STAKI STORI ZA MTAA WA PILI WALA MTAA WA TATU HUMU
Guys naombeni sana muache kutuma comments about mtaa wa pili sijui mtaa watatu...... hawatuhusu sisi hao losers.
please please.... najikuta nimeachia comments zao about mitaa ya pili sijui ya tatu sababu sina muda wa kusoma comments zote word by word.
please tuendelee na story zetu za humu zinatutosha. Hao wenye masters kama ya Mange achaneni nao tafadhali na hao vimada vya wapopo ndo kabisaaaaa msiwaongeleee humu, please please please......
im sure tuna mengi ya kuongelea zaidi ya watu hao first of all mnawapa wanachokitaka which is kuongelewa........ i mean reallly tukae hapa tunaongelea watu hata kwenye kiganja hawajai...what for?????
Lets move on please, and nimetoa ruhusa ya mtu yoyote anaejisikia kuniiga aniige , labda mie ndo role model wao wafanyaje sasa??????
mi naona kama wao wanapenda kuonekana wana ugomvi na mimi sababu wanakuwa wamepanda chati ila kwa mimi kuonenaka na ugomvi na uchafu kama ule ni aibu kwangu sana tena sana, so please naomba tuache kabisa, siku nikiwa na ugomvi na mwanamke wa maana huko TZ kama Emelda wa Bang au Mwamvita Makamba hivi hapo kweli ntaweka bifu la live live, huo uchafu mwingine , im sorry ntawapotezea tu.....
haya lets move on.....PLEASEEEEEE.........No more comments za mtaa pili wala watatu soma huko huko sutana nao huko huko usilete huku habari and remember not to use jina lako unalotumia humu staki link yoyote kati ya blog yangu na blog za ushenzini.....

Comments (239)
prettyme
KIBONGE
Kweli
Mama Lisa
Sensitive Samurai
Tajibeba
Anonymous
Anonymous
Isitoshe sisi binadamu wanafiki leo unakuja kumsema Csmum huku, kwa kuwa anasifia kila kitu cha Mange; ukienda mtaa wa pili mnamtukana Csmum, mnamtukana Mange; na mawaziri wake. Si baada ya mawaziri kuna makatibu wakuu na wakurugenzi, wakuu wa mikoa, wa wilaya, si mjipe tu hivyo vyeo, kwani wao walipewa officially na Mange
maudodo
c's mum!
Sensitive Samurai
c's mum!
Anonymous
c's mum!
m a r i c h u i
DESPERATE HOUSE WIFE
c's mum!
u turner muasisi
Tajibeba
umbea.com
baby ya Mange
c's mum!
baby ya Mange
Mshamba
Muke Ya Albino
Chaunabe
baby ya Mange
Anonymous
m a r i c h u i
m a r i c h u i
DESPERATE HOUSE WIFE
umbea.com
Endeleeni
Anonymous
c's mum!
anchiwela
Mshamba
baby ya Mange
Mshamba
kitumburee
FENESI P. PATEL
SOMO MTWARA
NITARUDI BADAE NAENDA KUMPIKIA DAKU ANANIWEKA MJINI
u turner muasisi
Anonymous
JHAKI YA MUNGU NINGEKUWA FIRST LADY NYIE MNGENIKOMA!!! NINGEWACHAMBAAA KWEUPEEE
HEBU ACHENI KUDHARAURIANA, KUHARIBIANA (WHAT FOR) WENGINE MNA BEEF HATAA HAMJAHI KUONANA
NI NINI???? MNA RADHI NYIE WADADA?
HAYO MAISHA YASHAPITWA NA WAKATI WAACHIENI TEEENAGERS PLSSSSSSSSS
TUPENDANEEEE JAMANIIII
MIE MNANIUDHI WASICHANA WAZURI NA MAUGOMVI YASIO NA KICHWA WALA MIGUU..
