15August

NAOMBA MSITUME COMMENT ZENYE MAJINA YA WATU TAFADHALI.....

Guys nilishawaambiaga toka zamani kwamba naomba msiwe mnatuma comments zenye majina ya watu naomba mmeanza tena. jamani i dont have the time to read all those comments.


yani mnaniweka kwenye beef na watu ambao sina beef nao at all.... na zaidi ya hapo mnanipa kazi ya kuanza kutafuta hizo comment ili niweze kuzi delete.....


nawaomba sana msiweke majina ya watu humu. Mwenzenu nikipigwa wanted huko bongo, holiday ntaenda wapi mie????

 


Comments (150)

  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    15 August 2012 at 23:41 |
    NANI TENA HUYO? LOL WATU WANAOGOPA UTURN KAMA EBOLAlmao
    • kuntuafro1

      kuntuafro1

      16 August 2012 at 19:53 |
      Tsk tsk tsk DHW you crack me up! eti watu wanaogopa U_TURN kama EBOLA.
  • mukeyamuzungu

    mukeyamuzungu

    15 August 2012 at 23:41 |
    ni kweli mange hamna aja ya kutuma comment na kutaja majina ya mitaa ya tatu au watu mnatak CEO wetu akienda holiday apokelewe airport na mabango? we need to protect our CEO so please guys lets listen to her no more namespopchampgne
  • k0ku

    k0ku

    15 August 2012 at 23:41 |
    kumbe huwa husomi comment zetu eeh!!slapping kwenye hiyo topic ya TID nadhani kuna majina ya watu pia..na nyingine kama sijasahau ni ile ya aliyeomba ushauri wa talaka ndoa ya kanisani. lol
    • Anonymous

      Anonymous

      16 August 2012 at 01:43 |
      omg Koku ndani ya kipicha! Goooooood
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        16 August 2012 at 02:09 |
        KOKU KAPICHA KAKO KA CUTE LOL

        MH LAKINI CEO KAMA HUSOMAGI COMMENTS MBONA KUNAWATU WENGINE UNAKUJAGA KUWACHAMBA LIVE? AU UNASOMA CHACHE CHACHE TU LOLZZZ
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      16 August 2012 at 07:11 |
      Lakini kutaja Majina ya Watu hasa wanaojulikana kama Mifano hai in positive way ...kuna Ubaya ? maana ni rahisi hata kwa mtu anayeomba ushauri kumtafuta huyo mtu ...Mfano nikisema Msanii Mzuri TZ ni Wema na Monalisa tu kuna ubaya? au Nikisema sauti ya Dina Marios bwana ndiyo nzuri kwa watangazaji wa kike kuna ubaya? Mi nadhani Kuwataja watu kwa umbeya umbeya au kushabikia matatizo yake kiaina ndiyo vibaya Mimi nilimtaja JK kama mtu maarufu aliyewahi kufunga Ndoa na Talaka yake ikatokea mahakamani na First Lady Mtarajiwa Talaka yake ilikuwa ya Mahakamani ili kumpa Mfano hao Mleta Mada kuwa Talaka za Kanisa ni Ngumu ...Any how ...kwa kuwa wanalalamika...TUMEKUSIKIAceo
  • mukeyamuzungu

    mukeyamuzungu

    15 August 2012 at 23:46 |
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 00:08 |
    Nikweli mange. Bifu hazina. Maana lakini mbona wenyewe wanakueka!?tena bbila aibu na wala hawakatazi
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 00:13 |
    Mh hao ndo wanaotumia yutani kama kichaka..siyo vizuri jamani..
  • Mag

    Mag

    16 August 2012 at 00:15 |
    Uko juu dada u r my role model ukija bongo Naomba tuonane jamani lol love you mke Mzungu aka mama Kenzo awwwwwww.
  • lee

    lee

    16 August 2012 at 00:15 |
    Mange! this is your blog, right! for us to read. Its your responsibility to manage it. Its you whom decide which comment to publish which one not. YOU can't say you are too busy to read every e-mail. if so you,you have to employ some one to work with you madam.Thats some times i read dirty msgs i wonder how comes you publish this msg?? manage your blog lady!.. sometimes you create haters by yourselves..and not every one loves you darling. there are things to share and others keep for youselves and your family.by the way I JUST ENJOY HOW PEOPLE COMMENTS IN YOUR BLOG WHEN I AM FREE.n:b YOU ARE VERY PROUD GIRL WHICH I LIKE, BUT REMEMBER hakuna marefu yasiyo na ncha sweet pie!.. try to invest ruther than be shopperhorlic!
    • choka

      choka

      16 August 2012 at 03:17 |
      sasa ungeandika kiswahili tu ingekuwaje?
      • Dee

        Dee

        16 August 2012 at 10:14 |
        hahahahahaha! jifunze kizungu kidogo tu !
      • BIBI NYAKOMBA

        BIBI NYAKOMBA

        16 August 2012 at 14:02 |
        hahaha hapana chezea ST KAYUMBA.
        • Muke Ya Albino

          Muke Ya Albino

          16 August 2012 at 20:56 |
          St. Kayumba better usisikie St. Government huko waongea kienglish ni wale tu wenye wito. Ila tutafika ingawa tutachelewa.
          • Babie CL

            Babie CL

            17 August 2012 at 00:52 |
            lolapplausekanuna aiseeeee hadi nashindwa kusema ahaa haaaaaa ahaaaaaaaaaaaaa
    • Anonymous

      Anonymous

      16 August 2012 at 05:51 |
    • Dee

      Dee

      16 August 2012 at 10:15 |
      LEE, I CONCUR WITH U 101%
    • GreaterDaisy

      GreaterDaisy

      16 August 2012 at 11:12 |
      we hater Dude like seriously.Get a life and please fix your grammar.you seem to be one of her haters,nani kakwambia ha invest,she's a smart woman and she knows what she's doing,kama pesa ipo kwanini dada wa watu asijilipue,kupenda kushop haimanishi kwamba hajapanga investment zake.stop making remarks you cannot substantiate,if you come here to read for leisure,keep it at that,dont judge people and how they choose to live their lives.
      • Mshamba

