16August

MY SEND OFF: THE BRIDE IS HERE........

Comments (90)

  • Mshamba

    Mshamba

    16 August 2012 at 05:23 |
    Mange who was the co-MC at your send-off, there was Adeline and guy. The 2 MC's complimented each other very well. Ni ngumu kama MC wao 2 na sio kawaida kufanya pamoja kuweza kuwa na "flawless flow" kutoka MC mmoja kwenda mwingine na ngumu zaidi ikiwa mmoja ana lugha nyingine na mwingine ingine. Inabidi asije akawa anatafsiri tu watu wanaojua lugha zote mbili huwa wanaboreka lakini Adeline na MC mwenzake kwenye hiyo clip wameifanya vizuri wakati wa kuwatambulisha wewe na matron wako.
    • kibonge

      kibonge

      16 August 2012 at 09:10 |
      jaman pendeza mange utazan s'off ni ya last week kwa jinsi ilivyo nzuri kumbe ni ya mwaka......,,,,
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        16 August 2012 at 11:09 |
        Uwiiiiiii! kibongeee du!
        • c's mum!

          c's mum!

          16 August 2012 at 17:34 |
          umeona eeeee!! kibonge yupo juu mbaya! lol
          • m a r i c h u i

            m a r i c h u i

            16 August 2012 at 18:11 |
            Naona alikuwa kwenye harakati za MBUZI KAGOMA KWENDA !winking
          • kibonge

            kibonge

            16 August 2012 at 21:21 |
            marichui na c's mum ndo nilivyo mwenzenu Mungu kanijaali yule shekhe wa sikuile nazani akiniona hataniacha,nyuma kupo na mbele pia tumbo nimepewa.
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        17 August 2012 at 00:26 |
        HAHAHAHAHAHAH KIMBONGE UWII MBAVU ZANGU.
        YANI ILE NIMEFUNGUA TU SIJAWEZA ATA KUSOMA COMMENT YA KWENZA NIKAONA PICHA YAKO LOL
        MWANAMKE MWILI.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 05:56 |
    Awwww..... U look stunning lovekiss
  • mama kayaii

    mama kayaii

    16 August 2012 at 06:25 |
    very nice,you look stunning,God bless your marriage my dear
  • Kankuni

    Kankuni

    16 August 2012 at 06:43 |
    shower mmh kizungu ni noma
    • Miss independent

      Miss independent

      16 August 2012 at 10:54 |
      Hahahaaa umeona ee? kigugumizi cha right h. .
    • Miss independent

      Miss independent

      16 August 2012 at 10:55 |
      Kumbe mange ulikuwa na kakazi ka ukalimani lol. .
      • kuntuafro1

        kuntuafro1

        16 August 2012 at 20:05 |
        hahaha you're sosilly
  • Ti Vancouver

    Ti Vancouver

    16 August 2012 at 07:27 |
    It was absolutely gorgeous. Kila kitu kwenye mpangilio bora. Furaha uliyo nayo hapo Mungu akutie nguvu kila ulipo na mumeo uwe na tabasamu tamu ninaloliona hapo.
  • NEW-FAN

    NEW-FAN

    16 August 2012 at 07:53 |
    Wow Mange you look stunning, absolutely gorgeous. Loving the blush
  • mbeba mabox

    mbeba mabox

    16 August 2012 at 08:21 |
    Mange my lil Sis you look beautiful,

    I like they way you behave at your wedding, very classy, kama nawaona vile kina Nonino wangejishauje na mzungu wao, but not no you, you just smile and smile.. beautiful beautiful.

    Mnyaazi mungu aendelee kukulindia ndoa yako, awape maisha marefu pamoja na awatunzie watoto and keep making your parents proud...
    • mahips

      mahips

      16 August 2012 at 10:53 |
      i side u again and again mbeba box..... mange ulibehave vizuri sana, tena sana hata sikutegemea, manake wengine pangekuwa hapakaliki hapo mbele
  • c's mum!

    c's mum!