TATIZO WOTE WAJUAJI , INATAKIWA MMOJA AFUNGE MJADALA AACHANE NA HUU UPUUZI ..
MANGE WEWE NI BULLY LKN HUWA UNAJIRUDI NDO MAANA MI HUWA NAKUSAMEHE.
HEBU ACHANE JAMANI MMOJA WENU AJIFANY MJINGA APOTEZEE MWENZIWE
MANGE USHAWAHI KUWEKA POST THAT "YOU ARE RAY CHARLES TO BULLSHIT"
HEBU BASI KUWA NA STEVE WONDER PLSSSSSS
NA ELIMU ZENU MNAWEKA WAPI?
MIE JANA TU NILIJUA BINTI KIMAMBI HAWEZI KUKAA KIMYA LZM ATARUSHA BOMU
MIE NIMEINGIA OFCN NIKASEMA NACOMENT KABISA
MANGE WW MIE SIKUJUI LKN NAKUADMIRE SABABU UNAJIRI
NA KTK HILI SIMSUPPORT MTU MAANA NAJUA KESHO MTAKUWA FRIENDS ..COZ I USED TO HATE U LKN KWA KUWA UNAJIRUDI SIKU IZI HUWA SIPOTEZI MUDA KUCOMMENT MATUSI
ACHANE JAMANI ISHINI KWA STAREHE NA SIO KUSUBIRI MTU KAPOST KITU FLANI NIMJIBU
NAWAPENDA WOTEEEEE
Anonymous
JHAKI YA MUNGU NINGEKUWA FIRST LADY NYIE MNGENIKOMA!!! NINGEWACHAMBAAA KWEUPEEE
HEBU ACHENI KUDHARAURIANA, KUHARIBIANA (WHAT FOR) WENGINE MNA BEEF HATAA HAMJAHI KUONANA
NI NINI???? MNA RADHI NYIE WADADA?
HAYO MAISHA YASHAPITWA NA WAKATI WAACHIENI TEEENAGERS PLSSSSSSSSS
TUPENDANEEEE JAMANIIII
MIE MNANIUDHI WASICHANA WAZURI NA MAUGOMVI YASIO NA KICHWA WALA MIGUU..
TATIZO WOTE WAJUAJI , INATAKIWA MMOJA AFUNGE MJADALA AACHANE NA HUU UPUUZI ..
MANGE WEWE NI BULLY LKN HUWA UNAJIRUDI NDO MAANA MI HUWA NAKUSAMEHE.
HEBU ACHANE JAMANI MMOJA WENU AJIFANY MJINGA APOTEZEE MWENZIWE
MANGE USHAWAHI KUWEKA POST THAT "YOU ARE RAY CHARLES TO BULLSHIT"
HEBU BASI KUWA NA STEVE WONDER PLSSSSSS
NA ELIMU ZENU MNAWEKA WAPI?
MIE JANA TU NILIJUA BINTI KIMAMBI HAWEZI KUKAA KIMYA LZM ATARUSHA BOMU
MIE NIMEINGIA OFCN NIKASEMA NACOMENT KABISA
MANGE WW MIE SIKUJUI LKN NAKUADMIRE SABABU UNAJIRI
NA KTK HILI SIMSUPPORT MTU MAANA NAJUA KESHO MTAKUWA FRIENDS ..COZ I USED TO HATE U LKN KWA KUWA UNAJIRUDI SIKU IZI HUWA SIPOTEZI MUDA KUCOMMENT MATUSI
ACHANE JAMANI ISHINI KWA STAREHE NA SIO KUSUBIRI MTU KAPOST KITU FLANI NIMJIBU
Fatuma Mtanga
c's mum!
m a r i c h u i
c's mum!
flower
Tajibeba
muke ya jaluo
Parrot
mzanzibari halisi
c's mum!
