewe sio mrefu but who cares, just wear a six inch hill girl. And I still think the line should be something unique like the name Mange, lol
  • GreaterDaisy

    GreaterDaisy

    21 September 2012 at 11:08 |
    Seriously..bongolicious....wheres the creativity mama kenzo......
  • k0ku

    k0ku

    21 September 2012 at 11:14 |
    huyo model wako awe na sifa au vigezo gani mamaceo maana hata FIDE naye ni super modellmao mimi kama unavyoniona hapo kwenye picha,sio mnene,si mwembamba,mrefu mfano wa mkojotea nina miguu yote ya kulia(special ) nywele natural na color blockin must hata kama nalala usikufartinface
    • anonymous

      anonymous

      22 September 2012 at 05:55 |
      Fide mwembamba siku hizi kajitahidi kufanya diet. namsifu
  • killer queen

    killer queen

    21 September 2012 at 11:47 |
    ok..naomi campbell nae anataka ma model nice insperations
  • Mange's fan

    Mange's fan

    21 September 2012 at 13:12 |
    Hongera Mange, kweli Sky is the limit for u. May our Almight God's favor be upon u & your family forever
  • Msomaji Body Languaje

    Msomaji Body Languaje

    21 September 2012 at 13:24 |
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    21 September 2012 at 13:46 |
    goodluck Mungu na abariki kazi za mikono yako Mange!!
  • Ashadii

    Ashadii

    21 September 2012 at 14:02 |
    kila la kheri bibie,allah akufikishe zaidi ya kulu unakodream,wewe ni mfano,yaani hapa na mimi naandaa kamradi kangu basi unanitia nguvu na moyo hasa wakati nakaribia kukata tamaa.
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    21 September 2012 at 14:12 |
    Wooow,,! U going places baby!
    Mwenyezi Mungu akubariki na akutangulie katika kila jambo unaloplan kufanya Mange wangu.
  • Anonymous

    Anonymous

    21 September 2012 at 14:26 |
    Si ulisemaga hautaki kuzoweana na wabongo? si uchukue tu black america au hata huko anakotokea mke mwenzio jamaica? wabongo wanini sasahivi? unataka uwatumie kuiinua jina la business yako then later uje uwadump na kuwatukana juu, kwenye blog yako.
    • Anonny Mom

      Anonny Mom

      21 September 2012 at 22:27 |
      Anonymous at 14.26.. Mange hataki wabongo kama wewe tu.

      Tanzanians who can be models take the chance acheni hao wenye kuuliza maswali maswali ya visa.
    • Kijaruba

      Kijaruba

      22 September 2012 at 04:20 |
      Tutolee habari zako za udaku humu, umeumbuka, umeadhirika, uso umekushuka kama Sokwe Mzee lol!
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      22 September 2012 at 08:27 |
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      22 September 2012 at 08:27 |
  • Ma Jnr

    Ma Jnr

    21 September 2012 at 14:28 |
  • LANCOME

    LANCOME

    21 September 2012 at 15:40 |
    THATS THEceo BIG UPS NYINGI AND MUCH BLESSINGS KEEP INSPIRING USgoodluck
  • tanika

    tanika

    21 September 2012 at 18:08 |
    hi mange wetu hongera saana dada yetu mpendwa keep going beib, love u mingii,jamani teddy kalonga ingekuwa mko vizuri siangekuja huko maana yule dada nimrembo saana anaumbo lake zuri adi leo pamoja na kuzaaa,namfagilia saana mdada yule jamani.i wish angekuja yeye pia mh.anyway be blessed mange.pamojaa sana tkt maombi.God is good all the time without him were nothing.
  • kayemba ney

    kayemba ney

    21 September 2012 at 18:29 |
    Hayahaya u-turners mliopo s.florida wakilisheni.Me praying 4ur success big tym mangeblowkiss
  • Cheerlicious Chick

    Cheerlicious Chick

    21 September 2012 at 18:46 |
    me likey...

    blowkiss
    education
  • wa kuja.

    wa kuja.

