27July

IFTAR @ LINCOLN ROAD MALL....SOUTH BEACH - MIAMI

Kenzo and mommy @ lincoln road, south beach...

 

 

 

Mustapha Hasanali's Ramadhan Collection 2012......luvs it....

 

so many people on this road....cant wait to be here after Ramadhan.....This place is awesome......

 

Da Zenat and Kenzoki....

 

 

 

 

Mammy and Da Zenat having IFTAR and baby Kenzo akitusaidia kula....lolest....

 

Ramadan Kareem waislamu wenzangu.........

Comments (111)

  • c's mum!

    c's mum!

    27 July 2012 at 07:51 |
    after 5 years da zenat atakuwa kama zipompapompa! watch this space! mange nguo za heshima zakupendeza ati, lol!
    • ngosha

      ngosha

      27 July 2012 at 08:23 |
      c's mum bwana.... atamaintain tuu,,,,, hawez kujiachia yee mjanja ......blowkiss
      • c's mum!

        c's mum!

        27 July 2012 at 17:12 |
        ni mwezi mtukufu lakini mkinijibu nitafurahi, hivi da zenat akitakahump itakuaje jamani???shakebutt
        • DESPERATE HOUSE WIFE

          DESPERATE HOUSE WIFE

          29 July 2012 at 01:07 |
          rolling on the floorrolling on the floor HUKU ZINAUZWAGA ZA BANDIA HONEY KILA SIZE KILA RANGI ASHINDWE MWENYEWE.. AU PIA SI ANAMIKONOMWENYEWE KHA C'S MUM SIKUWEZI KABISAcheers
          • Anonymous

            Anonymous

            29 July 2012 at 16:48 |
            mama BRM fungua group lingine basi lile lilikufaje bana?
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 08:51 |
      Ulijuaje c'mum mbona ajiangalie hasa akianza kula maburger bora aendelee kupika ugali nyumbani unga kila kitu vinapatikana mpaka nyanya chungu kula out mara moja moja sivyo hatari
      • c's mum!

        c's mum!

        27 July 2012 at 17:10 |
        wallah mtaja niambia asipojichunga, but da zenat uko juu mama! sijawahi kanyaga huko, ndio kwanza natafutiwa visa ya kazistan, lol!
    • muddy washington

      muddy washington

      27 July 2012 at 08:56 |
      Ha ha haaa we kijana una matatizo makubwa sana aisee,angle zako unazoenda unajijua mwenyewe,maana umeona hakuna alimfikiria dadake kenzo mzungu,ukaona umgonge kidogo na yeye,haya tuombe uzima, ngoja tusubiri tumuone huyo da Zee atavyokua baada ya hiyo miaka yako mitano.

      Kenzo mzungu naona hachezi mbali na kitu cha ftari utadhani mfungaji kweli,kumbe ni ile ya kufunga kichina
      • c's mum!

        c's mum!

        27 July 2012 at 17:14 |
        muddy da zenat tunampenda kamlea kenzoki, ila nampa warning mapemaaaaaa, maana kuna ile miili hata ipate shida vipi haipungui, so ajiangalie tu! muddy mzima weye?? wazima wabeba box wenzio?
      • Anonymous

        Anonymous

        29 July 2012 at 16:43 |
        habari za Brooklyn kaka wewe?ushaenda tembelea wife kwa malkia?
    • Angel Afro-Mdhungu

      Angel Afro-Mdhungu

      27 July 2012 at 18:22 |
      lmao umeona heinnn na izo pasta bala lakini anakula vegetables piya... Da zenat:wakuache:
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 21:24 |
      laughing NI KWELI KABISA C'S MUM MAANA VYAKULA VYA USA UTAZANI VINA AMILA
  • tonga

    tonga

    27 July 2012 at 08:10 |
    mangeee the place is very swity... awwww pandeza sanaaaa
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 16:50 |
      dada umetoka naye bongo au umemkuta? anaonekana kama mjamaika vile
  • maudodo

