15August

TID A.K.A CHRIS BROWN WA BONGO ON MIKASI.......

 

TID IS A LEGEND....MKUBALI MSIKUBALI.... HIS NEW TRACK KIUNO NI BALAAAAAAAA MMEISIKIA???

CHIEF, MMEONA HIZO MOVES ZA CHRIS BROWN HAPO KATI????....HAPANA CHEZEA.....


OMG, GUYS DID YOU KNOW KWAMBA OMMY DIMPOZ KUMBE KAANZIA KWA TID? SASA MBONA OMMY ALIMSHUKURU DIAMOND NA SIO TID ALIPOSHINDA AWARDS KWENYE KILLY MUSIC AWARDS??? THAT AINT COOL MEEEEEIIIN.....

KUSEMA UKWELI HAKUTA KUJA KUTOKEA ARTIST MWINGINE BONGO MWENYE POZI NA SWAGA ZA KIMAMTONI KAMA TID MEEEEEIIIIN.......



I SWEAR TO  GOD IF TID GOT HIS ACT TOGETHER YANI TUSINGEMJUA DIAMOND WALA OMMY DIMPOZ.....REAL TALK!!!!!


ILA FOR NOW DIAMOND ANAKIMBIZAAAAAAAAAAAA............


PS : WALIMU WA KIZUNGU NO NEED KUANZA KUCHAMBUA GRAMMATICAL ERRORS....LOL

Comments (51)

  • Anonymous

    Anonymous

    15 August 2012 at 03:38 |
    afadhali umemleta huku tumchambue kwa nafasi. maana kule kwa salama niliweka my comment akaibania. in short, he needs some serious help....i mean serious rehab!
    • Mshamba

      Mshamba

      15 August 2012 at 05:34 |
      Anony, you have said it all. He started his habit a long time ago and it looks like he is still using. If it was not for this, he would have been very far. Oh well, a price to pay for being a super star. I hope other bongo artists do not fall under this trap/habit.
  • kuntuafro1

    kuntuafro1

    15 August 2012 at 03:50 |
    Kwa kweli anahitaji msaada anaweza akawa na Bipolar disorder like Jesse Jackson Jr.’s.
  • Anonymous

    Anonymous

    15 August 2012 at 03:54 |
    Dude is high!!!
  • tototo

    tototo

    15 August 2012 at 04:38 |
    hahaa, he is very great entertainer by the way what happen to ma beautiful girl Kinana?
    • Anonymous

      Anonymous

      15 August 2012 at 07:48 |
      Yupo anasubiria ndoa.
    • THE TRUTH

      THE TRUTH

      15 August 2012 at 08:08 |
      Kinanasi anatoka na yule mdau mwenye gari zisizo na idadi. tena wamedumu considering he is hot an have got deeep pockets for Kinana to chopchoppopchampgneblowkiss
      • Anonymous

        Anonymous

        15 August 2012 at 12:15 |
        lmao hahahaha embu usidanganye kadamnasi wapo na TID hasikii haambiwi kachujajeeeeeeeee?
        • Walishaa

          Walishaa

          15 August 2012 at 19:58 |
          Walishaachana
        • THE TRUTH

          THE TRUTH

          15 August 2012 at 20:02 |
          Usilolijua bibie litakusumbua sana, wapo na TID ndio ila na yule sponsor wapo nae pia, mambo ya mafiga matau bibie, TID ndo ndoo yule mdau Kidumu.
  • swaumu

    swaumu

    15 August 2012 at 04:51 |
    hivi ile ndoa yake iliishiaga wapi?
  • Anonymous

    Anonymous

    15 August 2012 at 04:58 |
    anaonekana mgomvi balaa
  • Kankuni

    Kankuni

    15 August 2012 at 07:03 |
    • baby ya Mange

      baby ya Mange

      15 August 2012 at 20:01 |
      taratibu tu msituvunjie kitanda humu ndani...lmao
      • JaCq!!ie

        JaCq!!ie

        18 August 2012 at 08:13 |
        lmao Vitanda vya mchina...last on few month ..ukichanganya na ngono..the kitanda will have short life expectancy

