Heheheheee somo yangu walikurudisha nyumbani kidogo mboni rahaaa, sasa mwali yule mwenye pink wa mwanzo mie hoi bwana weweee! maana n'totoo wa kike kiuno kimekuwa kigumuuu kusema ubaoo , na kilivyo kizito kusema yale magari ya kubeba n'kaa (Mkaa) ya zamani wanaita JAYFoung sijui. Wazungu hapo walikuwa wanajua neno JAMBO na HAKUNA MATATA lol!, mama mkwe naye yumo havumii kama anasema nacheza ngoma ya mwanangu leoo, au namwaga ladhii mie mjini ananijua nanii hahahaaa
ahahahaha jamajni baba Kenzo is super cute, yaani anayarudi mangoma bila hata wasi wasi!!! jamani baba Kenzo's dance haiwakumbushi Rais wa awamu liyoisha wa Americak Gorge W. Bush alivyo yarudi mangoma Tanzania kipiiindi kile alivyo kujaga? supe cool
hahahhahahahahahah wow this is so nice baby everybody was so happy!!! aww look at ur mother in law,,,awww baby ur couple made in heaven wallahi,,,,awww God bless ur marriage malove....
Namleta mzungu wangu bongo kufunga harusi naye acheze hizi ngoma siyo amezoea kusikiliza Pink Floyd na kutikisa kichwa. My muzungu will like a kind a off wedding like this...japo tumeoana 10 yrs a go US nitafanya anniversary yangu bongo niweke ngoma za asili weeee itanogaje??? I like the way Lance dancing and your inlaw how cute you have got a nice family Mange.... Stay bless.
bahati nimefata kwa mama mambo ya ku danse...wazungu kwa ku KATIKA ni another story hahaha .... U have a beautiful family Mange.
They had a blast with HAKUNA MATATA...
Comments (18)
cockburn
Somo mtwara
Anonymous
Anonymous
Anonymous
m a r i c h u i
Anonymous
baby ya Mange
muke ya jaluo
c's mum!
SITAHARISHA
TUNDA
Tutulicious
Afro-Mdhungu
They had a blast with HAKUNA MATATA...
Anonymous
Point five wa kizaramo
tifa
Mama Zoë