        Mshamba

        16 August 2012 at 20:16 |
        Well noted and agreed!
    • Anonymous

      Anonymous

      16 August 2012 at 19:08 |
      LEE anapoint kali, kasema, "Mange badala ya kununua tu vitu, invest kwenye biashara au hata kazi jamani" hakuna marefu yasiyokua na ncha.sio wivu, ushauri
  • SIMPLY

    SIMPLY

    16 August 2012 at 00:16 |
    cheerscheers Mange udaku is sexy....popchampgne
    • choka

      choka

      16 August 2012 at 03:18 |
      like simply, true udaku is sexy.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 00:29 |
    heh majina gani hayo? duh i wish i saw em before u delete em....that what happen when i don't read them looong comments
  • k0ku

    k0ku

    16 August 2012 at 00:36 |
    holiday si umeshaji-register BANGkoku..au ushaharibu nako? najua Dubai tayari most wanted na wale mashankupedead
  • Nothing but confidence

    Nothing but confidence

    16 August 2012 at 00:45 |
    Kubwa la maadui nae huwa anaogopa!!??
    • riwe90

      riwe90

      16 August 2012 at 21:35 |
  • miss u turn

    miss u turn

    16 August 2012 at 00:46 |
    mange maskini umeongea kwa huruma.. wanataka kukugombanisha hao..
    we hater wakatihakunagamangeblog
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 00:50 |
    ki ukweli mange,wachonganishi ni watoa comment.wewe ndio unaejulikana,likibumburuka,hao watoa comment humjui hata mmoja.haifai wadada,tuelimishane,tuburudishane lakini mambo ya uchonganishi ni utoto wa ki primary
  • miss u turn

    miss u turn

    16 August 2012 at 00:57 |
    mukeyaomg unagaa kweli na hijaab
  • miss u turn

    miss u turn

    16 August 2012 at 01:27 |
    JAMANI KOKU MH......WANTED????????????????? WAPI HIYOOOOOOOO NA LINI??????????
  • miss u turn

    miss u turn

    16 August 2012 at 01:33 |
    mange nimesha kutumia msg so tufanyaje nasi tuweze kuonekana kwenye pic
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 August 2012 at 01:44 |
    hahahhahahahshakebutt baby jamani minakosa hewa nikikosa umbeya hehehehhe,,,,,ndo starring gani sasafrustrated heheheheh


    umbeya ndo unanogesha bana,,,,basi umbeya uletwe lakini watupe hata vi initial vya majina sio jina lote kabisa hahahahahah au vipi mpenzi wangu?
  • NSHOMILE

    NSHOMILE

    16 August 2012 at 01:46 |
    ...I am so sorry if i will offend anybody in here, ila I had to say this kwa LEE hapo juu na wengine wanaomsema Mange. Mange is a smart girl, ametusoma her fans and anajua tunachotaka, we Mange fans want to know Mange and especially her where abouts, kama yuko charity, shopping, parting, studying, family time, anything you name it. Angalia hiyo post ya vodacom ina comments ngapi na angalia post ya sendoff ya mange ina comments ngapi? Mengine manjonjo tuu, ila blog ya Mange yaendeshwa na anachokifanya! Kama ulivyosema vingine ni private, Mange hawezi sema 'oh leo nimenunua shares' and other things. This is a blog, she gotta keep things intrestings,la sivyo atakuwa mnafiki akiweka positive comments tuu, kama mdau alivyosema 'not every body loves you', angeweza akaibania hiyo comment, ila kairusha, kwanini asirushe comments ambazo zitafanya watu wachangamke na kucomment...on my opinion, sijaona comments za kutisha sanaaaa kusema kakwaza watu kihivyoooo...! Na kama zipo ndo kama hivyo anaomba in public tusiziweke, am sure she will be more careful now, ila sio kumwambia asishop! Keep doing what you do best Mange...on a positive note...endless fans.
    • Tajibeba

      Tajibeba

      17 August 2012 at 11:02 |
      kula keki na fanta orange hapo kwa mangi nitakuja kukulipia you have said it all and wellcheers
    • Mshamba

      Mshamba

      18 August 2012 at 05:40 |
      Nshomile you deserve a bigapplause and a glass ofpopchampgne
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 02:04 |
    BECAREFUL japo zimekuruka siku nyingi hilo twalijua ila majina ya watu yatakucost hi ni USA mama mzazi enjoy urs usifatishe ya wenzio kumbuka hisia zako za tangu mwanzoni zitakucost na bado usilitamke jambo usilonaushahidi wala uhakika nalo mmmmmmmmmmh we nomeir hi nchi ni first world usudhubutu ignore take or leave it unalo
    • marikenge

      marikenge

      16 August 2012 at 22:17 |
      haya keshakusikia go take ashower ulale .. una:-@ sana
      shakebutt
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 03:08 |
    mange acha uongo comments unazisoma zote. mie kuna comments niliweka zinakuhusu wewe binafsi na wahusika kadhaa hukuziweka, siyo moja wala mbili ni kama 10 hivi
    • shani

      shani

      16 August 2012 at 12:00 |
      ni kweli hata zangu huwa anabana nyingi tu...ila si za majina ni zake mwenyewe kwa hiyo si kweli kwamba hasomi.
  • wewe kazi unayo

    wewe kazi unayo

    16 August 2012 at 03:11 |
    hao wanaokufagilia pumba zako nahisi wanaishi bongo loh pole yenu kama unawalipa manina sana wewe unapeenda kutaka watu wakulambe miguu nyooooh kama unawalipa wakati wanaishi kupitia maku zao kama wewe ulivo huna mbele wala nyuma bwege flani hivi maisha ya kudandia kwa huyo zeruzeru wako loh kibanda bongo huna mashamba mbwiga tu mrs misifa ndo ilokujaa pole yenu
    • NSHOMILE

      NSHOMILE

      16 August 2012 at 04:10 |
      off topic ...kwanza uko off topic...alafu kwani wewe waishi wapi? Mbona umeingia humu kucomment? Yaan unajidai haumfagilii Mange wakati umepoteza muda kucomment...eemmbbuuu tutokee...na mie ndo mmoja wa maendless fans...na naishi Columbus Ohio...kitu USA...UNAPAJUA UNAPASIKIA!
      • Muke Ya Albino

