wanawake nanyi mna mambo mkidekezwa mnamwita bwana bwege, akikupenda sana anaitwa mjinga mkipigwa tunaonewa sasa mfanywejee, hiyo picha kosa liko wapi yaone misura mibaya kama mnakunya baba la watu likifanya hivi mtaa mzima mtampachika jina hamjui kupendwa wala hamjui mapenzi yanafananaje mmezoea waongo wa mjini mnakopwa kila siku ukimpata mwanume wa hivi umwamkie na shikamoo ya magoti asubuhi
Mange kutoa hicho kichwa cha habari hakumaanisha kuwa huyo ni bwege au kamdharau mtu kwa kuwa yeye kaolewa na mzungu, kuolewa na mzungu its not an issue ni rangi tu sawa na wanaume wengine.
Yeye alichotaka hapo nikutaka kupata comment kutoka ka viewers wake thats so. tuwe wepesi wa kuelewa sio kukimbilia kucomment tu mwe!
Jamani kaka Moody,baby ya Mange, Marichui, Tajibeba,DHW,beautiful onyinye,C'mum na wana uturn wote naombeni msaada wenu nisaidieni kufanya hili swali. Nimeliweka ime liignore sio vizuri anaweza Hesabu anisaidie.
Explain what type of discrete distribution you would use and calculate the probabilities.
1. It is estimated that sharks kill 10 people each year. Find the probability that at least 3 people are killed by sharks this year.
2. A basketball player makes his free throws 60.2% of the time. What is the probability that they first free throw he makes is his forth shot?
3. Twenty-five percent of adults say they watch streaming movies on their phones at work. In a survey of 12 randomly selected adults, find the probability that between four and eight people (inclusive) have watched streaming movies on their phones at work.
Hesabu za probability sizipendagi,niwekee za magazijuto hapo utanipata,sorry na sign out kimtindo,kesho boksi linaanza saa kumi na moja asubuhi mpaka tisa mchana,masaa kumi ya ukweli @16USD,Si "mseso"
3)Use a Binomial distribution since the experiment (people who have watched streaming movies on their phones at work) is repeated for a fixed number of trials (12 adults) and each adult is independent of the others. There are only two outcomes (adults who do watch streaming movies and adults who don't watch streaming movies) and the probability of success (25% of adults who watch streaming movies) is the same for each adult. n = 12, p = 0.25, x (number of people who watch streaming movies on their phones at work) = 4, 5, 6, 7, 8.
P(4 ≤ x ≤ 8) = P(4) + P(5) + P(6) + P(7) +P(8)
Using the calculator I find the probabilities:
P(4) = 0.19358
P(5) = 0.10324
P(6) = 0.04015
P(7) = 0.01147
P(8) = 0.00239
Now add up the probabilities to get the
P( between four and eight people (inclusive) have watched streaming movies on their phones at work) ≈ 0.351.
The probability that between four and eight people (inclusive) have watched streaming movies on their phones at work is approximately 0.351.
Lisa Jensen afanya vizuri miss world CHINA ameingia KUMI BORA.Tuendelea kumuombea ali afanye vizuri kwenye mashindano ya Miss world yatakapofanyika August 18th. Lisa
Mange is a typical narcissistic person .narcissistic is on going pattern of grandiosity and need of admiration and lack of empathy for others .she have self love .mange get shock when she is not praised ,narcissistic person insist of having the best of everything .it is about image , external cues not. Internal quality .intense jelousy and temper if they don't get what they want how long will a husband continue to be with a narcissistic wife or girlfriend ?
C'S MUM! kumbe huna raha, sasa tumejua nyumba imepinda hasira unazitolea humu uturn nilikua najiuliza huna mume wewe kila comment unatoa wewe pole mamimto kuna kipengele cha sheria kinaitwa divorce umeshakisoma?
leo unajichanganya kweli,wats wrong huko kwenye ndoa yako mama?unasema u dont need to explain wakati una explain,hivi vingereza vya british fountain vya ukubwani vina shida sana,mwali wewe usikasirika naona leo umeshikwa pabaya mpaka umegeuka judi matusi mpya,pole wee
tena we soon ndo utarest in peace kwa kipondo..... halo halo ya kisamvu cha kopo mamaaa c's mama! marifisi njoo msadie shoga ako kidawa huku yupo kikaangoni.
right on C's mom....Kwa watu ambao wanakaa Nje they see this kind of stuff a lot...hamna sababu ya baba kuwa mkali hadi watoto wanakuogopa ..huwezi hata kuwapashia chakula moto kama mama yao hayupo..i salute huyo kaka ..na mtoto atakua kumpenda baba yake SANAAA..wanaume wakitanzania they lose touch, they are SO OUT OF TOUCH IT HURTS..they need to change..kumpenda mke wako na watoto sio kwamba wewe ni BABA MJINGA..its just love ..but you will be surprise how many people wako mbali na baba zao ..the comminication boundry is very far...AND THIS IS NOT THE WAY TO RAISE OUR KIDS..Lakini itachukua LONG TIME KWA KAKA ZETU KUBADILIKA
Nyie itakuwa mlimtongoza akawatolea nje, wanawake wa Kibongo wanajulikana kwa kujitongozesha kwa waume za watu, wakishakataliwa ndio wanatoa hila zote hizo!
Mmeona muatamie kabisa humu baada ya kijiwe chenu mlichozoea kutukana kufungwa. Wivu mwingine unatia aibu, mtafikiri mnamjua huyo Lance zaidi ya kumuona kwenye picha.
Eee ninamiss matusi ya Judith, hivi angewatukanaje leo? Sipati picha hayo matusi yake!!

Jamani kama mama ndiye mwenye kazi na baba anasaidia ili wapate kipato je? Mimi sikubaliani kwamba huyo ni mwanaume bwege kama kwelie mwanamke ameenda kutafuta maslahi.
Kule Mabagala, Temeke utakuta barabarani ni akina baba wanasaidia wanawake wao kubeba mtoto na mama kabeba pochi. It is soo sweet. Hukuti haya mambo huko uzunguni Masaki, Mikocheni na Mbezi beach ingawaje inaeleweka kuwa wao watakuwa na dada "nanny" wa kumuangalia mtoto muda wote.
mapenzi hayo jamani mi natamani nimpate kama huyo yaani kila cku ange yaaani ni full na lakin wa siku hizi wabishi haoooooooo tena atokeeeeee kule..........kila siku halafu usiku yaani balaa+
NOW U ARE INVADING PEOPLE'S LIVES -MIND UA OWN P's AND Q's, THATS NOT YOUR FREAKING BUSINESS, THE WIFE COULD BE SICK OR ON BED REST AND HUBBY DECIDED TO HELP OUT- HAVE U THOUGHT ABOUT THAT ?
MWENYEZI MUNGU NDIO KAPEANA RIZIKI USIMCHEKE MWENZIO (REMEMBER THIS IS THE HOLY MONTH ) IF THIS GUY HAD IT ALL HE WOULD HAVE EMPLOYED A HOUSEGIRL...THERE ARE TWO SIDES OF A COIN... IF UA WISE BRING DOWN THIS POST.