    21 September 2012 at 20:02 |
    Miguu mibayaaaa. Kama banio la ugali
    • Kijaruba

      Kijaruba

      22 September 2012 at 04:27 |
      Hiyo miguu ya Mange jinsi ilivyo ni kazi ya uumbaji wa Mungu, kila mtu kamuumba atakavyo yeye, wengine miguu minene, wengine myembamba, wengine kawanyima kabisa hawana miguu, wengine kawapa miguu mizuri lakini hawawezi kutembelea.

      Kwa kuwa wewe ni mjuaji zaidi ya manani, unaonaje basi tukupe kazi utengeneze miguu mingine umpe Mange aibadilishe. Au uumbe mtu wako kesho ulete picha yako kuonyesha hiyo miguu uliyoiumba ilivyo mizuri. Kila siku mwaambiwa hamsikii, ngoja uamke ukute hiyo miguu yako mizuri unayoringia haiwezi kusimama wala kutembea ndio utatamani hata hiyo ya Mange unayoiona mibaya.

      Sometime think before you write!
      • Wa kuja

        Wa kuja

        22 September 2012 at 22:42 |
        Wee nawe kwenda huko, wewe ndo mange? umeambiwa wewe, acha kuingilia,mambo yasiyokuhusu. muache mange anijibu mwenyewe! mfyuuuuuuuuu. yeye mbona anawaambiaga watu sijui hawajasoma, sijui wanene kama tembo, sijui mambo kibao! mkuki kwa nguruwe! shut up shut up!
        • Kijaruba

          Kijaruba

          23 September 2012 at 03:18 |
          Wallahi utaamka siku moja miguu imeparalize, fanya mzaha na Mungu weye! Tena unaparalyze kuanzia kiunoni kuelekea chini.

          Halafu mkiambiwa muende shule hamsikii, hakuna mtu anayezaliwa mnene wa kupitiliza ila kula kula ndio kunawafanya muwe wanene. Na hakuna mtu anaezaliwa na elimu tayari. Kamsalimie bwana wako kule usazi kwenu.
  • CHICHI

    CHICHI

    22 September 2012 at 12:06 |
    Si umwambie Flaviana awe model wako? Rosemary? si umesema utalipa?
  • cheusi

    cheusi

    22 September 2012 at 12:08 |
    Mange mie nimekaa kimodo na ni mweusi tiii, ila nipo bongo. Nitumie nauli basi mtu wangu? I like your efforts
  • Big Sister

    Big Sister

    23 September 2012 at 19:12 |
    Bongolicious is a perfect name. Well done Mange.
    Keep up the good works n may God strengthen n bless you more so that you can be a blessing to others.. Mnataka abadilishe jina ili mlichukue?
  • Ndesamba

    Ndesamba

    23 September 2012 at 19:15 |
    mange go girl, I love your efforts, yani hyo clothing line yako nnavyoitamani!! I love dresses. U TURN is truly addictive.
  • Hate Hate and Hate Why??

    Hate Hate and Hate Why??

    23 September 2012 at 21:05 |
    Hivi kwa nini sisi watanzania tunachukiana sana?? Yaani naona ni Laana hatupendani kama watu wa nchi nyingine si wa ulaya wala afrika. Tungekuwa tunapendana hata nchi yetu ingekuwa kama Nairobi kidogo kwa maendeleo. Ila sasa kwa kupenda mtu awe down ndio sisi wa kwanza. Why? Why????? Tudiscuss hili jambo siku moja kwa blogs kwani hasa wakina dada na mama zetu du jamani ni laana gani????
  • Pretty ngine

    Pretty ngine

    24 September 2012 at 15:54 |
    BIG UP MANGE.. U ROCK MA GIRL.. U ROCK... SIKU UKITAFUTA BANTU .. TUPO WENGI.. ALL THE BEST MUMII...