        Muke Ya Albino

        16 August 2012 at 08:01 |
        Mefan na niko Switzerland, Geneva working with the UN my dear wengi tunaingia humu for fun please "wewe kazi unayo" usiwe na dharau hivyo kwani kuwa bongo ndio nini?? kuna watu wako bongo na wana upeo wa mambo kuliko wewe huko uliko na humu ndani jamani kuna watu wa rika zote, elimu ngazi zote na watu from all angles za dunia hii msione watu wanaandika humu kumsifia Mange mkadhani ni washaaaaamba NO NO NO naamini wanafanya ile kitu roho yao inapenda na si kwamba eti ni maajabu wanayaona kwa Mange. wana u-turn tuache dharau za kijinga, kwani heshima ni kitu cha bure ila mtu akikuchokoza ooooooh ruksa kujibu mashambulizi hahahahahaha! I love you all maana nikiboreka najiburudisha na comments za humu ndani. MDUMU miaka 10000
        • Mshamba

          Mshamba

          16 August 2012 at 08:13 |
        • Anonymous

          Anonymous

          16 August 2012 at 10:44 |
          Natamani nikutafute dada ulie geniva,tuwe ata marafiki
          • Muke Ya Albino

            Muke Ya Albino

            16 August 2012 at 21:08 |
            Uko pande ipi my dear? Hakuna lisilowezekana chini ya jua... ...blowkiss
        • Anonymous

          Anonymous

          16 August 2012 at 19:27 |
          unafanya UN kama mfagiaji au mfuta vumbi...mbona u don't sound ki-UN!
          • Muke Ya Albino

            Muke Ya Albino

            17 August 2012 at 07:41 |
            When you are in Rome do as the Romans do.education
        • wewe kazi unayo

          wewe kazi unayo

          17 August 2012 at 14:16 |
          mko majuu lakini washamba wenzangu loh pole zenu sn inavyoonekana hamna kazi za kufanya na kusonga mbele na maisha yenu wakati hamlipwi loh poleni angalieni maisha yenu kwanza wacheni umbwiga wa kumsifia huyu mashauzi na mie sioni hata cha maana wala kikubwa maana wabongo wakisikia neno majuuu ndo kazi kama hii mlonayo nyie basi na kama mko nje ya tz inavyoonekana badoo sana nawapeni pole yenu sana mie cnaga muda kabisa kama mlokuwa nao nyie mabarazuri ushamba mzigo kinachowashangaza huyo mzungu au nini loh maskini wa elimu nyie
          • DESPERATE HOUSE WIFE

            DESPERATE HOUSE WIFE

            17 August 2012 at 18:38 |
            ETI MASKINI WA ELIMU? WENYE ELIMU WANAANDIKAGA UTUMBO KAMA HUU WAKO? ATI HUNA TIME, MBONA UKO HUKU KILA KUKICHA NA TUMESEJI TWAKO TWA HASIRA?we hater YANI WEWE NDO WALE WATU KWASABABU WAMEONJA MAJUU BASI WANAJIONA WANAJUA DUNIA LMBAO...

            WAMAREKANI WENYEWE WANAWASIFU NA KU WA WORSHIP WATU KAMA KINA KIM K KILA DAKIKA... CHA AJABU NININI? HATUSHANGAI MAISHA YA MANGE, TUNAENJOY KUMUONA HUMU, SHE SIMPLY ENTERTAIN US. TRUST ME, KUNA WATU WANAMAISHA YA JUU KULIKO MANGE LAKINI WAPO HUMU PIA KWA RAHA ZAO.

            GET A LIFE OR USE YOUR EDUCATION IN A BETTER WAY!!!!
      • Anonymous

        Anonymous

        16 August 2012 at 08:27 |
        i had been in columbus, ohio jamani kubaaayaaaaaaaaaaaa kama kijijini na hanging traffic lights zao
        • NSHOMILE

          NSHOMILE

          16 August 2012 at 18:40 |
          ...Mdau wa Geneva big up sana, kweli mkataa kwao mtumwa...wengi wetu tumetoka huko huko and we proud of being Tanzanians...the point is Mange ana fans all over the world. na tunampenda bure!
          Alafu wewe unaepasema Columbus, wewe uko wapi? Too late now, usije ukatudanganya uko level za kina Mange Miami, kitu one bedroom apartment kwa week sii chini ya dollar $525...sasa kama mie mbeba box na mwosha vyoo naweza kuweka hata username yangu na nachingia point kuhusika, ssmbuse wewe anoy uliekurupuka kuchangia kama 'wewe kazi unayo'?
      • Anonymous

        Anonymous

        16 August 2012 at 19:22 |
        yaani unaishi Columbus unatangaza, seriously! COLUMBUS hii nayoijua mimi au kuna nyingine. kuna miji mingine mngekuwa mnanyamaza tu kuitaja at least ungedanganya unakaa New York au walau Chicago, but Columbus!gimme a break!
        • NSHOMILE

          NSHOMILE

          17 August 2012 at 02:20 |
          ...ukibishana na Mjinga you become one! Kwa nini nidanganye nakokaa? Am proud of where i am and what I have, iwe Katoma Bukoba, au Columbus Ohio. Ndo nyie mnaodharau makao na kazi za wenzenu, mbona unakokaa hutaji? Au ndo uko New York na Chicago...lol!...weee HATER TUU...pasema uchoke, maneno hata kwenye Khanga yapo, hayanibabaishi!!!
          • NSHOMILE

            NSHOMILE

            17 August 2012 at 13:11 |
            ...Alafu wee bibie unaekuja Columbus for likizo...lol, ukitaka kudanganya unakokaa uwe unasema sehemu za maana sio unazoziona kwenye tv na kuzisikia tuu...go with LA..aahh ngoja nkutajie...Los Angeles, Texas. Florida, Atlanta na Massachusetts, Tembea uone, sio Chicago!! Tena usikurupuke!
        • wewe kazi unayo

          wewe kazi unayo

          17 August 2012 at 14:22 |
          shosti c ndo ushamba mzigo ndo maana anababaika na mzungu na sijui kinachomshangaza kwa mange kitu gani na ushamba wao kumbe yupo uswazini eeenh loh pole sana angalia yako sio misifa humu ya kijinga na hulipwi kumbe unapigwa na njaa na ugumu wa maisha loh pole bi dada kazana labda utapewa japo kidogo na misifa wenu
    • BEAUTIFUL