Mrs Jimmy Choo
LILII SEXII MWANA KINONDONI
Mshamba
Anonymous
LILII SEXII MWANA KINONDONI
mahips
Anonymous
Inshallah M.Mungu akuongezee furaha na maisha Mema..
SINTALICIOUShttp://www.u-turn.co.tz/media/zoo/assets/images/smileyz/groups/default/ceo.png
katyuska cardona
Jessa
BEAUTIFUL
BEAUTIFUL ONYINYE
Anonymous
maudodo
mama t
Anonymous
Sasa huko mitaa ya pili na ya tatu lazima watafute mabifu kwa nguvu na wewe, na utaona jinsi watu watakavyotukanwa na kuitwa ndondocha sijui misukule, simply tu kwao wao SEXY IS EDUCATION, so everything will be taken out of proportion once again. Wapotezee tu kuliko kuweka post kwa ajili ya comments 5 au 10 out of more than 200 comments unazozipata!! Wao wanaweza kufikiri kuwa out of 200 comments labda comments 50 zinawazungumzia wao kumbe ni less than 1% ya comments.
Anonymous
Mshamba
murembo by nature
Anonymous
BEAUTIFUL
Anonymous
Anonymous
NAME
m a r i c h u i
m a r i c h u i
mie
m a r i c h u i
c's mum!
m a r i c h u i
m a r i c h u i
bella
killer queen
If Not Why Not.
miss u turn
ISIDINGO
baby ya Mange
mkweli
MISS KIJAMBIO
BAMKUBWA
Nai Nai
Ila kinachonishangaza kwanini sisi Watanzania hatuwi kama Wachina? Tucopy na kupaste kwetu vitu kibao na sisi tuwauzie watu waje kutoka nchi mbali mbali kuja kununua kwetu kama sisi tunavyokwenda kununua huko China. Tutengeneze kuanzia magari yetu wenyewe, electronics na kadhalika tubadili majina tu!! Lolest just my 5 cents on the issue.
m a r i c h u i
baby ya Mange
Nai Nai
Najua baby yako atakuprotect ataibania because she is SPRUNG with you. But she knows nini wanafunzi wanafanya pale kwenye Mdegeree, walimu wanauchukia huo mti!!!
Muke ya sharobaro
Anonymous
halafu mambo ya kubagua watu kulingana na madaraja ni jambo baya sana. Mange unajifanya kufunga huku binadamu wengine unawaona takataka. Suluhisho la 'ugomvi' na adui unayemuona si 'daraja' lako si kumtolea kauli za ufedhuli na dharau maana hizo zinakufanya uonekane low class hata zaidi yake.
kama huna muda na watu wa low class wapotezee tu, huna haja ya kuanza kashfa na dharau.
Anonymous
NAME
THE TRUTH
Kweli hata mi nimeona ni uchafu! Ukiugusa utachafuka.
Naomba uniwekee bango la BOSS OF ALL BOSSES na la THE DON si wajua tena sasa tuko MIAMI
Ila its pathetic mtu kukutafta ugomvi bila sababu ili apande chatiii!? Damn! wata
kwatariq.com
kwatariq.com
JUMONG
Muke Ya Albino
Diana
TBL
uguza pole.
U TURN FOREVER BABY
cockburn
SITAHARISHA
Tukinaoooo wa Bibi Bomba
chacha ni hv naomba tuwe tunazungumza ya humu humu ndani kwetu yanayotuhusu chie na chio hao mastaaa uchwara wanaolazimisha uchitaaa hawaoni mie bibi yenu aaaa china makuu na mtu kwa kweli na wala sitaki kuona shari kati ya mtu na mtu.
naombeni munipigie kura ili nichinde kwenye chindano la bibi bomba haya Tukinaoooooooooooooooooooo
m a r i c h u i
Tukinaoooo wa Bibi Bomba
Anonymous
mama otieno
Anonymous
Anonymous
Tajibeba
Anonymous
camila
Anonymous
MALAIKA
MALAIKA
m a r i c h u i
m a r i c h u i
c's mum!
