12August

FRIDAY PRAYERS @ THE MOSQUE.....

Baba Kenzo is just too sweet alituelekeza wapi msikiti ulipo na kutupeleka na kutusubiri nje.....

 

Da Zenat and i nje ya msikiti baada ya swala  Ijumaa.......

 

Da Zenat, another musilm sister and i outside the mosque baada ya swala  Ijumaa.....

 

 

 

Muslim brothers wakijuliana hali baada ya swala.....

Comments (111)

  • aisha

    aisha

    12 August 2012 at 17:02 |
    mange am speech less duh allah akujalie dada tushikamane kwenye dini yetu
    • muddy washington

      muddy washington

      12 August 2012 at 20:34 |
      Safi sana hii nimeipenda,wanasema kumcha mwenyezi mungu ni chanzo cha maarifa,kidogo kidogo hivyo hivyo leo kawapa ride mpaka masjid na kuishia nje kesho Inshallah atavua viatu na kuingia ndani kabisa,just tumia uanamke wako vizuri tu muda si mfupi utamuelekeza kibla huyo,si kakupenda bwana lazima apende unachopenda pia.
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        12 August 2012 at 22:29 |
        I DOUBT THAT MUDDY, HE'S NOT GOING.. NAONA YEYE NDO KASHINDA, MPAKA NA MTOTO KABATIZWA LOL
    • Anonymous

      Anonymous

      12 August 2012 at 20:41 |
      kuna watu huwa wanadhani marekani hakuna misikiti,tunashukuru kwa kuwafungua macho,u can practice uislam in us bila tatizo,ukienda Boston,dc ndio mashallah unaweza dhani uko kariakoo siku za ijumaa
      • C's mum R.I.P.

        C's mum R.I.P.

        12 August 2012 at 20:48 |
        kweli kabisa sisi wa manzese darajani mpaka tulikua tunaigopa marekani na mabui bui yetu
        • c's mum!

          c's mum!

          13 August 2012 at 16:21 |
          safiria nyota yangu kwa bidii! ipo cku utakuwa kama mimi! nungunungu we!
          • m a r i c h u i

            m a r i c h u i

            13 August 2012 at 22:15 |
            C'S Mum Mambo ? there is only one Honorable Minister of U-turn Home Affairs , We all know you Ma Dear , relax wape hi Wanangu na Mume wangu Muarabu eheeblowkiss
      • Kifurumwidu sugarmummy ya OK

        Kifurumwidu sugarmummy ya OK

        12 August 2012 at 22:31 |
        Hebu jiaminini na nyie kha,waarabu na wakimbizi wa kisomali walivojaa ughaibuni unadhani haki ya kuabudu wangenyimwa? Ze zunguz are so smart kwa hilo. Misikiti hata huku nilipo ipo ya kuhesabu ila adhan inaitwakelele,..marufuku. Usiniulize wanaitanaje muda wa swala. Mange kp it up na Mungu wako
    • kibonge

      kibonge

      12 August 2012 at 20:56 |
      jaman mange nmeshinda kutwa nachungulia hk na sioni kitu siku yangu ikawa imepoa but now am happy ur back
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    12 August 2012 at 17:04 |
    Mmependezaje sasa na Mavazi yenu...full kujisitiriii.....
    • marikenge

      marikenge

      12 August 2012 at 18:46 |
      Marichui wangu hujambo??
  • mama t

    mama t

    12 August 2012 at 17:10 |
    awwww darling nimekupendajeeee na hiyo hijab umependeza sana.inshaalah mungu akujalie kher daima.
  • wakuja

    wakuja

    12 August 2012 at 17:11 |
    mie msambaa wangu ananielekeza wapi kuna kiti kimoto kizuri ingawa yeye hagusi!
  • bimkora

    bimkora

    12 August 2012 at 17:32 |
    ceo jazakal kheir
  • bimkora

    bimkora

    12 August 2012 at 17:32 |
    ceo jazakal kheir
  • Parrot

    Parrot

    12 August 2012 at 18:09 |
    Honestly Mange ukiwa na make up ur face looks lovely, ukiwa bila make up u look lovely too. U r beautifulheart
  • Anonymous

