Mnapitapita kusema msiyoyajua...mnazuazuazua kusema msiyoyajua.....Mjumbe uliniambia nikabisha katu katu....katika hii Dunia wengine Mazimwi watu....hao hao wajuaji wa kusema VIFUU TUNDU .... uliona wapi nyumba ya udongo inapigwa deki.....kila mwenye chuki na mie ujumbe huu umfikie....wanaliwanalia ...kumbe ni choyoooo
shoga angu nakupendajeeeeeeee? umenikunajeeeeeeee?? wenye hasira kwa siye kuwa mabesteeeeee wakamate tambara la deki, wawahi mkondo wa nungwi wakapunguze maji!
sioni video hapa kwangu ila kwakuwa mdau umetaja vifuu tundu nahisi naifahamu hiyo video na pia wimmbo wenyewe na chanzo chake.Kiukweli ni kwamba huu wimbo huyo AT alikua anawajibu wale wenzake aliokua nao mwanzo ambapo alipojitoa kwenye hilo kundi wenzake hawakupendezwa na kujitoa kwake wakaamua kumtungia wimbo na wakatengeza na video wakamtafuta mtu mrefu kama then wakamfanya kituko kwenye video yao wakimfananisha na kidudu mtu ndio nae akajibu mapigo kwa kuwatungia wimbo akiwaita vifuu tundu na akatengeneza video ambapo kuna watu watatu wanaume wawili akiwemo mmmoja mweupe na kilemba cha kiarabu na mdada mmoja ambapo kama unaelewa kinachoendelea utajua hao watatu akiwemo mdada ndio kundi lile lingine alilolihama ambalo lina wanaume wawili mmoja mweupe akivaa kilemba pamoja na mdada.Bofya hapo zitazame kwa makini video zote mbili na uskilize neno kwa neno uone kila neno linavyojibiwa mfano hao watatu wanasema mshumu mwa mwaaa!lakini kwenye vifuu tundu hilo linajibiwa kwa kuambiwa sawa mnajua kushumu lakini tatizo mnanuka midomo..na mengine mengi,na taarifa zilizopo jamaa hawajakubali wameingia tena studio kuujibu vifuu tundu na AT nae yuko mbio kujibu mapigo na sisi washabiki tunasubiri burudani,kweli zanzibar ni raha atakae na aje...wanasema wenyewe wanaa zanzibar,but mie na declare interest namkubali AT zaidi
kazi ilianzia hapa.. http://www.youtube.com/watch?v=_niW9kOIwM0&feature=related
duh, interesting. Ila AT mkali, amewachanaje! hadi demu wao kajibiwa ati mwanamke mbea utamjua tu mbdomo mweusi kama kunguru. Ati unashangaa mi kula kwa mama ntilie? Ningekula kwa bi mkubwa wako tatizo hajui kupika, lol. Tena mkinijibu mi bwana wenu mkikaa kimya mnaniogopa, kudadeki wallahi, haya Mudi katuamsha wambea wa mji tunasubiri jibu la vifuu tundu
Wimbo gani huo baby wangu?mihapa kwenye bb hauonekani labda mpk nikifika home I'm gonna check on my laptop.... Baby waambie mawaziri wako wakuambie hasa Cmum na Marikenge much know wanaojua kila kitu waambie hujawapa hivyo veo bure miskule ya miami wanabahati I'm driving back home I can't drop proper comment!how can umbeya.com mention them before me
Kumbe wewe ndio unatuita sisi Misukule ya Miami kule kwenye blogu ya cousin wake Mange? Mtazame kwanza mawani ka Bundi, na wewe wimbo huu unakuhusu. Halafu unakaa kutishia watu eti ntamwambia Baby yangu awafungie, hivi tukiacha kuingia humu, tukakuacha wewe na baby yako tu ndio muwe mnasoma hii blogu itakuwa hivi? Au mtakuwa mnajikomentia wenyewe kama cousin wake Mange?
Shughuli ni watu wee mtoto na watu wenyewe ndio sie, tusingekuwepo ungemuita nani Misukule ya Miami! Nyambaff umeniuzi sana na huyo baby yako pia ameniuzi kututukana kwa kutuwekea comment yako. Mimi mtaniona mwezi ujao kichaa changu kikishatulia. Na siku nyingine ukirudia ninakuja kukufurusha huko huko kwenye kiapartment chako.
Ngoja nikamalizie kuangalia kwanza mashindano ya Olympic kisha nitakutafutia maneno ya kukwambia mpaka siku nyingine utakoma kuita watu Misukule!!
"Unakula nao unavaa nao na wabaya ni hao hao!
Unalala nao unacheka nao na wabaya ni hao hao!