    16 August 2012 at 08:24 |
    simply beautiful! u looked sooo sweet!blowkiss
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 08:42 |
    Ulipendeza sana bibie, natamani na mie yangu ingekuja kuwa hivyo!!
  • ngosha

    ngosha

    16 August 2012 at 08:53 |
    wonderful.......
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    16 August 2012 at 09:19 |
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    16 August 2012 at 09:25 |
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    16 August 2012 at 09:39 |
    wow im on line thanksceo for the help
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    16 August 2012 at 09:40 |
    wapi koku,marichui,
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      16 August 2012 at 11:10 |
      Hahahaahah Muke ya Jaluo Kiatu kimetokelezeaa mambo yaceo CL BABY...
      • muke ya jaluo

        muke ya jaluo

        20 August 2012 at 09:59 |
        h aha ah aha aha aha h habari ndiyo hiyo marichui kitu cha CL
  • binyakomba

    binyakomba

    16 August 2012 at 09:57 |
    kiki jamani nampenda sana huyu mdada kapotea humu jamani, popote ulipo kikiblowkiss
    • Anonymous

      Anonymous

      17 August 2012 at 02:09 |
      Anatarajia.Tunamtakia kila la heri.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 10:08 |
    Jamani mwenzenu siion yaan yanakosaje raha.
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    16 August 2012 at 11:17 |
    aaawww cute cute...MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKULINDA UDUMU KATIKA NDOA YAKO...blowkiss
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      16 August 2012 at 16:54 |
      ONYINYE Bwana utaweka picha zooote ila kiboko yao ni ile ya kwanza kabisa ya kunyali fulani hivi , auwwi ...turudishie bwanaaaaa .....
      • choka

        choka

        17 August 2012 at 04:33 |
        onyinye karudisha picha ya ukweli ile ya kunyali. hii ndio picha onyinye, nyingine zote feki.
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      17 August 2012 at 07:07 |
      Yes Yes Yes thats what am talking about Onyinye ..hahahahaah Yaani upo kama Patience Ozokwor...Mama G ..
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 11:27 |
    alafu wazungu wengine siku hizi choka mbaya badala wahamishe wake zao wanahamia ndani ya vijichumba vya kushare vya council sifa kuu enzi zangu zile nilipompata huyu wangu tulienda kuishi country side nasio uchochoroni na wengine kutwa kupanga vitabu library wanasema mume wangu mzungu akirudi nyumbani anagoma kuoga tabu pole zao heri mie mambo yakujitakia sikatai penzi halina pesa ilakujishaua mtu achie sie akina fulani harusi zenu michango kusumbuana kila pakikucha mmmmh aibu tupu kazi mgogoro vijicent vya kuchanjiwa vitu na kushoplift kwa saana tu
    • Anonymous

      Anonymous

      16 August 2012 at 16:53 |
    • tasha

      tasha

      16 August 2012 at 19:04 |
      kila mtu anaishi anavyopenda ,kwani mzungu siyo mtu kwamba hawezi kuwa na shida .mbona wewe unaishi kwenye ndoto za alinacha .wacha dharau ,wabongo wangapi waolewa na waafrika na wanakaa kwenye hizo nyumba za council za kushea mbona ushangai.wakipanga vitabu library yanakuhusu nini kwani unawalisha .Ulaya hakuna vichochoroni bwana .nimeolewa na mzungu na tunaishi kwenye nyumba yetu wenyewe ambao tulinunua zamani kidogo pia tuna campany yetu binafsi .lakini siwezi kumcheka mtu asiyenacho .nikimuona mbongo mwenzangu anashida na msaidia hata kwa kumuongoza kimawazo lakini siyo kumcheka .wewe dada unatia aibu by the way Mange uliopendeza kweli
  • mke ya ngosha

    mke ya ngosha

    16 August 2012 at 11:50 |
    waoh ulipendeza mamito
  • mke ya ngosha

    mke ya ngosha

    16 August 2012 at 11:53 |
    ulipendeza mamito
  • parrotkasuku

    parrotkasuku

    16 August 2012 at 12:07 |
  • shani

    shani

    16 August 2012 at 12:20 |
    sasa hapo mange ulikuwa unang'ang'ania gauni la nini....halikukupa uhuru na mikono yako.....mwendo wako tu mie hoi
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 August 2012 at 12:31 |
    hata mimi nimewapenda ma MC wanaongea vizuri,,,,hasa huyo male..even Ade,,didnt know she got this awesome voice,,(talent),

    baby u loooked so pretty i like ur dress,,it colors n design jus perfect!!!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 August 2012 at 12:39 |
    baby when was ur send off again?,,,,i bet u rented that Limo from the late sheikh Yakhya sijui Yahaya manake nakumbuka miaka hiyo 90Z-2000 yeye tu ndo alikuwa na white Limo Daslam nzimahypnotized
    • Mshamba