      BEAUTIFUL

      16 August 2012 at 07:57 |
      bitchomgRIPwe hater
      Mdomo nyumba ya maneno hata ukiweza tukana na uweke bango amstadm,mwalm nyererr kila mtu akifika pale apte jua.utakufa nalo bibi linakuchokoa rohon.Mange wajaze wajae weraaaaaaaaaaaaaawaveswaves
    • Point five wa kizaramo

      Point five wa kizaramo

      16 August 2012 at 08:39 |
      Umekuja lini mwenzetu mbona unaonekana unahasira?fan
    • TUNDA

      TUNDA

      16 August 2012 at 11:24 |
      Wewe kazi unayo mwenyewe ndio maana umetoroka hospital ya mirembe... mimi naishi Denmark na ninaingia hapa kujifurahisha macho ni vibaya?? Mange ataendelea kuwa mange na wewe utaendelea kuchungulia uku na kujipasua kichwahakunaga Kama Uturn... tuondolee ugonjwa wako hapa.
      • wewe kazi unayo

        wewe kazi unayo

        17 August 2012 at 14:26 |
        uko denmark lakini unanuka njaa shoti ndo maana mange anakulipua roho za hiyo rangi kutwa kusifia na kutaka kuwa fans wa ushuzi na mavii pole piga kazi acha promo za kipuuzi yeye anakula kwa maku yake wewe kutwa kuona vya kushangza tu changa hela hizo ukapate japo kibanda umpite huyu mshamba wa kipare loh washamba wakubwa nyie
        • DESPERATE HOUSE WIFE

          DESPERATE HOUSE WIFE

          17 August 2012 at 18:33 |
          OMG MBONA UNA HATE HIVYO MSHKAJI? WHAT'S UP?????? YANI UNAHASIRA BALAA.. SASA WEWE NA SISI TUNAO SIFIA HUKU NANI ANASHIDA? YANI UNA SOUND UNAWIVU MASKINI KAMA NINI.. WHAT'S WRONG? LAZIMA UNASHIDA FLANI SI HIVI HIVI... OH KIBANDA, OH INVEST OH NYIE NDO MNASHANGAA... SWEETHEART UNAGOMBANA NA WATU WALA HUWAJUI? WATU AMBAO WANAONA KUKAA SIJUI NEW YORK OR LA NDO MAISHA MPAKA LEO HII NAWAONAGA NDO WASHAMBA WA KUFA. SERIOUSLY... GET A LIFE. NAKUSHAURI ANZA KUWA HAPPY UTAENJOY MAISHA ZAIDI, AU KAMA VIPI USIINGIE HUKU JAMANI. KHA.. THIS IS SAD..we hater NA HUYO MWINGINE ANAYESEMA ATI ADANGANYE ANAKAA KWINGINE NA SI COLUMBUS??? DAMN WEWE NI MSHAMBA KWELI.. HONGERA ZAKO KWA KUKAA LA AU UNAKAA KABISA BEVERLY HILLS? UNANINI AMBACHO WANAOKAA COLUMBUS OHIO AU MONTANA HAWANA? HAHAHAHAHAHA U JUST MADE MY DAY.....
    • kayemba ney

      kayemba ney

      16 August 2012 at 13:10 |
      Wewe karagosi usituharibie hewa kwa ushuz wako wa yai viza.U-turn fans tuna kaz zetu na wasio na kaz wanabiashara zao za ukwee na hata wasiokua na kati ya hivyo it6s either wanasoma or their rich hubbies doesn want them 2work.We utakua ni msukule nyoko weee kama we unauza hiyo hilo jaba lako then huku umepotea njia jaribu sehemu ingine kima wa blue weee
      • SEYDOU

        SEYDOU

        16 August 2012 at 17:12 |
        Shoga umejuaje mim nipo kwenye kiduka changu hapa cha laptops na camera tena mkoani ila ni fan wa mange namba moja. Huyo dada naona kapotea njia, Embu aende zake huko.
      • wewe kazi unayo

        wewe kazi unayo

        17 August 2012 at 14:31 |
        washamba wakubwa nyie mnalipuka na rangi na nyie mwafa njaa kazi mtakuwa nayo nyieee kazi za kulipwa mshahara vieuro 800 ndo mtasema mna kazii acheni ushamba pindeni migongo mdundulize mpate japo vibanda kutwa mnashangaa ya mange mie wala sioni ya kushangazwa hapa alaaaah huyu mswazi wenu na kujifanya mnampa cheo bureee wakati mswahili tu ushari kauweka mbele yeye hana lolotee mnampa bichwa buree pole yenu
      • Sensitive Samurai

        Sensitive Samurai

        17 August 2012 at 15:28 |
        cheercheers UMENIFURAHISHAJEhahaha KIMA WA BLUE

        hakunagaceo
    • riwe90

      riwe90

      16 August 2012 at 21:33 |
      hujalazimishwa kukoment WW KAZI UNAYO,we hater usituharibie hewa, kaogeslapping
      mangeblog
    • Andunje

      Andunje

      16 August 2012 at 21:49 |
      sasa ndio umuite mzungu wa watu zeruzeru,we umeolewa na nani? mlete hapa tumchambue,gegedu chumvi we!we hater
    • Kijaruba

      Kijaruba

      16 August 2012 at 23:31 |
      education

      Kwanza hapa hata Mange mwenyewe anajifunza vitu kibao kutoka kwetu na sisi tunajifunza vitu kibao kutoka kwa watu mbali mbali.

