19August
SEAN PAUL FT. KELLY ROWLAND : HOW DEEP IS YOUR LOVE.....
I'm officially addicted to this song,
I got it on repeat in my car, in my house, on my ipod, on my iPhone, on my ipad and
everywhere else.....hahhahaha
Makes me think of my baby........
Y'all need to see me dancing to this song, noumerrrr......hahaha najisifiaje sasa!!!!!
I'm impatiently waiting for the video meeeeiiin......
" How deep is your love (Make me show you!)
How deep does it go
How deep is your love (Baby I owe you!)"
Let us explore
How deep is your love (Girl!)
How deep does it go
Coz mine rundown to the ocean floor"
Comments (63)
BEAUTIFUL ONYINYE
BEAUTIFUL ONYINYE
Ndito
SHAMBENGA
kibonge
How deep does it go
Coz mine rundown to the ocean floor"
Woow such a nyc song,
Mshamba
Toronto
Mimi
muke ya jaluo
HaPPy!!
shostitoooooooooo
duh
kibonge
Anonymous
DESPERATE HOUSE WIFE
WATU BWANA!!!
primrose
DESPERATE HOUSE WIFE
Anonymous
muke ya jaluo
wewe kazi unayo
Kijaruba
Kumbe mapovu yote yanakutoka hivi kisa watu wanaishi majuu eti unaandika kwa bidii zote mwenyewe
"halafu imagine wanaishii majuu eti loh hata huko majuu nahisi maporini sio bureee"
Majuu maporini ndio mpango mzima watu wanaishi kwenye cottages au country houses, maporini majuu kuna kila kitu, tena ndio wanaoishi mijini huja kupumzika huku au kwa kizungu ni vacation. Hewa safi, naishi kwenye semi detached house ina kila kitu, maji umeme, broadband) hakuna kelele, watu wana magari kama kawaida, tukitaka kwenda mjini tunaenda tu. Hivi hapa natype naangalia farasi wanakula nyasi; nimetoka picnic kando ya mto, watu wamejaa kibao wamekimbia joto. Kesho nina mpango wa kwenda kujianika beach kwetu. Hahahaaaa shamba ya majuu sio sawa na shamba ya Bongo weweee!!
Tembea uone ujinga ukutoke unatia aibu wenzio huko. Lau huna uwezo wa kutoka nshakwambia sema tukufanyie mpango tukutoe tongo tongo!
wewe kazi unayo
ammama
Anonymous
muke ya jaluo
Mjukuu wa malkia
neylicious
shigha du...
c's mum!
KIJACHO
liz d'ass
liz d'ass
sab0744
love SEAN,love KELLY...sweeet
miss u turn
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Myambo!!
Wewe uliye sema dada wa watu,mke wa mtu mshamba, wa upareni.Upareni kwao,na USA maisha. Sasa nawewe tukuulize kwanini umetwambia miaka miwili ulikuwa hujaja bongo,n ikiweka umbea ulikuwa huna nauli. Utajisikia vipi.
Nachoimanisha respect the interest of your fellow. Usiwe na wivu sana. Kama wewe hujionyeshi acha wenye interest zao wafanye hivo. Shat up unajua maana mercury? huwezi kuishi mwanadamu kule.
Mange toto ya kipare,mke ya mzungu.Kula bata aarika. achana na virundu hao.
tally
Mjukuu wa malkia
sintah and okwi
Anonymous
wewe kazi unayo
tally
Anonymous
k0ku
DESPERATE HOUSE WIFE
TALIA
Anonymous
Anonymous
Babie CL
KIJARUBA
Mie nilikuwa sijui kumbe tafsiri ya huo wimbo ni ipod sijui I nini za Mange? Kweli umaskini mbaya, kila wimbo ukiwekwa uko unawaza nawekewa mimi, neno likisemwa nasemwa mimi, watu wakicheka wananicheka mimi. Mtu mwenye shughuli na mambo yake wala hayo ma I nini sijui wala yasingemshughulisha.
Na yeyote aliyeona kuwa karingishiwa basi ujue ni tabia yake kuringishia, maana wote hamuishi kutaja sijui BBM sijui I nini kwenye matwiter na mafebook . Kama hizo I nini sijui ni zenu na Mange ni zake who cares kama mnazo? Na who cares kama Mange kasema anatumia I's what what? Those are just gargdets get over it!!
Anonymous
kuntuafro1
Muke ya Sharobaro
tally
muke ya jaluo
Anonymous
space
baby ya Mange
lilian bitegeko
lilian bitegeko
lilian bitegeko
lilian bitegeko