        Ngoja ni kuchumblowkiss
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    15 August 2012 at 07:40 |
    Yaani TID aliniacha hoi....mhh! haya
  • Anonymous

    Anonymous

    15 August 2012 at 07:52 |
    Kwa kweli ina bidi na ommy dimpoz ahojiwe ili side zote mbili stori ijulikane but sio kweli kabisa kama ommy dimpo ni mchoyo wa shukran,huyo TID anakimbiwa sana na wasanii kwa kujidai Mungu mtu na nani asiejua kama TID ni mkorofi,huyo mchumba ake kutwa analambishwa vibao.
  • BEAUTIFUL

    BEAUTIFUL

    15 August 2012 at 08:03 |
    TID hs gud bdo hayo mabo mengine ya kibinadam,nlifurahia show alivyokua anakataa kuongelea kuhusu ommy ila salama alikua analazimisha.m naona haina haja ya kuendeleza kitu kama kimeshapita
  • Muke ya sharobaro

    Muke ya sharobaro

    15 August 2012 at 09:35 |
    ooh i lov dis dude jaman sasa huyu ndio sharobaro ukinzingatia hii ndio mikogo yangu hehehehe!nisiongee sana nisije nikafungulia buree but hes super cool hamna hatakae mfikia kwa mikogo...TID na WEMA ntaendelea kuwapendaa mpaka mwisho...
  • Muke ya sharobaro

    Muke ya sharobaro

    15 August 2012 at 09:43 |
    aanzishe reality show jaman itahit sana bongo
  • Popote Cha Ngono

    Popote Cha Ngono

    15 August 2012 at 09:54 |
    kwa taarifa yenu diamond mwenyewe alikua mchezo show wa TID Kabla ya kutoka na ndie aliemfundisha kucheza,aunt mwana mkasi anajua hiyo muulizeni,Tatizo la TID na mambo aliyokua anatumia but naskia kaacha now yuko fine
  • Popote Cha Ngono

    Popote Cha Ngono

    15 August 2012 at 09:54 |
    kwa taarifa yenu diamond mwenyewe alikua mchezo show wa TID Kabla ya kutoka na ndie aliemfundisha kucheza,aunt mwana mkasi anajua hiyo muulizeni,Tatizo la TID na mambo aliyokua anatumia but naskia kaacha now yuko fine
  • kistobe

    kistobe

    15 August 2012 at 10:39 |
    ommy anatakiwaslapping kwa ujinga wa umaarufu na kwafartinface kambi ilio mtoa kaisahau kabisa
  • Anonymous

    Anonymous

    15 August 2012 at 11:29 |
    TID ni mkorofi toka zamani,alikuwa anakajirani masaki kipindi icho yeye alikuwa aikishi na mama yake magorofa ya bima.halafu wakaamaga sikumbuki waliko amia ila alikuwa bado anakuja .kuna kipindi akawaga na beef na mtaa mzima .enzi hizo za hobour crew.akawa akanyagi tena.ni mkorofi toka zamani.
  • c's mum!

    c's mum!

    15 August 2012 at 11:48 |
    USUPERSTAA BONGO??? HEBU MIE NIJINYWEE UJI WANGU WA KUNGUdrinkbeerdrinkbeer
  • Dadaa

    Dadaa

    15 August 2012 at 12:01 |
    Na salama,naomba siku mtu amuulize ayo maswali anayowauliza wenzie.TID ni mchunaji mzuri tu,pole sana kinana huna mchumba.Otherwise TID ni msanii mzuri na anajua kuimba.
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    15 August 2012 at 13:16 |
    T I D wa mujini 100% mzee wa zezeee,, kama wanipeenda kaninunulie zezee nikilala kitandani zeze lanibembelezaaa,,,jamaa huyu he is more of MJMJ chris brown bado mtoto kwake umecheck hiyo moon walkmoonwalker aliyowatolea hata Chris brown kamuacha miaka 80000 heheheh,,kaka anahasira na vijana hehehehe laiti kama hiyo hasira angeiweka katika kazi yake nahisi angekuwa mbali saana
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    15 August 2012 at 13:18 |
    nimependa alivosema im the Obama,im the Benz,,heheheh he is so cool...
  • Mamasaichi

