29July

MAWAZIRI WA MANGE BLOG ACHENI KUCOMMENT KWENYE BLOG ZA USHENZINI....

Hie wapenzi wangu wasomaji wangu, especialy wale wenye majina yenu mnayoyatumia kuchat humu, tafadhali naomba sana tena  sana ,msiwe mnaenda kutukana au hata ku comment chochote kwenye mablog mengine especially kwa kutumia majina yenu ya humu ndani.


mimi naona kama mnawapa umaarufu usiowafaa tu, yani they dont deserve hiyo attention mnaowapa at all, achaneni nao.


tafadhalini sana kina tajibeba, C'mum, Beautiful Onyinye na wengineo naombeni sana muache, maana tutaonekana ni wagomvi tu, also mnavyo comment mjue kwamba mnazipa blog zao umaarufu hata kama mnacomment kwa kuwatukana...

naombeni tuache, au kama mnaona lazma mkacomment naombeni msitumie majina yenu ya humu. atakaeendelea kufanya hivyo ntaanza kublock comment zake humu ili abaki huko huko......

I mean nyie ni members wa number 1 blog in TZ alafu mnaenda ku comment kwenye viblog vya ushenzini..........why why why why why why???? Wenye hizo blog wenyewe wameshindikana kwa uswahili so mkianza kulumbana nao mnazidi kufanya na sie tuonekane ni wale wale.....


MANGE

 

Alafu Hivi bloggers wengine hawawezi kuwa creative jamani? yani mange kubadilisha blog yake imekuwa tabu  watu wengine pia wanataka blog zao zifanane na ya Mange, jamani lets be creative fanya kitu chako wewe kama wewe kitanoga tu, sio lazma uwe kama Mange.....lol.......

Comments (187)

  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 07:09 |
    nimechekaje we mchokozi
    • Anonymous

      Anonymous

      29 July 2012 at 08:11 |
      mchokozi in deed! ila message sent! and delivered!
      • mvaa abaya miami

        mvaa abaya miami

        29 July 2012 at 09:54 |
        CEO kutukoromea kwa rangi red inanhuu? mbona wewe tumekuomba vibox vya like na dislike mpaka leo hujavirudisha, wino red wa waziri koku hujamrudishia mpaka leo, huku masaki hakujatimia zibia mashimo na nyinyi mnaofata inzi uswazi mfuuyuu sura mbaya kama ya naniihiiz mgeni fulani nikimsema na coment imebanwa
      • she say Yees

        she say Yees

        29 July 2012 at 23:24 |
        wivu.com mpare mwenzio kuolewa ndio yamekua haya tena kijiwe chaitwa mashenziniwtf
        • BEUATFUL

          BEUATFUL

          30 July 2012 at 09:28 |
          Kaolewa na nani
          ????zile picha alizopiga ni za siku nyingi za weding bell.
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      29 July 2012 at 18:22 |
      Mange point ......fan
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      29 July 2012 at 18:52 |
      My c's mum alishakanywa na kina Koku kaacha kabisaaaa....
      • c's mum!

        c's mum!

        30 July 2012 at 07:52 |
        blowkiss umeniteteaje sasa?? lol! nimekomaje sasa??
    • c's mum!

      c's mum!

      30 July 2012 at 07:51 |
      mange mzima weye?? jamani nilikuwa vijijini ndio naona hii makitu hapa, lol! CEO mbona mi nimekoma loooooongggg tyme ago toka bby yako anikataze, sijarudi tena kuleeee! am ssooo sorry to ol u-turners! kule sirudi jamani khaaaaaa!blowkisssorry
    • c's mum!

      c's mum!

      30 July 2012 at 09:58 |
      mange nimeacha kitambo, toka bby yako anikanye, kama ipo coment recently labda mtu anatumia jina langu, coz i wasnt even around! ol in ol AM SORY KWA U-TURNERS WOOOTEEEEE!blowkiss
      • baby ya Mange

        baby ya Mange

        30 July 2012 at 17:05 |
        its okay mwaya...n thanx for ur understanding!
    • muke ya mkwele

      muke ya mkwele

      31 July 2012 at 13:18 |
      mchokozi kidogo, tatizo yule dem mshamba, loh!
  • koku

    koku

    29 July 2012 at 07:14 |
    mi ndio wananikeraaaaaaaaaaaa!!! sijapenda kabisa hawa mabalozi wenzangu wafanyavyo. piteni kimya kimya tuu.mbona majina mengi tuu ya kutumia!! na kwa vile umeiandika hii,kuna wajinga wajinga watajifanya kutumia hayo majina ili uonekane wameku-betray..watch an seecuss
    • Nai Nai

      Nai Nai

      29 July 2012 at 07:26 |
      Hata wakifake majina picha haiwezi kutokea, Koku weka picha itakuwa ndio signature yako maana ukijiregister kwa email linatokea ID yako na picha yako. Kwa kuwa anayeiba hana email address yako basi litatokea jina tu picha yako ambayo ni ID yako haitatokea. Mimi mpaka yahoo ID yangu nimeweka kapicha kangu.

      Kwa hiyo kukomesha hiyo tabia ya watu kufake fake vitu mpaka majina ya watu ni kuwa na concrete ID yenye picha ambayo haiwezi kuibiwa. Na narudia tena atakayeiiba hawezi kuweka picha yako so itajulikana tu ku huyu ni Koku wa kichina, Tajibeba wa kichina, na Cs Mom wa Kichina. Wapi Muke ya Muchina asijenizodoa bure!!
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        29 July 2012 at 18:54 |
        Binafsi nilitukana sana ile ileeee ya sitaharisha lakini kwa mtalaka wa Mark Anthony naona kichefu chefu....
        • Tajibeba

          Tajibeba

          30 July 2012 at 11:25 |
          ceo kwakuwa you have officially declared tuache basi nitaacha ila alinikera sana na iga iga yake i hate this ....sometimes inakuwa ngumu sana kuvumilia ndio maana nilishambulia but im back and wont go there again.. i couldnt stand za sheit
    • Mshamba

      Mshamba

      29 July 2012 at 11:44 |
      Koku nakubaliana na wewe kabisaa. Watu wanaweza kuiba majina huku na kuyapeleka kule ili watu wafungiwe jamani. Mange inabidi hilo pia uliangalie. Mimi hata siku moja sijawahi kucomennt huko hata kama anony na wengine hata siwatembelei kabisa jinsi wanavyoboa ni uswahili mtupu Duuuh (Samahani kama nimewakwaza watu kwa kutumia neno uswahili)! Kweli watu tuna makuzi tofauti.
    • nishati madini

      nishati madini

      29 July 2012 at 15:32 |
      yaani me walishanikera ile mbaya yanini kwenda kucomment uswazi ilihali wajiita wa uzunguni?tena mtu unacomment matusi ya hatari na mfungo huu...matusi ya vile waachieni watu wa mle,kama ni chati blogger atawashukuru kwa kumpaisha maana blog yake imekuwa juu mara mbili ya ilivyokuwa awali,pia ile hali inaleta uchonganyishi wa bloggers eg hapo mange wee ushamind mpk kuzichana hizo blog zingine kwa kuziita za mashenzini ila hiyo yote ni kutokana na hasira za kuchanwa na watu wa kule kutokana na mawaziri wako wa kiswazi kuvamia kwa waswazi zaidi yao.khs kuiga wee waache tu wakuige tena chukulia sifa kwamba upo juu ndo maana unaigwa
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 07:16 |
    hii blog wanaiita ya masaki. hahaaaa. uswazi mnafuata nini nyie mafemazi wa humu u-turn!?
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 07:20 |
    Wengine huko mashenzini wanaiba majina ya mawaziri wa humu, kwa mfano utamkuta mtu anajiita Koku wakati Koku mwenyewe ndiye anayepinga kwenda kucoment huko. Na kila siku wanaambiwa kuwa mkienda huko mnaenda kujaza trafiki au kujazana hawasikii, na mbaya zaidi wanakwenda kukufanya unatukanwa bure bila kosa. Kama wanapenda sana kwenda huko waende lakini wakomenti kwa majina mengine majina yao yameshakuwa makubwa.