Hiyo ni bashraf tu nitakurudia na utendi/utenzi/ wa mwanakupona nitajaza ukurusa mzima wa hapa kuhusu wewe!!
Kijaruba umeshasema siku za mfungo zimebaki 10, wewe endelea na sala zako na shughui zako zingine achana na watu wengine humu U-turn kwa sababu unaweza kukuta unatukana wakati wegine hatutakiwi kutukana.
tulieni mbona mnapanic misukule ya Miami heheheheh,,,,mtuache na baby wangu hapa full mapenziiii mie kwa baby wangu sijiwezi na yeye vile vile,,,nikimwambia tu baby plz i dont wanna read Kijaruba comments mbona utatafuta jina lingine la kucomment humu hehehehe rahaaaaaa!!!so tulia usitake kukosana na asali ya Ceo ukablokiwa bure,,,
ckutegemea hata we baby ya mangee...!!, kweli nimeamini chawa anayekuwasha yupo mwilini mwako, we wa kuwaita wenzio misukule, kweli nyani aone kundule we si ndo kila cku unamganda mange na kum me nafikiri we ndo ungekuwa msukule namba1 wengine wakifuata, nilikuwa nakuona mstaarabu kumbe zero kabisa..shukuru mungu nimefunga that's why nachamba kistaarabu..kijaruba ukirudi tena kuchamba ntakusaidiaje hope ntakuwa nimemaliza mfungo.. tena hilo jina misukule ya miami likome kutumika humu ndani mkatumie hukohuko ushenzini mazafanta..!!
hey sorry i dont talk to strangers!ur so new here to be talkn to baby ya Mange by the way u dont own any title here so relax ur ass somewhere girl....do u think i care kwamba wakiniita msukule or something like that kwanza mindo nafurahiiii,,,minataka waseme baby kaniweka kwenye chupa..mnapanic,,,hey baby control me,,nikateze kila kitu Mange wangu naminakuskiliza minataka waseme umenipa limbwata,,,mimi na baby wangu milele kazi kwenu strangers na maneno maneno ya kienyeji sijui chawa sijui nini,,,eti ungekuwa hujafunga ungenichamba uchambane na baby ya Ceo unawazimu kisa?yani we kwaakili yako minaweza kufanya kitu cha kumhurt baby wangu wakati mie ndo nilikuwa wakwanza kuwa kataza kina cmum wasitumie ID zetu humu huko mashenzini we wawapi,,halafu wala sina haja ya kuonekana mstaarabu kwa mtu kama wewe...mina baby wangu miaka 8000000 im here to stay,,,,so chill out msukule mdogo hihihihi
mpana ka pazia la hekalu! hapo sili kwako hivyo, ningekuwa nala kwako si ungeniambia nikutawadhe mavi! hovyooooooooooooo, kaiulize google, unatuuliza cc kwani ndiyo google?? mzima weye bby ya mwenyewe??
mwaya Cmum never mind when i say msukule wa MIAMI,,,i just find it funny na kuowaonesha kuwa hatumind wao watuite vyovyote watakavo sie na CEO wetu kufa kuzikana au vipi muke ya mwarabu,,,,
ni kweli kabisa bby ya mange, muombe basi bby wako aweke beef humu naona umemiss mabeef, mi nakudharau siku nyingiiiiiiiiiiii! hunipi shida hata kidogo. kwani bby ya mange ukiliweka bandama kwenye fridge mpaka UK, likifika huko litabadilika na kuwa ini???? nisaidie kujibu plzzzzzzzz! mwahhhhh
Yaani wewe baby ya Mange una vituko sana. Watu wameshakasirika wakijua kuwa uko serious na comment zako ulizotoa kumbe unatania?1?! Imebidi nianze kucheka mwenyewe baada ya kusoma comment yako.
HEHEHEEEE MANGE UNAJU KUSEMAA WATUU KIAINA NAFIKIRI UJUMBE UMESHA WAFIKIA HAO VIFUU TUNDU LKN PIA UKUMBE UJUMBE WAWEZA KUFIIKIA NA WEWEE PIAAAA. HASA WATE WENYE KUVAA UHUSIKA MBILI HUKU WAPO NA KULE WAPO ETI SIJATAJWA MIE KWANZA WE NANII MJINII MPAKA UTAJWE WEWE 1.
