05August

I HOPE PREZZO WINS BIG BROTHER AFRICA....

JAMANI I WANT PREZZO TO WIN THIS SOOO BAD....HE SOOOO COOOL AND HIS SWAG IS ON POINT...CHEZEA KENYAN PRESIDAAAAAAAAA

 

Comments (35)

  • koku

    koku

    05 August 2012 at 20:25 |
  • bella

    bella

    05 August 2012 at 20:34 |
    come from east africa wish al the best
  • Anonymous

    Anonymous

    05 August 2012 at 20:38 |
    nimechungulia humu mpaka shingo imekatika khaa mange unahama? au ni ubusy mamimto?
  • koku

    koku

    05 August 2012 at 20:53 |
    nabadirisha jina kuanzia leoceo . nitajulikana kama *cockburn* kizungu zaiditea . naona mtaa wa pili wananichafulia hali ya hewa,ngoja wao wabaki na hilo jina la nyumbani kaishozisonya
    • Anonymous

      Anonymous

      05 August 2012 at 20:59 |
      Cockburn wa ukweehakunagapopchampgne
    • Nai Nai

      Nai Nai

      05 August 2012 at 23:06 |
      Usibadili jina lako kwa ajili ya kuwaogopa au kuwafurahisha watu; wanaweza kujiita Koku mara 50, lakini kamwe hawataweza kucoment kama wewe, kwa sababu kila mtu ana style yake ya kuandika au kuongea. So dont let those trolls who cant think beyond their ages wakuendeshe.

      Ukitaka kutofautisha Koku wa Kichina na Koku original weke signature yako i.e kapicha. Kama hutaki kumtumia CEO fungua new email account ibandika hapa kisha mie nitakuelekeza namna ya kufanya kwa email. Kwa sababu utakapocomment popote pale kwa kutumia email yako picha na jina itatokea tu.

      Ndio maana mimi sina wasi wasi, Nai Nai ni jina langu la ukweli mtu mwenye kubabaika na kulicopy kanizimia au ananifia au ananiadmire ndio maana anataka jina langu!! Kitu ambacho hawataweza kucopy ni my brain or my intelligency hata nikimpa papers zangu asome hataelewa nimeandika nini humo.
    • mdau wa

      mdau wa "mitaa ya pili"

      06 August 2012 at 07:40 |
      watu wengine bwana kwa kupenda attention sasa kama unabadilisha jina si ubadilishe tu kimya kimya kwani mpaka utoe taarifa na kuutangazia ulimwengu hata haukufahamu unafananaje..!kweli mhaya ni mhaya tu hata akiwa ulaya,hilo jina imekua trade mark kwamba u gonna lose ur customer au basi tu ni misifa jazz band
      • Dee

        Dee

        06 August 2012 at 08:36 |
        LOOSER ! WHATS YOUR PROBLEM IF SHE WANTS TO INFORM US !!!
  • Anonymous

    Anonymous

    05 August 2012 at 21:01 |
    Mama Bhokenzo ka ndio ukimya gani kuumiza shingo za wateja wako?fanmangeblogblowkiss
  • SITAHARISHA

    SITAHARISHA

    05 August 2012 at 21:54 |
    best mbona we kigeugeu kama kifurumbwidu mtaa wa uswazi? Sio wewe ulitupostia unatamani Prezzo atoke wiki za mwanzo kisa anaabuse mademu mjengoni?
    acha hizo bana hujui un wafuasi wanafuata kila usemalo? ukitaka kubadilika uwe unakaa na wadau kama kamati tutoe kauli 1
    • mange kimambi

      mange kimambi

      05 August 2012 at 21:59 |
      WEEK ONE Aliniboa sana kumwambia Barbz ni mzee she needs to get married and have kids etc...as a woman, i was really pissed, yani nilimchukia Prezzo vibaya mno, coz i know jinsi wanawake wanavyokuwa pressured kuolewa sababu ya umri etc and its not fair.

      but mie ni mtu wa kusamehe sana. Kesho yake asubuhi na mapema Prezzo alimuomba Barbz msamaha, as a matter of fact yani aliona aibu sana asubuhi baada ya mapombe kumuisha, yani alimuomba msamaha mpaka mie mwenyewe nililegea....hahahhaha.....and he meant it coz he never ever said anything like that to Barbz again. Nilimpenda sana Prezzo baadae although that grudge holding Barbz never forgave him......
      • SITAHARISHA

        SITAHARISHA

        06 August 2012 at 00:38 |
        Got ya! Good kusamehe na kujishusha, kuna kufa mwisho wa siku. Uguza pole halafu na mie nahitaji msamaha wako, dole la kati nashusha chini, nainua gumba kwajili yako. Lakini tafadhali shauriana na C's mum na Marichui wasijekununia. Mi lav yuu CEO hakunaga!!
  • mange kimambi

    mange kimambi

    05 August 2012 at 22:01 |
    SO TEAM PREZZO ALL THE WAY....ASHINDE ASISHINDE, THE KENYAN PRESIDAAAAA ROCKS!!!!!
    • KIBONGE

