lets go back to our old uturn then....i liked the old design was way more classic,than this like kulikuwa na option za kutumia colors kwenye maandishi,big/small size italic etc likes n dislike...plz baby lets go back to our old design the only good thing about this nadhani ni free space i mean u can write as long as u like,,,as in kina Nainai ndo wanaenjoy zaidi wenye kuandikaga maparagraph as a comment lol...
Agree with u ....old u-turn ilikuwa na raha yake ...na ya kipekee hii hata mkireply message weengi inabana sana kulia hizo option za huko juu zinakatika
Minataka madole nilikuwa naienjoije kumuwekea mari...nanii madole mekundu yani comment yake iwe nzuri au mbaya nakandamizaaaa hahaahahah its so nice to be rude sometimes!
tena mie ndo nilikuwa bingwa wa kumtilia marikenge madole mekundu na hata hili jina la marikenge nilimkatia mie mwanzoni alikuwa anajidai innocent hadi alipompata shoga kidawa mwenye mdomo mrefu kama chupa, na yeye ati siku hizi anajidai amezibuka no wonder yote ni matipwatipwa!
hey Mange mbona hutuwekei picha za unapoishi sasa hivi kabla ya kununua nyumba??? yaelekea unakaa kwenye hivyo vi motel va Miami vya $70 coz wewe kwa mashauzi ungeshaweka picha tayari hihiiii...umekuwa mwembamba na mweupe sana tupe siri ya urembo mamaa..mzungu ulikuwa unamtaka sana sasa umempata unarahajee?? hey b4 i forget pls after 10 yrs frm nw usisahau ku change implants za b**ps zako yanaweza oza atiii..ni hayo tu..love u..ciao ciao
wee naye ucomment mpaka umtaje huyo bwanaako unabore kweli mwanzo ulikuwa mwah! lakini toka uende uswazi umerudi na harufu za mavi 2... Marikunguni we!
mi naona hiko kichupi ndo kinachomletea nuksi..kabla hajakiweka icho alikuwa popular sana in a good way..but i still like her though..ningefurahi sana kama angevaa vizuri..
AKKUWEKEE HIYO NYUMBA KAMA NANI WEWE???.....YEYE ANAWEKA VITU VILE YEYE NATAKA NA SIO VEVE ILAZIMISHE YEYE...HAYUKO HAPA KUJIONYESHA BALI NATUPA MATUKIO KUHUSU YEYE...KAMA TUKIO YA ANAKOISHI BADO BASI MUDA IKIFIKA TAFANYA HIVYO...ROHO BAYA NA CHOYO MMESHUSHULIWA KISOMI LAKIN BADO HAMKOMI....MLISEMA HATAFIKA US KIWAPI SASA??...MLISEMA KAACHWA KIWAPI??? MLISEMA ANA KIJIAPARTMENT KIWAPI SASA??...MMETAHAYARI NA MTAZIDI KUTAHAYARI...KWENDENI ZENUNI WASHENZI WA TABIA NYIE....MBWA UKIMJUA JINA WALA HAKUSUMBUI...SENGE WEEEE
ha ha ha ha ha ha ha ha ha we nae stress za maisha yako ndo unaombea wengine, utasubiri sana, hapa ni alutaa continuaaa, tunabutua tu butuuuuuuuuuuuuuuuuu. pole yako.
Bado hata hii yenyewe haijakaa sawa vitu vingi, mfano mtu akikoment inarusha huko juu hujui kama comment imeenda au bado. Hivyo vibonzo vinatakiwa viwe chini ya submit comment kwa easy access, na ukilogwa kutumia back arrow, inakuja white page. Ningeweza kuendelea lakini naogopa kujaza paragraph!!
nai nai! achana na wehu! fanya utakavyo, akuzuie mange mwenyewe sawa, lakini kidudu mtu, mwenye mdomo mweusi ka kunguru kwa kunusa vyungu akuhusuni? kiroho safi tu nai nai, uwe na siku njema!
sasa wewe mama kimbelembele ulibadili ile u turn iwe nini...yaani sasa hivi inafanana na zile uloita wewe za ushenzini....wakati mwanzo ilikuwa na unique look....its was so romantic yaani mimi ni among those who hate its changes.
maneno ya csmum hayo. mara aseme mtu akapige deki bahari, mara sijui mtu kakomaa kisimi ka nazi ya msibani..mradi burdani tu. na kuna ile ya mtu ana tako bapa ka pc au kaumuka ka ndazi la hitma..ana maneno uyu dada mh..mie huwa najichekea tu ka mwehu!!
acheni kumpa bichwa huyo mke wa mwarabu koko maneno machafu yaelekea hata mumewe anamwambia ndio maana ndoa yake haina raha... mwanamke mdomo kama chemba za sinza nahisi huyu ndio alikuwa anajiita Judith... mfyuu akatafute scrub aoshe uso.. Mange bana na hii!
Nilitaka niseme aliyedesign iliyokuwepo mwanzo wakati u turn inapata copyright 2010. Mange umeshindwa kumpata na huyo?
Anyway, I just dont understand how it can be sooo difficult for a webdesigner who has managed to do so much already. Basi Mange wadai wakurudishie hela.
:nanikanuna:
Kuhusu ugeni kila mtu hapa kuna siku alianza na alikuwa mgeni. Msivimbe bure mi sitoki mtaa wa 2+3. I am extremely innocent. Na ushambega siujui kihivyo.
Mgeni? where will the blogg get an increasing number of visitors? si wageni watakaokuwa wenyeji na kuchallenge uswahili wa watu kama wewe mnaoishusha hadhi Manges Blogg.