    maudodo

    27 July 2012 at 08:12 |
    mange umpendeza mwaya na kenzo wako, dada zenat will be a good photographer chezea mange wewe, ukikaa nae lazima ujue kupiga picha..!
  • parrot

    parrot

    27 July 2012 at 08:12 |
    umeshakuwa size 8 proper. maana nguo nyingi za collection zinakuaga that size for modelling
  • parrot

    parrot

    27 July 2012 at 08:15 |
    Make up ya leo umeonekana dark kidogo. is it the lipstick, au picha tulove struck
    • maudodo feki plasi plasi

      maudodo feki plasi plasi

      27 July 2012 at 17:59 |
      mangelicious dada ukimletea mdomo mrefuchase atakua dakika anaonekana sio wakucheza hatabasamu hata kwenye ukodak mamimto jihadhari tunaipenda uturn ukifa na sisi tumekufa
    • maudodo feki plasi plasi

      maudodo feki plasi plasi

      27 July 2012 at 17:59 |
      mangelicious dada ukimletea mdomo mrefuchase atakua dakika anaonekana sio wakucheza hatabasamu hata kwenye ukodak mamimto jihadhari tunaipenda uturn ukifa na sisi tumekufa
    • Angel Afro-Mdhungu

      Angel Afro-Mdhungu

      27 July 2012 at 18:19 |
      laughing zile zingine ni flash...iyi ndo true skin color yake....nyiye washama kupitilizanana
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 21:18 |
      she is darker but flashlight of the camera makes her look lighter.
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    27 July 2012 at 08:17 |
    Kenzo anaonekana kamaindi kupandishwa kwenye Baiskeli wakati anataka kutembea menyewe ..winking
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    27 July 2012 at 08:19 |
    Ma dust been yameongozana ..Bongo tunaongoza kwa Uchafu ! Very sadI dont want to seeI dont want to seeI dont want to seeI dont want to see
  • valuvalu

    valuvalu

    27 July 2012 at 08:28 |
    Mange jana nimemskia Keagan wa big bro akisifia hiyo sehemu alikuwa akimuelezea jannethe maana anasema anapenda sana miami,hongera mumy.
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 08:46 |
    afadhali umepoteza baubuiii yako angalia usije juta kuna kipindi kinaitwa waht would you do kilionyesha jinsi wanaovaa mijishungi wanavyopata wakati mgumu USA hiyo haibadiliki bora uvae magauni yako marefu you will b fine.enjoy south beach is nice place
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    27 July 2012 at 08:47 |
    BEAUTIFUL KAMA KAWA
  • Mtu

    Mtu

    27 July 2012 at 09:11 |
    Jamani watu wabaya sana hivi kwa nini huwa mnapenda kuongea uongo jamani? eti mange ameachika mara mange alipigwa stop ya kuingia marekani mara mange alikua ana hunt wazungu, wandugu jiheshimuni sasa kiko wapi mtoto wa watu anakula raha nyinyi mwaishia kunuka midomo kwa njaa. BIG UP MANGE KAMA NI UHUNI BASI WAKO UNAFAIDA MAISHANI igeni mfe nyie msiokua na makazi maalumu ya kuishi.
    • Jessa

      Jessa

      27 July 2012 at 16:54 |
      Huna jipya na wewe sijui Mtu sijui kajina gani hako.
    • c's mum!

      c's mum!

      27 July 2012 at 17:16 |
      blowkiss nimekupenda bureeeeeeeeeeeeee! wanaitwa wazandiki hao watu! ni balaa, wameisoma namba! wapo kimyaaaaaaaaa wamenywea ka kondo la nyuma!
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 09:27 |
    duh!! hii kweli modern Islamic!!
    Mange wewe muslim vaa kama muslim ach u-modern!! mpe Mungu japo huu mwezi mmoja katika mwaka mzima.
    Amekupa mengi na inshaAllah atazidi kukupa mengi, basi nawe mpe mwezi mmoja tu kama shukrani.
    That is not Hijjab
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 16:23 |
    • If Not Why Not.

