Basi yalisemwa meeeeengi Kuwa diamond karudiana na wema kumbe sio keeling jamaa yupo na kidoti m/ tumekubali matokeo, japo nlikua napenda sana couple ya di na we lakini basi tena
Wamerudiana kweli tena di anakaza wema kisawsawa nyumbani kwake ila wanazuga tu isiwe public topic. Majirani wa wama tunajua kila mara anaenda kugawa dozi nene
kumbe diamond ni mtoto wa tandale kwa mtogole,sasa nimeelewa kwanini umaarufu unamzidi nguvu.
halafu ni kweli mamake eti anapenda dogo dogo na kweli jamaa alirusha ngumi baada ya kumuona dogo dogo wa mother anapush ndinga alilompa mamake??nahitaji ufafanuzi zaidi
shost, vipi diamond saivi humzimii tena na kimguu chake sijui cha kuku, sijui cha mtoto mdogo, sijui hata mlikuwa mnasema eti kimguu cha nani vile tena????? one love my shostito
Shoga hayo maumbo mwenzio bado kidogo yanitoe kizazi, Sinai hamu na hvyo vi miguu vyenu...... Nliponea chupuchupu kunyofolewa uzazi.... Hahaaaaa,,,,,,,,
Nimeona picha inazunguka kwenye facebook Diamond yuko kwenye siti ya nyuma ya gari kalala kwenye mapaja ya mwanamke huku masikioni kaweka headphones macho kayafumba, na huyo mwanamke sio Wema wala Jokate. Duh watu wanaulizana ni nani huyo demu, kwani hawajui kuwa huyu ni wa kutoka Kigoma??
Huyo kidoti ata ya kichina itagoma maana adi za wadhee zinachoma huko, by the way I like diamond and he is on top of Bongo R n' B, wabishi waose kojoleo zao wakalale............
Kumbe CEO unasomaga comments zetu??? me love you mingi mingi.Chekezeea MAPROMO YA MANGEKIMAMBI.COM lazima Show ilipe. DIAMOND kasema mwenyewe kwa mdomo wake wala sio udaku wa magazetini DIAMOND ARE FOREVER ilipa MKWANJA WA KUELEWEKA kitu kingine alichofurahia mlimpa respect kama wanayopewa macelebrity wa kutoka nje ya bongo.
We jokate humjui personaly! MASHAUZI.COM HUYOOOOO! Alale na jokate si bidada angekunyaaaaa! Jokate ni mgomviiiii and very bitchyyyy ila kapata kiboko yake Wema anaemshinda kila mpambano ndo maana kasalimu amri kwa WEMAAAAAAAAAAAAAAAA BABYYYYYYYYYYYYYY!
DIAMOND.. YOUR AR ONE SMART GUY. VERY FOCUSED AND HARD WORKING. YOU ARE THE ONLY BONGO MUSICIAN I LISTEN TO. UNAKIPAJI.
LIKE MANY OF US KABLA SIJASIKILIZA HII CLIP NILIKUAA NAKUFIKIRIA KITOFAUTI KABISA. YOU ARE A VERY HUMBLE GUY, TUKUMBUKENI SIKUZOTE KUSHUKURU WAZAZI WETU WALIO TUHANGAIKIA NA KUWASIKILIZA, KUSAIDIA WASIO NA UWEZO (GIVING BACK) (NA BILA KUTANGAZA KILA MTU AJUE LEO UMEFANYA HIKI NA HIKI, ITS NOT NECESSARY) HAPO NDO BARAKA ZITAKUJA ZAIDI NA ZAIDI NA ZAIDI, KWENYE BIBLIA IMEANDIKWA HIVI "AMSAIDIAE MASKINI AMEMKOPESHA MUNGU" SOMEWHERE IN MITHALI SIKUMBUKI VIZURI WAPI.
SASA NYIE WANAMUZIKI WENGINE IGENI HAYO. BADALA YA KUJAA KWENYE MAGAZETI KILA SIKU KWA HABARI ZA AJABU AJABU NA KUJIPATIA UMAARUFU WA SIKU MBILI TATU AMBAO HAUNA MAANA, JINYAMAZIE TU, FANYA KAZI YAKO KWA BIDII NA KUMUOMBA MUNGU.