      Ngoja nikwambie hivi

      "Knowledge is three hand spans, the first breeds arrogance, the second breeds humility and in the third, you realise you know nothing." [Sufyan ath-Thawri]

      Sasa wewe shosti uko kwenye FIRST CATEGORY, wenzio tuko kwenye Third category ndio maana tunakuja huku kujumuika na Wabongo wenzetu walioko Nyumbani na kokote duniani ili tujifunze kwa sababu in this world you cant know everything!!

      sonyafan
      • wewe kazi unayo

        wewe kazi unayo

        17 August 2012 at 14:35 |
        kujifunza nini haya mashauzi yasokuwa na kichwa wla miguu mwenzangu pole unakuja kujifunza ushamba tu hapa loh poleni jamani maendeleo gani alofanya ambayo mnajifunza loh dundulizeni hela mumpite mswazi wenu maana mshamba wa rangi kama nyie loh mwanzo c aliopoa kiwi ile basiii alivoona nyeupe akili imemruka loh
        • Anony

          Anony

          17 August 2012 at 22:15 |
          kilichokuleta huku ni nini kama si nawewe unatafuta kitu, yupishe lijitu weye.
        • Kijaruba

          Kijaruba

          17 August 2012 at 23:29 |
          THANK YOU SO MUCH DARLING FOR PROVING ME RIGHT!!

          education

          NENDA SHULE ANGALAU UVUKE HIYO CATEGORY YA ARROGANCE!!

          whew!whew! Watu wengine vichwa vyao vigumu kweli kuelewa simple falsafa, hivi ukute ninaongea na mtu hata maana ya Arrogance hajui. Wewe ndio design ya kununua vyeti kwenye mtandao kisha unasingizia umesoma. Kwa mfano mie leo nimejifunza kitu kimoja kuwa jina lako ni REFLECTION YA MAISHA YAKO AU JINSI ULIVYO.

          Ni kweli KAZI UNAYO, maana unavyokazana kuhangaika na watu huwajui hawakujui, kama sio ujinga ni nini? Eti washamba sijui wanalipwa Euro 800 sijui nini, hata kama hawana senti 5 wewe inakuhusu nini? Wanakula kwako, wanakuomba uwalipie internet?

          Anyway naona stress za maisha zinakupelekesha kiasi ukimuona mtu ana raha zake unakasirika. Unaweza kusema shida zako tukakusaidia humu? Nini mbaya? Una shida ya plot nikupe Kigamboni? Au unashida ya shamba nikakutie eka 10? Ni nini mbaya? kodi ya nyumba inasumbua nikuweke kwenye bangalow langu Kunduchi miaka 2 ukae bure upumzishe akili yako? My house is empty nimemtoa mtu juzi baada ya kukaa miaka 2 bure, namalizia kufanya finishing na ina umeme nitakulipia mpaka umeme. Nini mbaya? Uko ulipo hauna makaratasi? Sema nikuunganishie upate AMNESTY upewe makaratasi. Nini mbaya? Bwana uko nae anasumbua kichwa chako? Sema tumwambie Nai Nai akushushie dua ya nguvu bwana wako atulie nyumbani? Ni nini mbaya hujapata lunch leo mchana au bills zinasumbua? Weka Bank details zako hapa tukutumie pesa kwenye akaunti yako kwa SWIFT umalize matatizo yako madogo madogo!! Hapa umefika, sie hatujui kutukana kama wewe unaetutukana kila siku kwenye blogu yako tunakuangalia tu kwa sababu mtu mwenyewe CHOKA MBAYAAA!!!
          • Mshamba

            Mshamba

            18 August 2012 at 05:49 |
            Hats off Kijaruba. Yaaniukojuu
          • mahips

            mahips

            18 August 2012 at 09:43 |
            haaa kijaruba umeniua mbavu zangu.... nakushukuru umemaliza kila kitu,
          • wewe kazi unayo

            wewe kazi unayo

            18 August 2012 at 21:46 |
            maskini ya mungu unajifanya na kujitahidi ili boss wako akuongeze mshahara wa mihayooo tu loh poleni nyie maskini nyie safisheni macho humu,unajitahidi kuorodhesha shida zako humu mie ningekuwa na shida nisingepapatika kama wewe kusifia upupu humu na kuviona vya ajabu humu loh nahisi uliazima laptop ya madame kuandikia upupu wako na mguu kuuchanua wa maskini pole sana muke ya mnuka njaa weeeeh loh huna lolote hapo ulipo mshamba ndo zake kumsifia mshamba mwenzie,nyooooh shamba utakuwa nalo wewe huyo boss wako tu hana hilo shamba sembuse wewe zenat utalitoa wapi loh angali maisha yako humu changamoto gani utayoipata humu zaidi ya kujiongezea uswazi humu na mashauzi yalokosa maendeleo loh poleni sana vizee vya mange a.k.a muke ya zeruzeru na atawapeleka sana si anajua nyie wapiga mihayo na njaa hapo mlipo soda zenyewe mnakunywa watu kumi chupa moja hela mtaitolea wapi mnanyodo hizo loh na anajua kuwapeleka misukule yake ya mbagala sijui tandika nahisi hata hizo europe hamzijui ndo maana mwapapatika na picha hz loh piga kazi mtalala njaa mkisubiri mshahara wa mange wa hewa tupu na kajua kuwashika mambwiga nyie
    • Tajibeba

      Tajibeba

      17 August 2012 at 11:07 |
      we hater yani laiti ungejua sisifan waceo tunamaisha gani ungeenda fastashower ili utoe utoko ulokuganda niaka miwili sasa. i dont need Mange to pay me anything because my pay that im agetting is enough to keep me and my family na chenji inatosha kukulisha wewe na ndugu zako na nyingine ya kumtumia bibi yako kijijini kila mwezi na bado inabaki manina zako nenda kakojoe ulale.
  • mbeba mabox

    mbeba mabox

    16 August 2012 at 03:29 |
    CEO,

    Bangkok will be happy to have you back 24/7.

    Well walisema huwezi kuja marekani, so now it will be new topic huwezi kurudi bongo.. kwi kwi..
    Stay blessed honey..
  • Chaumbea

    Chaumbea

    16 August 2012 at 04:00 |
    Mange mbona Yule bloger Wa sura sambusa Wa London mwizi Wa mume Wa mtu anawekaga comment za jina lako? Mwisho Leo tu Nimeona huko!! Sisi tukimtaja hapa itakuwa tabu? Yule sura yake ina pembe mashavuni,Yule anashinda ubalozini yuleee kazaa na mume Wa mtu yuleee kafanana na betina Wa gazeti la sani yuleee!!!freedom mniwacheeee miaka 1000000000000
    • c's mum!

      c's mum!