Mange was born to bully people I feel sorry for her husband " lance you need to loose weight ,lance I want this ,lance my father loved me so much ,lance people are jelousy of me ,lance I want a house .kutwaaa mange kumbully mumewe
Hii kitu watu wanaichukulia poa but iko very serious na kwa afrika mashariki huko kwetu kenye hali ni mbaya sana kwa kina baba,Huko Kenya Wanaume nchini humo wanapanga kugomea vyakula vya mabibi zao kwa siku sita kutokana na kuongezeka kwa visa vya wanawake kuwapiga mabwana zao.
Badala yake wanaume watakuwa wakila mahotelini na magengeni.
Mwenyekiti wa Chama cha maendeleo ya Kina baba Nderitu Njoka amesema mgomo huo wa siku sita una lengo la kuwashinikiza wanawake kukoma kuwanyanyasa na kuwapiga waume zao.
Kiongozi huyo Nderitu Njoka amesema kuanzia leo jumatatu ataanza kampeni ya kuwashawishi akinababa kula mahotelini badala ya majumbani mwao.
Mwenyekiti huyo wa maendeleo ya wauaume alikuwa akizungumza katika hospitali kuu ya mjini Nakuru huko Rift valley ambako alikuwa amekwenda kumliwaza baba mmoja ambaye amelezwa humo kutokana na kipigo alichopewa na mkewe.
Baba huyo akizungumza kwa uchungu hospitalini alisema mkewe alimuita nyumbani it akachukuwe pesa kabla ya kumfungia chumbani na kumtandika.
Kwa muujibu wa bwana Nderitu Njoka, mkoa wa kati nchini Kenya ndio unaongoza kwa idadi ya akina baba wanaopigwa na bibi zao.
Katika mkoa huo wa kati wanaume karibu nusu milioni wameripoti kutandikwa.
Chama hicho cha wanaume kimedai kuwa kuna wanaume ambao wanalazimishwa kufua nguo za wake zao.Wengine pia wamedai kunyimwa tendo la ngono na mabibi zao.Jijini Nairobi wanaume ambao huona kivumbi kutoka kwa wake zao ni laki tatu.
Lakini baadhi ya akina mama kutoka mkoa huo wanasema akina baba ndio wa kulaumiwa kwa kushindwa na majukumu yao ya kifamila.
Wanasema waume wangi wamekuwa waume suruali tu.
gonga hapo chini ujionee mwenyewe http://www.youtube.com/watch?v=sLvafgTRFtI&feature=player_embedded#!
Ni kweli watu wanafikiri ni mapenzi, pengine mkewe yuko pembeni na kiboko. Nina rafiki yangu Mkenya siku moja mkewe alichemsha maji ya moto ili amwagie Mungu akamlaani akajimwagia mwenyewe akaungua mkononi. Yaani huyo baba ana tabu ya dunia kila siku kufanyiwa visa na kuitiwa polisi. Mwanamke ni kula kulala na kwenda kazini tu, hata siku haendi kazini wala haangalii mtoto wala hampeleki shule na kumfuata. Chezea wanawake wa Kikenya ndio maana siku hizi wanaume zao wanakimbilia Bongo. Mange weka ile picha ya yule mume yuko hospitali na hogo lake iko kwenye google!
Ukitaka kumjua mwanamke halisi wa kenya mtazame hapa Ruth kibaki kushoto kwa mzee akimlazimisha mzee aikane "nje cup" yake mbele ya media.. http://www.youtube.com/watch?v=wSlTW8mjirs
Haahahaa kaka Mudy nimecheka Lucy alivyosimama pembeni utasema alikuwa anasubiri tuu jamaa aropoke ampe na kwa jinsi alivyokuwa anahemea juju inaoneka huko home kuliwaka ile mbayaaa hahahaha chezea kenyan woman
kunya anye bata akinya kuku kaharisha, kama wanataka kukemea ukatili iwe ni pande zote mbili sio ionekane kama mwanamke ndo anastahili kutreatiwa vibaya, wote ni binadamu tupendane tusaidiane tuoneane huruma
why if a woman doing all those stuff is not woman "bwege"?? the man is not bwege is just helping his wife while she is at work or probably she passed away, lots of factors can lead to be like that man.So he is no bwege.
Mange ngoja baba kenzo nae akianza kukupikia huko na kufanya kazi za ndani ndio utaona kawaida na ni wajibu kwa mwanaume kumsaidia mkewe kazi za nyumbani, kwa wenzetu ni kawaida tuu ingawa kuna wale wa kama kwetu Africa pia. Sasa baba ataoneka kalishwa limbwata kumbe anamsaidia mkewe au pengine mkewe mgonjwa Mie wangu bega kwa bega napika ye anapiga deki nikiwa nangalia watoto ye anafua mambo kusadiana tusichoshane sana tukashindwa wajibika uwanjani
mnashangaa hiyo u turnerz wa muda mrefu nadhani wanakumbuka kuna u turner mwenzetu mmoja nadhani ni yule Joyce mke wa mzungu wa norway aliwahi kutuletea picha hapa zikimuonyesha mzungu wake akiwa nae jikoni sijui chumbani sikumbuki sawa sawa lakini nakumbuka walikua wakisukana nywele yani shemeji mdhungu akimsuka nywele dada joyce
duuuh, unakumbuka moody, joyce metgard alitundoshea za husbando akimshonea weaving watu humu walichonga ile siku nilicheka mbaya, hayo ni malovee tu. moody na wewe unajua kusuka japo tatu kichwa?!
Sio bwege, mambo siku hizi ni kusaidiana maisha yamebadilika sana, pengine hapo mama ndiye anayepiga mzigo baba hana kazi au mama hayupo yote heri tuu! ila ndio maisha ya kisasa kusaidiana, masuala ya usawa hayo...... mpo kina mamaaaaaaa
i like ur blog muke ya muzungu.
well, am so happy kumuona that man caring mtoto n kufua, he reminds me of my husband. the thing is that, its about love,feelings to the wife rather than being mwanaume bwege,imagine a woman goes to work and the husband is just at home, why not helping the wife kama kweli una mfeel
Magge hii ni malove jamani mbona wazungu huwa wana babysitter watoto wao jamani lol, this is true Love and to help each other in the house is normal nowdays haswa kwa sisi wanawake vijana na wasomi kusaidiana ndo ma-love yenyewe Magge. Baba Kenzo pia huwa ana babysittter najua siku nyingine kha! Love it wanaume wa kibongo igeni huu mfano mzuri.