    Kwanza kuna nini cha ajabu huko wakati kila kitu ni copy na paste? Subiri kesho utawaona na wao wako busy kwenye vibaraza vinavyouza magari huko Bongo au wako busy kwenye showroom za majuu. Nakumbuka ilivyowekwa picha ya nyumba humu basi blogu kibao za wanawake ilikuwa nyumba ya nani sijui, mwengine masikini ya Mungu akaweka kiapartment chake na kapoodling pool pembeni, mwingine kaweka nyumba ya shost yake!

    Ilivyosemwa Iphone huku basi taabu, my baby ananispoil basi huko nako my baby ananispoil.

    Jamani waacheni waige wengine ni ZERO BRAIN wasipoiga blogu zao zitakufa maana watakosa cha kupost lol!!
    • swahili united

      swahili united

      29 July 2012 at 22:13 |
      kokolikooo uswazidotikomu CEO anatafuta wabongo waishio Miami kaamka na kaka Ali leo sijui anataka kumfuturisha nauliza mkikaa ulaya lazima uwajue wabongo halafu unaanza kuwatukana wabongo waswahili unawatafutia nini watoto wa wanawake wenzio
  • Like

    Like

    29 July 2012 at 07:20 |
    Ahh hata mie nimeona masters ya yule blogger ni cheti cha mental lol...P.S mbona comment yangu ya gari umebania mange? si umechukua cayyenee bisha?
    • mama t

      mama t

      29 July 2012 at 23:49 |
      chezea masters weye labda anayo ya umbea,uzandiki na uchonganish tu mji huu ndo anayo narudia kusema tena nina was was tena chet chake ful kukop na kupest maana huko alikosomaga ni kwa wale wote waliounganisha credit kwa kurisit form four ya bila credit na kukimbilia huko kwa museven kutafuta hicho chet cha kutugombanisha na watu mjini
      • Anonymous

        Anonymous

        30 July 2012 at 07:55 |
        mama T na Like acheni uhater mwezi mtukufu huu
        • mama t

          mama t

          30 July 2012 at 23:23 |
          mwez wa hak huu hautaki masengenyo kua muwaz inahusika
  • muddy washington

    muddy washington

    29 July 2012 at 07:22 |
    Nadhani wamekusikia wenyewe naamini watayafanyia kazi uliyowaasa,guyz we have standards here ndio maana mnaona hii kitu imefika hapa,tulianzia mbali enzi zile unaweza kuandika comment hata 20 zikabanwa na blogger mama u turn kwa utashi wake tu,lakini tukaenda nae pole pole mpaka akaielewa dhana nzima ya freedom of speech na kupafanya hapa ndio pahala pekee ambapo mtu unaweza kuongea unachojisikia mradi tu usichafue hali ya hewa ama kujeruhi hisia za mtu kupita kiasi na kuamua kujipunguzia,sasa nafasi kama ipo hapa tena ya kutosha hata ukitaka kumgonga mwenyewe mama u turn hapa una mgonga na comment inaenda hewani kwa nini uende kujeruhi hisia za watu wengine tena kwa kuwafuata huko makwao wakati unaelewa hata wao ni u turners na wanaingia humu kutwa,kwa nini usiwagongee humu humu tu na ujumbe watausoma kwa kuwa wapo humu?kama vipi wapotezeeni tu kimtindo,itoshe tu kusema wa mtaa wa pili,that's it.
    • If Not Why Not.

      If Not Why Not.

      30 July 2012 at 11:41 |
      Kweli kaka muddy umenena. Tukupigie makofi tafadhali, Kwa kwa kwa.blowkiss
    • MKEIII

      MKEIII

      31 July 2012 at 16:54 |
      thats true our CEO mie uwaga nashangaa vile wabongo walinavyopenda iga..wenyewe ndo wasema ati iga ufe then wanakuanga wa kwanza kuiga..kwanza hivyo viblog vyao ukifunguanga wapewa warning haviko kwa protected....u may catch viruses...!!
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 08:11 |
    Tena wasipoonekana huko mpaka wanawatafuta eti wapi Csmum, yaani mnaifanya ile blogu iwe at par na hii wakati hamna kitu. Na mwenyewe anaweka utumbo kuwaprovoke, na watu walivyobusy kumsifia eti msomi ana Masters hivi hamjiulizi hiyo Masters yake kaanza kuitangaza lini? Baada ya graduation ya Mange basi na yeye automatically kagraduate. Mwambieni awaonyeshe cheti chake cha first degree kama anacho au hata hiyo qualification tu aliyonayo.

    Bongo tambarareee hata mimi nina PhD bisheni muone!!
    • Mshamba

      Mshamba

      29 July 2012 at 16:41 |
      Kwa ushamba wangu nilikuwa sijapata hayo yote uliyoongea ikabidi nifanye research mablogini. Nimekupata mdau vizuuuri kwa sababu nilikuwa sijaelewa hii mada ya Mange inatokea wapi. Thanks Anony.
  • anchiwela

    anchiwela

    29 July 2012 at 08:33 |
    Hilo nalo neno, mi sipendagi Khaaaa, tuacheni kutumia majina yetu bwana vigogo wenzangu lol, Mange big up watu wanafurukuta kubadilisha muonekano alafu wameweka vurugu tu hujui hata wapi pa kuanzia wanakutamani, waige basi kwenda kuishi miamiwakuache
    • Anonymous

      Anonymous

      29 July 2012 at 15:36 |
      : ni kweli dears lazma ifike mahali wendawazimu wanaojishaua na viblogu uchwara vyao wajitofautishe wenyewe! kwanza hawana mpya zaidi ya kupiga picha na nguo za matangazo na shepu kama tangawizi. mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! uturn mbeleeeeeeeeeeeeeeee.
    • Anonymous

      Anonymous

      29 July 2012 at 15:36 |
      : ni kweli dears lazma ifike mahali wendawazimu wanaojishaua na viblogu uchwara vyao wajitofautishe wenyewe! kwanza hawana mpya zaidi ya kupiga picha na nguo za matangazo na shepu kama tangawizi. mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! uturn mbeleeeeeeeeeeeeeeee.
      • Anonymous

        Anonymous

        31 July 2012 at 01:12 |
        Hahahaahaaaaaa eti shape Kama ginger uwiiiiiiiiii
  • USA

    USA

    29 July 2012 at 08:55 |
    Yani bora leo mesema, coz nilikuwa sikuelewi kabisa na hao mawaziri wako. Uturn ilianza vizuri, but tangu ukaingiza hao wakina C'mum na matusi yao kwakweli umeoteza kiwango Mange. Sio kila mtu anapenda kusoma drama especially "unnecessary dramas'"!! Kwa nini kutukanana, pls tilia mkazo kwa hilo.