      Mshamba

      17 August 2012 at 03:05 |
      Sio kweli kabisaa. Baby daddy wa MC alikuwa na limo miaka kadhaa kabla ya harusi ya Mama U-turn.
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 August 2012 at 12:39 |
    baby when was ur send off again?,,,,i bet u rented that Limo from the late sheikh Yakhya sijui Yahaya manake nakumbuka miaka hiyo 90Z-2000 yeye tu ndo alikuwa na white Limo Daslam nzimahypnotized
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 August 2012 at 12:43 |
    baby napenda saaana unavosmile mpenzi wangu,,,,ur so sweeeeet baby awww,,,, i jus wanna kiss uuuukissheart
  • tifa

    tifa

    16 August 2012 at 13:16 |
    wakuache
    mukeya
    mange me penda sana ww
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 15:15 |
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    16 August 2012 at 15:33 |
    Kwelihakunaga kamaceo
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      16 August 2012 at 16:46 |
      laughinglaughinglaughing Muke ya Albino Umetishaaaa!hakunaga
      • Muke Ya Albino

        Muke Ya Albino

        16 August 2012 at 22:01 |
        Yes Marichui wengine HATUVUMI LAKINI TUMO hahahaha! Ngoja nipeleke application latter ya uwaziri kwa wapiga kura Naona vigezo sasa ninavyo au vipi shotst?
  • kipapai

    kipapai

    16 August 2012 at 16:01 |
    nimenogewa na kaclip kameisha nimenunaje?utadhani niliambiwa nimewekewa mkanda
  • nakshi

    nakshi

    16 August 2012 at 16:30 |
    umependeza jamani mwili wangu wote ulikuwa unanisisimka i wish nami siku moja niwe mke wa flani, nimependa tabasamu lako mungu ailinde ndoa yako, uzae watoto wema uje upate wajukuu na vitukuu inshallan.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 16:55 |
    Gorgeous as alwaysmange
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    16 August 2012 at 17:21 |
    OH MARICHUI I HEARED YOU DARLING SUBIRI NIFIKE HOM AND CHANGE IT KUMBE I LOOK GOOD NIKINYALI EEEEEblowkiss
    • c's mum!

      c's mum!

      16 August 2012 at 17:36 |
      hapana u should be very beautiful, yaani onyinye mwenyewe! weka msichana mzuriiiiiiiiiii! lol
    • maudodo

      maudodo

      17 August 2012 at 19:58 |
      aaaaaah ONYINYE original u are back, jinsi unavyonyali (i mean that picture), naipendaje.....!!!!blowkiss
  • Gina

    Gina

    16 August 2012 at 17:37 |
    sijawahi kucomment but leo imebidi..yani Dada Mange you had a very beautiful skin, yani hapo umependeza hadi basi.. i just hope you stop using that obagi thingy.. otherwise the send off was really nice..
  • diva la washamba

    diva la washamba

    16 August 2012 at 18:51 |
    ENZI HIZO hujatumia obagi, beautiful and natural beauty! was no need to start obagi, ukizeeka ngozi yako itakuwa kama yule dada D anayepamba.. maana ni hurumaa. mazara ya kujichubua hayo..
  • bahati

    bahati

    16 August 2012 at 19:18 |
    Mange ukicheka unapendeza sana..cheka kwenda mbele na ukizingatia mambo yako kwenye mstari..umebarikiwa...just mshukuru sana Mungu..try to be stress free as soon as possible...jiepushe na shari na watu wanaokuletea majungu na kukusababishia ugomvi na watu..just be happy enjoy life and mshukuru Mungu kwa kila jambo....ubarikiwe mdada.
  • beuty

    beuty

    16 August 2012 at 19:35 |
    mungu akujalie mamie. i love u mange so much
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 19:36 |
    this goes to KOKU, C'MUMS and KIBONGE....jamani hizo profile picha zenu zinatuletea matatizo siye tunaotumia computer za kazini...kitumbua changu kitaingia mchanga!
    • k0ku

      k0ku

      16 August 2012 at 23:43 |
      shakebutt hiyo je boss anaipenda au???mad
      • c's mum!

        c's mum!