SIO MAGGE NI MANGE, UMEKOSEA MARA YA KWANZA NIKAJUA NI TYPING ERROR, UVOKOSEA MARA YA PILI NIKAGUNDUA WEWE NI MGENI HUMU NDANI WALA USIBISHE..NA MTU AKIKAA NA MTOTO TUNASEMA ANA BABYSITT SIO ANA BABYSITTER. BABYSITTER NI YULE ANAEKAA NA MTOTO NA KUBEBISITT NI KITENDO. UPO HAPO..RAHA YA KUCHANGANYA LUGHA, MATOKEO YAKE KILA KITU KINAKUWA SHAGHALABAGHALA..WA WAPI WEWE?
sio bwege kabisa. Hayo ndo maisha yanapaswa kuwa mfumo dume umepitwa na wakati kwani wanaume wamezoea kila kitu kufanyiwa kazi kukaa sebuleni kusoma magazeti na kuangalia tv wanasubiri kuitwa bafuni, chakula nk. Mwanaume wa tabia hii anapaswa kuigwa na wanaume wote ulimwenguni sio kila kitu ni mwanamke tu ndani ya familia, lazima amsaidie mwanamke kazi. kama wote wangekuwa hivyo oh nahisi maana kazi tunayo wanawake. HUYO ANAJUA UMUHIMU WA MWANAMKE KATIKA FAMILIA, YEYE KAMA BABA ANAPASWA KUMSAIDIA MAMA BAADHI YA KAZI ZINGINE KAMA HIVYO. Mh katoto kazuri jamani tena kana afya ile mbaya, kama sikosei baba kama bounsa vile maana kifua duh simchezo kazi anaiweza.
Ubwege kum-beba mwanao??????
Ubwege kumsaidia mkeo??????
Yani mwanaume asosaidia kwa ujumla ndi bwege mtozeni mkubwa! Wacha waje Wenzie wanojua mahaba ni kusaidizana ndani ya nyumba na si kufunga mkanda kiunoni na kung'aa sharubu!!! Shuwaini!
Kwanza usipokuwa bwege kwa mkeo unataka ukawe bwege kwa hawara au?????
Asante yesu mumewangu anasaidia ila naona wanawake wenzangu wanavyotaabika mchana na usiku Pia!
sio hata mume bwege kwani baba kenzo hawezi fanya hivyo? mange i though your a woman of today kumbe bado sana i love you but leo umeniuthi.. kama hujaolewa na mzungu?
Mange nimesikitika kidogo kichwa cha habari na kicheko chini yake..
This is a very daring man - especially an African man. Gender critics would have given him a certificate of best practice in changing gender roles. I aplaud him because we dont not see it everyday. But... you may be suprised to note that its a common site in villages where hospitals are far. Many young fathers carry their sick children to hospital to relieve their wives and be able to walk faster to reach help!!! Wanaume wengi wana upendo kwa watoto wao and they would actually like to do more but fear the eye of the society .. kuitwa bwege au kuonekana wake zao wamewawekea juju.
lol that baby is so cute!,,,baby saivi maisha yamebadilika bana mambo kusaidiana mambo ya ukale kwamba kila kitu ni mwanamke afanye yameshapitwa...lol au kwa vile kambeba mgongoni na kanga wazawa kibao huku wanabeba wanao na zile carrier wanaenda shopping etc wanapush mapush chair kila mahali wanaume na hadi nyumbani wanasaidia dishes....kwa upande wangu kama hii kweli inatokea bongo basi wanawake tumeanza kuwa juu....
he is not mume bwege mange!!!Lol, on my opinion, i think this man loves his wife too bad, we call this love,,, might his wife sick or she is working in the other jobs, that's way he decided to help her. so MANGE this is an usually don't be shocked please.
majukumu kusaidiana jamani, ukute mke ndo anafanya kazi, so mume yuko tu nyumbani inabidi kubana matumizi asaidie kazi haina haja ya kuajiri dada..... heheheeeee
kwa fikra za wengi wetu tukiona mume anayafanya hayo tunasema kalishwa limbwata,kumbe wala ni mapenzi,wenzetu mume kufanya kazi za ndani ni kawaida sana,sema utamaduni huo sisi ni wachache sana wenye nao.
Wala huyo si mume bwege, karne hii maisha kusaidiana bana, sasa labda yeye yupo likizo na mke wake karudi kazini hiyo kazi ya malezi ya mtoto nani afanye? huyo ni DUME LA MBEGU anayeishi kivyake vyake, nampa Hi 5!!!!!!!!

Sidhani kabisa huyo kaka ni bwege, ila naweza sema ni mwanaume mwenye utu,nidhamu ni kujitambua maana kuwa mwanaume haimaanishi huruhusiwe kumbeba mtoto mgongoni au haimaanishi huruhusiwi kusaidia kaazi za nyumbani,Bwege ni wale wanaotaka kuchomekea 24/7 hawajui utaratibu wa nyumbani unaendeleaje. so I give this man two thumbs up
why would you even put the two together though?? Mume Bwege??? absolutely not, I wish there would be more men like him around! i wisho more men would look at him as great family men and not otherwise! Mabwege ni wale wanaotoka maofficini nakukimbilia nyumbani ku flip tv channels bila kusaidia kaazi za kwa nyumba. this man is faboulous if u ask me.
Akili ya mange mume bwege.,wazungu ndio wenye thamami waafrika hawajui malezi.nimeolewa na mzungu lakini mange anatufanya wenzake tuliolewa na wazungu kuonekana malimbukeni na golddigger
mi nimeolewa na sina kazi, ila mume wangu tunasaidiana kila kitu, kama takataka na kazi yake yeye sigusi mimi, na nikifanya kila kitu analalamika anataka naye asaidie, sometimes anarudi kutoka kazini anapika na vyombo mmoja anaosha mwingine anafuta na kupanga, siyo mume bwege wala nini, melewano tu. hujaonja raha ya ndoa bado, love is not about money and expensive gifts, its about small things we do to one another.
mwanaume ka huyu ni dhahabu maana hapatikani kirahisi aiseee! aliyempata huyu amshukuru mungu sana. mijiwanaume ya sikuhizi inataka kunywa,club na kukimbizana na skirt barabarani, wengine umbea tu kama mabinti! huyu ni dume la mbegu aiseee!
Let's get back to calculating some probabilities, explain what type of discrete distribution you would use and calculate the probabilities.
1. It is estimated that sharks kill 10 people each year. Find the probability that at least 3 people are killed by sharks this year.
2. A basketball player makes his free throws 60.2% of the time. What is the probability that they first free throw he makes is his forth shot?
3. Twenty-five percent of adults say they watch streaming movies on their phones at work. In a survey of 12 randomly selected adults, find the probability that between four and eight people (inclusive) have watched streaming movies on their phones at work.
Dada sijui kaka, wengine tulisoma statics 19 years ago in Uni na baada ya pale sikutaka kusikia tena neno "probability". Nakumbuka lile ndio darasa pekee tulikuwa tunafanya mtihani kweny computer. Ukiingia tu unakuta floppy disk pembeni na mwalimu akisema "start" kila mtu anaweka floppy yake aliyoikuta kwenye Apple compluters (siohizi za sasa, very very old model lakini wakati ule ndio zenyewe).