      KIBONGE

      06 August 2012 at 08:29 |
      mi mwenyewe nilimchukia mwanzo na pale alipom nominate Gold nikachukia kweli ila badae nikarudisha moyo fasta nimempigiaje kula,
      anyway hata hivyo ni mshindi wa africa one
      hakunaga kama prezidaa
  • Anonymous

    Anonymous

    05 August 2012 at 22:11 |
    Go Go Prezzoooooooooooo
  • miss u turn

    miss u turn

    05 August 2012 at 22:16 |
    mange OK HAPO NIMEKUELEWA KIDOGO NAMI NIKUSHANGAEE..ULIPOTEA MUMMY NIKADHANI UPO BUSY KUITENGENEZA NYUMBA MPYAA KWAKWELI MPAKA SHINGO KIDOGO ISIGEUKE..mangeblogeducationeducation
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    05 August 2012 at 23:15 |
    Ndio naangalia hapa..... Jamani amekosa ushindi!! Too bad
  • Out of topic

    Out of topic

    05 August 2012 at 23:47 |
    Mie naona huyo dada wa mtaa pili mnapaisha buree na anavyowachora na mnamvyomsifia eti ana Masters!rolling on the floorrolling on the floor Anawachekaa, mwenzenu yuko kwenye movie anaact na sio reality nyie kutwa eti, msomi gani, au sijui wasomi hawawi hivyoo. Sasa leo ngoja nipasue jipu humu, hivi mmeshawahi kumuuliza amesoma shule gani? Au ameshawahi kuwaonyesha vyeti vyake?

    Iko hivi, mwaka jana mwezi September alipost kwenye blogu yake kuwa yeye kasomea Population studies. Kabla hata mwezi haujaisha akasahau kuwa alisema kasoma Populations studies October (tarehe ninaiminya) akapost kuwa yeye ana BA na PG; siitaji alisema BA na PG ya nini ila akaweka mtungo kuwa amepata scholarship ya nchi fulani (hakuitaja jina) karibu ataanza kusoma Masters and that was mid October 2011. Na tangu amesema amepata hiyo scholarship ndio akaanza vijisafari vya UN ghafla akageuka Diplomat Ambassador wa UNAMID. Na Mange alivyoanza kusema mambo ya graduation alivyorudi tu kutoka kwenye graduation yake na yeye akaanza kupost kuwa ana MA hiyo ya International Relations na Diplomacy (iko siku nitawaambia amecopy kwa nani hiyo tittle ya MA course yake.

    Ninachotaka kuwauliza hivi Masters siku hizi inachukua less than 6 months kushinda certificates? Kwanini watanzania mnapenda sana mambo ya kudanganya kuwa mmesoma ilhali hata darasani hamjaingia? Poleni wote mnaomsherehekea kuwa kasoma, the girl is taking you for a ride!!!

    Since I discovered that she is taking people for a ride, I never take anything she says seriously; nafikiri she has multiple personality disorder! Haa haaa haa, at one time she think she is Mange Kimambi and sometime she return back to herself. Ndio maana kila afanyacho Mange na yeye anafanya, mbona hafanyi vya huyo namesake wake? Na wafuasi wake badala ya kumsaidia ndio kwanza wanamzidishia. Siku moja ataamka aseme yeye ni Malkia Elizabeth au Michelle Obama, shauri yenuu!!
    • Kifurumwidu sugarmummy ya OK

      Kifurumwidu sugarmummy ya OK

      06 August 2012 at 00:54 |
      mwaga mtama out of topic! mie binafsi niliona alipopost amepata sponsor wa masomo ya Masters na atamtangaza soon, ilikuwa mwaka jana mwishoni,sikuingia kitambo nikapita baaa ya kama miezi 6 hv yaani mapema mwaka huu baada ya kauli mbiu ya CEO Education is sexy nikakuta kapost ana Master pia nnlijiuliza hiyo Masters kachukua muda gani na wapi maana BA alitutangazia kaipata Uganda, anavotafuta sifa kwa nguvu angetuambia alipopata MA yake na sponsa alietuahidi kuturushia,.kazi anayo bi kifurumbwidu. Sasa katupostia mjengo wa BayZ ati serengeti boy wake ananunua, ama kweli. Mie hujiuliza tu Masters na utangazaji (sijui anatangaza mipasho au nn sijawahimsikia)wapi na wapi si akawe tutorial chuoni huko. Ni kama kachanganyikiwa flani hv
      • Out of topic

        Out of topic

        06 August 2012 at 02:25 |
        Kwa kupost picha za majengo siziendana na uhalisia hajambo!! Kama ile picha ya majengo ya kihistoria ya Roma, ambako alijidai kuwa ndie anakofanyia kazi. Kuna watu 2 wanapenda kujisifia wao ni wazuri na wote walikuwa MaCEO huko. Mmoja akipeleka taarifa za kutoka Bongo, mwingine akifanya stupid stuff. Mimi yote hayo nayaona ni upuuzi ila hili la kudanganya kila siku ana Masters, ndio kituko cha mwaka. Nina wasi wasi hana hata hiyo BA kwa sababu sijawahi kusikia hata siku moja mtu anacomment kuwa ni kweli walikuwa class moja. Hivi BA usome for 3 or 4 years ukose hata classmate mmoja? Au school mate wa miaka mingine? Hiyo course alikuwa yeye na mwalimu tu? Au?