    Mama M.
    • c's mum!

      c's mum!

      30 July 2012 at 07:56 |
      mama nakuheshimu! tuheshimiane, mimi sio kamusi ya matusi! tafadhali sana!
      • Muke Ya Albino

        Muke Ya Albino

        30 July 2012 at 15:21 |
        HUYU LABDA MGENI HUMU NDANI ANGEKUTANA NA MATUSI YA JUDITH SIJUI ANGESEMAJE. Wapi Judith wa U Turn wajameni??
        • JUDITH

          JUDITH

          01 August 2012 at 14:50 |
          JAMANI NIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO ILA NASHINDWA KUJI REGISTA JINA LANGU HUMU NDANI NIFANYAJE NIELEKEZE NTAWEKA FULL PICHA YANGU ILI HAO MAHASIDI WANIONE MACHO KWA MACHO KUMUIGA MANGE NI SAWA NA KUMKATA MTAMA MTU ALIYEPIGA MAGOTI
          \
  • USA

    USA

    29 July 2012 at 08:55 |
    Yani bora leo mesema, coz nilikuwa sikuelewi kabisa na hao mawaziri wako. Uturn ilianza vizuri, but tangu ukaingiza hao wakina C'mum na matusi yao kwakweli umeoteza kiwango Mange. Sio kila mtu anapenda kusoma drama especially "unnecessary dramas'"!! Kwa nini kutukanana, pls tilia mkazo kwa hilo.

    Mama M.
  • USA

    USA

    29 July 2012 at 08:56 |
    Yani bora leo mesema, coz nilikuwa sikuelewi kabisa na hao mawaziri wako. Uturn ilianza vizuri, but tangu ukaingiza hao wakina C'mum na matusi yao kwakweli umeoteza kiwango Mange. Sio kila mtu anapenda kusoma drama especially "unnecessary dramas'"!! Kwa nini kutukanana, pls tilia mkazo kwa hilo.

    Mama M.
  • maudodo

    maudodo

    29 July 2012 at 09:35 |
    kuna watu wanaiba majina ya watu na kucoment huko kwengine, me jina langu lilitumika huko uswazi mpaka nilishangaa cha ajabu naingia tena humu nakuta huyo mtu tena analitumia jina langu nyumbani kwetu, ilibidi nimchane atafute lake nikaweka na picha juu, na nikawatangizia humu ndani kwamba maudodo bila picha huyo ni fake... asinitafutie lawama mie...peace &lovblunt
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 10:06 |
    Kijaruba ujumbe huu wako,habari ndio hiyo, za ushenzini usituletee humu, haya tuma salamu uchague na mziki wa kusindikiza salamu zako
    • Kijaruba

      Kijaruba

      29 July 2012 at 18:55 |
      Mie mtu akileta za kuleta humu ninamchana live, na tena ushanisikia au umeniona nacomment uswazi? Ukikuta comment kule imeandikwa Kijaruba ujue sio mimi ni fake! Sina muda wa kuwaste kuangalia copy and paste maana sasa unafaidi nini? Isitoshe mimi sio rahisi kuwa provoked, siandiki matusi ntakuwekea ukweli mtupu, meza au tema kwa sababu vocabulary yangu iko full ya kiswahili, kiingereza, kiarabu na kifaransa siishiwi maneno ya kusema!!
      • forgot her name

        forgot her name

        29 July 2012 at 22:04 |
        kijaruba umeambiwa tuma salamu
        • Kijaruba

          Kijaruba

          31 July 2012 at 02:07 |
          Ndio nshatuma salamu hivyo kwani hujazisoma hivyo nilivyoandika? Au mpaka niziweke kwenye handkerchief nyeupe ka barua ya posa?
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 10:17 |
    I thank God for the blessing of giving me my grandmother, my mother and you Da Mange as very inspiring women and role models! God bless you abundantly!
  • camila

    camila

    29 July 2012 at 10:23 |
    yaaa kweli jamani tuachane na hizo blog za ushenzini..... u turn blog for life.... love u mangeeeee......
  • akunaga kama mmange

    akunaga kama mmange

    29 July 2012 at 10:24 |
    ukojuu weraweraaaaaaaaa mange muke ya muzungu tajiri tanzania nzimaaa
  • akunaga kama mmange

    akunaga kama mmange

    29 July 2012 at 10:25 |
    education mange upo juuu kama muashoki jamani mange wangu mtu anaendesha raum uwiiii
    • ISIDINGO

      ISIDINGO

      30 July 2012 at 12:22 |
      uuuwiii na mashauzi yote yale kumbe anaendesha gari ina sura kama senene ha ha haaa... nilijua anasukuma harrier eboh raum?! iga na hii manake cayenne ushapigwa bao we tuwekeee bajaji yenye tinted uamie japo masaki ndo tutajua wee ni mtalaka wa mark antony kweli, kicheko cha afande mbea, haro.. harooooooooo.....
  • FENESI P. PATEL

    FENESI P. PATEL

    29 July 2012 at 10:47 |
    KWANI NI BLOG IPI TENA?? NI ILE ILE AU KUNA NYINGINE NAFUNGUA WALE WAKAANGA SUMU?? HAIJAPITA HUKO LONG TIME...ILA ZAMANI HATA MIE ILIKUWA MOJA WAPO NAPENDA PITA KULE...NILIACHA KITAMBO SANA....KWANI BADO NAENDELEA KUTUSEMA SISI??? AAGHR..BASI HAINA HAYA...NASUTWA KWA VITENDO LAKIN BADO WANAJIFARAGUA...HAYA MABALOZI TUACHE MARA MOJA KUWAPA CHATI..
    • mie

      mie

      29 July 2012 at 17:58 |
      wala hupatii.
    • ISIDINGO

      ISIDINGO

      30 July 2012 at 15:08 |
      we patel ya wapi kichwa iko gumu kama nazi? nafahamu ex wify ya mark anthony lakini? dio yeye nasemesha hapa!
  • Muke ya muchina

    Muke ya muchina

    29 July 2012 at 10:50 |
    freedom YAANI MIMI NILIKWA NAUMIA MAANA NILIKUWA NAINGIA LKN SICOMMENT KWA KUWA NILISHAMJUA ANAFANYA MAKUSUDI ILI APATE COMMENT NYINGI KAMA UTURN. NA NIINGIA NI ONCE A WEEK OR AFTER 2 WEEKS MPAKA MCHINA ATOE RUKSA KWANZA HATAKI HATA KUSIKIA MAMBO YA USWAZI INGAWA WENYEWE TUKO USWAZI DARAJANIhahaha :nana:. ANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA MAJINA YA WATU DAWA KUMCUNIA TUU HAKUNA KUINGIA LABDA MTU MMOJA ATAKUWA ANAENDA ANATULETEA HABARI HUKU HALAFU TUNAJISHEBEDUA KIVYETU HUKU HUKUcheerdanbanargue
  • ZAYNAB M