Lakini hebu nijaribu nione kama baada ya miaka 20nakubuka chochote. 1st question. If estimated 10 people, probablity of 3 people will be 333.3% i.e. 10/3. 2nd question nachemsha kwenye jibu lakini kama ni 60.2% akitupa 6.6 times 4th time atapata free. I will go with 15.05% probability. 3 rd question, I think that the probability inclusive will be 50%, I got this by getting a probability of 4 up to 8 inclusive then I added all of the probabilities and divided 5 since 4-8, there are 5 numbers (to get an average probability). My dear don't follow my answers since I did this 19 yrs ago and I do not remember a thing, go and double check them.
bwana ebu tutokee hapa ni hizo probably zako aah. sie tumekuja hapa ku enjoy na sio kukalishwa tena darasani ku calculate. mwambie mume wako au mke wako akusaidie tutokee umu ndani. hii siyo sehemu ya hayo mambo eboo..umepotea njia?
You don't need to be rude woman, I posted it ili mwenye upendo anisaidie,Eti najifanya msomi are you serious?????????????????? ulitaka niombe ushauri kwa kimapenz ndio uone wa maana!!! Please kama hupendi shule tuache tunaopenda,hivi watu wengine mkoje lakini???
Anyway MSHAMBA thank you so much kwa jibu lako at least umenipa mwanga will try to work on it.
Yaani wahumu ndani inabidi uwazoee ukikasirika utajizeesha bure... That's why some of us we are in love with da blog coz of vijimambo na vijimaneno maneno vya wadau.
This is soooooooo sexy....a man who does not need to prove that he is one. If he was my husband I would give it to him every minute! We need more African men like this. Baba zebu hata kuchemsha chai hawajahi...shameless.
Huyo mwanaume wenziwe watamuita Bushoke, yaani mume bwege ingawa kwa kweli kihali halisi maisha ni kusaidiana lakini kimazingira watu watamuona huyo mume kakaliwa kichwani na mkewe au kalishwa limbwata.
Subiri sasa mama yake au dada zake wamkute hapo anafua na mtoto kambeba mgongoni mbona mkewe atakiona cha mtema kuni? Tena wengine utakuta wanatamani waume zao wawe kama hivyo lakini wakikuta kaka zao wanawasaidiana wake zao wanakuja juu ka moshi wa kifuu.
Kiukweli kila mwanamke anatamani mume wa hivyo lakini jamii ilivyotuweka sivyo, mambo hayo labda uyafanyie huko huko majuu lakini sio Bongo hukawii kwenda kupigiwa ramli kwa waganga kuwa umemroga mtoto wao!! Lakini hao hao wanasahau kuwa watoto wao waliooa wanawake wa kizungu huku majuu wanafanya hivyo hivyo japo wanabeba watoto kwenye siturola au pushichair!
Mmhh! Mie ninashangaa sana na maoni yenu wajameni, hapa humu ndani wote tunasema ni mapenzi hayo kusaidiana majukumu. Lakini sisi sisi tuko mbele kuwasema wanawake wenzetu kuwa hawapiki sijui wanapenda kula mahoteli sijui hawajui kupika au wajifunze kupika.
Pili kama hali tunayoiona hapo tunaipenda mbona mafunzo kwenye kitchen party hayabadiliki? Kila siku tukiwa nafasi ya kuwapa neno wasichana wanaotaka kuolewa lazima tuwasisitizie kazi za ndani, mwanamke hivi mwanamke vile, usiache msichana wa kazi akafanya hivi au akafanya vile ilhali tunajua kuwa kaajiriwa na akitoka asubuhi arudi jioni akifika ndani aingie kumpikia mume kwa mikono yake na usiku amuhudumie kitandani. Sijawahi kusikia kwenye kitchen party msichana anaambiwa ukichoka mwambie mumeo akusaidie kazi anazoweza kufanya ili usijechoka ukashindwa kufanya kilichokupeleka. Tunatoa msisitizo kwa kazi za ndani na kusahau kinachompeleka msichana mule ndani sio kazi za ndani, ni kazi moja tu, nayo ni tendo la ndoa, warithishane tani yao ili wasitoke nje ya ndoa.
Kuna mabegi party siku hizi, nazo sijasikia mwanaume anaambiwa kazi za ndani ni zenu wote maisha kusaidiana, kama ambavyo mnavyosaidiana kutafuta pesa. Yote tisa tunawajibika kweli kubadilisha hii hali kwa kuwafunza watoto wetu kuwa kazi hazina gender? Mimi watoto wangu wote wakike na wakiume wanafanya kazi zote mpaka kupika. Na huyu mdogo wa miaka miwili wa kiume analea mdoli wake anambeba kwenye stroller, anamlisha anamvisha, na anachezea magari vile vile. Najua mwanamke atakayekuja kuolewa na mwanangu atapata raha sana, kwa sababu ndani ya nyumba yetu hakuna gender division of labour. Tunaweza kubadili kikazi kijacho tukiamua!
Huyu kafiwa na mke wake pesa ya kumweka housegirl hana inabidi apige mzigo mwenyewe. Mbona ulaya single father wanalelea watoto wao bila hata housegirl kila mahali wako nao? Ila kaka zetu wakifanya hivi kalogwa mmmm! 2013 soon wake up woman....Mtabaki mnalea watoto wenyewe adi lini? usiku bwana akirudi halafu unasema unapenda khaaaaa
No offence to anyone, ila kama mwanamke hataki kufanya kazi anataka kuchuna tu, then ofcourse ata ona huu ni ubwege. Ila this is what should be in a marriage, wote wawili kusaidiana. Kama baba yupo of work then anaangalia mambo ya nyumbani, kama mama yupo of work then yeye anaangalia mambo ya nyumbani.
Kuoa au kuolewa si kumfanya mwezio slave of life, eti he or she has to provide all or do every house work and take care of the kids. All in all in maelewano ya wanandoa.
Ndoa nikusaidiana. I live in the US with my husband (ni muafrica). We are both professionals - he is a orthodontic surgeon and I am a systems engineer. Tuna watoto wawili. We take turns with cooking and laundry and making sure watoto wameoga and homework. So one day yeye atapika (including kuosha vyombo na stove) while mimi nitahakikisha watoto wameoga na homework etc.. And yes we could afford cleaning services (I admit once in a while I hire them for deep cleaning)and hire babysitters on a need to basis. I am against living with help (just me I don't care what other people do)
My husband is a darling siku nimerudi nimechoka sana atafanya kila kitu. And no he is not bwege. Ndio kusaidiana na kulea. If i was a gold digger ningekaa nyumbani na kuzurura mall kutwa. But I like to make my own money na when we put our money together we can see retirement coming soon.
Kusema ukweli there are many african men in the US who help their wives - infact the majority - atleast in the circles that I am in do help their wives despite holding very senior positions in fortune 500 companies.
As for Mange calling the guy bwege, achana naye huyo ni mshamba tu. Kazi kuspend hela za mme wake and blogging trying to keep up with akina Mwamvita who have careers and despite the fact that Mwamvita anachuna Ministers son atleast she has a 9-5 job and can hold her own.