      If Not Why Not.

      27 July 2012 at 16:23 |
      Majitu mengine hayaelewagi. Soma comment za post zilizopita.
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 09:38 |
    Ramadhan unaijua au unaiga?? gauni limekubana hivo afuu ndo ramadhan pls girl mimake kama mchawi.
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 16:24 |
      SHUT UPbitch
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 21:22 |
      I agree nimeangalia hizo nguo za huyo mustapha hassanali hiyo Ramadhani Collection yake ni aibu kwa mwanamke wa kiislam kuvaa...tangu lini baibui likabana mpaka maziwa yanaoneka watu wanakufuru hivi hivi.
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 09:55 |
    mangeee
    shem anashabahaaa mbona kama kitu na box?
    chezea texan man..kudadadeekiii
    • c's mum!

      c's mum!

      27 July 2012 at 17:18 |
      mmmmmhhhhhhh! speechless! (in michael jackson's voice)!
  • siffah

    siffah

    27 July 2012 at 09:59 |
    UMEPENDEZA MANGE................GOD BLESS Uceohakunaga
  • Super model

    Super model

    27 July 2012 at 10:13 |
    Wooow... Mange umpendeza ns that dress ramadhan kareem to you yoo doll
  • Nai Nai

    Nai Nai

    27 July 2012 at 10:15 |
    Mange na Ramadhani hii no diet please, funga, wakati wa iftar kula vizuri, kunywa maji ya kutosha ili usiwe dehydrated. Nakushauri upate tende japo punje 3 na nusu glass ya maziwa ile ukianza tu iftar, lots of fruits, na yogurt ndio umalizie na chakula kizito kama wali etc. Ramadan Kareem.
  • KIRUUU

    KIRUUU

    27 July 2012 at 10:16 |
    Hiyo nguo mmhh mbona kama narudia kama imekushapu hivi..
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    27 July 2012 at 10:37 |
    aww i lov the way the baibui is designed,looks so cute on u..
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    27 July 2012 at 10:38 |
    Mange mfundishe da zenat diet jamaniii....
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 10:39 |
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 11:09 |
    Mashallah, unapendeza sana na nguo hizo, M/Mungu akuzidishie uzidi kufanya ibada, Amen
  • koku

    koku

    27 July 2012 at 11:24 |
    kenzo anapenda chips. duh! ona kalivyofurahi. looking good mange. dada zenat soon atapata boyfriend. utaliaje mange!!!lmao
    • kuntuafro1

      kuntuafro1

      27 July 2012 at 22:12 |
      Lol! yaani Koku we unavituko umefikiria mbali sana kuhusu Dada Zenat kupata boyfriend. Akipata yote hericeo ataleta Dada mwingine chezeemange wewe.By the way Mange that food looks delicious ni beef fajita marinade nini?
  • killer queen

    killer queen

    27 July 2012 at 11:29 |
    ukimaliza mfungo my dear mange utazidi kua more slim
  • SAPRAPASEN

    SAPRAPASEN

    27 July 2012 at 11:36 |
    good ceo
  • ndebi

    ndebi

    27 July 2012 at 11:58 |
  • ndebi

    ndebi

    27 July 2012 at 11:59 |
  • MARINYAU

    MARINYAU

    27 July 2012 at 12:02 |
    Mmependeza wenyewecheers
  • Kenzo's grandmaa

    Kenzo's grandmaa

    27 July 2012 at 12:16 |
    safiiiiiblowkiss
  • Benn Haidari

    Benn Haidari

    27 July 2012 at 12:25 |
    hata ftari unakula hotel, huwezi kupika??
    • Annonny

      Annonny

      27 July 2012 at 16:55 |
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 13:41 |
    Ramadham Mubarak mange. Enjoy the season and stay blessed in this holly month n Lov the abaya so fashionable .kiss kiss for kenzo changu.
  • mjuaji

    mjuaji

    27 July 2012 at 13:46 |
    hivi wewe ni muislamu au unahadaa watu tu? serious nataka kujua kama hutajibu wewe naomba wadau wenye info mnisaidie
    • c's mum!

      c's mum!