JINA LA WIMBO -VIFUU TUNDU
MAANA YA WIMBO- WANAOTOA MANENO HUKU KUPELEKA KULE, WANAOJIFANYA MARAFIKI KUMBE WANAFIK...........WANAO WAITWA MANGE'S FAN MISUKULE YA MI....... . SASA MANGE KAMA UNALIFURAHIA HILI LA FANS WAKO KUITWA MISUKULEEE MBONA UUSTAARABU WATU HAWANA NNA HII YOTE NI CHOYOOO KINAWAUMA KAA UKIJUA WANAITWA HIVYO KWA KUKUKINGIA KIFUA WEWE MANGEE
Ahsante mdau "hasara si ajabu" kwa sababu umetutoa matongotongo sisi wengine. Yaani Mange kama ni kweli wewe ni mchokozi sana tu. Yaani unajua kurusha makombora ya chini chini ukijifanya unataka kuelimishwa!!! Hats off mama!
Haya bibie yamekupataje na nyimbo za uswahilini za uzunguni hazina mashiko?
Anyway mie siujui sana ila nasikia unaitwa sijui Vifuu Tundu. Ila ningekushauri hizi siku 10 zilizobaki kazana kufanya ibada, achana na miziki utaikuta baada ya Ramadan haiendi kokote. Concentrate kutafuta rehma za Mwenzi Mungu ili azidi kukufungulia milango ya kheri, dunia hii watu badala ya kutafuta pesa tunatafutana. Na hakuna wa kumuomba ni yeye Subhana. Mimi nina yangu yamenikaa shingoni aah wacha nitafute kheri na baraka tele zilizopo mwisho wa hizi siku 10 kwani ndio siku ambazo Quran ilishushwa. Ukiweza kuupata huo usiku mtukufu basi umeula hapa duniani na akhera.
sasa kwanini siku zote msizifanye kama hizo siku kumi zilizobakia? i think the world would have been a better place na uturn ingezidi kubarikiwa. sasa nyie mnakosea mnavopania kufanya ubaya pindi ramadhani itakapokwisha..i dont think its good..so plz nawaombeni hayo mawazo yenu muyafute coz dua zenu zaweza zisisikike kutokana na mawazo mabaya mlojiekea..b nice from now on okey!!!u r
Ulitumwaaaaa, usipokomenti wapo kibao wanakoment, kwani aliyekwambia traffic inajazwa na komenti zako za matusi nani? Tena usiingie baada ya mwezi wewe hama kabisa utuondolee mainzi hapa Uturn yetu
Vifuu Tundu by AT feat Mwa4
tena me napenda pale anaposema "kila mwenye chuki na mie ujumbe huu umfikie wanaliawanalia kumbe ni choyokumbe ni choyo" kibwagizo.... "mwanamke mbea utamjua tu mdomo mweuuuuusi kama kunguru, mnajua kuchumu ila mnanuka midomo"....hahahahahaaaa mtajibebaaaaaaaaaaaa.....!!!
Yani hapo umepiga bao la kisigino, na lililoenda shule "kila mwenye chuki na mie, ujumbe huu umfikie, wanalia wanalia hao, kumbe ni choyo zao" Tayari majibu wameshayapata. Mjinga dawa yake kumpotezea
JAMANI SI VIZURI WATU YA HUMU HUMU UTURN YAANI FAMILY KUWA NA MABEEF....KUSHUSHUANA, KUSUTANA,KUELIMISHANA SAWA LAKIN KUSIWEPO NA MANAYAMA (BEEF)..MANA CEO AMEPANGA FAMILIAR YOTE IYALIKWE MIAMI SIKU UTURN IKIFIKISHA 15YRS SASA SI MTAENDA PIGANA GUMI HUKO KWENYE MIAMI BEACH????..MMMWEEE.. MIE NAONA KAMA BABY YA MANGE HAIKUDHAMIRIA KUITA NYINYI MSEKULE BALI NASEMA KULE MNAITWA MSEKULE...AU MIMI HAIKUSOMA VIZURI...MSINISHAMBULIE NATAKA EPUSHA SHARI TU...
NI KWELI BABY YA MANGE ALIKUWA ANA MAANISHA HIVO LAKINI HAWAJAELEWA, WAO WAMEKURUPUKA KA MIPAKASHUME. TATIZO WANASAPOTIANA HATA PALE MMOJA ANAPOKOSEA. JAMANI MTU AKIKOSEA MREKEBISHENI KA MNAMPENDA, MSIKIMBILIE KUM DEFEND MKAZIDI KUMPOTEZA..NI HAYO TU. MKINITUKANA NAMIE YOU ARE IM SO USED TO IT. MWENYE MASIKIO NA ASIKIE NA MWENYE HASIRA AKANYWE SUPU YA VIWEMBE AU YA SINDANO AKITAKA BURDANI ZAIDI ASHUSHIE NA MAJI YA BETRI..