    Mamasaichi

    15 August 2012 at 15:59 |
    I like him, he is crazy but like the way anakataa kujibu maswali na kuelezea hali ya jela kasema tumtupe dogo kwa wiki moja tu alafu aje apa atueleze. hahaha kaniacha hoi aliposema hakuwa amewaza kuongea na rais! he is intelligent! hahaha, "sijawahi date Miss tanzania mwingine, salama leave me alone" nilmecheka hadi basi.
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    15 August 2012 at 18:37 |
    ONE WORD TO THIS DUDE. JIULIZE KWANINI WATU WOTE UNAO CLAIM KUWASAIDIA WAPO JUU NA WEE UPO HAPO ULIPO? WHY CARE SO MUCH KWAMBA MTU HAJAKWAMBIA ASANTE? KAZI ZAKE ULIMFANYIA BURE? KAMA PRODUCER AU PROMOTER IGA HAO KINA DIDDY WA BAD BOY ENTERTAINMENT AMBAO UNA WA QUOTE SANA, AND ALSO KINA USHER, CASH MONEY, LIL WAYNE ETC ETC WAMEWATOA MASTAA WENGI KIBAO AND AT THE SAME TIME NAWAO WAPO JUU BADO, WANAPIGANA KILA KUKICHA, THEY DONT SLEEP... THEY DONT BRIBE NIMEMTOA HUYU NA HUYO NA HAJANISHUKURU SO IM MISERABLE...

    GET YOUR SELF TOGETHER, KAMA UNA TALENT ITUMIE.WORK HARD UTAMFIKIA TU HUYO CHRIS BROWN MWAYA. TEHE TEHE.. WHAT EVER UR USING STOP CAUZE U LOOK INTOXICATED AND TIRED {UNLESS OTHERWISE NDO UKOGO HIVYO)peace
  • Anonymous

    Anonymous

    15 August 2012 at 19:31 |
    MAKUBWA YA MUJINI KHE!!!MANAKE NIMEACHA DOMO WAZI KA DAKIKA TANO HIVI KUHUSU HUYO SALAMA. BUT SHE IS CUTE, IM SURE WASAGAJI WENGI UWA WANAMTAMANI. ANA KAMVUTO FULANI HIVI KA BABY YA MANGE TEH TEH TEH..hakunagakissMJ
    • baby ya Mange

      baby ya Mange

      15 August 2012 at 20:15 |
      shakebutt weeeee Cheupe yuko juuu hehehehheheh watu wanamririyaaaa manake sio kumlilia chezea cheupe weye utarowanisha chupi hahahahah,,licking yani kunasiku tulienda club na Salama nilishuhudia madem wakibongo walivokuwa wanajireta mara offer za drinks mara yani ilimradi tu cheupe awape neno,,,ila Salama punguza kuwa rude sherie na motema hahahah we ni bonge la mtu usiwe hivo bana,,,
  • Anonymous

    Anonymous

    15 August 2012 at 19:36 |
    TID MACHO YAMEMVIMBA UTAZANI KANG'ATWA NA DUME LA NYUKI..ANAVOONGEA POINTLESS SASA MIE MH. MARA MIE LIMOZINI, MIE BENZI, I MEAN NIGGA PLIIIZ!!!slapping
    • Anonymous

      Anonymous

      16 August 2012 at 09:53 |
      kwii kwiii kwiii umenifurahisah sana kwa kweli aliboa
  • village mrembo

    village mrembo

    15 August 2012 at 19:56 |
    am always watching Mkasi and this was the worst interview ever, yani kaboa! and no let's not go to the 'English' issue...we'll be here all day!!!
  • Anonymous