      27 July 2012 at 17:21 |
      tafuta pori ukanye, naona umebanwa! ukimchunguza mange, unajitafutia stress tu!wakuache
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 13:51 |
    WW C'MS MUM NAKUPENDA UNAONGEA UKWELI ALWAYS, WAPI WEWE?? SASA MANGE AFUNIKE USUNGI KICHWA CHOTE HIZO NYWELE TUTAZIONA BAADA YA MFUNGO JAMANI, MANGE PLEASE BABY, MWEZI MTUKUFU MTOTO WA KIKE TENA WA KISILAAM ANATAKIWA KUFUNIKA KICHWA CHOTE BILA KUACHA NYWELE HATA MOJA. UKIMALIZA MAMA ENDELEA KUJIACHIA KAMA ULIVYOKUWA UNAJIACHIA.
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 16:28 |
      USUNGI NDONINI MDAU?drinkbeer
    • c's mum!

      c's mum!

      27 July 2012 at 17:23 |
      nipo my dear! mzima weye??blowkissblowkiss
      • Anonymous

        Anonymous

        29 July 2012 at 16:47 |
        habari za botswana?wahapahapa woyeeeeeeeeee
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    27 July 2012 at 14:11 |
    baby nataka nikusaidie kufunga nafanyaje?,,,
  • MISS U TURN

    MISS U TURN

    27 July 2012 at 14:25 |
    mange MASHALA UMEEONA NGUO ZA HESHIMA ZINAKUTOA MUMMY.....
  • Onyinye

    Onyinye

    27 July 2012 at 14:28 |
    I wish everyday was Ramadhan, unapendeza ukivaa nguo za heshima, pia unaonekana Kama mke wa mtu na sio a hooker married to a muzungu.lol
    • Angel Afro-Mdhungu

      Angel Afro-Mdhungu

      27 July 2012 at 18:29 |
      umesema kweli, but she can still wear sexy classy clothes...
  • ney

    ney

    27 July 2012 at 15:10 |
    Ramadhan Kareem 2u2ceo
  • Butterfly

    Butterfly

    27 July 2012 at 15:10 |
    Da Zenat yeye hafungi??? Mbona havai kiramadhani?
    • anoni fan

      anoni fan

      27 July 2012 at 22:50 |
      umeona eeh, yaani hapa watu ni kumnanga tu Mange!! hamna hata mmoja aliyelalamika da Zenat hajavaa ushungi au hajavaa gauni, they only see what Mange does!!
      angevaa full ushungi na kujifunika kama ninja,ninauhakika bado wangelalamika kua ooh unamdanganya tu Mungu kila siku unavaaga kimalaya!!jamani, mwacheni mtu na maamuzi yake God only is the one to judge!!utakuta wanaojifunika hadi kucha ndo kwanza waovu zaidi wanaegesha tu badala ya kufunga!!it should come from the heart and i'm sure God knows who's meaning it from the heart!!
      wakuache
  • happie

    happie

    27 July 2012 at 15:17 |
    duuu mange nakutamania
  • Muke ya sharobaro

    Muke ya sharobaro

    27 July 2012 at 15:30 |
    nakupendajeeee!pendezaaa weee mama kenzo
  • CSA

    CSA

    27 July 2012 at 16:32 |
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 16:34 |
    hilo baibui i am sure kuna watu wanakupisha kwa mbaali maana wamarekani wanaogopa waislamu/waarabu. kuna siku nilikuwa kwa ndege kuna jamaa aliomba kuhamishwa kiti maana jirani yake alikuwa singa singa. no one wanted to sit next to singa singa yule, mie nilitaka kujitolea kukaa naye maana najua ni watu wakaida tu nikaona nisije wekwa kwenye wanted list bure!
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 16:40 |
    dada zenat amekomaa uwiii
    • Anonymous

