01August

VODACOM FOUNDATION YAZINDUA KAMPENI YAKE YA RAMADHAN CARE & SHARE MWISHONI MWA WIKI-TANGA‏

Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini wapili toka kushoto Bi.Halima Omary Dendego akikabidhi mbuzi pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,kwa watoto yatima wa mkoani humo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Ramadhan Care & Share mjini humo inayolenga kufuturisha watoto yatima zaidi ya 500 sehemu mbalimbali nchini wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,Kampeni hiyo inaendeshwa na Vodacom Foundation.

 

Ofisa Mkuu wa mauzo na usambazaji wa Vodacom Tanzania,Bw.Hassan Saleh akimkabidhi ndoo ya mafuta ya kula mmoja wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu mjini Tanga,Aisha Mohamed,wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Ramadhan Care & Share 2012 inayolenga kufuturisha watoto yatima zaidi ya 500 sehemu mbalimbali nchini wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,anaeshuhudia watatu kutoka kulia ni Mkuu wa Kampeni hiyo inaendeshwa na Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule.


 

 

 

Imam Mkuu wa Masjid ma’amour ya upanga Dar es Salaam Shekh Issa Othman kushoto akisalimiana na Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Ramadhan Care & Share iliyozinduliwa mkoani Tanga,ikiwa na lengo la kufuturisha watoto zaidi ya 500 sehemu mbalimbali nchini wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,katikati ni Mkuu wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule.


Comments (6)

  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    01 August 2012 at 06:42 |
    Imam kafurahije sasa ?
  • Anonymous

    Anonymous

    01 August 2012 at 06:59 |
    Copy and paste hahaaa
  • c's mum!

    c's mum!

    01 August 2012 at 07:50 |
    halima kanenepaje? lol! nilisoma naye UD, am happy kumuona! kumbe ni mkuu wa wilaya?? ngoja nikazane kupika chapati, mayb one day nitafika huko!lmao
    • Muke Ya Albino

      Muke Ya Albino

      01 August 2012 at 08:54 |
      Kazana dear! hata mbuyu ilianza kama mchicha one day YES nakuombea ukuu wa mkoa.
      • c's mum!

        c's mum!

        01 August 2012 at 09:19 |
        amen my sister ooooo! amen!
  • bimkora

    bimkora

    01 August 2012 at 09:52 |
    C'S MUM umepinda nimechekajee!.