19September

I AM MISSING MY TEXAS FAMILY........

Early morning love mtu na Aunty yake....

So i got a big family i Texas, kuanzia my in laws mpaka marafiki ambao sasa wamekuwa ndugu zangu.....

Naona THANKSGIVING kama haifiki niende tena.....lol....

 

 

Vanessa is such a beautiful easy baby....yani hakalii mpaka kawe na sababu maalum....lol..

 

 

BLONDIE.....LOL...

 

 

 

 

The forehead kiss....

Auntie Happy and Shani

aaaaawwww, muke ya .5 ......hahahhahahahhahaha Muke ya Kenzo huyoooooooooooo......

tooo cute my mkwe....

 

Ledi Peti with a sleeping Vanessa....

 

Some of you have been asking about my relationship with Ledi Peti,

well Ledi Peti and i have been friends since we were 7yrs old....lol...

Like dis woman knowns me kinoma noma......hahahhahahahahhahaha......

 

aaaaawwwwwww,,,,,, Look at Vanessa eti kanasimamisha shingo hata mwezi hana...

kabishi....lolest....

 

uwiiiiii Vanessa acha kumtamanisha Auntie Mange kutafuta mtoto mwingine mzuri kama wewe.....

hahahhahahahha

 

Ledi Peti, Vanessa Akili and i...

BONGOLICIOUS...... VINTAGE COLLECTION....

(IN THE MARKET OCTOBER 2012)


Family Dinner @ Galleria......

I miss you guys sooooooooooooooooooooo much........

 

Chilling with Muke ya Kenzoki......lol

 

aaaawwwww.....

Comments (78)

  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    19 September 2012 at 06:59 |
    Mange magauni hayo Mange jamaniiiiii! .....du Si mchezo yanakukaaje ??ceo
    • muddy washington

      muddy washington

      19 September 2012 at 08:37 |
      Mange vipi Ledi Patty,hanizungumzii???!
      • Mama Lisa

        Mama Lisa

        19 September 2012 at 10:19 |
      • Anonymous

        Anonymous

        19 September 2012 at 10:30 |
        Hahaaaa!! Kaka Muddy! CEO jamani mwambie Ledi Patty kaka anamsalimia hapa
        • LediPeti

          LediPeti

          19 September 2012 at 16:23 |
          hahahhahahaha kaka umeniua kumbe unaingiaga humu?hahhaha uwii mi staki yaani sina Kaka Zaidi Yako kaka so imebidi tu ni say something.
      • anonymous

        anonymous

        19 September 2012 at 12:28 |
        ha ha ha Muddy umemng'ang'aniaje lady petty sasa mambo ya mizigo mikubwa mikubwa
      • parrotkasuku

        parrotkasuku

        19 September 2012 at 14:54 |
        Hahahaha Kaka Muddy tuma salam banaa, ukingoja kuuliziwa utasubiri sana, we mwambie mange tu ampe salam zako
      • Anonymous

        Anonymous

        19 September 2012 at 15:11 |
        ka muddy ndo kwamba ledi patti keshampiku da zenat the other day ulitaka kumbeba da zenat jumla jumla lol..na mie natuma picha ya zigo langu ni compete nao sikubalicheers
      • Mdau

        Mdau

        19 September 2012 at 16:29 |
        kaka muddy kama ceo hakusaidii nitamsaidia. nenda facebok tafuta espe ranza.Nimemchungulia picha yake juu kavaa taulo jeupo
        • muddy washington

          muddy washington

          20 September 2012 at 20:17 |
          Hamna kitu mbona,wanatokea sijui magaidi gani wa kimataifa
      • funky

        funky

        20 September 2012 at 08:39 |
        hahahahahhahahahahahhahahahahahhahahahhahahahhahaahhahah
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      19 September 2012 at 09:05 |
      Umeonaa enhhhh? Hayo magauni yanamtoa chicha kichz,,,,,,
      Espcly rangi zake,,,,
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      19 September 2012 at 09:09 |
      Halafu mange we sio mtu mzuri banaaaa