    Anonymous

    12 August 2012 at 18:29 |
  • marikenge

    marikenge

    12 August 2012 at 18:49 |
    mange pokeblowkiss andcheers to all u-turnersnawhitch
  • Mdau

    Mdau

    12 August 2012 at 18:50 |
    msikitini na weaving? na kucha ndefu? me ni fan wako na ni ndugu yako a muslim sister thats not right. umejitwaharishaje sasa? i amjus asking. uislam masharti ndugu yangu Mange
    • cockburn

      cockburn

      12 August 2012 at 20:28 |
      hayakuhusu! cha muhimu kaenda msikitini. wewe na kucha,weaving zako hata kanisani hujaenda. stop judgingwe hater
      • Muslim Jina

        Muslim Jina

        12 August 2012 at 23:20 |
        Kama hilo wiving sijui mnaita inaweza oshwa maji yakaingia mpaka kwenye ngozi poa na kucha pia km ana hakikisha maji yanaingia kwenye kila sehemu ya mwili inavyostahili sawa ingawa si sahihi kuweka hayo manywele.. kucha sawa ili mradi maji yaingie. ni mtazamo wangu
        • Anonymous

          Anonymous

          13 August 2012 at 20:01 |
          uislamu una masharti yake hauendi kwa mitazamo ya watu haiwezekani usuke weaving na maji yashike kila kona ya nywele na haiwezekani ubandike kucha au upake rangi na maji yafike kona za vidole na kuzipata kucha zenyewe...mange mammi i love yu kupita maelezo ila hapa kidogo umeenda kushoto hope next time utaswali inavyotakiwa kwani utakua hujapoteza muda na swala yako itakua imeswihi....ceoblowkiss
          • Muke Ya Albino

            Muke Ya Albino

            14 August 2012 at 12:19 |
            DO NOT JUDGE AND YOU WILL NOT BE JUDGED, Cha muhimu kamkumbuka muumba wake.
    • primrose

      primrose

      13 August 2012 at 00:12 |
      Mungu ndiye atakayemuhukumu,watu kama nyie ndio mnafanya uislam uonekane mgumu,Mange hana kucha za rangi,hiyo weaving ni ile ya kusuka moja moja nywele,hatujui hata Mungu katupangia nini tuache kufanya hukumu zetu weenyewe
      • HaPPy!!

        HaPPy!!

        13 August 2012 at 03:31 |
        Well said dear, wanafanya uislam uonekane kama ni adhabu, masharti 200 kidogo, lakini at the end of the day, ONLY GOD CAN JUDGE THE REST NEEDS TO MIND THEIR " F " BUSINESS
    • primrose

      primrose

      13 August 2012 at 00:12 |
      Mungu ndiye atakayemuhukumu,watu kama nyie ndio mnafanya uislam uonekane mgumu,Mange hana kucha za rangi,hiyo weaving ni ile ya kusuka moja moja nywele,hatujui hata Mungu katupangia nini tuache kufanya hukumu zetu weenyewe
    • Anonymous

      Anonymous

      13 August 2012 at 01:27 |
      we nawe unahitaji jicho la tatu au?? hiyo weaving na kucha ndefu umevionea wapi?? labda mi sioni vizuri ila sioni cha weaving wala kucha ndefu hapothumbs down
  • JaCq!!ie

    JaCq!!ie

    12 August 2012 at 19:00 |
    Very good ...kumkumbuka mungu ni vizuri sana

    smokesmoke
    • c's mum!

      c's mum!

      13 August 2012 at 16:23 |
      i missed u! ulipotelea wapi?
      • JaCq!!ie

        JaCq!!ie

        14 August 2012 at 02:24 |
        Nipo mpenzi ujambo lakini...Napenda chupi yako umenunua wapi ...lol...i love pink, anyways all jokes aside ...love you more C'Mom...

        don't tell anyone
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    12 August 2012 at 19:18 |
    ceo you have a wonderfully supportive and loving husband, .. ...
    goodluck
    • C's mum a.k.a. R.I.P.

      C's mum a.k.a. R.I.P.

      12 August 2012 at 20:49 |
      Naunga mkono hoja mia kwa mia japo mie sio msukule wake
      • BEAUTIFUL

        BEAUTIFUL

        13 August 2012 at 15:13 |
        MHHHHH NDO USHAKUA TENAletsparty
      • c's mum!

        c's mum!