Hili genge la watu wa manzese mange usipochunga litaiharibu blog na kuifanya mipasho blog badala ya u turn blog,watu wako busy kusapotiana mipasho utadhani wamama wa vipindi vya taarab maredioni!!!!!
Comments (81)
m a r i c h u i
m a r i c h u i
baby ya Mange
m a r i c h u i
mie
c's mum!
m a r i c h u i
Muke Ya Albino
c's mum!
baby ya Mange
c's mum!
m a r i c h u i
Anonymous
muddy washington
kazi ilianzia hapa..
http://www.youtube.com/watch?v=_niW9kOIwM0&feature=related
majibu yakapatikana hapa
http://www.youtube.com/watch?v=v3OJJRnnsQs&feature=related
Anonymous
anony
Fatuma Mtanga
thanks muudy,ntakua mfuasi rasmi wa kufuatilia wataishia wapi hawa jirani zangu
baby ya Mange
Kijaruba
Shughuli ni watu wee mtoto na watu wenyewe ndio sie, tusingekuwepo ungemuita nani Misukule ya Miami! Nyambaff umeniuzi sana na huyo baby yako pia ameniuzi kututukana kwa kutuwekea comment yako. Mimi mtaniona mwezi ujao kichaa changu kikishatulia. Na siku nyingine ukirudia ninakuja kukufurusha huko huko kwenye kiapartment chako.
Ngoja nikamalizie kuangalia kwanza mashindano ya Olympic kisha nitakutafutia maneno ya kukwambia mpaka siku nyingine utakoma kuita watu Misukule!!
"Unakula nao unavaa nao na wabaya ni hao hao!
Unalala nao unacheka nao na wabaya ni hao hao!
Hiyo ni bashraf tu nitakurudia na utendi/utenzi/ wa mwanakupona nitajaza ukurusa mzima wa hapa kuhusu wewe!!
Mshamba
c's mum!
baby ya Mange
m a r i c h u i
Anonymous
BEAUTIFUL
MIRROR
c's mum!
Anonymous
m a r i c h u i
c's mum wakuja
Anonymous
maudodo
baby ya Mange
c's mum!
ISIDINGO
c's mum!
Anonymous
baby ya Mange
c's mum!
Mshamba
mie
Okwi Orijino
queen
Anonymous
Anonymous
Anonymous
NoName
Anonymous
malkia
TUNDA
Mshamba
Anonymous
HASARA SI AJABU
JINA LA WIMBO -VIFUU TUNDU
MAANA YA WIMBO- WANAOTOA MANENO HUKU KUPELEKA KULE, WANAOJIFANYA MARAFIKI KUMBE WANAFIK...........WANAO WAITWA MANGE'S FAN MISUKULE YA MI....... . SASA MANGE KAMA UNALIFURAHIA HILI LA FANS WAKO KUITWA MISUKULEEE MBONA UUSTAARABU WATU HAWANA NNA HII YOTE NI CHOYOOO KINAWAUMA KAA UKIJUA WANAITWA HIVYO KWA KUKUKINGIA KIFUA WEWE MANGEE
Mshamba
Anonymous
Kijaruba
Anyway mie siujui sana ila nasikia unaitwa sijui Vifuu Tundu. Ila ningekushauri hizi siku 10 zilizobaki kazana kufanya ibada, achana na miziki utaikuta baada ya Ramadan haiendi kokote. Concentrate kutafuta rehma za Mwenzi Mungu ili azidi kukufungulia milango ya kheri, dunia hii watu badala ya kutafuta pesa tunatafutana. Na hakuna wa kumuomba ni yeye Subhana. Mimi nina yangu yamenikaa shingoni aah wacha nitafute kheri na baraka tele zilizopo mwisho wa hizi siku 10 kwani ndio siku ambazo Quran ilishushwa. Ukiweza kuupata huo usiku mtukufu basi umeula hapa duniani na akhera.
Anonymous
cockburn
Anonymous
Anonymous
Muke Ya Albino
BEAUTIFUL
maudodo
tena me napenda pale anaposema "kila mwenye chuki na mie ujumbe huu umfikie wanaliawanalia kumbe ni choyokumbe ni choyo" kibwagizo.... "mwanamke mbea utamjua tu mdomo mweuuuuusi kama kunguru, mnajua kuchumu ila mnanuka midomo"....hahahahahaaaa mtajibebaaaaaaaaaaaa.....!!!
c's mum!
maudodo
Mama Kijacho
muke ya jaluo
Anonymous
FENESI P. PATEL
Anonymous
mkosa sura shepu ninayo
kwatariq.com
TBL
Anonymous
c's mum wakuja
Anonymous
C's mum R.I.P.
c's mum!
SBL
Anonymous