Tajibeba
m a r i c h u i
toto ya kipare
Anonymous
c's mum!
m a r i c h u i
Kachero
Anonymous
unless she has some kind of 'beef' na wewe, usipende kuingilia ya watu. ww kama fun wa humu stick to wat your boss Mange is giving your to chew. mwisho upoteze 'kibarua' chako...rofl!!
c's mum!
Anonymous
baikoko
Anonymous
Anonymous
Afro-Mdhungu
diva la washamba
kitumburee
BEAUTIFUL
Mshamba
Tukinaoooo wa Bibi Bomba
Tajibeba
Anonymous
Mama. M
Anonymous
Kijaruba
Haya seriously mwenye kutaka hili jina langu na alichukue maana mmezidi sasa au kama mtu ana tatizo hawezi kutunga jina semeni niweke list ya majina hapa kila mtu achague lake. Na huu ujumbe wa nyumba 10, mtu mwingine akitaka na yeye aweza pia mjumbe wa nyumba 10 after all kwenye mji mmoja kunaweza kuwa na wajumbe wa nyumba 10 hata mia; nothing special!!
The problem of TZs you dont know how to have virtual lives, virtual fun, you take everything seriously by the book; ujamaa mbaya kila kitu mnataka mfanane mpaka sura kama wachina!!
DESPERATE HOUSE WIFE
c's mum!
muke ya jaluo
m a r i c h u i
Tukinaoooo wa Bibi Bomba
Kijaruba
Now coming back to the ones who need names or virtual names, here is the list
1. Jalada
2. Jaladia
3. Kopi kopi
4. Kwapu
5. Kichuna
6. Mchuchu
7. Totoo ya ... (utajaza mwenyewe unayemtaka awe baby yako)
8. Kichwa maji
9. Kifyagio
10. Kishada
11. Mapigo
12. Kisonoko
13. Binti Majivuni
14. Binti Majivu
15. Kafa Ulaya (Mtumba huu)
16. Kijini
17. Muwasho
18. Bukedde
19. Kikunio
20. Mucky
21. Amata
Haya tumieni hayo majina kucoment, mkitaka majina ya kizungu pia naweza kuwawekea lakini itabidi mnilipe!!
Mshamba
Sensitive Samurai
Newbie
mie
Husband snatcher
MSEMAKWELI
Queen Nzinga
Anonymous
Afro-Mdhungu
Yaani that's so true...Ku iga kawaida lakini ku iga mtuu hupendi inamaanisha nini???? I hate those vultures yaani wamekaa ku iga mtu alafu hawam'respect???!!! Mambo gani hayo? Kama si
I always said that:" PUNDA UKIMPA THAMANI ANAWAZA AMEKUWA FARASI".THEY ARE UR NUMBER ONE FAN just frustated fans. Wana penda iga haya wa ende waka MIAMING tuone!!!Roho ya tama na ya wivu inageuza watu kuwa WEHU. they are fool, nonsense peaple. They dream while u're living ur life...stress zita uwa wengi mwaka huu...HAHAHAHA
cockburn
Muke Ya Albino
CEO naomba kutoa hoja
MRS SOLIS
Anonymous
Anonny Mom
Anonymous
Byela
Uko juu,
bimkora
pacha wa mange
nitaharisha kesho
DIAMOND
Jamaa alianzia kwa Rehema Fabian, wakafuatia Pendo Mushi wa Maisha Plus, Jacqueline Wolper, Natasha, Wema, Jokate Mwegelo na sasa yupo kwa Wema tena
tigo pesa
Anonymous
Yummie! yummie! Ah! Miami!
BEAUTIFUL ONYINYE
c's mum!