Mdau uko juu. Unaongea point za kutosha kuhusu wanaume wengi wa Kiafrika majuu. Wakirudi hapa wengi wanabadilika sijui ni kwa sababu wa hapa hawataki kuonekana mabwege kwa sababu wengi wanadanganyana hivyo?
aiseeeeee umetokwaje povu sasa?? mange anacheza tu na akili za watu, nyie mnasemaaaaaaaaaaaaaa! kha, nways karibu uji wa kungu, tushushie na , mzima weye my dear??
Jamani mange has graduated not too long ago!, and just made a major move in her life to a different place about a week ago??!!!,she's just settling down, so mnataka kufika na kufika tu aanze ku pound the pavements without even getting used to her new neighborhood?, after all if the husband's working, they have good savings and they're living a comfortable life why rush? Nyie ndo mlozoea kurukaruka tuu kila kukicha, no vacation no time off then you end up living a nonstop stress life hafu unakuja kutuchafulia hali ya hewa kijiweni. Na hayo ya Mwamvita sijui yameingiaje hapa, who cares bout what she does? too much info nobody needs to know cause its HER LIFE!
ktk hali halisi, wabongo kweli wa mjini wanafanya hivi au tunakazana kusema ni MAPENZI!? mNGEPATA MUDA SAA NGAPI WA KUCHUKULIANA MABWANA KAMA MUMEO YUPO HOME NA KUBEBA MWANAYE MGONGONI.!! hapa hatuongelei kumbusu akiwa amekaa kwa sofa na kumuweka chini acheze,ni kumbeba na khanga au kitenge! acheni kutuzuga kha!!!mi mzungu wangu anabeba mgongoni na tunaenda kutembea mjini. nani anabisha??
Koku, Mi nabisha, maana mimi nina tz ila anajua kupika na anapenda watoto kuliko hata mimi. Stop having the thought kwamba wazungu wako bora kuliko waafrica. I work with those white men in the industry nominated by men (so do your own calculation how many men i hang out with in a day) and to be honest not all are good as you people say. Watu kazini wanakuja na story kibao jinsi wanavyowacheat wake zao and so on. So please if your husband is god then pray he stays that way. Just know in all communities they are good and bad apples. so Hun pray that he won't change. And please stop making those watz alioolewa na wazungu kuwa wote ni malimbukeni kama few of people in here
Hayo maneno mnayosema kama kweli vile? Ngoja iwe huyo ndio kaka yako anafua na mtoto mgongoni halafu mkewe kalala ndani kachoka tu hendi kazini wala nini basi tu kasumbuka na mtoto usiku kucha mchana kaamua kulala! Kama mtamwambia mwanamke mwenzenu kuwa pumzika tu kaka atafua na kupika! Lol adui wa mwanamke ni yeye mwenyewe!!
mm mie nikimkuta kaka yangu kabeba mwanae hivi nitamuheshimuje na kufurahije. coz mpaka leo hii nasikia anamuendesha sana mkewe ila mkewe anamvumilia..inategemea na aina ya mwanamke mtu anaekaa nae..kuna wengine ndoivo wavivu na wengine wana bahati tu ya kupata mwanaume msaidizi..mie mume wangu uzuri wake anajua kupika ni chief cooker..sasa yeye huwa anapika mie nachezacheza na mtoto na kumpigisha story za hapa na pale simuoni bwege wala nn coz chakula chake kitamu kuliko nachopika mie..maisha makubaliano. na kila mtu na serikali yake.. to my lovely husband
Mange I didn’t expect this from you since its normal in western even black does it and that what we call been modernise .Is that mean your hubby never cook, washing up or babysitting? I have been married for 7 year and I can’t remember the last time I did wash my clothing causer hubby does it and doesn’t mean he is foolish as he is so sweet ,care and I love him to bit . Is nothing to do with what you think honey is all about love lol.
That is LOVE!i remember when we were in a day school, my dad would wake up every morning to iron our uniforms, polish our school shoes, put hot water in the bathroom for us to shower,make breakfast and set it on the table for all four of us. when done with breakfast he was the one driving us to school and he went straight to work. Mind you, my mom was there but most times she used to be on the night shift at work,so she comes home in the morning and she does the day's chores at home. For us kids, the minute we get home, everyone knew what she was supposed to do, whether doing the dishes, cleaning the table or feeding the chicken. Life was beautiful. I grew up wishing to have a husband like my dad,the guy i'm dating right now will turn out to be a good father and husband no doubt on that! There are so many days when he would come over my place and be like,baby,you've had a long day at work,let me cook tonight. He's amazing, and i'm blessed :))
If you find such a husband, thank your God always.
WEMA NAYE GONJWAGONJWA
Katika hali ya kushangaza, Ijumaa lilipozungumza na mpenzi wa Diamond kwa sasa, Wema Isaac Sepetu, naye alikiri kuwa mgonjwamgonjwa (hakutaja ugonjwa ndiyo maana alishindwa kwenda hospitalini kumhudumia ‘hubby’ wake huyo.
Makubwa. Sasa joka la mdimu, na mti unaopopolewa na majiwe. Wataziweka wapi sura zao ukirejea siku ya almasi daima pale almasi jubelee mambo waliyomfanyia our sweet Wema. Je itakuwaje jaje?????
mi nilichoona hapo ni MANGE ameuliza swali! sasa ni juu yetu sisi kuamua kama ni bwege au sio. kila mtu na mtazamo wake na kwa maisha anayoishi pale alipo. kwa mimi ukiniuliza nitakwambia mapenzi tuu. ila nyie mliokuja juu na kumuwakia mange ndio mna matatizo na huo mfumo, na hizo chance mnazililia za kubebewa watoto wenu kama sio kupikiwa. nina uhakika LANCE anaweza kufanya hivyo tena kwa kitenge sio sitorola ulaya ndio mambo haya yapo sana,sio kwa waliolewa na waafrika au wazungu,na tunaona ni jambo la kawaida tuu. eleweni SWALI na sio kumkoromea mleta topic
Jamani eeh msilinganishe maisha ya majuu na Bongo, huyo mwanaume hayuko majuu yuko Afrika, wapi sijui.
Isitoshe comment nyingi humu ni za wanawake, hebu na wanaume nao wakitanzania watoe maoni yao tusikie ni kitu gani kinawafanya wasiwasaidie wake zao kazi za ndani au kama wanawasaidia. Otherwise tutasikia tu wishful thinking zenu, maana wanaume kila siku wanazungumzia kuhusu wifey materials ndio wanaotaka kuoa!
Mpendwa, mwenzio Mungu alinijaalia nikapata mume wa namna hii, nilikua kama malkia mpaka kupika..watoto walikua wanamsubiri ndo awaogeshe mie siwachekeshi eti..wakwe, mawifi na mashemeji walinikaliaje kooni eti nimemloga..akaja shemeji yangu mmoja akanambia hata kabla hajaoa kwao alikua hivyo hivyo kwahiyo ni malezi pia..wenye watoto wa kiume tuwafundiishe kusaidia na kujali na watawafanyia wenza wao hivyo hivyo unless we mwenyewe umkataze. Bahati mbaya ameshafariki mwaka wa 3sasa inaniwia vigumu kupata wa sifa zake.

