WHAT WOULD YOU DO WITH YOUR MONEY IF YOU EVER GOT THIS RICH??
Since sipendi kuwa surrounded by un-happy people.
IF I WAS AS RICH AS THEM FORBES 400 PEEPS EVERY ONE AROUND ME WOULD GET RICH AS WELL......
LIKE I WOULD BUY A FRIEND OR A RELATIVE A HOUSE FOR THEIR BIRTHDAY....REALLY IT'S JUST MONEY......LOL...
HUWA NASHANGAA SANA KUONA MTU TAJIRI ANA MAHELA ALAFU RAFIKI ZAKE MAKAPUPU, IM ALWAYS LIKE REALLY????
WHY NOT UPGRADE THEM TOO??? LOL.....
I SWEAR THE DAY I GET RICH (AND I KNOW I WILL) MY FAMILY AND FRIENDS WILL KULA BATA BALAAAAAAAA.........LOL
CHARITY, CHARITY ,CHARITY, CHARITY, CHARITY, I COULDNT STRESS THIS ENOUGH, THERES NO BETTER WAY TO THANK GOD THAN HELPING THOSE THAT HAVE NO ONE......
FROM A BUSINESS PERSPECTIVE CHARITY IS ALSO TAX DEDUCTABLE......SOOO HEY WHY NOT HELP OTHERS AND GET A TAX BREAK AT THE SAME TIME???

Comments (140)
Sugar Bum Bum
c's mum!
Afro-Mdhungu
RESPONSIBLE WOMAN
DESPERATE HOUSE WIFE
YES KUSAIDIA NDUGU NA MARAFIKI NI MUHIMU JAMANI. UKOO WANGU MZIMA NA WAMUME WANGU (THEY BETTER BE NICE TO ME THOUGH LOL) WILL LIVE JUST LIKE ME. [-O
Anonymous
Anonymous
Uturn Addict
AND I PRAY TO ALLAH AENDELEE KUNIPA MOYO NILONAO SASA,,,
SITAVUMILIA KUMUONA MTU WANGU WA KARIBU ANAPITIA MAISHA NAYOPITIA I SWEA,,
TOKA NIKO MDOGO NILIKUA NIKIMUOMBA MUNGU NIWE TAJIRI ILI NITOE LIFT KWA WANAFUNZI SINCE NLIKUA NANYANYASWA NA MAKONDA NA HIYO KITU HAIJAWAHI CHANGE AKILINI MWANGU..
I HAVE SO MANY DREAMS KUHUSU NIKIWA TAJIRI N I PRAY TO ALLAH ANIWEPESISHIE,,
MANGE LEO UMEONGEA POINT NA UMENIGUSA SANA WALLAH,,
SIELEWI HOW PEOPLE MANAGE TO BE HAPPY WHILE THEIR FAMILY AND FRIENDS ARE NOT....
KUNA WATU WANA WEALTH YA KUTOSHA KUFANYA UKOO WAKE MZIMA KUISHI MAISHA YA KIFAHARI LAKIN WALA HAWAWAZI,,,
MAY BE NAONGEA HIVI COZ I DONT KNOW HOW IT FEELS TO BE IN RICH PEOPLES SHOES,,,,,
BUT............I L BE RICH AND INSHAALLAH I WILL SHARE MY WEALTH, MY MONEY..
ONE DAY YES IF GOD WISHES,,
Mshamba
Halafu pia omba kupata furaha, amani na afya bora katika maombi yako. Unaweza ukaupata utajiri na usiwe na furaha wala amani. Nimeyaona kwa wanawake wengine ikabidi nibadilishe maombi yangu kiujumla.
Afro-Mdhungu
Pesa inaraha yake kweli lakini kuna bitu binazidi pesa thamani...kama afya njema, mume awo mke bora, wazazi wema, familiya kuskilizana, kujipenda mwenyewe(not being insecure),kuwa na marafiki wazuri, kuwa nakazi ya kuweza ku stiri familiya....