      Utaja bondwa na miriam na theo usiamini macho yako.......lol

      Mara mtoto wa odemba ndo mkweo,,,,,
      Mara shani ndo mkweo,,,,,,

      Shauri yako,,,, mi nakupenda lakini ngumi sijui wala siwezi
      • Mshamba

        Mshamba

        19 September 2012 at 17:14 |
        U-turn addict hata mimi nimeshashtukia hii issue. Mange ameshabook kwa ajili ya Kenzo sehemu kibao. Maskini Kenzo ndio hapo anapokuwa anakutwa anasubiriwa na vibinti kibao ambao mama zao wameshawambia na kuwaonyesha picha za Kenzo (sasa pia alivyo HB) ndipo kutakapozuka tafrani! Halafu kama namuona Mange anavyojaribu kupotezea issue.
        Cha kuchekesha wengi tu wanakuja, Watoto wa mujini mwaka huu wameamua kutotoa haswa na vitoto vizuri mpaka na sisi wengine tunatamani wakati tunao wa kutosha.
    • mama naah

      mama naah

      20 September 2012 at 13:19 |
      marichui hasa hilo la kijani yaani me nimelipendaje maana hayo ndo magauni yangu siwezi tu kuweka picha bt ningewawekea kapicha kangu nimevaa gauni kama hilo la mange
  • ngosha

    ngosha

    19 September 2012 at 07:01 |
    mnge plz hcho kijigauni kwenye picha ya mwisho kimekutoa sana,, plz kama nacho kitakuwa sokoni nimeshakiwahi.... colour nzuri sana
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      19 September 2012 at 09:06 |
      Tokaaaa hukoooo nishakiwahi mm toka kinatengenezwa mfyuuuuu
      • ngosha

        ngosha

        19 September 2012 at 11:53 |
        slapping hebu uwe na heshima kwa dada zako alaaa... hujui hicho kigauni nataka kwendea honeymoon manyoni......hebu niachie,, kwanza pesa yake nshamtumia mange,,,blowkiss
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    19 September 2012 at 07:03 |
    Katoto kana usingizi Mzito ..Kasweet ..Ma Aunt mnabadilishana tu how sweet this is ....
  • Anonymous

    Anonymous

    19 September 2012 at 07:04 |
    Mange umeona my email kuhusu maombbi ? Niulizie kwa patricia rafikiyo tafadhari sana
  • Mshamba

    Mshamba

    19 September 2012 at 07:09 |
    I love the floral print pink dress. Very nice indeed! Patty's pinkish dress also has nice colours. Umemuweka Ledi Patty kumfurahisha kaka Muddy naona.
    On a serious note, naona mliienjoy sana kukutana nyie wote watatu na kupata muda wa kuwa pamoja huku mkiwa mmepumzika. Good for you guys!
  • c's mum!

    c's mum!

    19 September 2012 at 07:39 |
    awwwwww vi.5 vinakuwaga visupuu! lolest! so sweeet kids jamani, have fun myceo nikimbizeeeeeeeekanuna
  • BEAUTIFUL

    BEAUTIFUL

    19 September 2012 at 07:51 |
  • Leen

    Leen

    19 September 2012 at 08:16 |
    hakunaga kamamangewakuachesonya

    :mangefan:
  • ZARA

    ZARA

    19 September 2012 at 08:22 |
    Movie ndo inanoga kumbe ina part two ee.. mange flora print imekutoa chicha! hayo magauni unayatendea haki mpz.
  • Isabell Arroyo

    Isabell Arroyo

    19 September 2012 at 08:25 |
    Awwww Mange hw beautiful u are! Unatokelezea n any Outfit, Mashallah!... Me lov dt pinkpink gown.
    blowkiss
    teammange
    kanuna
    • c's mum!

      c's mum!

      19 September 2012 at 17:48 |
      we mwana sikusomi cku mbili hizi, kulikoni??? upo??
  • RUKIA BINTI KASRI

    RUKIA BINTI KASRI

    19 September 2012 at 08:42 |
    yani pendeza snceo hapo kakosekana kubwa la maadui da zenat, sipati picha angetupia kitu gani,am missing Mr Bayaaa jmnblowkiss
  • magrita

    magrita

    19 September 2012 at 08:49 |
    viatu ulivyovaa hiyo picha ya mwisho na hilo gauni duuu ni noumerrr
    everything on point..very classy
    • maudodo

      maudodo

      19 September 2012 at 12:32 |
      katoto kazuri sana,afu kanaonekana kajanja...mange magauni nayapendaje...hy October patakuwa hapatoshi hmu ndani mana tutanyang'anyana balaaaaa......
  • TBL