mie mume wangu anavyompenda mwanae acha tu. anaona raha sana kumbeba na kucheza nae. na sometimes eti anakuwa haniamini mie nikimbeba mtoto yeye ndo ananielekeza nimshike vipi. akiona nazubaa zubaa anamnyakua nakuta gafla yuko mikononi mwake..sometimes tunajikuta tunagombea kumshika mtoto. n i love him for this. muhimu huwa namuandalia chakula cha usiku cha uhakika. mtoto akilala tu tunaanza na then tunamalizia na kama ni weekend tunashushia na lots of in the air..my point mume kumsaidia mkewe sio ubwege ni mapenzi. life is too short.
wanaume wengi haswa wa kikenya wanapenda sana wake zao unaambiwa ndani ya nyumba mke kazi yake nikujivinjari kuanzia deki mlo pasi mpaka vyumbani mimi nilikaribishwa kwa dada mmoja wa kibongo mumewe ni mkenya niliandaliwa breakfast mpk supper na mwanaume mkewe anaambiwa baby pumzika nilifurahishwa sana hongera zake bidada mchaga some human being bahati zake
IF THIS WAS A WHITE MAN...YOUR HEADLINE WOULD'VE BEEN "HOW SEXY" BUT SINCE IT'S A BLACK MAN, YOU'RE LAUGHING AND CALLING HIM "BWEGE" WHAT A ROLE MODEL TO YOUR CHILDREN.
As far as the tiltle goes Mange ameuliza swali tujibu wadau lakini naona watu mmechukulia kivingine sana kiukweli nchi nyingi za africa watu wangemuita bwege ila kwamimi he is a perfect man if he is not acting.
Wengi mmejibu kwa kutumia emotions au hisia badala ya hali halisi. Huyo mume hayo atayafanya kwa kificho na si hadharani kwani jamii inayomzunguka itamcheka. Na waume wa Bongo saa ngapi ataenda kuangalia mechi za UEA au kuvinjari na nyumba ndogo na saa ngapi atapika, kufua na kulea watoto? Wangekuwa responsible kiasi hicho mbona nyumba ndogo zingekuwa historia? Kwa sababu atachoka na kazi za ndani na hatakuwa na muda wa kwenda nyumba ndogo au kunywa pombe na washkaji, au inawatokea kwa msimu tu, mwezi au mwaka mara moja? Ewee basi wanaume wa kibongo ni malaika!!
Dear, I guess we have a lot of work to do to change our mentality, most of the times if not always, is all negative as a result whatever comes out from us is all negative too. Sad!
The title is ask if the guy is bwege or not and company with a laugh at bottom .she could done a little bit better .I know koku your number one fan but let be realistic ,the way the question been asked made sound like she is think the guy is bwege and this come as shocking to some people.
hujatulia mapenishow nimechekaje eti tulete story zetu wenyewe mange kaishiwa kwiikwiikwii mange anasaka mkopo wa furniture subiri atamwaga mipicha kesho tuendelee kujiwekea story wenyewe nimesoma mtaani walikua hotelini pamoja wanakula raha
akoding to udaku unaojiita ati magazeti, nimeona kwenye mmtandao wao wamerudiana. natamani wema afungukeeee halo ya joka la mdimu limoja limodondoka bado lile lenye vichwa viwili.
jamani nilipita kule,eti baby kamtumia nyumba amshauri kama anunue au la!nyumba yeneyewe ni ya Jigga na beyonce waliyokodi kwa mwezi dola zakimarekanilaki 4,sasa anadai et kwi ndo kamtumia.mi nilifikiri antukanwa bure kembe pimbi jamani yule kuiga tu
Mwacheni aweke hata White house ya Obama au Buckingham Palace ya queen Elizabeth, who give a shit?
Yeye na wenziwe wakikua wataacha tu, maana wanatafuta kwa nguvu kugombana na mtu. Na watu hamjifunzi tu kwa picha ya Cynthia waliyopiga na Mange? Sometimes huwa nahisi yeye na group lake wanakuja kucoment huku ili watu wapate mzuka waende wakaongeze trafiki huko kwenye blogu yake.
Na hata hii comment nayo ni kumpa promo kijanja ungeweka na linki kabisa watu waende huko!!
Mange naona hili swali la mtihani ungeliweka hivi, "JE WANAUME WA BONGO WANAYAFANYA HAYA? AU KUTWA WAKO PUB/GROCERIES NA WENZIWE WANAANGALIA MECHI ZA MPIRA?
Maana huyo mwanaume atakuwa ni wa kutoka Malawi tu kama sikosei! Hapo sio Bongo wajamani tusidanganyane!!
Comments (209)
m a r i c h u i
forgot her name
Anonymous
Mugisha
Anonymous
Anonymous
Yeye alichotaka hapo nikutaka kupata comment kutoka ka viewers wake thats so. tuwe wepesi wa kuelewa sio kukimbilia kucomment tu mwe!
Naomba Msaada wenu Ndg zangu
Jamani kaka Moody,baby ya Mange, Marichui, Tajibeba,DHW,beautiful onyinye,C'mum na wana uturn wote naombeni msaada wenu nisaidieni kufanya hili swali. Nimeliweka ime liignore sio vizuri anaweza Hesabu anisaidie.
Explain what type of discrete distribution you would use and calculate the probabilities.
1. It is estimated that sharks kill 10 people each year. Find the probability that at least 3 people are killed by sharks this year.
2. A basketball player makes his free throws 60.2% of the time. What is the probability that they first free throw he makes is his forth shot?
3. Twenty-five percent of adults say they watch streaming movies on their phones at work. In a survey of 12 randomly selected adults, find the probability that between four and eight people (inclusive) have watched streaming movies on their phones at work.
Naomba jibu please?
ngosha
m a r i c h u i
muddy washington
kuntuafro1
P(4 ≤ x ≤ 8) = P(4) + P(5) + P(6) + P(7) +P(8)
Using the calculator I find the probabilities:
P(4) = 0.19358
P(5) = 0.10324
P(6) = 0.04015
P(7) = 0.01147
P(8) = 0.00239
Now add up the probabilities to get the
P( between four and eight people (inclusive) have watched streaming movies on their phones at work) ≈ 0.351.
The probability that between four and eight people (inclusive) have watched streaming movies on their phones at work is approximately 0.351.
Anonymous
BREAKING NEWS
Anonymous
m a r i c h u i
c's mum!
9ja Girl
Anonymous
c's mum!
Anonymous
c's mum!
maudodo
u turner muasisi
anon
Anonymous
c's mum!
Anonymous
9ja girl
u turner wa zamani
anon
MDUDU WA SIKIO ANAKERAJE
jino moja
JaCq!!ie
Anonymous
Ghatty
HA HA HA HA
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Eee ninamiss matusi ya Judith, hivi angewatukanaje leo? Sipati picha hayo matusi yake!!
Anonymous
Eee ninamiss matusi ya Judith, hivi angewatukanaje leo? Sipati picha hayo matusi yake!!