Watu wengi wenye pesa hawana marafiki wa ukweli, wengi wako juu ya interest i'm telling u unaweza kuwa tajiri lakini ukawa na stress kuliko asiyo kuwa tajiri, i know what i'm talking about some rich family are not the happiest one, ni paziya tuu mnaona material thing mnawaza ndiyo binafurahisha moyo?! Don't look only the outside of rich peaple...Ndani kwawo wengi wako na a lot of differents issues: a lot of infedelety, divorce, a lot of hypocrites around, hawana mda wakuwa pamoja na familiya, unakuta baba anatumika na mama anatumika wewe mtoto huwezi kupata mda wakuceza nawo yaani work agenda ziko full, mtoto anakuwa na kila kitu lakini wenye kumleya si wazazi wake, ikifika holiday ndo mna enjoy na familiya yote lakini ukiwa mdogo unaombaga wazazi wawe na kazi ya kawaida lakini mkuwe na mda wa kuwa wote kama familiya zingine...kila mtuu ana mtazamo wake wa kuwa tajiri lakini utajiri siyo ndo happiness BIG NO
Mshamba
Muke Ya Albino
basira
sa
Mshamba
basira
Muke Ya Albino
Anonymous
sa
basira
Uturn Addict
Uturn Addict
SOME TIMES SIO MAKOSA YAO AS YEYE ANAKUWA SO BUSY TO GET INTOUCH WITH EVERY ONE,,
WHAT THEY DO IS THEY ASSIGN THAT TASK TO THEIR P.A OR MANAGERS TO FIND NEEDY PEOPLE IN DIFF ASPECTS,,,NA WANAWAPA PESA KABISA KWA AJILI YA HAO NEEDY PEOPLE....
SASA WALE WATU BAADA YA KUWAFIKISHIA WALENGWA WANACHIKICHIA MIFUKONI MWAO.....
WANAKUA WAMEPATA PESA YA HARAKA WENYEWE WANASEMAGA
Uturn Addict
HANA HATA MTOTO WA KUSINGIZIWA BASI ANGEADOPT HATA TEN KIDS FROM THE POOREST COUNTRIES,,,,,,
I LOVE MI SOME ANGELINA JOLIE N BRAD
MADONA PIA,
Anonymous
JAMANI WOTE HAO 400 MUMEO HAYUMO?? MMH KWELI KAZI IPO, MASHAUZI YOTE HAYO JAMANI HAHAHAAAAA LOLEST, ANYWAY,YOU ARE RIGHT, NI VIZURI KUSAIDIANA ILA SABABU BINADAMU WENGI TUNA ROHO YA KWANINI, WATU NDIO MANA HATUSAIDIANI.
Muke wa muethiopia
Anonymous
Anonymous
Muke Ya Albino
Ti Vancouver
Anafurahi akiona mnateseka ili mzidi kumnyenyekea na kumwabudu kama mungumtu ndo awasaidie.
Anyway Mungu amegeuza juu chini sasa ni baraka sana kusaidia wasio nacho kama ukibarikiwa. Mwingine anaona akikusaidia utapendeza kuliko yeye moyo wake unajaa furaha akiona unakongoroka tu. Nakuombea Kwa kuwa na moyo huo ufanikiwe kila unachopanga kufanya.
Lakini labda uanze kuwa na marafiki hohehahe pia kwani naona marafiki zako wote mambo safi hawana shida wanakula good life chagua na wenye kipato kidogo pia uweze kuwainua.
Namsi
kiruuu
mashauzi yanahitaji pesa ndiyo na upende kuendeleza wenzioooo ndugu jmaa n marafiki co kujitajirisha pekee yko ndo maana wengi we2 ha2endelei..
... mwishoo...