    TBL

    19 September 2012 at 08:55 |
    Bongolicious Bongolicious can't wait jamani,kwa advert tuu vinaoneka ni zaidi ya nzuri,na size zetu tutajimwayaje? Yani twapata muonekano kutoka kwako. Sooo Nice. Haya mama tunangoja kwa hamu sana.
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    19 September 2012 at 08:56 |
    ki gauni kizuri snaceo na umependeza snaaaaaaaablowkissblowkissblowkiss
  • Sensitive Samurai

    Sensitive Samurai

    19 September 2012 at 08:57 |
    NGOJA NIANZE KUUUUUUhappyprayingpraying NIKUSANYE VIJISENTI AT LIST NIWE NA KIJIGAUNI TOKA BONGOLICIOUS......yahooyahoocheers

    LOVE YOU MANGE,blowkiss
  • lusajo

    lusajo

    19 September 2012 at 09:02 |
    mange hiyo bongolicious iko wapui bwana hayo magauni nayataka na mimi kila siku nakwambia unataka hadi nilie jamaniiiiiiii
  • Mammu

    Mammu

    19 September 2012 at 09:05 |
    Hello wana U-turn, happy birthday kwa C`S Mum ingawa nimechelewa. Ninaumwa na nimelazwa hosp tangu jumamosi lol leo nimeletewa pc basi kufungua tu nimeripoti uturn niliimisije sasa. Ingawa kutype ni shida na drip mkononi, lakini naliwazika mno mno na comment. Niombeeni jamani nipate nafuublowkiss
    • MASHA

      MASHA

      19 September 2012 at 11:00 |
      sorry mama,utapona!!
      • Muke Ya Albino

        Muke Ya Albino

        20 September 2012 at 12:37 |
        Mungu wetu ni mwema atakujalia upate nafuu haraka. Pole sana Mammu
    • ngosha

      ngosha

      19 September 2012 at 11:55 |
      pole sana mammu, Mungu atakuponya mumy..... GET WELL SOONblowkiss
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      19 September 2012 at 12:28 |
      Get well soonblowkiss
    • Cheerlicious Chick

      Cheerlicious Chick

      19 September 2012 at 13:17 |
      Jamani Pouhleee...sorry
      Mungu akuponye kwa muda mfupi dear!

      blowkiss
    • Mshamba

      Mshamba

      19 September 2012 at 14:26 |
      Pole sana Mammu kwa kuugua na kulazwa. Tunamuomba Mungu akuwekee mkono wake akubariki na kukuponya.
      We hope and wish for your speedy recovery!
    • c's mum!

      c's mum!

      19 September 2012 at 15:00 |
      POLE SWEETHEART! MUNGU NI MWEMA ATAKUPONYA! POLE SANA!blowkiss
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      19 September 2012 at 18:54 |
      GET WELL SOON
  • aNONYMOUS

    aNONYMOUS

    19 September 2012 at 09:39 |
    Hello Mange?Hope all is well. Jamaani I am disappointed kwamba shindano limeisha!!Yewoooomiiii!!Wanted to participate na nilikua nataka nichague zawadi ya kuomba just five minutes of your time. I mailed you. PLease do consider me jamaaniii. Hoping to hear from you. Shukraanii!
  • Dee baibe

    Dee baibe

    19 September 2012 at 09:52 |
    u look Classy mama! Absolutely Stunning
  • jency

    jency

    19 September 2012 at 09:54 |
    finally bongolicious mwezi ujao jamani
    picha nzuri though
  • Mamaa ya Joti

    Mamaa ya Joti

    19 September 2012 at 10:06 |
    Mange naomba hilo gauni la kijani plz!cheers
  • MAPENDO DAIMA

    MAPENDO DAIMA

    19 September 2012 at 10:11 |
    Waoh Mange u on point kwa kila kitu..mmependeza sana jamani.cnt wait to rock na Bongolicious..dresses ni nzuri balaablowkiss
  • lolest

    lolest

    19 September 2012 at 10:16 |
    Mange this is my first time commenting bt nat blogging...love so much doll u inspire me aloot..love i love the gaun sema make up ya uso kama umepaka nyingi yani usoni na mwilini umekua na rangi mbili....hope my comment itatokea lol
  • kayemba ney

    kayemba ney

    19 September 2012 at 10:38 |
    Kama naona bongolicious itakavyofunika.Nshaanza kuhisi harufu yako ukihojiwa na bloomberg as a successful business woman km kina Dana karenbig hug Ofcourse sky is the limitblowkiss
  • kayemba ney

    kayemba ney

    19 September 2012 at 10:41 |
    U guys look stunning.Feels great to spend some quality time with people u love!cheers
  • LOVE