Mshamba
Kule Mabagala, Temeke utakuta barabarani ni akina baba wanasaidia wanawake wao kubeba mtoto na mama kabeba pochi. It is soo sweet. Hukuti haya mambo huko uzunguni Masaki, Mikocheni na Mbezi beach ingawaje inaeleweka kuwa wao watakuwa na dada "nanny" wa kumuangalia mtoto muda wote.
mamito
mama t
Anonymous
kuntuafro1
Anonymous
ngosha
Anonymous
Mama maendeka
Dee
MWENYEZI MUNGU NDIO KAPEANA RIZIKI USIMCHEKE MWENZIO (REMEMBER THIS IS THE HOLY MONTH ) IF THIS GUY HAD IT ALL HE WOULD HAVE EMPLOYED A HOUSEGIRL...THERE ARE TWO SIDES OF A COIN... IF UA WISE BRING DOWN THIS POST.
BE BLESSED
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
walalamika watu kuingilia maisha yako , wewe hapo wafanya nini .....u should be ashamed of that!!!!
muddy washington
Badala yake wanaume watakuwa wakila mahotelini na magengeni.
Mwenyekiti wa Chama cha maendeleo ya Kina baba Nderitu Njoka amesema mgomo huo wa siku sita una lengo la kuwashinikiza wanawake kukoma kuwanyanyasa na kuwapiga waume zao.
Kiongozi huyo Nderitu Njoka amesema kuanzia leo jumatatu ataanza kampeni ya kuwashawishi akinababa kula mahotelini badala ya majumbani mwao.
Mwenyekiti huyo wa maendeleo ya wauaume alikuwa akizungumza katika hospitali kuu ya mjini Nakuru huko Rift valley ambako alikuwa amekwenda kumliwaza baba mmoja ambaye amelezwa humo kutokana na kipigo alichopewa na mkewe.
Baba huyo akizungumza kwa uchungu hospitalini alisema mkewe alimuita nyumbani it akachukuwe pesa kabla ya kumfungia chumbani na kumtandika.
Kwa muujibu wa bwana Nderitu Njoka, mkoa wa kati nchini Kenya ndio unaongoza kwa idadi ya akina baba wanaopigwa na bibi zao.
Katika mkoa huo wa kati wanaume karibu nusu milioni wameripoti kutandikwa.
Chama hicho cha wanaume kimedai kuwa kuna wanaume ambao wanalazimishwa kufua nguo za wake zao.Wengine pia wamedai kunyimwa tendo la ngono na mabibi zao.Jijini Nairobi wanaume ambao huona kivumbi kutoka kwa wake zao ni laki tatu.
Lakini baadhi ya akina mama kutoka mkoa huo wanasema akina baba ndio wa kulaumiwa kwa kushindwa na majukumu yao ya kifamila.
Wanasema waume wangi wamekuwa waume suruali tu.
gonga hapo chini ujionee mwenyewe
http://www.youtube.com/watch?v=sLvafgTRFtI&feature=player_embedded#!
Kijaruba
muddy washington
http://www.youtube.com/watch?v=wSlTW8mjirs
Mjinga Mjinga
Doreen
Anonymous
xxxxx
Stellah
Anonymous
BEAUTIFUL ONYINYE
BEAUTIFUL ONYINYE
Chaunabe
muddy washington
SEMENYA
unnown
Anonymous
Anonymous
KADADAA
lilian bitegeko
DOGO MANGE
l.g
Hongere baba
Anonymous
Mdau USA
Anonymous
LINNA
well, am so happy kumuona that man caring mtoto n kufua, he reminds me of my husband. the thing is that, its about love,feelings to the wife rather than being mwanaume bwege,imagine a woman goes to work and the husband is just at home, why not helping the wife kama kweli una mfeel
Dada d
If Not Why Not.
Anonymous
koku
Jasmine
Anonymous
makerubi
Anonymous
Anonymous
93
Ubwege kumsaidia mkeo??????
Yani mwanaume asosaidia kwa ujumla ndi bwege mtozeni mkubwa! Wacha waje Wenzie wanojua mahaba ni kusaidizana ndani ya nyumba na si kufunga mkanda kiunoni na kung'aa sharubu!!! Shuwaini!
Kwanza usipokuwa bwege kwa mkeo unataka ukawe bwege kwa hawara au?????
Asante yesu mumewangu anasaidia ila naona wanawake wenzangu wanavyotaabika mchana na usiku Pia!
Mshamba
forgot her name
Anonymous
Anonymous
Anonymous
naila
NEEMA PETER
Mi naona ni vizuri tu mume kusaidia kazi jamani naona imekaa poa.
folowa
folowa
Village mrembo
BEAUTIFUL
Anon
Anonymous
Anonymous
kwatariq.com
mama S
Moscow Mujini
Anonymous
yawezekana pia mkewe alikuwa mgonjwa akaamua kumsaidia
Anonny Mom
This is a very daring man - especially an African man. Gender critics would have given him a certificate of best practice in changing gender roles. I aplaud him because we dont not see it everyday. But... you may be suprised to note that its a common site in villages where hospitals are far. Many young fathers carry their sick children to hospital to relieve their wives and be able to walk faster to reach help!!! Wanaume wengi wana upendo kwa watoto wao and they would actually like to do more but fear the eye of the society .. kuitwa bwege au kuonekana wake zao wamewawekea juju.
Sio bwege dear!
Anonymous
Mshamba
baby ya Mange
romeo
Anonymous
cute
mimi
Mh! yetu macho
Anonymous
MISS KIJAMBIO
bimkora
Anonymous
Anonymous
Anonymous
maudodo
Lulu
kay
brother kay
brother kay
Uturn Addict
ye abebe mtoto halafu mke awe
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
m a r i c h u i
Anonymous
m a r i c h u i
c's mum!
HOLD YOUR TEARS
Naomba Msaada wenu
Let's get back to calculating some probabilities, explain what type of discrete distribution you would use and calculate the probabilities.
1. It is estimated that sharks kill 10 people each year. Find the probability that at least 3 people are killed by sharks this year.
2. A basketball player makes his free throws 60.2% of the time. What is the probability that they first free throw he makes is his forth shot?
3. Twenty-five percent of adults say they watch streaming movies on their phones at work. In a survey of 12 randomly selected adults, find the probability that between four and eight people (inclusive) have watched streaming movies on their phones at work.
Naomba jibu please?
Mshamba
Lakini hebu nijaribu nione kama baada ya miaka 20nakubuka chochote. 1st question. If estimated 10 people, probablity of 3 people will be 333.3% i.e. 10/3. 2nd question nachemsha kwenye jibu lakini kama ni 60.2% akitupa 6.6 times 4th time atapata free. I will go with 15.05% probability. 3 rd question, I think that the probability inclusive will be 50%, I got this by getting a probability of 4 up to 8 inclusive then I added all of the probabilities and divided 5 since 4-8, there are 5 numbers (to get an average probability). My dear don't follow my answers since I did this 19 yrs ago and I do not remember a thing, go and double check them.