    ZAYNAB M

    29 July 2012 at 10:52 |
    Yaan yule dada ananiudhi kwasababu ya mashauzi yake wakati hana kitu , bora CEO UNA MASHAUZI YA UKWELI NA VITU VINAONEKANA
    • romiego

      romiego

      29 July 2012 at 19:19 |
      anakeraja nna mashauz yake ya tandale kwa tumbo
    • Tajibeba

      Tajibeba

      30 July 2012 at 11:39 |
      Bora umeona .. yani anakera kuliko maelezo unajua sometimes mtu hutaki kucomment chochote but unajikuta unacomment because its sowtf irritating unajikuta you become somewhat mswahili na wewe anabore sana i was not tukanaring her but she pissed me off with her Iga iga atitude na nikampa jina la miss Iga iga but i was telling her facts to show her im domn not scared of her. ninge comment huku angeona namuogopa
  • KIRUUU

    KIRUUU

    29 July 2012 at 11:03 |
    Nadhani wanatunga hata sio kweli wanataka wawe na kina cmum wao,baby ya mange etc ila hawawez..u turn forever babe
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    29 July 2012 at 11:39 |
    yaaaaayMJ thats my CEO,naacha mamy,siwapi tena umaarufu...blowkiss
    • mie

      mie

      30 July 2012 at 01:43 |
      umenifurahisha ulivyojibu kiadabu.
    • space

      space

      31 July 2012 at 14:06 |
      i like u beautiful onyinye,hua napenda kusoma yo comments na hicho kipicha mi ndo hoiiiiii hahaaaa..en umejib kiheshmaeducation
  • MANGI HANIONI a.k.a MAMA KUNTU

    MANGI HANIONI a.k.a MAMA KUNTU

    29 July 2012 at 12:02 |
    Well said CEO, akina cs mum wanamrusha sana kifurumbwidu
    • c's mum!

      c's mum!

      30 July 2012 at 07:59 |
      jamani mbona nimekoma! lol, sijaingia huko mudaaaaaaaa, labda kuna mtu jamani anatumia jina langu, khaaaaaaa!
  • SITAHARISHA

    SITAHARISHA

    29 July 2012 at 12:03 |
    Kweli, nao kwa kuiga ni balaa. Ila kubali we ni kioo cha female bloggers wa kibongo. Wnakukubali kimyakimya,chkua hiyo
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 12:04 |
    one thing i like about this blog is how ppl deal with the haters parpendicular......halafu unawaachia kuisoma nunber kwa nyuma.....wataiga hadi jinsi ya kukaa chooni....laughingcuss
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      29 July 2012 at 20:26 |
      lmao "JINSI YA KUKAA CHOONI"
      • The Evil HR Lady

        The Evil HR Lady

        01 August 2012 at 09:57 |
        lmao be my friend DHW
  • MUUZA UTUMBO AOGOPI NZI

    MUUZA UTUMBO AOGOPI NZI

    29 July 2012 at 12:06 |
    mamii mimi penda wewe sana tu yaani umenifuraishaji CEO UMEFUNGUKAAAAAAAAAAAAA! ila ushauri wangu ni kwamba sio wote wanaocomment ushenzin ila WANAIBIWA MAJINA..alaf ISSUE SIO KUCOMMENT WASIINGIE KABISA KWA KUFANYA HIVYO WANAONGEZA TRAFICK JAM ALAF YULE MTU MFUPI MWENYE PUA KAMA NUNDU LA N'GOMBE ANAZID KUPATA BICHWA..U TURN FOREVER BABY
    • mie

      mie

      29 July 2012 at 18:00 |
      makubwa. kwahiyo mange atupaingia hadi wapi tuingie na tusiingie?
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 12:20 |
    educationwakuacheceo wakina mtaliki wa M.A
  • Roma

    Roma

    29 July 2012 at 12:29 |
    Ni blog gain Hizo jamari pls ain't gonna comment
  • mamy clarice

    mamy clarice

    29 July 2012 at 12:39 |
    yn nimefurahije mange ulivyompa ukweli yule mswahili sana mpk anakera yn anachokifanya ni kukopy na kupaste we ngoja tutamuitia joti aje afanye nae ile segment yake ya aliyekopy na kupaste,.
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 12:56 |
    mpeni za uso maana amezid, anakeraaa, alaf ss ni mshamba plus uswaz.com
  • mama otieno

    mama otieno

    29 July 2012 at 13:06 |
    oww ourceo so true jamani bora hata umeongea ukwee,hao mabloggers wengine watakunywa sumu mwaka huu..birthdaydance yeah u turn fan
  • daissy wa mange

    daissy wa mange

    29 July 2012 at 13:09 |
    wambie na jirani ana iga kila kitu hadi ile ya kenzo kuharibu vipodoz na ye akaweka looooooooooooooool
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      29 July 2012 at 18:47 |
      SEMA DAISYY MWEE, HAMNA SIKU NILISHANGAA KAMA HIYO.. ATI MTU NAYEYE KATUMANA PICHA YAKE NA MTOTO KASHIKILIA SOME CHEAP LIPSTICK KAJIPAKA PAKA MAN THAT WAS FUNNY AS HELL, I WANTED TO COMMENT THERE LAKINI NIKAONA ITAKUWA NI MATUMIZI MABAYA YA MY PRECIOUS TIME.. TANGU SIKU ILE SIKURUDIGI TENA.. SIKUAMINI PIA MTU ATAWEZAJE KU COPY NAMNA HIYO? MBLOG UMEKARABATIWA WEEE ALTHOUGH ITS NOTHING LIKE MANGE'S LAKINI UNAONA TU JINSI MTU ANAVYO COPY.. MANGE AJIITE CEO, NA YEYE KAANDIKA HAPO JUU YA KA BLOG KAKE ETI CEO, MANGE AJIITE CHIEF JUDGE NA KUVAA GAUNI JEKUNDU, NA YEYE CHIEF JUDGE NA GAUNI JEKUNDU, MANGE AONESHE MTOTO KAHARIBU VIPODOZI NA YEYE HUYOO... BE CREATIVE AND UNIQUE, LAKINI SI EXPECT MUCH FROM SOMEONE WHO IS SO IN SECURE NA MUIGAJI MPAKA KUJIBANDIKIZIA MAJINA YA WATU KIRUUU....
      USWAHILI.COM

      BY THE WAY MANGE COULD U PLZ ADD BANGO LINALOSEMA "NO ONE BLOG OR BLOGGER IN TZ"? I THINK U OWN THAT TITLE.. NA MADOLE BANA MBONA HUWEKI??
      mangeblog
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        29 July 2012 at 18:57 |
        laughinglaughinglaughing DHW umeona eheee nadhani kwenye mitihani yake yeye ni mtaalamu wa kuigilizia anaweza !laughinglaughing
        • DESPERATE HOUSE WIFE

          DESPERATE HOUSE WIFE

          29 July 2012 at 20:29 |
          UMEONA EE MARICHUI? ANAPATA 99% KUIGIA MWENZANGU! BADO TU PICHA ZA HUKU PEMBENI KAMA ZA CEO, IM SURE ANAZO NYINGI TU ZA KUWEKA, U KNOW ZILE ZINAZOPIGWAGWA TU KWENYE KITCHEN PARTY YA MTU NA NGUO ZA VITAMBAA VYA KUUNGWA UNGWA AU ZILE ZA KUTANGAZIA NGUO ZA DUKANI... KWIIIIIIII KWI!!
          I BETTER SHUT UP..freedomkanuna
          • Anonymous