      16 August 2012 at 08:22 |
      ha ha ha ha! nimekupenda bureeeeeeeeeee chaumbea wewe! lol
      • kuntuafro1

        kuntuafro1

        16 August 2012 at 19:47 |
        CHAUMBEA hell to the big no, HATUDANGANYIKI wala hatupotezi muda kwenda huko kwa blog ya ndug yako kuangalia kama AMEWEKA JINA LA CEO WETU.Kama umetumwa mwambie aliyekutuma tuMEHAMA NA WALA HUJUI TULIKOAMIA.
        • DESPERATE HOUSE WIFE

          DESPERATE HOUSE WIFE

          17 August 2012 at 18:40 |
          cheerslmao KUNTU
    • Tajibeba

      Tajibeba

      17 August 2012 at 11:14 |
      hukatazikwi he heh ehe mbishi kweli wewe kweli toa dukuduku lako bwana atiMJchase
  • jumeirah Beach

    jumeirah Beach

    16 August 2012 at 04:23 |
    Jamani acheni uwongo dubai gani asiyoruhusiwa? Msiongee vitu kama hamvijui dada wa watu kaondoka mwenyewe na siku anaondoka nilikutana nae airport anasafiri kama wasafiri wengine na mwanae hana pingu wala nini nA hao wenzie wenzie gAni? Umbea tu na uongo.ningekuwa sikumuona ningeamini lkn nimemuonA mpaka anaingia ndani! Wanafiki wakubwa!
  • Mshamba

    Mshamba

    16 August 2012 at 05:08 |
    Pole sana. Ninaamini kabisa ni ile iliyokuwa kwenye Topic a TID. Hata mimi nilishtuka kwa nini imewekwa na nilihisi 100% kuwa itakuwa na beef. Kidogo nikuandikie Mange kuhusu kuitoa sijui ikawaje ikanipita (jana kulikuwa kuna post nyingi kwa hiyo muda wa kucomment kwenye zote ulikuwa mdogo). Pole sana kwa kutoiona na kuiweka I hope huyo mtu na mkewe wataweza kuelewa ilikuwa kimakosa.
  • TBL

    TBL

    16 August 2012 at 08:43 |
    NOTED.. Ntarudi baadae
  • Not Hater:

    Not Hater:

    16 August 2012 at 09:03 |
    Hata hujapendeza,kama umetoka kulala....uso umekuparama.
    • c's mum!

      c's mum!

      16 August 2012 at 17:10 |
      na we mishavu yako imenyorodeka ka bwimbwi la nazi! mwana mtoka pabaya we!hurl
  • Dee

    Dee

    16 August 2012 at 09:06 |
    HIE, WAS JUST CHECKING IF THE NAME REGISTRATION THING WENT OK FOR ME!!!!
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 09:19 |
    freedom kama wanaona kinawaumaaaaa basii...wakuache
  • riwe90

    riwe90

    16 August 2012 at 09:41 |
    msimuudhi CEO jamani,
    • Jitu

      Jitu

      16 August 2012 at 10:03 |
      Maaanina
      • c's mum!

        c's mum!

        16 August 2012 at 17:12 |
        haya na we yaliyokusibu mpaka kumtusi mwenzio! au ndio unajifundisha matumizi ya maneno!! uso mpana ka nyungo za msibani!
        • Mshamba

          Mshamba

          16 August 2012 at 20:32 |
          C's mum sio vizuri ulichonifanyia. Yaani nimecheka mpaka nimelia na kidogo nipaliwe huku kicheko kikiendelea nilipounganisha na mpana kama pazia labour. Yaani wewe kiboko! Unayotoa wapi haya maneno jamani? Thanks for the much needed laugh!
          • c's mum!

            c's mum!

            16 August 2012 at 22:03 |
        • riwe90

          riwe90

          16 August 2012 at 21:45 |
          huku tupo wastaarabu tu, matusi hatuyajui.we hav no time kujibizana na wasio wastaarabumangeblogkanuna
        • Kijaruba

          Kijaruba

          16 August 2012 at 23:34 |
          rolling on the floorrolling on the floorrolling on the floor

          Mahoka mama mbavu zangu weee hahahahahaaaaa Uwiii, WE ARE HERE TO STAY!!
  • riwe90

    riwe90

    16 August 2012 at 09:42 |
    kina nani tena hao wanataka kukuudhi Mange wetu
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 10:10 |
    wewe mange msenge kweli
    • c's mum!

      c's mum!

      16 August 2012 at 17:09 |
      msenge hawara yako anayekukopa kila kukicha! jicho ka fungutua! hebu tupishe huko, kwani mpaka umtusi?? nyooooooooo!
    • Anonymous

      Anonymous

      16 August 2012 at 19:29 |
      HATING WONT GET YOU NOWHERE IN LIFE
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 10:35 |
    bayaaaaaaaaaaaaaaaa
    • c's mum!

      c's mum!

      16 August 2012 at 17:40 |
      kamata duster, fasta sana kafute mavumbi mawingu! naona karibu utatufia hapa kwa jazba!argue
  • mankajuu

    mankajuu

    16 August 2012 at 10:40 |
    Uko sahihi mwaya Mange! Bomgo ni nyumbani ni lazima ujihakikishie usalama!ceo
  • mankajuu

    mankajuu

    16 August 2012 at 10:41 |
    Uko sahihi mwaya Mange! Bomgo ni nyumbani ni lazima ujihakikishie usalama!ceo
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 10:51 |
    WATU MNA CHUKI ZILIZO PITILIZA,KIBAYA ZAIDI MNABISHANA NA MTU WHO IGNORES,ANAWAONA WASHAMBA TUU NA MACHUKI YENU MAANA NI WIVU UNAWASUMBUA,SHE ONLY HERES BLA BLA BLA BLA COMING FROM YOUR STINKING MOUTH'S TO YOUR KEYBOARDS...EEEIIISHHH KAMA MNAMCHUKIA MWAJA KUFANYA NINI HUKU MXIUUUUUUUUUUUUUUUUUU MTUWACHCHEEE MIAKA 99999999999999999 YANI HAITAKUJA KUTOKE BLOG KAMA HII EVER IN TZ YANI WE ALPHA AND OMEGA MTAKE MSITAKE.....mangeblog
    • Anonymous