        17 August 2012 at 08:36 |
        pole yako mdada! mie hapo nilivyojimanua rahaaaaaaaaaaa, utamuuuuuuuu! na sina mpango wa kubadilika, lol! labdaceo aseme! pole mwayego!
        • Anonymous

          Anonymous

          17 August 2012 at 20:14 |
          my next cubicle neighbour Mr. Paul Smith haishi kupita akikazia macho my screen, with a smile. si unajua wazungu hawachelewi kukuchongea. anyway i found a way to tilt my computer, but shingo inauma sometimes....ama kweli mange umetuchota!
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 23:02 |
    Full ushamba sorry to say the same shit that happens at all Tanzanian weddings. LOL
    • Mjukuu wa malkia

      Mjukuu wa malkia

      18 August 2012 at 00:17 |
      Wewe chukua time huko. Full ushamba yako iko wapi tuione? Tangua kanywe sumu ya panya huko. Niachie mange wangu..
    • Tukinaoooo wa Bibi Bomba

      Tukinaoooo wa Bibi Bomba

      19 August 2012 at 16:57 |
      haya tuma salamu kwa aliekutoa usichana wako.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 23:15 |
    ee uturn kiboko huyo aliempata mzungu akahamia nae country side nimemfagilia sana maisha nikuchange fomula one to another ee ukweli unauma siku zote kasheshe sijaona alichohate kawa muwazi nani jinsia ipi ujishaue kumpachika dada inahu au we mgeni humu mipasho oyee uturn juu mtambo wa kurekebisha mashauzi zero
    • Anonymous

      Anonymous

      18 August 2012 at 14:07 |
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    17 August 2012 at 00:06 |
    AWWWWWWWWWWWWWWWWWWW GOT YOU C'S MUM
  • Anonymous

    Anonymous

    17 August 2012 at 00:20 |
    hahahaha wabongo nuksi siwawezi hata misuto live
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    17 August 2012 at 00:20 |
    HERE I AM,C'Z MUM OMBI LAKO IS ON PROCESS LOL....AM SO BOARED GUYS....
    • c's mum!

      c's mum!

      17 August 2012 at 08:38 |
      blowkiss muweke bonge ya cute kasichana! lol!
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    17 August 2012 at 00:26 |
    WE ANONY UEICHEKESHA UWIIIIIIIIIIIIIII ETI KITUMBUA CHAKO KITAINGIA MCHANGA...rolling on the floor
  • Kijaruba

    Kijaruba

    17 August 2012 at 01:21 |
    Mwali ulinogaa!!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    17 August 2012 at 02:42 |
    baby where u??tupe update misina usingizi kabisa leo nimelala mchana kutwaaa,,,wish ungekuwa hapa next to melicking
    • shasha

      shasha

      17 August 2012 at 10:49 |
      pendeza sana mange nakupenda i wish to be ur naibu waziri..teh teh teh ok wish u luck.shasha
  • Anonymous

    Anonymous

    17 August 2012 at 15:09 |
    lookin fabolous as always
  • U-Turn-Freak

    U-Turn-Freak

    18 August 2012 at 06:24 |
    Inakuaje wenzangu?
    Kila nikikaa nawashwa kuja U-turn kwa Mange, hivi kuna wenzangu mie mnaofurukutwa kuja hapa? i could be in the mid of something but akili nusu inawaz uturn,this blog imedatisha sana...it remends me of ile hotwire site ilivyoaanzishwa miaka ile, used to chat w SHEDAFA, wapi Shedafa sasa?
  • Anonymous

    Anonymous

    19 August 2012 at 09:55 |
    ooopw make up ilizidi my beautiful onyinye
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    20 August 2012 at 10:06 |
  • Anonymous

    Anonymous

    03 September 2012 at 09:19 |
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    17 August 2012 at 07:03 |
    laughinglaughinglaughing Mizigo mikubwa mikubwa ...Mashallah .lazima atangaze Ndoa ya Nne yule
  • c's mum!

    c's mum!

    17 August 2012 at 10:51 |
  • maudodo

    maudodo

    17 August 2012 at 19:52 |
    kibonge u are killing me hahahahahahahaaaaaaaa........ nimekupendablowkiss