            Anonymous

            30 July 2012 at 07:53 |
            Desperate house wife you need to get a life serious mamimto umegeuka hater dear napita tu
      • wifi ya mange

        wifi ya mange

        30 July 2012 at 14:50 |
        umenifurahishaje desperate house wifewakuache
    • Anonymous

      Anonymous

      29 July 2012 at 19:14 |
      Hakujua anamshushia hadhi shosti kidawa wake na lipstick ya 0.99p shop. Uceleb shughuli pevu.
      • Anonymous

        Anonymous

        29 July 2012 at 21:41 |
        Mbavu zangu nie lipo wapi hilo?educationblowkisshakunagaceo
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 13:42 |
    baby stop spoiling me kila week zawad! Mwe! nategemea kuona bajaji ama toyo kma zawad ya next week.
    • ISIDINGO

      ISIDINGO

      30 July 2012 at 12:35 |
      mie nilimwambia nataka kuona walao macho ya bata manake ya panzi hawezi ng'oooo achilia mbali cayenne, mwenzangu asibane meseji ? kaona maji yana kina kirefu. basi atuletee japo bajaji yenye tinted. alivyokuwa mbwiga atauza raum amwambie yule mtoto anayembemenda amuongezee hela akanunue rav 4 old model, soon mtamuona show room pale namanga .. my baby spoil me my ass! kwa hicho kijisimu au? kuwa mbunifu mamaaa utapata wateja tuu!
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 13:46 |
    alivofanya changes alisahau kitu kimoja alitakiwa abadili na jina,ingekua. www.copypaste.com ingefaa zaid
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 13:53 |
    umaarufu shidaaa,,,mpaka unaonekana kituko sasa,mara jlo,mti cjui umefanyaje,umesahau moja la mtaalam wa copypaste,ongezea ktk a.k.a zako.
  • makubwa haya

    makubwa haya

    29 July 2012 at 13:58 |
    poaukojuudrinkbeer
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 13:59 |
  • Kenzo's grandmaa

    Kenzo's grandmaa

    29 July 2012 at 14:21 |
    jamani mawaziri wetu rudini bs tushawamic
  • suna

    suna

    29 July 2012 at 14:48 |
    mukeya wakuache we unatembea na wacheza mpira usijilinganishe nakubwa utaumiaaa


    igaufe
  • marikenge

    marikenge

    29 July 2012 at 14:48 |
    mscheeeeew mwanamke ananikera yule.. kijiblog chenyewe cha ushenziniii
    nyoooo ila jamani anachosema CEO cha kweli.. tuacheeeee
  • mamito

    mamito

    29 July 2012 at 14:51 |
    ni kweli yaani inaboa utafikri ni uturn vs mtaa wa pili,yaani anapanda sana kichwa then ni matusi tu,afadhali umeliona hili
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    29 July 2012 at 15:04 |
    hehheheheee at first when i saw changes kwake pia nikadhani its a must thing i mean labda google au voda sponsor wenu wamewaambia mbadilishe blog how can u be copy cat that much jamani??nway baby waache waendelee kucopy ur an inspirational my love,,,,wasipokuiga wewe watamuiga nani sasa michuzi?heheheh blog yetu iko juuu bana,,,,kina Cmum tajibeba na wengine waache kutumia id zetu huko nje i mean vya hapa viwe vya hapa tu....mangeblog
  • olympic village

    olympic village

    29 July 2012 at 15:39 |
    Baby ya mange tuombee msamaha kwa baby yako mpeti mpeti kidogo,haturudii tena mange wetu usikasirike sananot worthy ibilisi alitupitia mamimto
    • JaCqiie

      JaCqiie

      30 July 2012 at 00:16 |
      • olympic village

        olympic village

        30 July 2012 at 07:59 |
        matako yako mwenyeweslapping
        • JaCqiie

          JaCqiie

          30 July 2012 at 19:26 |
          Sijakutukana dear...
    • baby ya Mange

      baby ya Mange

      30 July 2012 at 16:17 |
      LOL MSIJALI,
  • mama otieno

    mama otieno

    29 July 2012 at 15:51 |
    tehehteh,,hee mange kweli nikikumbuka huyo dada is obsessed wth u jamani jamani,mimi huaga naingiaga kule nachungulia ila si comment wala nini cause her level iko chini sana,and shes too local..ila nakumbuka events tofauti kama hivi,.mange alivyograduate na masters nae pia khaaa,.mange kaweka a short blond weave nae kaweka khaa..okay mange kasema mdogo wake wema nae katafuta mdogo wake khaa..mange ni CEO wetu nae kajipatchika hilo jina eti utanipata hapa ceo.haya mange ni chief judge miss dar indian ocean nae pia chief judge..mange kabadili simu nae khaaaaaaaaa.mange seriously she is so so obssd wth u mpaka kinyaaa.and she is so
    • MRS SOLIS

      MRS SOLIS

      30 July 2012 at 09:46 |
      Now I am back again with my pic on it, sijui itatokea maana ndio najaribisha. Habari za masiku wana U-turn, naona mabadiliko ya kufa mtu big up Mange!!
  • Faithy muhanga

    Faithy muhanga

    29 July 2012 at 15:52 |
    True dat mnawapandisha chati bure ingawa me sijawah coment humu,ila naona hasa yule jlo anaiga sana hafu mbaya zaid anapumba kichenziiiii sijui hana akili
  • mama otieno

    mama otieno

    29 July 2012 at 15:54 |
    ila mimi nasema mange uko juu tena sana jamani wanatamania maisha yako,.hee ngoja nikamlishe mwanangu otieno kanalia njaa..ila narudi tena muda si mrefu..badaeeblowkiss
  • baby face

    baby face

    29 July 2012 at 16:08 |
    Mange umelonga kuna mijitu badala ya kuwa wabunifu kazi kuiga tu kila kitu, wameiga mavazi hawajatoseka, style ya nywele hawajatosheka sasa wameamua kuiga adi muonekano wa blog yako, now nadhani wanatafuta wanaume wa kizunhu..,!sonya
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 17:16 |
  • megan

    megan

    29 July 2012 at 17:21 |
    mange ile nguo uliyovaa wakati wa graduation yako dubai? ya blue ulinunua wapi mpenz plz plz just tell me coz i want something like that.bisou bisou
    • Anonymous

      Anonymous

      29 July 2012 at 19:31 |
      River Island.
      • megan

        megan

        30 July 2012 at 13:08 |
        nkiruuuuu ndo wapi huko???is not joke a cha mambo ya masihara fyuuuuuuuuuuuuuuuu
        • THE ORIGINAL MEGAN