      Anonymous

      16 August 2012 at 19:17 |
      BONGE LA POINT MDAU! WANAJISUMBUA TU KUMTUKANA HUKU MWENZAO ANAKULA MAISHA BILA WASIWASI NA NDO KINACHOWACHOMA MPAKA ROHONI HICHO!! LOOOHH MNAMCHUKIA MWANAMKE WA WATU WAKATI HAJAWAFANYIA BAYA LOLOTE KAAH!! SURA KA CHUPI ZISIZOSUUZWA!! MMSXXXEEEWWW HEBU TUTOKEENI NA ROHO ZENU ZISIZOJUA KUFURAHIA MAENDELEO YA WENGINE!!shotsfired
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 11:19 |
    mji mkuu wa wasomi reading england mijimama iliochokaa na manchester labda london aka londoni muache miaka mia eti sura za sambusa shut up mijizee iliokomaa
    • Anonymous

      Anonymous

      16 August 2012 at 19:24 |
      kwani uzee ni ugonjwa. afadhali wenzio wamezeeka wamshaenjoy maisha, wewe utakufa kijana
  • murembo by nature

    murembo by nature

    16 August 2012 at 11:37 |
    jamani mie mniweke tu jina langu ndo umaarufu wenyewe ..msiogope
    mabifu yapo tu hata ukijifungia ndani
    halo ya supu ya pweza kuongeza nguvu
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 August 2012 at 12:46 |
    baby isijekuwa tu unampa da Zenat aaupdate comment zetu,,,nikijua ntaandamana,,,
  • matem

    matem

    16 August 2012 at 14:01 |
    jamani mi naishi manzese uwanja wa fisi,wanaoishi swizerland na ohio na wherever you can mention karibun uwanja wa fisi.
  • makubwa haya

    makubwa haya

    16 August 2012 at 14:06 |
    wakirudia nislapping

    alafRIP
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 14:41 |
    Mie sijawahi ku-comment humu ndani ila mara nyingi baada ya kazi zangu kwenye mitaa ya saa 9mchana huingia humu ndani kusoma comments ili nipate burudani, na kweli humu ndani kuna burudani. I like your attitude Mange, sijui kwa nini watu wana shida na wewe kutuwekea maisha yako humu ndani. Mbona huwa tunakaa kwenye ma-TV yetu tunawaangalia "The Kardashians" hata wengine hatujawahi kuwaona. Si bora huyu mbongo mwenzetu ambaye tunamfahamu! It is her life if you dont want what she is posting then sepaa! Usiingie humu. It is my first time to comment humu ndani imenibidi niseme hasa kwa wale wanaoboreka kwa sababu Mange kaweka maisha yake humu ndani. Mwaya wengine tunapenda fashion so we want to see leo umevaa nini, umeenda wapi,Kenzo leo anafanya nini, na hata huyo Lance, Nawasilisha. Mwaya mie unanimaliza! You are the hell of a character and a strong woman!
    • Anonymous

      Anonymous

      16 August 2012 at 19:27 |
      EXACTLY!! YANI MANGE ASIISHI MAISHA YAKE MADAI ANAWAPOTOSHA WATU. THIS IS HER LIFE, THIS IS WHO SHE IS YOU DONT LIKE IT KAJINYONGE NA BIG G KWENYE BULB!! NA NYIE MNAOMCHUKIA I AM 99.9% SURE KWAMBA HAMNA KITU KIBAYA ALICHOWAFANYIA BASI TU MNAFATA MKUMBO WA KUMCHUKIA ILA MASKINI SHE MINDS HER OWN BUSSINESS AND THE BEST PART IS HANA MDA NA NYIE HATERS COZ WAPO KILA KONA... LIVE YOUR LIFE HONEY AND I KNOW THAT YOUR A WONDERFULL WOMAN AND DONT STOP BEING WHO YOU ARE JUST BECAUSE SOME PEOPLE HERE CANT GET OVER THEMSELVES... APART FROM THE HATERS MANGE I DONT HTINK YOU KNOW BUT KUNA WATU WANAOKUPENDA MORE THAN YOU COULD EVER IMAGINE... JUST KEEP DOING YOU WE GOT YOUR BACK...blowkissfan
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 14:52 |
    igaufe Mi naomba niwe mmbea mh!! Huyo sintaharisha anajishaua nini wakati ndoa imemshinda au anafikiri hatujui na mtoto kamtelekeza huko Uganda! Lol. Ananiboa.
    • c's mum!

      c's mum!

      16 August 2012 at 17:15 |
      tena una PHD ya ukuda! si mmekatazwa nyie kuleta story za TAZARA huku NASA!? haya tuma salamu!
      • SITAHARISHA

        SITAHARISHA

        16 August 2012 at 20:35 |
        mmwaahh! my c s mum
        • c's mum!

          c's mum!

          16 August 2012 at 22:06 |
      • Kijaruba

        Kijaruba

        16 August 2012 at 23:42 |
        kubwa

        Wape wape hao wameiga majina yetuu wee ola! wammtutukana weee olaa sasa wanakuja kujicomentia huku ili tuende tukaone, hatuendi ng'ooo.

        Na nyie wabishi ngoja niwaambie kitu, siku moja za nyuma huko wakati issue iko hot hot Mange anaelezea humu, si nikajitia kiranga kwenye kuchungulia huko? Mama weee si minyoo hiyo niliyotoka nayo, computer yangu ikawa infected inatuma email pasina kutumwa tayari MINYOO!!Faster nikaeclean lakini hapo tayari nimeshatuma tule tuemail sijui open this link. Aibu sasa nikawa natamani email nyingine nizizuie zinaenda mpaka kwa watu ambao yaani hata kusema humu siwezi. Nyie nendeni tu mkazoe minyoo na virusi huko ndio mtakoma kama mie nilivyokoma!! SIDANGANYIKIIII
        • Anonymous

          Anonymous

          17 August 2012 at 04:41 |
          YAANI BORA USEME WEWE!! UKIINGIA KULE KWANZA UNASKIA KICHEFCHEF NA UNATOKA MWENYEWE BILA KUAMBIWA MAANA MMHH WENYEWE TUSHAZOEA VITU VYA KUSLIDE BILA KUKWAMA HUKU UZUNGUNI KWETU HADI RAHA LAKINI UKIENDA KULE KWANZA HILO LISURA UNALOKUTANA NALO KAAAHHH!! NIMEKOMA!
      • Anonymous

        Anonymous

        17 August 2012 at 16:17 |
        NAONA UMEKOMA KWELI KWELI! UMESHIKA ADABU ZAKO MWENYEWE ZIKAKUSHIKA, BAADA YA CEO KUKUPA ZA USOslapping
        HAHAAAAAA NICHEKE MIE
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    16 August 2012 at 14:55 |
  • MUKE YA JUMA NATURE