        13 August 2012 at 16:24 |
        kamwe nakwambia huwezi kuwa mimi! utabaki hivyohivyo! muone kwanza, ndio maana asili yake kwao mabwepande! kazi kupenda shari tu! hovyoooooooooo!
      • Muke Ya Albino

        Muke Ya Albino

        14 August 2012 at 12:23 |
        HAIPENDEZI HATA... ...
      • Sensitive Samurai

        Sensitive Samurai

        14 August 2012 at 15:29 |
        C's mum a.k.a. R.I.P. umetokea kijiji gani vile from which grave yardbitch
        huna la kufanya mpaka umemuandama waziri wetu, and if ur not msukule umekujaje hapa shwaini :chase

        hatimaye my nert is backletspartycheersblowkiss

        mangeblog
    • UMBEA.COM

      UMBEA.COM

      13 August 2012 at 07:23 |
  • Anonymous

    Anonymous

    12 August 2012 at 19:32 |
    sasa ulitaka baba kenzo awaache mngerudije? plus alikuwa anasave gas ya kwenda na kurudi twice
    • Anonymous

      Anonymous

      12 August 2012 at 19:52 |
      Shosti mbona kelele mingi,mengine ni ya kunyamaza.Na kupita tu.
      • Anonymous

        Anonymous

        12 August 2012 at 20:41 |
        freedom jamani watu wakisema ukweli wanatukanwa sasa kosa liko wapi jamani, si mtu anasema anavyofikiria maana, ukiangalia ukienda kwenye google unapata kila kitu miskiti yani kila kitu marekani sio bongo na wewe acha kusifia vitu vya kijinga.
    • like

      like

      12 August 2012 at 20:41 |
      like
  • prettyme

    prettyme

    12 August 2012 at 20:12 |
    May Allah continue to Guide you thru!!!
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    12 August 2012 at 20:27 |
    Tusali sana Watanzaniapraying MUNGU Wetu ni Mwema sana Kwetu hivi ni nani alitegemea Doctor Ulimboka atarudi atatembea ?Sifa na Utukufu zirudi kwako ehee Bwana

    MUNGU NI MWEMA - WAMTEGEMEAO DAIMA WATASIMAMA KAMA MLIMA SAYUNI.....
    • C's mum a.k.a. R.I.P.

      C's mum a.k.a. R.I.P.

      12 August 2012 at 20:53 |
      Hee Sifa na Utukufu zirudi kwa Bwanako gani tena,mi nadhani zibaki kwa Allah tu inatosha yeye ndio mtukufu alieumba mbingu na ardhi,akaumba mito,maziwa,bahari n.k. kwa mapenzi makubwa aliyonayo dhidi yet ili sisi tufaidi mazao yatokanayo na uumbaji wake huo.
      • TBL

        TBL

        13 August 2012 at 15:39 |
        BWANA MUNGU.... KWA WALE WOTE WAAMINIO. ISIWE KESI. HALAFU NAULIZA UHAKUFA UNATOKEA WAPI TENA MAANA HATA UFANYAJE HUTASIKIKA, MUNGU KWA WALIO HAI SIYO WAFU.
      • c's mum!

        c's mum!

        13 August 2012 at 16:28 |
        unakoment chini ya marichui ili uonekane mimi! nimekwambia kamwe hutakuwa mimi! kama naiona midole yako inavyokuwa inatype jina langu, imekomaa ka mwamba moto! wanikeraje sasa??? kutwa kuniota! mtchewwwwwwwww!
        • DESPERATE HOUSE WIFE

          DESPERATE HOUSE WIFE

          13 August 2012 at 19:47 |
          lmaocheerscheerscheers
          C'S MUM HUJAMBO BEST? UNANIFURAHISHAGA SANA !!!
        • maudodo

          maudodo

          13 August 2012 at 21:05 |
          c's mum wala uchangaike kumjibu, kuna watu wanapenda kuchokonoa wenzao ili ujibu uonekane mshari, c tunajua nani fake nani original picha inaumbua shost....
    • Anonymous