          THE ORIGINAL MEGAN

          30 July 2012 at 18:01 |
          Alafu wewe naetumia jina langu ukome..Am the one n only MEGAN wa u turn..Ona ushaiga kama Sinta..Stop being a copy cat..Be creative..seat ur lazy ass down,n find ur own name..Ndio nyie mnaiba majina ya wenzenu alafu mnaenda kuyatumia kwenye blog za mashenzini..Wewe ni MEGAN wa kichina..Mfyuuuuu!
          • megan

            megan

            31 July 2012 at 17:56 |
            fyuuuuuuu jinga kweli kweli? what the hell ar u?jina lenyewe is not ur real name inaiga fake fake coz am Megan Ole Smith thats my real name hilo jina nalitumia toka nimezaliwa. sasa wewe kandamblili thamani yako unaishia mlangoni na chooni tu labda wakati unajiita megan hukujua kama kuna megani smith fuck the shut up? hahaaaaa pole yako umeingia choo cha kiume mimi ndo megan smith na wala hutaniweza. coz wala sitalibadilisha jina.
            am done with u
  • Ahmed

    Ahmed

    29 July 2012 at 17:38 |
    Mange. Mambo chedi? Who cares for the other blogspots? I have u-turn, Michuzi, Mjengwa na Dinahicious (ijapokuwa mwezi nimechukua "likizo" from dinaicious for obvious reasons). Ramadahani njema.
  • Ahmed

    Ahmed

    29 July 2012 at 17:38 |
    Mange. Mambo chedi? Who cares for the other blogspots? I have u-turn, Michuzi, Mjengwa na Dinahicious (ijapokuwa mwezi nimechukua "likizo" from dinaicious for obvious reasons). Ramadahani njema.
  • ney

    ney

    29 July 2012 at 17:44 |
  • marikenge

    marikenge

    29 July 2012 at 18:12 |
    uturn peace and loveblunt
    mti natamani hata nimpigeslapping

    nanikanuna mti wa joka la mdimuuuu

    :cheers: to mangereza na all uturners
  • marikenge

    marikenge

    29 July 2012 at 18:14 |
    blowkiss
    mange ebu turudishie madole yetu na rangi rangi bwanaaa.. inahuuuu kuiga
  • sijigus

    sijigus

    29 July 2012 at 18:22 |
    Mange we mchokozi nimechekaaje!
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 18:38 |
    dah!! we mshari sana
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 18:38 |
    leo ndo nimeingia hapa..natamani nijue kiendeleacho..sielewi
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      29 July 2012 at 18:59 |
    • Kijaruba

      Kijaruba

      29 July 2012 at 19:06 |
      Karibu mgeni, hii blogu inaitwa Mange blog, zamani ilikuwa inaitwa Uturn. Katika hii blogu kuna vikorombwezo viiingi sana waweza kutumia ukitaka. Vile vile blogu hii inao mawaziri wake wana majina yao utawajua tu pole pole. Sasa hao mawaziri pamoja na watu wa kawaida kama mie ambae ninajipa cheo cha mjumbe wa nyumba kumi, ujumbe wao huo hapo juu. Huwa wanakwendaga kwenye blogu ya dada mmoja anajiita "mti wenye joka la mdimu lazima upopolewe ili joka lihame" Sasa hao mawaziri wakikuta joka la mdimu limeandika pumba huwa wanakoment huko, kisha inapelekea CEO wetu aka Mange anatukanwa buree!! Mengine tena kama huelewi basi mweee hufai kuingia kwenye mablogu!! Ila mie
      • romiego

        romiego

        29 July 2012 at 19:31 |
        nimechekaje kijaruba..haya mjumbe wetu wa nyumba kumi
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        29 July 2012 at 20:44 |
        Uturn addict Waziri wa uchukuzi, Mshamba anasaidiana na Ngosha Nishati na Madini, Kuntuafro na Anchiwela Maji , Maudodo na Marikenge sanaa na wasaniii....Nawakilisha
        • Mshamba

          Mshamba

          30 July 2012 at 21:38 |
          Marichui, mbona umenipa wizara kubwa hivyo...Nishati na Manidi? Duuh, hiyo imenizidi uwezo, Nitafutie kawizara kadogo kadogo hivi. Mbona umewaacha wenyewe wakina Koku, Baby ya Mange, Desperate House wife, C's mum, wewe mwenyewe na wengineo wengi?
      • sasha

        sasha

        29 July 2012 at 20:58 |
        lol u just cracked me up plz msisahau since mange amekus dada yake wema nae mdimu ametafuta miss moja alieopotea akijishau kua she is taking her time n dedicstion to protect her n lead her to a right direction..the chick snsitwz hamisa lol
    • ISIDINGO

      ISIDINGO

      30 July 2012 at 12:42 |
      na hataelewa story ni ndefu!
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 20:36 |
    mange umesahau ni mwezi wa Ramadhani? ama kweli ugomvi uko kwenye damu yako
    • mama t

      mama t

      30 July 2012 at 00:08 |
      we anonymous cjui nani jina lako ramadhani inamtaka mtu kuwa mkweli kutosengenya nyie ndio mnaofanya dini ionekane ngumu.kama huna la maana la kukoment humu piga kimya.mange umesomeka hatuendi tena huko mtaa wa pili
    • Anonymous

      Anonymous

      30 July 2012 at 10:41 |
      Hata kama ni Mwezi wa Ramadhani, lakini dini inafundisha kutosengenya wala kuwa mnafiki. Mange sio mnafiki, ukimchukia anakupa live, sio kama hao wengine wanojifanya kumchekea Mange huku kutwa kumwekea vikao vya kumsengenya.
  • Lilian

    Lilian

    29 July 2012 at 20:40 |
    mange Lowrey mbona hujachange nchi unayoishi kwa sasa facebook imebaki imeandikwa lives in Dubai bado? pls change usije kuwa kama Raheli adi leo ameandika Lives in Colombia wakati yuko bongo kupigana na vumbi....:(
    • ISIDINGO

      ISIDINGO

      30 July 2012 at 12:47 |
      ha ha haaa weee lilian nimepaliwa na mate kwa kucheka.. ebu nisaidie kiukweli., hivi maana ya p.i nini? nimegoogle sijaona.
  • HAKUNAGA

    HAKUNAGA

    29 July 2012 at 20:43 |
    I see lige is good mama Kenzo...hater'ssonya
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 20:59 |
    yaaaani mk bora umelijua lile joka la kucopy na kupaste nashukuru...yani ule na kirauum chake maskini kimegongwa kimechoka kinatia huruma kijumba chake cha kupanga pale nyuma ya hongera bar maskini msameee bure ana dhiki nyingi sana mpe ata laki tatu mana ni strec izo ndo zinampelekea ayo yote...ss ivi hana shost ata mmoja kagombana na mashost wooooote
    • suna

      suna

      30 July 2012 at 11:02 |
      anakaa HONGERA maskini weeeee poor uuu sitaharisha jamani RAUM ndo gari mawaziri wa uku tunataka kujua mceza mpira kamtema anaishia kuweka mapicha kujifariji.... sitaharisha mswazi camp acha kucopy uku MASAKI wewe wa TANDALE baki uko uko... nani amununa SITAHARISHA hahahahhahhahahahhahah


      mangebloglicking
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 21:01 |
    we ceo sio mgomvi wanamuanzaga na wivu ndo unapelekeaga kugombana na ceo kama huna wivu huwezi kugombana nae na ukiwa level yake hakuna maneno kabisaaa bakora izo ndo zinapelekea watu kugombana
  • koku