Mange ukimpata mzuri naomba utupe details zake. Mimi natafuta website designer mzuri. Sitaki a middle agent ambaye anataka kuchukua kazi wakati sio kazi yake halafu anaenda kuharibu kwa sababu hajui anachokifanya. Please share when you get one and the contact details.
Usirudishe unlike. Weka like's tu. . . . ! Kwani lazma ku.dislike! After all we need changes. Nyie kama mnataka old u-turn read old posts. Halafu Kwa taarifa yenu Hii ni mangekimambi.com, akiziweka hizo mtasema we need old name, Mara we need old posts! So Kama vipi Mange wapotezee hao
kwakweli mtaalamu tunaomba ajitokeze faster manake kuna watu wanatoa point za ukweli me nikishajishibia uji wangu wa pilipili na futari yangu ya muhogo nakong'oli like tu...peace and love
Leo mwezi 20, na sign off kwenye daftari la Uturn nitumie siku 10 zilizobaki kumtumikia Mungu. Fungu la mwisho hili, fungu la 10, ninaitafuta Lailat Qadri, ili angalau na mie hiyo siku inikute ninafanya ibada, nafanya madua na mimi mambo yangu yawe mazuri kama mama Majivuni wa Miami! Lol Mange see you after Ramadhani.
Waislamu Lailat lQadri njema muitafute kwa bidii, kwa wale ambao watakuwa kwenye hedhi na hawataweza kukesha wakisali au kusoma Quran, mnaruhusiwa kufanya duah au Supplications kumuomba Mungu shida zenu. Na pia mnaruhusiwa kumswalia mtume na kuomba maghufira kama vile wanavyosema kabla ya kufuturu na kwenye tarawehe. Tutumieni hili kumi la mwisho kuomba kheri na kuepushwa na shari za walimwengu. Inshaallah Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi muweze kuupata usiku huu ulio bora kabisa.
Asante sana....... Ishaallah Mwenyezi Mungu pia akujalie na wewe uweze kuupata usiku huo wa Lailat Qadri, Nakupenda sana Nai Nai kwani unatufundisha mengi ambayo tulikuwa hatuyafahamu.
RAMADHAN KAREEM.
NAI NAI nitamisije comments zako jamani... inshalah uipate Lailat Qadri Mungu akujaalie neema zake kubwa kubwa na ndogo ndogo. Wish you a Ramadan Kareem.
Hi Mange, i can help you with that, i emailed you so look out for a mail from "billgwakisa@gmail.com". Thats if youre still looking for a person to do it.
Comments (68)
baby ya Mange
kibonge
m a r i c h u i
baby ya Mange
Marichui next time u call me ushuz I will ask my baby to block ur ass here!
ISIDINGO
Anonymous
Miss independent
baby ya Mange
Anonymous
Mama Lisa
ISIDINGO
Afro-Mdhungu
It's 21century guys!!! Ma rangi, rangi ni mambo ya zamani hiyi ni design.....
With lv frm TX
Mbeba mabox,
Inaonekana una hasira, basi chukua duster ukafute vumbi mawingu.
With love
From Dallas..
m a r i c h u i
Anonymous
m a r i c h u i
c's mum!
baby ya Mange
Mbeba mabox
Let me use on of one my freedom of speech pass.. I think ur hating on Marichuu,c'mum and nai nai..
You baby only loves you, so stop hating.. She has a lot of love to go around..
c's mum!
ISIDINGO
Anonymous
Dee
mimi
m a r i c h u i
Anonymous
FENESI P. PATEL
Anonymous
Anonymous
mtakufa kwa presha, You think of her that much...! Just appreciate and live your life.
prettyme
Afro-Mdhungu
BEAUTIFUL
Moscow Mujini
Nai Nai
m a r i c h u i
c's mum!
nyangige masatu
marikenge
watu wana mineno.. eti achukue duster akafute mawingu....
bwahahaha
Anonymous
Ukome
Anonymous
muke ya jaluo
Anonny Mom
Kuhusu like na dislike signs labda mtafute aliyekuwekea mwanzo - ODM???!
miss u turn
muke mtarajiwa ya chotara
Anonny Mom
Anyway, I just dont understand how it can be sooo difficult for a webdesigner who has managed to do so much already. Basi Mange wadai wakurudishie hela.
:nanikanuna:
Kuhusu ugeni kila mtu hapa kuna siku alianza na alikuwa mgeni. Msivimbe bure mi sitoki mtaa wa 2+3. I am extremely innocent. Na ushambega siujui kihivyo.
Anonymous
Mgeni? where will the blogg get an increasing number of visitors? si wageni watakaokuwa wenyeji na kuchallenge uswahili wa watu kama wewe mnaoishusha hadhi Manges Blogg.
mie
Mshamba
Anonymous
GreaterDaisy
http://wibiya.conduit.com/
Anonymous
maudodo
Nai Nai
Waislamu Lailat lQadri njema muitafute kwa bidii, kwa wale ambao watakuwa kwenye hedhi na hawataweza kukesha wakisali au kusoma Quran, mnaruhusiwa kufanya duah au Supplications kumuomba Mungu shida zenu. Na pia mnaruhusiwa kumswalia mtume na kuomba maghufira kama vile wanavyosema kabla ya kufuturu na kwenye tarawehe. Tutumieni hili kumi la mwisho kuomba kheri na kuepushwa na shari za walimwengu. Inshaallah Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi muweze kuupata usiku huu ulio bora kabisa.
c's mum!
Doreen
RAMADHAN KAREEM.
mamapastor
Kikuku
Mshamba
Muke Ya Albino
Anonymous
Anonymous
c's mum!