      Anonymous

      12 August 2012 at 21:04 |
      Amen,Mari unatumia kinywaji gani?popchampgne
    • marikenge

      marikenge

      12 August 2012 at 22:24 |
      HAWATA TIKISIKAA MILELE DAIMAAAAAA...
    • SITAHARISHA

      SITAHARISHA

      12 August 2012 at 22:29 |
      Toba!
      Ulimboka karudi? Innalillah wainallah wallajiun.
      Best upo?
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      12 August 2012 at 22:34 |
      cheers MARICHUI
    • UMBEA.COM

      UMBEA.COM

      13 August 2012 at 07:24 |
    • TBL

      TBL

      13 August 2012 at 15:37 |
      AMEN.... NA HAUTATIKISIKA MILELE NA MILELE. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
  • msukule wa miami

    msukule wa miami

    12 August 2012 at 20:48 |
    mange wewe ni bab kubwaaaa! mungu anakuonyeshea njia. haijalishi umeenda na kucha au nywele bandia. hao waliofumua manywele mbona hata hawaujui huo msikiti na wamekalia mipasho na kugombea mabwana tuu.fan
  • msukule wa miami

    msukule wa miami

    12 August 2012 at 20:52 |
    mtu kavaa kilemba na baibui limefunika hadi mikono. sasa nyie nywele na kucha mmezionaje wenzangu!???mangeblog
    • BEAUTIFUL

      BEAUTIFUL

      13 August 2012 at 15:16 |
      NASHANGAAAA MWE WATU HAWAKOSI LA KUSEMA JAMANI ACHENI CHUKI NYAMBAFU
  • dada yake Okwi

    dada yake Okwi

    12 August 2012 at 20:55 |
    mange ur so real. wengine fekeroooo!
  • Mdau

    Mdau

    12 August 2012 at 20:57 |
    wakati niko bongo shoga zangu walinipoteza, wadada wa mujini wanapenda sana kwenda kwa waganga, but ULAYA nayoishi mganga wangu MUNGU NAMSUJUDIA na amenitendea maajabu, tumuogope Mungu na ametukataza kumshirikisha shirika shirikina na chekaje sasa wanasema HIRIZI HAZIWASAIDII SIKU HIZI. JAMANI MFANO kwa CEO full ku sali ndio mpango mzima. mkiroga yanawarudia wenyewe kwani nguvu za Manani haziwezekani
    • HaPPy!!

      HaPPy!!

      13 August 2012 at 03:41 |
      Sijui kwanini watu hawaelewi nakubaliana na wewe mdau nguvu za giza always ni temporary lakini za muumba ni permanent..na ukichanganya mungu na uchawi lazima uchanganyikiwe hivi vitu sio vya ku-mix ndio maana tunaona mtu eti anasali sana na bado anapata shida..kumbe ukichunguza na kwa mganga anaenda...PEOPLE YOU CAN'T MIX GOD NA UCHAWI..CHOOSE ONE..smokepopcornkisshump
      • TBL

        TBL

        13 August 2012 at 15:43 |
        HALELUYAH...
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        13 August 2012 at 19:52 |
        TANGU LEO CHAGUA UTAKAYE MTUMIKIA, MIMINA NYUMBA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA. AMEN HALELUYA AMEN!!!
        I CAN DO ALL THINGS THROUGH CHRIST WHO STRENGTHENS ME....cheers
        • Muke Ya Albino

          Muke Ya Albino

          14 August 2012 at 12:31 |
          Philipians 4:13 AMEN
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        13 August 2012 at 19:52 |
        TANGU LEO CHAGUA UTAKAYE MTUMIKIA, MIMINA NYUMBA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA. AMEN HALELUYA AMEN!!!
        I CAN DO ALL THINGS THROUGH CHRIST WHO STRENGTHENS ME....cheers
  • utajibebah@a.k.a muke ya masai

    utajibebah@a.k.a muke ya masai

    12 August 2012 at 21:00 |
    safi sana binti kimambi. mungu akuzidishie mibaraka. ni wachache wanaoenda msikitini hasa huko ulaya. wengi wanakumbuka kuparty tuu.blowkiss
  • TRUTHY