STAY HUMBLE DIAMOND ONE DAY YOU WILL BE JUST LIKE USHER. NOTHING IS IMPOSSIBLE.
DIMONDO wacha weee, huyu mtoto mtamu sana akifika age flani kama 30th atanenepa kidogo then atavutia sana, msafi then he looks so sweet.. huyu ata akikutia anavyolalamika hmm warembo wa MUJINI WANAFAIDIJEE MSHEDEDE SUKARI? HATAREEE.... NAKUPENDA NDIO lolest
Wow ndo nimepata time ya kuiangalia hii video clip diamond got beuatiful sexy n hooot lipsa sijui alikuwaga ananyonya kidole mwenyewe au ulimi very juicy lips kama za Mange wangu
Cheupeeeeeeeeee wakuache miaka laki tisaaaa hehehe miss u bana!do ur thang baby gal kina Mange wakikuona wanarowanisha chupiiiii hahahahah wanatamani uwampige mpini hahahah weeee utauza Cl zote kwa walkin wardrobe yako ili umuhonge kistuli chezea penzi la mpemba unanasquirt mara mia naneee heheheh cheupe wapeleke wapeleke hao mwuah!
Prezzo: mwonekano wake unaweza kukupa hadithi nyingine kabisa , ila ujibuji wake wa maswali ni kitu kingine tofauti, nimefurahia kipindi cha mkasi na prezzo
Comments (51)
Kankuni
Uturn Addict
muke ya jaluo
Mshamba
Uturn Addict
Anonymous
k0ku
Anonymous
m a r i c h u i
muke ya jaluo
parrotkasuku
JIMAMA LA MWANANYAMALA
Eva longoria
Fatuma Mtanga
halafu ni kweli mamake eti anapenda dogo dogo na kweli jamaa alirusha ngumi baada ya kumuona dogo dogo wa mother anapush ndinga alilompa mamake??nahitaji ufafanuzi zaidi
c's mum!
Isabell Arroyo
c's mum!
ngosha
c's mum!
ngosha
Anonymous
ngosha
tinataina
pinky
Isabell Arroyo
mke mwenza
Uturn Addict
Mi binafsi sikuamini alivojibu hvyo...........
Anonymous
Anonymous
chaurembo
Anonymous
kuntuafro1
shostito
JIMAMA LA MWANANYAMALA
SIMPLY
Anonymous
Toronto
Hold on a minute please some questions are so so so
mmmh
Jitu kali
DESPERATE HOUSE WIFE
LIKE MANY OF US KABLA SIJASIKILIZA HII CLIP NILIKUAA NAKUFIKIRIA KITOFAUTI KABISA. YOU ARE A VERY HUMBLE GUY, TUKUMBUKENI SIKUZOTE KUSHUKURU WAZAZI WETU WALIO TUHANGAIKIA NA KUWASIKILIZA, KUSAIDIA WASIO NA UWEZO (GIVING BACK) (NA BILA KUTANGAZA KILA MTU AJUE LEO UMEFANYA HIKI NA HIKI, ITS NOT NECESSARY) HAPO NDO BARAKA ZITAKUJA ZAIDI NA ZAIDI NA ZAIDI, KWENYE BIBLIA IMEANDIKWA HIVI "AMSAIDIAE MASKINI AMEMKOPESHA MUNGU" SOMEWHERE IN MITHALI SIKUMBUKI VIZURI WAPI.
SASA NYIE WANAMUZIKI WENGINE IGENI HAYO. BADALA YA KUJAA KWENYE MAGAZETI KILA SIKU KWA HABARI ZA AJABU AJABU NA KUJIPATIA UMAARUFU WA SIKU MBILI TATU AMBAO HAUNA MAANA, JINYAMAZIE TU, FANYA KAZI YAKO KWA BIDII NA KUMUOMBA MUNGU.
STAY HUMBLE DIAMOND ONE DAY YOU WILL BE JUST LIKE USHER. NOTHING IS IMPOSSIBLE.
i love that domoz
muddy washington
Anonymous
baby ya Mange
baby ya Mange
baby ya Mange
FAITH
dogo yake mange
dogo yake mange