    LOVE

    19 September 2012 at 10:47 |
    Mange mpnz tuambie hiyo bongolious itakuwa wapi jamani uwiiiiiiiih na tuletee hata CL fake jamni tujihisi na sisi watu can't wait hapa nimetengeneza kibubu kwa ajili ya bongolicous
  • EVE

    EVE

    19 September 2012 at 10:49 |
    igaufe wapi sitaharishaaaaaaaaaaaaaaaaa...!pendeza mamito..
  • MAMITOZ

    MAMITOZ

    19 September 2012 at 11:24 |
    Mange, please please nimependa gauni ya pic ya mwisho.
  • SINA MAKUU MIE

    SINA MAKUU MIE

    19 September 2012 at 12:03 |
    I HOPE UTAWEKA ONLINE SHOP NA SIE WA PANDE ZA QUEEN TUJIFAIDIE, KEEP UP THE GOOD WORK. THOSE DRESSES ARE JUST AMAAAZING, FORM THOSE POLKA DOTS ONES TO THESE VINTAGE ONES..CANNOT WAIT
  • Sinita

    Sinita

    19 September 2012 at 12:11 |
    Me love tea dresses unenikoma mbora!!! usije ukawa umechukuwa vipimo vya wazungu mama viuno vyetu vidogo kumbuka visitubane sana ama kutupwa raha ya gauni kuonesha shepu. Jitahidi wazitupe suruali turudishe 50's women power.
  • lucky

    lucky

    19 September 2012 at 12:22 |
    MK, Magauni yanakupendeza sana, sana hadi raha.
  • KILLER QUEEN

    KILLER QUEEN

    19 September 2012 at 12:48 |
    mange iyo bongolicious isiwe magauni peke yake mi napendana vile vi pensi vyako na colour bloging zako pia isiwe expensive sana mpenz
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    19 September 2012 at 13:37 |
    baby this hair suit u the best!
    i like the floral print dress,,baby what about blazers?wish to have a blazer of that prints...
  • parrotkasuku

    parrotkasuku

    19 September 2012 at 14:52 |
    Bongoliscious na size zetu kama Ledi Peti tutapata?

    Mange unapendeza kila nguo unayovaa ila sasa basi hata siku moja moja basi uvae hata kihindi umfurahishe muke ya patel hahahahanana
  • lynn

    lynn

    19 September 2012 at 15:01 |
    hi sis
    it is my first time commenting in your glob but am your fun, nikiingia humu nachekaje? you just made my dia.umependezaaaaaaa
    • Anonymous

      Anonymous

      19 September 2012 at 16:56 |
      itabidi nimrudishe english teacher wa marichui...................

      wakongwe u know what i mean.......teacher wa marichui alokua anamfollow
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        19 September 2012 at 17:45 |
        Yes My Teacher helped me a lot Mdau hapo juu, If you can please bring her back .......
  • Anonymous

    Anonymous

    19 September 2012 at 15:28 |
    HIYO BONGOLICIOUS ITASABABISHA WATU WAVUNJIKE MIGUU KWA MAZOEZI YA KUJIKONDESHA. KAZI KWENU VIBONGEEEE. MBIO ZINAWAHUSU MPAKA MTOKE VIGIMBI SAFARI HII. BY XMAS VIMESHAMIRIJE SASA:hahaha:hahaha
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      19 September 2012 at 18:57 |
  • Mammu

    Mammu

    19 September 2012 at 16:03 |
    Nawashukuru wote kwa pole zenu. Inshallah Mola atanipa taafif
    • maudodo

      maudodo

      19 September 2012 at 17:02 |
      poyeee mammu mwenyezi mungu atakupa ahueni inshallah...!
    • pebo da great

      pebo da great

      19 September 2012 at 17:07 |
      kiss Get well soon Mammu
    • Nai Nai

      Nai Nai

      19 September 2012 at 23:54 |
      Pole sana Mammu Mwenyezi Mungu atakupa afya nje, amina.
  • Chichi

    Chichi

    19 September 2012 at 16:41 |
    I loooooove Mangekimambi.com.....blowkiss to you all, jamani hamjui tu mnavyonipa company wadau niko mbali na familia halafu mambo yangu kidogo hayajakaa vizuri.mangeblog
  • FAITH

    FAITH

    19 September 2012 at 16:51 |
    CEOblowkiss hasa kwa hiyo gauni yenye floral print.
    nahisi hiyo Bongoliscious itakua hadithi ya Kitaa hasa kwa wapendao kupendeza. I love the coulor and the design of the dress.