    TRUTHY

    12 August 2012 at 21:01 |
    go ! go ! ndio wakati huu. sote hatujui siku wala saa ya kufa kwetu
  • Samurai

    Samurai

    12 August 2012 at 21:02 |
    popchampgnecheers mwendo ndio huo.
  • networker

    networker

    12 August 2012 at 21:03 |
    Hi Mange!
    I love you sooo much gal, mwaaaaaa
    Be good to your enemies mwaya achana nao we songa mbele hata wakikusema na kukudharau iko siku Mungu atakuinua zaidi ya hapo washangae wenyewe…
  • cleopatra

    cleopatra

    12 August 2012 at 21:04 |
    we love u mama!wanaokuponda wanalo wanalotaka bt dua na maomb ya 2lio wengi yatakuepusha na mabaya yotefan
  • bite

    bite

    12 August 2012 at 21:05 |
    hongera kwa kumjua muumba.hakunagaceo
  • marikenge

    marikenge

    12 August 2012 at 22:15 |
    nipo twin.... nayaona tu mambo yako.. si haba
  • Anonymous

    Anonymous

    12 August 2012 at 22:24 |
    jamani is it me au leo u turn inagomagoma? anyways mange mammy you have an amazing husband its realy nice to see that he accepts you and your beliefs... people should accept eachother as they are i love this!!mangeblog
  • ZAYNAB M

    ZAYNAB M

    12 August 2012 at 23:22 |
    Nafikiri watu ambao wanasema akienda na weaving sawa wanakosea na nafikiri sio waislam maana shart za kusali kwenye dini ya kiislam ni kujitoharisha nywele isiwe imebandikwa kitu kucha zisipakwe rangi na lazima uwe umekoga janaba kama amefanya vyote hivi basi swala yake imeswihi lakin kama hajafanyan hivyo basi hajafanya kitu hakuna sala hapo
  • Kijaruba

    Kijaruba

    12 August 2012 at 23:43 |
    Mashallah Mange na Da Zenat msiache kwenda msikitini siku za Ijumaa hata baada ya Ramadhani na siku nyingine endeleeni kusali sala zenu nyumbani. Hata ukijirusha na kula bata vipi usiache kusali kwani sala itakukinga na vitu vingi sana. Ukiwa na shida yako wewe piga mswala tu, utaona matokeo yake, mie siku nilizojichimbia hizi huku sionekani mbona majibu nimeshayapata, iko siku nitakuambia namna ya kusali sala za haja za kujibiwa papo kwa hapo.
    • Doreen

      Doreen

      13 August 2012 at 14:54 |
      Kijaruba nasubiria.
    • anony

      anony

      13 August 2012 at 21:50 |
      mie pia nazisubiria hizo please uziweke humu kijaruba
  • Anonymous

    Anonymous

    12 August 2012 at 23:48 |
    unaweka comments za kukusifia tu furukundu wee
    • Anonymous

      Anonymous

      13 August 2012 at 01:13 |
      mbona yako we imeonekana nenda kanyee mbele nyie ndo hamtakiwi humuslapping
    • Anonymous

      Anonymous

      13 August 2012 at 01:22 |
      huyu nae wa wapi sasa unalazimisha watu wamponde?? heeh hebu tutokee hapadontbebitchy
    • UMBEA.COM

      UMBEA.COM

      13 August 2012 at 07:21 |
      Marichui keshawaambia post ya Nyuma Mmeishiwa hamna la kuponda tena mnabaki kulalama lalama , hamna Hoja ya Msingi kama MCC na ARSS
      Waacheni FANS wa Mange Wajinafasi sasa
    • BEAUTIFUL

      BEAUTIFUL

      13 August 2012 at 15:19 |
      TAJIBEBEBEBEBE NA ROHO MBAYA YAKO
  • Anonymous

    Anonymous

    12 August 2012 at 23:58 |
    Good for you gal and Bless you!, Mshukuru Mungu you have such a wonderful husband.
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    13 August 2012 at 00:31 |
    blowkiss I MISSED YOU SOO MUCH!!
  • U-Turn-Freak