    koku

    30 July 2012 at 02:02 |
    SITOHARISHA KAMALIZA MFUNGO! YAANI KAWEKA MIDDLE FINGER KABISA! MWEEEEEEEEE! KUSAMEHEWA DHAMBI ZETU NI NGUMU JAMANI, MBONA TUNAMDANGANYA MWENYEZI MUNGU?BORA HATA ANGEFUNGA KIMYA KIMYA,NA MSAMAHA ULIKUWA FAKE KAMA HAYO MAVIATU YAKE YA LADY GAGAlmao
    • anonny

      anonny

      30 July 2012 at 11:49 |
      dontbebitchy nyie ndo wale wale mpo huku mpo kule, mnazidi tu kumpaisha!!!!!!!!! si uachane naye na viatu vyake, we vyako vya Victoria Bekham vipo wapi
      • baby ya Mange

        baby ya Mange

        30 July 2012 at 18:26 |
        shuuuut up Idiot,,,let Koku talk!
    • Anonymous

      Anonymous

      30 July 2012 at 14:14 |
      • baby ya Mange

        baby ya Mange

        30 July 2012 at 18:27 |
  • Temptation

    Temptation

    30 July 2012 at 06:23 |
    Missing u.... Love u mingi....
  • Temptation

    Temptation

    30 July 2012 at 06:23 |
    Missing u.... Love u mingi....
  • Mbeba boxi

    Mbeba boxi

    30 July 2012 at 08:02 |
    Uwii!!! leo nimeshinda online na google hadi nimeipata hiyo Blog.. Biatch hasn't got shit on you CEO wa ukwe..yaani ningekua anayejifananisha naye ninge msue vibaya sana. Hana lolote plus choka mbaya. Hebu asituharibie hali ya hewa na shape yake kama Hoho.. yaani ukisikia blog mchoko ndio ile, not worth a visit.
    • Malimo

      Malimo

      31 July 2012 at 09:41 |
      Hako ka blog kanaitwaje jaman, nimekatafuta sana sikapati.
  • BODABODA Girl

    BODABODA Girl

    30 July 2012 at 08:57 |
    lol!!!!eti maviatu yake ya lady gaga!!!na kweli,kiatu kilo mbili khaaaaaaa!!!!!eti baby take some more pictures,which pictures now,abeg abeg...amuweke huyo baby tumuone..msheeeeeew!!!idiot,shes sooo annoying!!
  • Mdigo

    Mdigo

    30 July 2012 at 09:11 |
  • simple lady

    simple lady

    30 July 2012 at 09:24 |
    teammange Tena wakuache Mangemuke ya Mudhungu
  • BEUATFUL

    BEUATFUL

    30 July 2012 at 09:31 |
    MANGE MAMA MIMI NUIMEKUSIKIA NA NIMEKUELEWA SORY FOR ANY INCONVINIENCE.sorry
  • Anonymous

    Anonymous

    30 July 2012 at 09:34 |
    CEO jamani wala hukuwa na haja ya kuwatuka hao wengine na kuita blong za kishenza why!!!!!!!!!!!!!!! unashusha status yako mi ningependa kama ungewaonya tu mawaziri wako kistarabu waache bila kuziponda hzo nyingine ndo ungeoneka wa kishua kabisaaa maana kuponda na wewe waonekana mswahili jaman!
    • Kijaruba

      Kijaruba

      30 July 2012 at 16:18 |
      Unaijua ze-Udaku wewe? Watu wote ambao walikuwa wanashiriki kurun hio blogu ya ze udaku ni washenzi na blogu zao ni za kishenzi. Mange tena amewaita kwa jina zuri hilo I wish angewatafutia jina baya kabisa. Yes I have googled na nikakuta kwenye google post inayoonyesha Mtalaka wa Mark Antony ametokea kwenye blogu ya Vick Beckham (ni Vic Beckham kwa sababu sijawahi kumuona akismile) kuwa wao ni very good friends since long. Na yule binzari ya kuungia mboga Maggie yeye ndio best kabisa wa mtalaka wa Mark Antony. You dont need to even visit their blog just google the lady (she aint a lady though!) name and it will give you every little detail.
  • asya

    asya

    30 July 2012 at 10:03 |
    NI KWEL MANGE,,,,,BT KNA VBLOG VINGNE VINABOA SO N LAZMA WACHAMBWE...ILA ME HUWA NABADILISHA JNA......blowkiss
  • MUKE YA MUHAYA

    MUKE YA MUHAYA

    30 July 2012 at 10:29 |
    yaani simpendi yule mdada kwani mpare wa wapi yule mbona mshamba vile jamani loh
  • baby

    baby

    30 July 2012 at 10:29 |
    ivi humu ndani mnalipwa heeeee maana mnavyonyenyekea heeee kweli pesa ndio kila kitu ukiwa huna unaitwa uswailini haya nyie matajiri hongereni ila dunia tunapita.
  • katyuska cardona

    katyuska cardona

    30 July 2012 at 10:42 |
    cheers i just love this blog so so much...mange kiukweli uko juu mno mamito,,yani tunakubali waziwazi..also viongozi wa tawi letu hili bab kubwa acheni kabisaa kwenda kule kuchafuchafu..bosi wetu keshatukataza after all ni mashenzini haswaa. we are classy bhana. dah!birthdaydanceeducation
  • kwatariq.com

    kwatariq.com

    30 July 2012 at 11:14 |
    jamani yule dada kazidi uswahili anajifanya anajua wakati ni muigaji mashuhuli hapa mjini.halafu anajiita msomi msomi atakuwa yy?
    mi nilikuwa nashangaa navyowaona kina beautiful onyinye kule na nilikuwa nakerwa sana nashukuru mange wetu umeliona na umelifanyia kazi.joka la mdimu umezidi kumuiga mange wetu.ni mimi mwenyekiti wa serikali za mitaa wa u-turn
  • mdau

    mdau

    30 July 2012 at 12:03 |
    Kwanza blog yake hata haieleweki kabisa, iko kama x-mas tree, nyie hamjaona eti siku hizi na yeye rafiki yake mwavita makamba ah!ah! ana kazi kweli kweli!!!!
  • JUMONG

    JUMONG

    30 July 2012 at 12:08 |
    kumbe mange umeliona hili eeehh? tanzanian tunapenda sana kuiga iseeee yaani naona kila mtu kabadilisha blog yake kasoro yule wa s.a
  • Mwanjy

    Mwanjy

    30 July 2012 at 12:32 |
  • juhchaul

    juhchaul

    30 July 2012 at 12:36 |
    mmmmh!hilo nalo neno,hakuwezi mage
  • kibibo

    kibibo

    30 July 2012 at 13:02 |
    bora hata ulivyosemaceo mana kile kifurudbwo kilizidi khaaa! yan kila ktu kinaiga na pua yke ile km stering ya bajajmangeblog
  • SAPRAPASEN

    SAPRAPASEN

    30 July 2012 at 13:49 |
  • SINTALICIOUS

    SINTALICIOUS

    30 July 2012 at 14:15 |
    Jamani mtaa wa pili watu wanaumwa mweee kama namuona akimwambia dk leo sijalala joto halafu naharisha sana itakuwa ni nini dk mange wachape kizungu wamezidi mange kaachwa mmeona wazungu wakiacha wanavyorudi kwa mbwembwe OUR CEOOOO MKeducation
  • wifi ya mange

    wifi ya mange

    30 July 2012 at 14:52 |
    ceohakunagamangeblog
    wamenunajeeeee sasaaaaaaa. waache kukopi na kupestiiiii
    • Anonymous