BEAUTIFUL ONYINYE
BEAUTIFUL ONYINYE
BEAUTIFUL ONYINYE
Someone's Princess
space
muke ya jaluo
BEAUTIFUL
HUNIJUI SIKUJUI
KADADAA
KADADAA
2.PIA KAMA KUNA MWANAMKE AMEJIWEZESHA NA AMEFANIKIWA ATUPE NA SISI NJIA ILI TUCHANGIE AU TUIGE
3.KAMA UNA KITU UNAWAZA UNASHINDWA KUTOA MAAMUZI LILITWE HAPA TUCHANGIE YAANI VITU NI VINGI SANA VYA KUDISCUS HUMU NA VIKATUSAIDIA WANAWAKE SISI MAANA NAAMINI NDIO WENGI HUME KULIKO WANAUME.
4. LABDA MTU ANATAFUTA CHUO GANI KIZURI AU SHULE ZA WATOTO WETU VITU KAMA HIVO TUBADILI MTAZAMO KIDOGO KUNOGESHA GENGE LETU LA STRESS JAMANI MAANA HUMU NDIO KILA KITU .
5. USISAHAU KUTUWEKEA VITU VIZURI ZAIDI VYA MIAMI KUTUTOA MATONGOTONGO TULIO WENGI CEO WE LOVE U FOR REAL.AU VIPI MAWAZIRI WENZANGU?remeber
Mshamba
pamelii
responsible woman
Muke ya Muchina
Msikose kuja Darajani kesho kuna futari za kichina made in Saudia
Muke ya Muchina
c's mum!
Anonymous
Muke ya Muchina
TIGHEST PUM PUM
jency
BAM BAM
i love to diss yah
MAPENISHOW
Mshamba
Anoy
Anonymous
August 7, 2012 at 8:44 am
Ndio hao kina Asha Migiro tunashindana nao sisi hatupotezi muda wa kushindana na wauza matako kwa wazungu. Haya kawape taarifa na waambie kama sisi wa mashenzini alitujuaje wakati waarabu wa Pemba wajuana kwa vilemba
Anonymous
mpz
muke ya jaluo
Anonymous
muke ya jaluo
Mshamba
Kijaruba
Wengine tukisema ukweli huwa tunaonekana wabaya au tunataka kuvunja ndoa za watu, huyo dada yuko kwenye abusive relationship na mumewe ni bonge la abuser. Na anachokifanya huyo mume ni kumuabuse mkewe kisaikolojia, na yote hayo ni matokeo ya vicheni party hayo.
Natamani nikifika bongo angalau muda mfupi nitakaokaa nifanye semina tena ya bure, tuongee na wanawake waseme why are they allowing their partners/spouses to abuse them physically and psychologically? Utakuta mtu hapigwi ila kila siku anaambukizwa magonjwa ya zinaa; hapigwi ila anaanyimwa haki zake za msingi kama mwanadamu. Je baadhi yenu mnapoolewa mnaambiwa kuwa ndio mwisho wenu kuwa na decision making? Nashangaa sipati majibu, labda humu mwaweza nisaidia majibu!!
Heri mie nungayembe sijaolewa,
Mshamba
Husband snatcher
Mshamba
Muke Ya Albino
Ti Vancouver
Unajua mtu kama anakupenda akienda kule akikuta mtu kakusema vibaya anaona bora ajibu mapigo kwani hakuna blogu yeyote tz ina walinzi na wapenzi wengi kama hii. Na walikuwa wanafurahia kujibiwa ili nao waonekane wana comment nyingi. kuwapuuza ni njia nzuri ya kuwaua kimyakimya.
marikenge
najipitisha tu mie
marikenge
najipitisha tu mie
KADADAA
TOTO YA KIPARE
TOTO YA KIPARE
baby ya Mange
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Chaunabe
Chaunabe
MIE
baby ya Mange
u turner muasisi
c's mum!
muke ya muchina
muke ya muchina
c's mum!
c's mum!
baby ya Mange
Anonymous
Anonymous
Anonymous