Muke Ya Albino
Anonymous
Anonymous
Asante dada angu kwa jibu lako
Anyway MSHAMBA thank you so much kwa jibu lako at least umenipa mwanga will try to work on it.
Muke Ya Albino
Anonymous
Mshamba
Anonymous
Anonymous
NewYork Chick
Kijaruba
Subiri sasa mama yake au dada zake wamkute hapo anafua na mtoto kambeba mgongoni mbona mkewe atakiona cha mtema kuni? Tena wengine utakuta wanatamani waume zao wawe kama hivyo lakini wakikuta kaka zao wanawasaidiana wake zao wanakuja juu ka moshi wa kifuu.
Kiukweli kila mwanamke anatamani mume wa hivyo lakini jamii ilivyotuweka sivyo, mambo hayo labda uyafanyie huko huko majuu lakini sio Bongo hukawii kwenda kupigiwa ramli kwa waganga kuwa umemroga mtoto wao!! Lakini hao hao wanasahau kuwa watoto wao waliooa wanawake wa kizungu huku majuu wanafanya hivyo hivyo japo wanabeba watoto kwenye siturola au pushichair!
Nai Nai
Pili kama hali tunayoiona hapo tunaipenda mbona mafunzo kwenye kitchen party hayabadiliki? Kila siku tukiwa nafasi ya kuwapa neno wasichana wanaotaka kuolewa lazima tuwasisitizie kazi za ndani, mwanamke hivi mwanamke vile, usiache msichana wa kazi akafanya hivi au akafanya vile ilhali tunajua kuwa kaajiriwa na akitoka asubuhi arudi jioni akifika ndani aingie kumpikia mume kwa mikono yake na usiku amuhudumie kitandani. Sijawahi kusikia kwenye kitchen party msichana anaambiwa ukichoka mwambie mumeo akusaidie kazi anazoweza kufanya ili usijechoka ukashindwa kufanya kilichokupeleka. Tunatoa msisitizo kwa kazi za ndani na kusahau kinachompeleka msichana mule ndani sio kazi za ndani, ni kazi moja tu, nayo ni tendo la ndoa, warithishane tani yao ili wasitoke nje ya ndoa.
Kuna mabegi party siku hizi, nazo sijasikia mwanaume anaambiwa kazi za ndani ni zenu wote maisha kusaidiana, kama ambavyo mnavyosaidiana kutafuta pesa. Yote tisa tunawajibika kweli kubadilisha hii hali kwa kuwafunza watoto wetu kuwa kazi hazina gender? Mimi watoto wangu wote wakike na wakiume wanafanya kazi zote mpaka kupika. Na huyu mdogo wa miaka miwili wa kiume analea mdoli wake anambeba kwenye stroller, anamlisha anamvisha, na anachezea magari vile vile. Najua mwanamke atakayekuja kuolewa na mwanangu atapata raha sana, kwa sababu ndani ya nyumba yetu hakuna gender division of labour. Tunaweza kubadili kikazi kijacho tukiamua!
Muke Ya Albino
Anonymous
Wellcome To Miami
Independent Girl
Kuoa au kuolewa si kumfanya mwezio slave of life, eti he or she has to provide all or do every house work and take care of the kids. All in all in maelewano ya wanandoa.
Anonymous
Ndoa nikusaidiana. I live in the US with my husband (ni muafrica). We are both professionals - he is a orthodontic surgeon and I am a systems engineer. Tuna watoto wawili. We take turns with cooking and laundry and making sure watoto wameoga and homework. So one day yeye atapika (including kuosha vyombo na stove) while mimi nitahakikisha watoto wameoga na homework etc.. And yes we could afford cleaning services (I admit once in a while I hire them for deep cleaning)and hire babysitters on a need to basis. I am against living with help (just me I don't care what other people do)
My husband is a darling siku nimerudi nimechoka sana atafanya kila kitu. And no he is not bwege. Ndio kusaidiana na kulea. If i was a gold digger ningekaa nyumbani na kuzurura mall kutwa. But I like to make my own money na when we put our money together we can see retirement coming soon.
Kusema ukweli there are many african men in the US who help their wives - infact the majority - atleast in the circles that I am in do help their wives despite holding very senior positions in fortune 500 companies.
As for Mange calling the guy bwege, achana naye huyo ni mshamba tu. Kazi kuspend hela za mme wake and blogging trying to keep up with akina Mwamvita who have careers and despite the fact that Mwamvita anachuna Ministers son atleast she has a 9-5 job and can hold her own.
Mshamba
c's mum!
Anonymous
mdau scandnavia
Anonymous
m a r i c h u i
koku
Independent Girl
Anonymous
Anonymous
Anonymous
ZE enemi of a woman Iz her thelf, to be egzakti!
Anonymous
Anonymous
Anonymous
If you find such a husband, thank your God always.
Anonymous
If Not Why Not.
Katika hali ya kushangaza, Ijumaa lilipozungumza na mpenzi wa Diamond kwa sasa, Wema Isaac Sepetu, naye alikiri kuwa mgonjwamgonjwa (hakutaja ugonjwa ndiyo maana alishindwa kwenda hospitalini kumhudumia ‘hubby’ wake huyo.
Makubwa. Sasa joka la mdimu, na mti unaopopolewa na majiwe. Wataziweka wapi sura zao ukirejea siku ya almasi daima pale almasi jubelee mambo waliyomfanyia our sweet Wema. Je itakuwaje jaje?????
Dah acha si tu
muddy washington
Anonymous
matem
koku
Toronto
Anonymous
Isitoshe comment nyingi humu ni za wanawake, hebu na wanaume nao wakitanzania watoe maoni yao tusikie ni kitu gani kinawafanya wasiwasaidie wake zao kazi za ndani au kama wanawasaidia. Otherwise tutasikia tu wishful thinking zenu, maana wanaume kila siku wanazungumzia kuhusu wifey materials ndio wanaotaka kuoa!
Anonymous
Anonymous
Anonymous
BEAUTIFUL ONYINYE
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
ADAM MTOI
Anonymous
Anonymous
anony.
Anonymous
Anonymous
Mtoto wa kichagga Marekani
Anonymous
anony.
Anonymous
Anonymous
anonymous
MAPENISHOW
Anonymous
SEMENYA
BEAUTIFUL ONYINYE
MISTRESS YA OBAMA
newcomer
Nai Nai
Yeye na wenziwe wakikua wataacha tu, maana wanatafuta kwa nguvu kugombana na mtu. Na watu hamjifunzi tu kwa picha ya Cynthia waliyopiga na Mange? Sometimes huwa nahisi yeye na group lake wanakuja kucoment huku ili watu wapate mzuka waende wakaongeze trafiki huko kwenye blogu yake.
Na hata hii comment nayo ni kumpa promo kijanja ungeweka na linki kabisa watu waende huko!!
Nai Nai
Maana huyo mwanaume atakuwa ni wa kutoka Malawi tu kama sikosei! Hapo sio Bongo wajamani tusidanganyane!!
golikapaz
m a r i c h u i
yaani unakerekaje na sisi sasa lol!