    MUKE YA JUMA NATURE

    16 August 2012 at 16:24 |
    Samahani naomba umuulizie JLO a.ka. kuku wa kienyeji A.K.A muke ya mac anthony "Aliolewa na amezaa mtoto
    kamuacha huko Uganda, sasa mbona anasema wanajua kuolewa tu hawajui
    kutoka? anajiashua nini na katelekeza mtoto wake huko Uganda au
    anafikiri hatujui? Mpyuuuu. Tafadhali usiweke jina langu.
    • TMK

      TMK

      16 August 2012 at 21:57 |
      kwendaga huko!
  • MISS U TURN

    MISS U TURN

    16 August 2012 at 17:35 |
    MUKE YA JUMA NATURE UKOME UHUKU C USWAILINI HATUTAKI UMBEA WAKO WA HUKO MATOPENI TENA UKOME KABISA HAYATUHUSU HUKU NDANI...MUONE KWANZA MGENI ULIYEINGIA BILA KUKARIBISHWAmangeblogmangeblog
    • riwe90

      riwe90

      16 August 2012 at 21:49 |
  • kiruu

    kiruu

    16 August 2012 at 18:16 |
    hao viziwii wako wap?..hawackii wakiambiwa naceo na kwambiaje ww mwny blog yko huko mtaa wa nanemangeblog
  • domokaya

    domokaya

    16 August 2012 at 21:04 |
    wewe muke ya nature wewe peleka miguu ya kuku huko huko,uswazi jazz band wakubwa nyie,
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 21:31 |
    OURceo hii picha ulivyo cheka umefanana na rafiki yako Lorna Mashiba
  • prettysasha

    prettysasha

    16 August 2012 at 23:20 |
    My mouth is sealeddanban
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 23:23 |
    uturn forever uzee upi mahangaiko yenu mpaka mnanuka shida tabu mawazo hamjaaga makwenu nini wengi wenu hio reading yote hamna mwenye mana mdau wa londoni mbona kutwa mnatia timu huku simmbakie humo mishamba mara yangu ya mwisho kutembelea mijangulo ilikua three yrs ago patapicha reading wa bongo miozo mitupu wajanja washakimbia wote roho chafu
  • Kijaruba

    Kijaruba

    17 August 2012 at 00:22 |
    Lolest Mange ni bora kuwa kama TID aliyekataa kujibu maswali Wabongo wasije wakampiga bure.

    Nimeipenda interviews yake; ni sawa na humu mbona kuna majina mengi tu yakujicomentia humu yetu wenyewe? Why bring other people's name here!! Naunga mguu hoja!!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    17 August 2012 at 01:27 |
    Bila hawa hater nadhani blog yetu itaboa sana wao wamekuwa kamachachu humu ndani ingekuwa vipi kama comment zingekuwa tu za kusifia waacheni bana wanachangamsha blog maneno yao hayabadilishi kitu mababy will continue to do her things kama kawa so waacheni wapige mayowe!baby umewaaaacha miaka 900000000000000000000000
  • Mshamba

    Mshamba

    17 August 2012 at 03:25 |
    Ile shape ya huyo dada uliyomsema hapo juu kiboko!
    • Mshamba

      Mshamba

      17 August 2012 at 06:58 |
      Naona umeshatoa post hiyo kwa sababu amemtaja jina. Lakini hiyo post haikusema vibaya ila kuwa ukitabasamu unafanana ha huyo dada. Kwa hiyo jibu tumeshapata mtu akiweka post yenye jina la mtu hata kama ni ya kumsifia hataitawekwa na itaondolewa. Point taken.

      Marichui uliuliza hilo swali jibu ndio hilo.
  • Anonny Mom

    Anonny Mom

    17 August 2012 at 11:06 |
    Ulibana comment yangu Mange. Wewe pia angalia unavyoanzisha mada. Maana majina yanatajwa kutokana na vile wee ulivyoanza hoja. I think you have learnt a lesson on Lulu and Ray.

    Baya kufungiwa Blogg lakini huko ni mbali sana u turn haitafika maana porojo za humu ni very light haziwezi kumkera mtu sana. mablog mengi yanataja majina kila saa na hayafungwi wala wenyewe hawazuiwi kuingia TZ. Usiwe na presha.
  • muke ya H.B

    muke ya H.B

    17 August 2012 at 14:16 |
    I LUVE YOU MANGE
  • Mshamba

    Mshamba

    19 August 2012 at 06:12 |
  • Karcy

    Karcy

    08 September 2012 at 08:27 |
    You write so hnoetsly about this. Thanks for sharing!
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    18 August 2012 at 16:04 |
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    18 August 2012 at 16:20 |
    Big up Kijaruba. Baaaaaaaas umemaliza Kila kitu.letsparty Tuwaache hao wenye stress zao.
  • Kijaruba

    Kijaruba

    19 August 2012 at 02:27 |
    Hahaaaaa kazi unayo CHOKA MBAYAAA you are reflection of what you are!!

    Hunikuti wala watu wa humu huwakuti kama USAIN BOLT!!

    Acha nikwambie, hapa pesa tatizo ni jinsi ya kuitumia. Nilianza kazi kama Senior staff 1997 wakati hujajua kufua chupi yako na nilikuwa nikilipwa $$$$, sasa wee wa mshahara wa redioni wa laki 3 leo hii utanikuta wapi?
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 05:04 |
    MMMH MWENZANGU MBONA UTAJIUA KWA PRESHA? WE KABISA UNAKAA NA KUPANDWA NA HASIRA KISA WATU WANAFURAHIA MAENDELEO YA BINADAMU MWENZAO?? KAAHH AU NDO WEWE WA BLOG YA USHENZINI?? ISHI MAISHA YAKO BIBI WE HATA UKIKESHA KUWACHUKIA WATU MWISHO WA SIKU KILA MTU HUMU ANA MAISHA YAKE NA HAKUNA ANAEMJUA MWENZIE WENGI HUMU TUNAINGIA KUJIFURAHISHA NA VIMBWANGA VYA WATU KAMA NYIE....KAAH UNAONEKANA WA AJABU!!