    U-Turn-Freak

    13 August 2012 at 00:43 |
    Z it just me or kila mtu was having issue kuingia humu? Wallahi wabilah i couldn't even sleep jinsi nilivyokuwa nimiss this blog. Yani ni kama mtu anayetumia unga sudenly akaaichwa withdrawal ilikuwa mbaya. ni kama kuachichwa kunyonya utotoni bila preparation. Nways, nategemea wenzengu wazima, siku ngapi hadi Eid?
    • Anonymous

      Anonymous

      13 August 2012 at 01:18 |
      hapo sasa mange katuzoeshaje vibaya!! mwenyewe nliboreka ilivyokubali nliruka kama watoto wanavyoshangilia umeme ukirudi hahahahcheers
    • Kijaruba

      Kijaruba

      13 August 2012 at 01:20 |
      Hehehee unaulizia Eid mpenzi? Mbona mie natamani Ramadhani iendelee mwezi mwingine wallahi niendelee kumuoma Mange ndani ya abaya!

      Inategemea ulipo, sie Eid kwetu yaweza kuwa jumamosi au jumapili, aah raha tutapata ni barberque kwa sana baada ya kuswali sala ya Eid uwanjani. Kwa walio Bongo na walioanza kufunga 21st July yaweza kuwa Sunday or Monday!
      • U-Turn-Freak

        U-Turn-Freak

        13 August 2012 at 01:37 |
        licking ramadhani ikisha ndio tutapumua..hizi baibui zinanitia kiwingu alafu its too hot huku na weather..wanna see CEO akiwa disney world..na pix nyingi...
    • UMBEA.COM

      UMBEA.COM

      13 August 2012 at 07:48 |
      WEWE SI KATI YA WALE WALIOSEMA WANASEPA ?lmao
    • TBL

      TBL

      13 August 2012 at 15:49 |
      YAANI MIE TEJA WA UTURN NILIUGUA.mangeblogteammange
  • nina

    nina

    13 August 2012 at 14:40 |
    Nakupongeza kwa kumkumbuka mola wako, hongera sana.
  • Anonymous

    Anonymous

    13 August 2012 at 15:17 |
    unasli na wigi? haiswii!
  • Anonymous

    Anonymous

    13 August 2012 at 15:30 |
    naona wagalatia roho zinawauma kuona bado unashika dini kila la kheri
  • Sophia

    Sophia

    13 August 2012 at 15:48 |
    kazi kweli kweli
  • Anonymous

    Anonymous

    13 August 2012 at 16:05 |
    mimi nampenda moud washington nampataje sasa
  • Anonymous

    Anonymous

    13 August 2012 at 16:07 |
    mimi nampenda mood washinton nampataje sasa, nimejizuia nimechoka.
    • Muke Ya Albino

      Muke Ya Albino

      14 August 2012 at 12:38 |
      Kaka Muddy kazi kwako... haya siku zote maneno meeengi leo onyesha makeke yako sasa "tonge hilo mdomoni".
  • Rima

    Rima

    13 August 2012 at 16:11 |
    muddy and kijaruba nimependa comment zenu saaana...Mange usiache msala hata baada ya ramadan ndugu yangu dunia hii mapito kuna kufa n kuulizwa maswali kaburini,,,nimefurahi vp kukuona umeenda masjed,,keep it up umefanya da'waa kidogo hapo kwa wasio sali...Takbeer
  • muslim sister

    muslim sister

    13 August 2012 at 19:06 |
    kwa nini usimkaribishe baba kenzo msikitini mbona wewe umeingia kanisani kwao?
    • ULIMBOKA

      ULIMBOKA

      13 August 2012 at 23:31 |
      WE NAE..... HANA UDHU
  • Shaeli K

    Shaeli K

    13 August 2012 at 21:51 |
    Mtumikie mola wakati wa ujana wako my dear
  • TMK

    TMK

    13 August 2012 at 22:55 |
    freedom Kaka Muddy Washington na Kijaruba busara zenu zinanikosha,nafurahi kusoma comments zenu!
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    14 August 2012 at 12:42 |
    C's mum achana nao hao, hawakufikii hata chembe. unajua mwerevu akivuliwa nguo anachuchumaa... mwehu anaanza kumfukuza aliemvua nguo. So just ignore them we are here to have fun sio beef za kijinga jinga.Lete uji wetu wa kungu tujinywee sie...welcome kwa anaetaka kutujoin.