    Anonymous

    15 August 2012 at 20:26 |
    MNABWABWAJA TU! KINANA MWENZENU ASIKII WALA KUONA... MSIDHARAU UDOGO WA BOX, HAMJUI NDANI KUNA NINI.
    • kayemba ney

      kayemba ney

      16 August 2012 at 13:28 |
      Kavimba jicho.kalegea n all tht!Ila gogojo lake liko fitijeeee.Utamu wa boo aujuaye kisimiblowkiss
  • Anonymous

    Anonymous

    15 August 2012 at 20:29 |
    yaani Kinanasi na huyu mkaka ni almasi na chuma kwa kweli. She's so beutiful to be engaged with this muhuni. I am crying right now! Aibu gani hizi, hata kwa wazazi unampelekaje jamani?
  • TBL

    TBL

    15 August 2012 at 21:19 |
    Ni moja ya show za mkasi zilizonibore,sikuipenda kabisa
  • miss u turn

    miss u turn

    15 August 2012 at 21:27 |
    sorry JAMANI TID ANAKIPAJI KWELI TATIZO NI HAYO MADAWA ANAYOBWIYA...YANAMLOSTISHA KWELI KM C HIVYO NI POTEZA MBAYA KWA KWELI.......
  • AliYA

    AliYA

    15 August 2012 at 22:01 |
    Dayana Mkondola ndio usiseme,kanyonyolewaa mpaka ameishia kuwa Alcoholic na kuvuta Bangi 100 kwa siku..
    • terve

      terve

      16 August 2012 at 10:49 |
      eeeh hv dayana nkondola yuko wapi nilisoma nae kibosho girls miaka hiyo naye alikua msagaji mzuri kweli wakakamatwa bwenini wana kgss mnakumbuka.wasagaji juuuuuuuu
  • NSHOMILE

    NSHOMILE

    16 August 2012 at 02:32 |
    ...Wabongo bwana wanafurahisha, yaan mtu akiongea english tuu tatizo, wanaona wamedharauliwa wakati ndo lugha tunayofundishwa shuleni jamani...haaa...love the boy, would date this N any time of a day!
    • Muke ya nanihino

      Muke ya nanihino

      11 September 2012 at 13:02 |
  • kibonge

    kibonge

    16 August 2012 at 04:42 |
    majaribio
  • Anonymous

    Anonymous

    16 August 2012 at 12:48 |
    Mange sikubaliani na wewe, kila mtu anakubalika kutokana na kazi yake bwana, haimaanisha kwamba kukiwa na mmoja anafanya vizuri basi wengine hata wakifanya vizuri hawaonekani, ingekuwa hivyo basi huko marekani wasanii wengi wasingejulikana kisa kuna kina R. Kelly na wengine wengi wa zamani ambao bado wanachat nzuri
  • riwe90

    riwe90

    16 August 2012 at 14:04 |
    TID ni mkali jamani, sema tu hizo drugs ndo znamuendesha siku hzi kawa kama anataka kuchanganyikiwa vile
  • jwamitulinga

    jwamitulinga

    17 August 2012 at 23:32 |
    ha ha ha tatizo la wabongo kuiga. angalia sasa teja yeye na mwenzake ngwea mateja yaan kama ngwea kuna siku kahojiwa na clouds full teja yaa. wana kikundi chao wanajiita wanyama ni mateja mwanzo mwisho yupo dogo mmoja romy jones, babuu wa kitaa adam mchomvu. ngwea ,mdananda na baba yao TId hawa vijana tunawapoteza kuiga u marakani kwa kula poda... dah...hasara kwa wazazi wao.. eti wanyamaa...big up diamond na ommy dimpo fanyeni mambo yenu ya maana.. potezea hawa majunky wala haina haja ya kujibizana na mateja
  • Anonymous

    Anonymous

    18 August 2012 at 01:28 |
    tid Mimi nakupenda, ukorofi wake naupenda, yani unaninyegesha mpaka chili yang inatota jamani, zeze wangu Uko wapi jamani, naumia