      Anonymous

      31 July 2012 at 10:08 |
      we mange kiboko. afadhali, maana fun walikuita CEO naye akajiita, ukajiita mtoto wa kipare naye kaiga, miaka 800 yeye anajiita miaka 8000, kenzo akaharibu make up naye kaenda muiba mtoto wa watu kamfotoa kamuweka, vipicha vya pembeni ya web yako nae kaiga. aige basi na kununuliwa nyumba marekani. yaani umemkomesha toka uweke hii post kule uswahili comments hazifiki 10. naona akiona hii comment atakaa kwenye laptop aanze kujicommentia mwenyewe ili ziwe nyingi. hakuna kumpa mtu umaarufu
  • Anonymous

    Anonymous

    30 July 2012 at 15:33 |
    HEE, HAYA KUMEKUCHA..CHEI CHEI WANA UTURN. NAMIE ACHA NTOE LANGU. KWANZA HONGERA SANA MANGE KWA KUWA MKWELI NA NGANGARI. HAKUNAGA BLOG LAKUZIDI UTURN NO NO NO. MIE TOKEA NILIJUE HILI BLOG SIINGII WALA KUCHUNGULIA KIBLOGU CHOCHOTE CHA UCHOCHORONI UKIACHA KINA ISSA MICHUZI NA WABABA WENGINE. WADADA WENYE VIBLOGU UCHWARA SIWATAKI KABISAAA TENA MNIKOME NA MTUKOME. HATUWAKUZI NG'OO. MTABANDIKA MIPICHA YENU UKO, MTAJICHEKESHA MTAANGALIA WENYEWE KA MNAVOJIANGALIA KTK VIOO VYENU MAJUMBANI MWENU. NAWASEMA NYIE WADADA WOTE MNAOJIJUA MNA VIBLOGU VYA KISHENZI. TENA MSINITIE HASIRA NTAWAslapping OHOO..TAFUTENI HOBBY NYINGINE ALAA..shotsfired KIMBIZA HAOOchase NYAMBAFFFF
  • zara

    zara

    30 July 2012 at 16:19 |
    Cha ajabu hadi vijimisemo vya mange anaiga utasikia na yy anasema mtasonyajeee,,
  • Anonymous

    Anonymous

    30 July 2012 at 17:04 |
    HIVI HUYU MSHENZI ANAYETAKA KUTUPELEKA KAMA WAJINGA NI NANI ETI TUSIKOMMENT WHO ARE YOU TO CONTROL US. HAYO MAMBO NI YA SHULE ZA MSINGI TENA ZA USWAZI KABISA NA MAMBO YA MAKUNDI HUTAKAA UENDELEE MSHAMBA WEWE. TUTAENDELEA KUANGALIA BLOG ZOTE AS WE WISH. NA KAMA UNAMCHUKIA SANA MTU KWAKWE UNAENDA KUANGALIA NINI AU ROHO INAKUUMA MFYUUUUUUUUUUUU.freedom
    • Kijaruba

      Kijaruba

      31 July 2012 at 11:27 |
      Dont get worked up for nothing dear, the message is for a very special people in this blog, the so called Mange ministers, she has a special bond with them; they can tell her anything and she can tell them anything too, soo stop raining mate on your keyboard as you are none of them! Ooops sorry ngoja nikutafsirie.

      USIJICHOSE BURE HUU UJUMBE SIO WAKO HAUKUHUSU WALA HUHUSIKI, UJUMBE HUU NI MAALUM KWA WATU MAALUM AMBAO WANAJULIKANA KAMA MAWAZIRI WA MANGE BLOG, NA WANA (eti wajameni special bond kwa kiswahili ni nini vile? eeh nshakumbuka) UHUSIANO MAALUM NA MANGE WANAWEZA KUMWAMBIA CHOCHOTE NA YEYE ANAWEZA KUMWAMBIA CHOCHOTE KWA HIYO USILOWEKE KEYBOARD YAKO NA MVUA YA MATE BURE KWA SABABU WEWE SI MMOJA WAO, HUU UJUMBE HAUKUHUSU!!
    • muke ya mmasai

      muke ya mmasai

      01 August 2012 at 00:54 |
      we dada kazi unayo mbona huo uswahili kwisha kazi unaonekana mshari tu unajilazimu kuwaita watu kinguvu ili mradi tu na huwajui wala hawakujui unagombana na mwenzio kisa watoa comment loh pole mwenzangu na ramadhani yooote hii shame on u elimika loh ushamba mzigo kumbe wa wapi wewe kwani
      • Anonymous

        Anonymous

        01 August 2012 at 10:17 |
        kubwa kwakweli
      • Anonymous

        Anonymous

        01 August 2012 at 17:34 |
        Wewe si ndio unatutukana kule kwenu matusi ya kumwaga? Mbona humu unaandika kwa adabu, confidence mavi ya kuku!!
        • muke ya mmasai

          muke ya mmasai

          02 August 2012 at 02:23 |
          kelele wewe matako washamba wakubwa nyie uswaziiii tu kazi mnayo hizo loh mnaacha kuangalia dhiki zenu kazi kusujudia watu poleni kama mnapewa hivyo vidola kumbe mnaishia kuperuzi humu tu kisha mnaendelea kupiga mihayooo kama kaaaziii..
  • Anonymous

    Anonymous

    30 July 2012 at 23:13 |
    futa tu majina yetu hatuna haja
    • Kijaruba

      Kijaruba

      31 July 2012 at 11:30 |
      rolling on the floorrolling on the floorrolling on the floor sikujua kama Anonymous nalo ni jinarolling on the floorrolling on the floor ooh dear!!!
    • Kijaruba

      Kijaruba

      31 July 2012 at 11:30 |
      rolling on the floorrolling on the floorrolling on the floor sikujua kama Anonymous nalo ni jinarolling on the floorrolling on the floor ooh dear!!!
    • Kijaruba

      Kijaruba

      31 July 2012 at 11:31 |
      rolling on the floorrolling on the floorrolling on the floor sikujua kama Anonymous nalo ni jinarolling on the floorrolling on the floor ooh dear!!!
    • Kijaruba

      Kijaruba

      31 July 2012 at 11:31 |
      rolling on the floorrolling on the floorrolling on the floor sikujua kama Anonymous nalo ni jinarolling on the floorrolling on the floor ooh dear!!!
  • Anonymous

    Anonymous

    30 July 2012 at 23:13 |
    futa tu majina yetu hatuna haja
  • kijaruba agent

    kijaruba agent

    31 July 2012 at 10:17 |
    nakupendaje Mange,umenena haswaa,koz hiki kitu nilikigungua pale ulipochange ur wall mara nikasikia blog flan hivi imechange pia kama wewe,,uko juu Mama Kenzo aka muke ya muzungu,,,,
  • florah

    florah

    31 July 2012 at 13:08 |
    msomikissass mara 10000, alafu aendani kabisa na kidoti, mi namshauri atafute shoga mwingine. labda kama nakosea mabalozi.
  • Anonymous

    Anonymous

    01 August 2012 at 20:48 |
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    06 August 2012 at 10:02 |
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    30 July 2012 at 16:58 |
    I dont want to see IM ASHAMED!!!!shower