TILALILA
ukitoa kama charity lets say nyumba u get tax benefit and na huyo mtu inabidi alipie tax. hapo sasa tax imshinde! wengi wao wanashindwa kulipia tax wananyang'anywa
so make sure watu wako wa karibu unatoa kama "gift" that way inakula kwako only
k0ku
Afro-Mdhungu
Uturn Addict
ETI CHARITY IS TAX DEDUCTABLE
baby ya Mange
Afro-Mdhungu
KIJACHO
baby ya Mange
baby ya Mange
kayemba ney
kayemba ney
kayemba ney
Cheerlicious Chick
fanta
Anonymous
g.l.o.r.y.
u r very kind
Anonymous
Afro-Mdhungu
unajiteteya? We ni number ngapi...? lol
Uturn Addict
HAYA WALE WA KUVOTE MARA MIA NANE DAWA YENU ISHACHEMKA NA NI CHUNGU KAMA SHUBIRI.....
LOV U MK
Anonymous
BORN TOWN
Uturn Addict
kuna watu wana mbio za marathon.......
Muke ya Muchina
FAITH
Anonymous
Anonymous
Anonymous
divana
love for friends........
Mshamba
Yes, it would cost more money as you would have a bigger team but at the end of the day, the organization knows exactly what it has given and where the money is actually going and doing.
Mshamba
Kama wana uwezo wa kufanya biashara unawakopesha hela kama mtaji na kwa riba ndogo sana na riba ianze kulipwa wakati biashara imeshaanza na kujiendesha vizuri. Wao wataona kuwa hawajapewa tu hela ila wamekopa kama watu wengine wanavyokopa mtaji wa biashara (hata kama ile riba ni 0.1% kwa mwaka (p.a)) na ni juhudi zao wenyewe na kuwafanya wajiamini zaidi mbele ya jamii na wataweza pia kutunza familia zao na ndugu za familia zao kama wao pia wakihitajika kufanya hivyo na kuweza kuwasaidia watu wengi kiujumla (wazungu husema creating a ripple effect).
BEAUTIFUL ONYINYE
Muke Ya Albino
Mshamba
Nai Nai
Mie sio tajiri lakini nilikuwa nafanya kama hivyo Mange anavyosema, matokeo yake watu wakawa wanaona wana rights kwenye pesa zangu na kutaka kunipangia wao.
Nikabadili style ya kuwapa mitaji, matokeo yake mitaji yote imeliwa hakuna cha maana wala biashara inayofanywa. Yaani unampa mtu pesa wamwambia hizi lipia ada za shule, na hizi fanya mradi, lakini mwisho wa mwaka anakujia hana kitu you go back to square one.
Sijui labda nikiwa tajiri ndio naweza kufanya hivyo tena lakini kwa sasa hivi I will deal with orphans lakini sio ndugu.
Mshamba
muke ya jaluo
Nai Nai
Kitu cha kushangaza sasa, ambao sio ndugu zangu na nimewapatia msaada kidogo tu (mie sina kipato kihivyo) japo wa mawazo yaani wako mbali sana, na ambao walitaka kulipiwa kozi tena za bei rahisi, sasa hivi wamemaliza kozi na kuajiriwa juu, I feel very proud na wanani inspire kutoa japo kidogo nilichonacho maana changes unaziona.
Tatizo liko kwa ndugu jamani hata ufanyeje they dont want to move from the dependence level to the indipendent level. Asanteni kwa mawazo yenu no more miradi ya Pwagu na Pwaguzi, I will stick to the education ya watoto tu basi, maana hao ndio ndugu wa watoto wangu sitaki wakiwa wakubwa waje kuwa mzigo na wao kama mimi ndugu zangu walivyo.
Mdau USA
Anonymous
Anonymous
irene rouse
maudodo
maudodo
RUKIA BINTI KASRI
YOUSOU
Rukia Binti Kasri
muke ya jaluo
Anonymous
Nai Nai
Tena msiwe mnaleta humu habari zake kabisa wala musimuongelee. Jamani keep her away from us we dont want bad vibe humu ndani I begooo!
Mange please dont post anything kuhusiana na huyo dada, please please naomba unisikilize mie, waswahili wanasema kamba hukatikia pembamba please stay away from her, dont post anything kutoka kwa wapenzi wako wala kutoka kwake, I mean anything, hata mtu akiandika kwa mafumbo dont post it please. Wewe from now on usimsemeshe, usimjibu, wala usifanye chochote just stay clean, kisha muachie Mungu afanye kazi yake.