        Wanawake ambao hawataki kusoma kujiendeleza kisha wanabaki kununua vyeti feki na kujitapa kuwa wamesoma wanadhalilisha sana wanawake wenzao.

        I RESPECT SANA WANAWAKE WA DARASA LA 7 AMBAO HAWAJASOMA Kutokana na sababu mbali mbali au hata waliomaliza form 4 wakafeli (kwa sababu chances za mwanamke kufeli ni kubwa kutokana na mazingira)lakini wanajiamini na hawadanganyi kuhusu elimu yao.

        I dont respect mwanamke anaedanganya amesoma ilhali hajasoma kwani sio mfano mzuri kwa wasichana wadogo wanaomzunguka!! Tangu muda alioanza kuimba anasoma Masters angeingia darasani kweli angekuwa anaelekea kufikisha mwaka sasa, kwa shule za UK angekuwa anasubmit dissertation yake; kwa shule za US angekuwa anaingia second year soon, na kwa shule za Bongo angekuwa anafanya research yake kwani Masters Bongo ni 18 months!

        Kitu ambacho wengi wanasahau kuwa hata academicians hupita kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii. Wanajua wanafunzi wa Bongo wanapenda kudesa, lakini hii ya Masters ya 6 months? Tena bila kuingia darasani? Hata kama ni distance learning angekuwa ndio kwanza yuko nusu au robo ya shule!! Nenda shule wewe binti unatia aibu tasnia ya elimu!!
        • Anonymous

          Anonymous

          06 August 2012 at 02:59 |
          Anasema anaibia mwanaume wakati ye ndio kaiba.Mtenda akitendwa anajiona kaonewa.Uliniibia Julie.
        • 9ja Girl

          9ja Girl

          06 August 2012 at 03:14 |
          out of topic whats wrong with you? umetumwa kuleta risala za mashenzini humu? kama ana masters au hana who cares, that her life, hauna power ya kuchange anybody's life except yours take a chill pill wewe na kifurumwidu sugarmammy mnakera sio siri
          • u turner muasisi

            u turner muasisi

            06 August 2012 at 07:47 |
            Guyz give us the break,we really tired na story za watu wa mitaa ya pili,we need our things,tukitaka kuyajua ya huko kama tuko interested(mungu apishie mbali tutakwenda wenyewe)we don't need kuwapa cheap popurarity hao watu wenu wa mtaa wa pili mliowakazania kama mnagombea nao bwana
    • Anonymous

      Anonymous

      06 August 2012 at 01:08 |
      Mi nilicheka siku moja alivyoonyesha yupo kwenye ndege anaenda kwa Bibi,alipofika kwa Bibi hakupiga hata picha.Makubwa au picha zilipotea?Mjini kunavichekesho sasa ametangaza ndoa na mme wa mtu,Ipo siku atachukuliwa na yeye.Baby wake-up.
  • Anonymous

    Anonymous

    06 August 2012 at 01:04 |
    naomba niwe against wengi.. Sikutaka prezzo ashinde and am glad hajashinda. Ahsante
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    06 August 2012 at 02:36 |
    I MISSED YOU MANGE AND THE COMMENTERSbirthdaydancebirthdaydance
  • anonymous

    anonymous

    06 August 2012 at 09:13 |
    it was close but still nice try mr president # team prezzo all the way
  • Mrs Jimmy Choo

    Mrs Jimmy Choo

    06 August 2012 at 10:01 |
    Mange rudisha bwana yale madole!!!KUna watu nanacomment point and we cant accredit them!education
  • hat kimambi

    hat kimambi

    06 August 2012 at 16:08 |
    am new in commenting but am no 1 fan of u mange and yo u-turn i love the creativity u put on guys lets be on this side of lol coz it worths i love u mange . she ain't you oooops i mean ps hahaha mswahili i petty her
  • hat kimambi

    hat kimambi

    06 August 2012 at 16:19 |
    mange don' waste your time writting abt dat sorry example of a woman she knows that she ain't u 1000000kms u know most losers endes up haters .anyways iron woman am on the front line praying for our kenzo we love him xo much he'll be fyn in no time
    • Anonymous

      Anonymous

      09 August 2012 at 19:37 |
      Duhh!!!!nimekubatiza jina jipya...ENGLISH TEACHER...LOL
  • Anonymous

    Anonymous

    06 August 2012 at 16:36 |
  • ney rowland

    ney rowland

    07 August 2012 at 19:04 |
    mi jamanii wish 4 keagan alot!
    happy dat he took 't...
  • ney rowland

    ney rowland

    07 August 2012 at 19:05 |
    mi jamanii wshd 4 keagan 3 take 't..
    happy he did!
  • Anonymous

    Anonymous

    09 August 2012 at 19:38 |
    Duhh!!!!nimekubatiza jina jipya...ENGLISH TEACHER...LOL