    mishono yake ni changia kote kwa wadada, hata wamama.
  • VALENTINA

    VALENTINA

    19 September 2012 at 18:50 |
    MANGE I RIL LOVE UR DRESS For sure limekutoa sana mwaaaa
  • TILALILA

    TILALILA

    19 September 2012 at 19:13 |
    looking forward for the launch of bongolicious....good stuff
  • Anonymous

    Anonymous

    20 September 2012 at 10:50 |
    Mbona sikuhizi hamna mambo ya Designed by Kiki, au sikuhizi hauzivai tena nguo za your ex-shoga???kanuna hivi si umesema freedom of speech mbona hautuandikii yaliyojiri kati yako na Kiki, unafikiri kuna siri tumeshayasikia uliyotibua ukiwa bongo. Huna haya hata Adeline tena kumetokea kabeef flani mnakaushiana tena, jamani duuu wewe mwanamke kwakweli hauna ubinadamu.Hamia kwenye zoo ukaishi na wanyama, utawadanganya hapa funs wako wasiokujua vizuri, tunaokujua tumejikalia kimya tunatazama tu.Unatia aibu ile mbaya, bora umeondoka, ulitaka ugombanishe wadada wenye ustaarabu wao na ukataka hata uvunje nyumba za watu. Usidhanie kila mtu anataka kuolewa au kuishi na hayo magovi yako ya kizungu, watu wanataka real life, real ndoa sio huo upumbavu wa kufuata american green card na status za kipuuzi. Grow up....wengine tulishakatazwa tuasiappie kwenye blog yako na waume zetu loooooooong time, tunashukuru tulitoka cos otherwise tungeharibu maisha yetu na reputation zetu mjini. Haya umebakia kumvutavuta Mwammy oooh my BFF sijui my nini, mbona katoka kwako akaenda kumfanyia mwenzio baby shower? unampa Mwammu wakati mgumu sana, unataka kumfanya achoose sides wakati dada wa watu hana tabia hizo za ajabuajabu kama zako. Umekimbiwa hadi na wakina Joseline sijui Josefine wa Voda wote wamekuona hamnazo.Nenda katafute ushauri wa watu wazima, wakuambie kama tabia yako ya magomvi katika umri huo itakufikisha wapi. Byebye, message sent, goodbye.
    • Kijaruba

      Kijaruba

      20 September 2012 at 21:36 |
      ULIYAJUAJE KAMA SIO UMBEA WAKO NA WEWE MBEYA?

      Kama umekatazwa na mumeo leo kakuruhusu uingie? Na ikiwa umekatazwa na mumeo na humu ndani huingii, ulijuaje kama havai au hatangazi nguo za Kiki, wakati huna access na hii blogu.

      Muongo, mfitinishi na mnafiki mkubwa ndio maana kutwa macho kama guluguja kutwa uko kwenye hii blogu kurekodi kinachoendelea, ukitoka hapa unaenda kuandika utumbo wako kule uswazi kwa msazi mwenzio, sijakosea hilo neno kwa MSAZI mwenzio. Halafu mwenzio Mange anakuchora tu maana anakujua wewe ni nani.

      Kisha punguza wivu mwanamke utakuua, kwenda Marekani ni kitu cha kawaida tu sio mbinguni mpaka ufe ndio uende, huko yeyote aweza kwenda.

      Namalizia hivi, nyie wanawake mnaojiita watoto wa Mujini mna matatizo sana, hamna kazi za maana za kufanya ndio maana mnapata muda wa kuanza kufuatana matakoni. Kama kuna mtu alipitia matatizo kwenye ndoa yake, kitu ambacho ni cha kawaida na watu wengi wanapitia kisha akaanza kumlaumu ndugu au rafiki kwa matatizo hayo basi ujue huyo mtu yeye mwenyewe ndio tatizo.

      Haya kaoge jasho na vumbi la Dar kisha ukojoe ulale!!
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    20 September 2012 at 12:41 |
    Bongoliscioushakunaga haya twasubiri, isije tu kuwa kama size ya kiatu maana wakafaidi wachache hope na sie wenye mizigo mikubwa mikubwa tutapata size.goodluck
    • Mshamba

      Mshamba

      20 September 2012 at 20:54 |
  • mama naah

    mama naah

    20 September 2012 at 13:17 |
    mange me love the green dress yaani nimelipendaje!!!!!