Anonymous
Muke Ya Albino
Isabell Arroyo
lucky
Inshaallah Mwenyenzi azidi kukuongezea ili usaidie hao uliowataja, mimi nikiwa mmoja wao, Amina.
Mange's fan
sushi-puppet
(kokolikoooooooo hodi hodi magomeni kwa manyonyo watch out you are messing with a wrong whore bitch, kwiii kwiii kwiii wasema mashauzi yanataka pesa team minesota tunakwambia uchafuzi wa hewa hauitaji pesa bishosti tunadili na wakwezo Houston kwii kwii kwii tumechafua hewa mbayaaaaaa sikia hii mama mkwe tumeorder dildo catalog zimfikie home kwake babamkwe gay underwear catalogs shemeji yako cha kununa stripper catalog wifi yako T Stripper catalog kwiii kwii mbavu zangu jamani sipati picha catalogs zikianza kumiminika kaa mafuriko ya jangwani hizo sura za wazungu kwiii kwiii nakufaaa kicheko uchafuzi wa hewa muda wabonyeza kitufye kwishney nani kanuna leo wananchi mwasemaje na majirani nao? kwii kwii rahajeeee nifungulieni moet ninywe mieeeeeee te he te heeeee kwa msiojua dildo ni nyeti za plastic pata picha sasa mama mkwe anafunua catalog akutana na kila rangi za black, white kijani uwiiii uwiii)
Nai Nai
Anonymous
Kijaruba
Na kama kweli atayafanya haya basi Pole zake kwani KILA MTAKA NYINGI NASABA HUPATA MWINGI MSIBA!
A point of advise arudi tu nyumba awe dada wa mujini atapata godfather atamtafutia kazi, atampangia nyumba prime area, atamfungulia na boutique na gari atamnunulia kuliko hivyo anavyojiabisha.
ivy
Daisy Daniel
Im happy for u and i really like the way your.
Sally
Mshamba
NWA
Anonymous
anonymous
Anonymous
TIGHEST PUM PUM
kirikuuIII
Mama Lisa
Muke Ya Albino
Jarn
Dee baibe
Anonymous
MANGEUKO JUU
YATOSHA MABANGO YANASEMA YOOTE
lolest
nice urassa
lolest
Anonymous
Anonymous
kibonge
Mshamba
kibonge
Muke Ya Albino
kibonge
Anonymous
mamdogo
Mama wa wili
and wachoyo kama nini paka unashagaa mbona Mungu anawazidishia bado Lakini kilakitu mungu ndio anapanga usiofu one day will be you, usinisahau jamani.
MRS SOLIS
Butterfly
MRS SOLIS
RESPONSIBLE WOMAN
muke ya kenzoki
Team MSHAMBA (Mshamba's #1 FAN)
JE MNAFANYA/MMEFANYA NINI KUUTAFUTA HUO UTAJIRI? HAO KINA OPRAH HAWAKAI TUU WAKIOTA KUHSU UTAJIRI BALI WANAJITAHIDI KUUTAFUTA. HAWALALI MPAKA SAA MOJA ASUBUHI BALI WANAAMKA SAA KUMI ALFAJIRI. UKIWA TAJIRI UNAWAZA JINSI GANI UTAENDELEZA UTAJIRI SIO JINSI GANI UTAUMALIZA HUO UTAJIRI.
MSHAMBA!!!!!
KAENI CHINI MTAFAKARIJINSI YA KUUPATA HUO UTAJIRI NA SIO KWA MDOMO. JINSI YA KUSAIDIA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI, MSHAMBA KESHA WAELIMISHA HUKO JUU KWENYE POST YAKE.
Mshamba
Mshamba
Anonymous
kuntuafro1
Nai Nai
Anonymous
My email is wendyalex96@yahoo.com, naomba unitafute plz i have tried to look for your email in the previous posts but sijaona. its very important mpenzi wangu.
Thanks,
Wendy.
Mshamba
bree@pretender
Mshamba
sa