      Anonymous

      28 July 2012 at 04:40 |
      hacheki siriasi kenzo anakomaje
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 16:43 |
    jamani nauliza tu kutaka kujua, maana mie mkristo ila muke ya muarabu sasa anafunga jamaa anataka hadi weaving na kucha zangu nitoe ati mwezi mtukufu na mie ni mkewe, ila mbona waislam wenyewe maweaving wanayo kipindi hiki. ni swali tu nataka kujua, nisaidieni.
    • Kijaruba

      Kijaruba

      28 July 2012 at 03:11 |
      Huyo mumeo muulize hivi kwani Mungu ananiona tu mwezi huu wa Ramadan, miezi mingine yuko likizo? Mimi nafikiri ni unafiki kujitia unamuogopa Mungu mwezi wa Ramadan halafu ukiisha uendelee kufanya aliyokataza.

      Nianze na weaving, kiufupi haziruhusiwi siku zote tu na si Ramadan peke yake; watu wanaweka kibishibishi tu. Isitoshe kama unalala na mumeo kila siku je unazikosha unapokoga janaba?

      Kucha za kubandika ni yale yale; na rangi pia maana utakapotaka kuchukua udhu ili usali maji hayatafika. Ila kwa siku zile ambazo huwezi kusali kwa sababu ya mp waweza kupaka rangi ili mradi ukimaliza uzitoe kabla ya kuoga.

      Waweza kusuka kwa uzi au kupaka rangi yoyote unayoitaka kwenye nwele zako isipokuwa rangi nyeusi pale unapokuwa na mvi!Na kufunika nywele ni siku zote si ramadan tu.
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        28 July 2012 at 17:20 |
        omg MH MNASHIDA, NAPITA TU...
        • Anonymous

          Anonymous

          30 July 2012 at 00:21 |
          Kama ni mkristo mbona sheria zenu kuhusu wanawake ni kali zaidi kama mngekuwa mnazifuata wote mngekuwa vichwa kama wanawake wa kimasai vipara tupu. Soma bible taratibu uelewe vizuri utaona ukitaka kutembea kichwa wazi inabidi unyoe nywele!
          Kama mie Muongo wewe tafuta yale madhehebu bado hawajachakachua uone, au waangalie wasouth amerika tena utawaona wakatoliki na mashungi yao. Mie mwenyewe nishaganunua zile hijabu fulani za lesi lesi kibao kupeleka huko kwa marafiki zangu kipindi fulani.

          Na wayahudi wao siku hizi badala ya kuvaa vilemba wamemodernize wanazifunika nywele zao kwa mawigi.
  • Amina

    Amina

    27 July 2012 at 17:19 |
    Mashallahmange
  • Amina

    Amina

    27 July 2012 at 17:19 |
    Mashallahmange
  • Toronto

    Toronto

    27 July 2012 at 17:26 |
    wakuache much respect you are maintaining your religion hapana chezea CEO.
  • papino

    papino

    27 July 2012 at 18:28 |
    GOGO MANGE...wenye roho mbaya wanaumia...
  • HITILAFU

    HITILAFU

    27 July 2012 at 18:59 |
    this is stupid,ukifunga vaa kistaharabu hapo naona mabega yote wazi!pia,sala lazima.kama unafungulia hotelini magharib umesali saa ngapi?
    mie nakupenda sana maisha yako lakini hapo umeharibu.acha kujishoo kuwa unafunga wakati unajua kabisa kuwa hujakamilisha masharti,hilo tuu.
    • Kijaruba

      Kijaruba

      28 July 2012 at 03:21 |
      Kwa hiyo wote wale wanaofungulia mahotelini huko Bongo ni stupid? Maana mwezi huu mahoteli yote makubwa yanaandaa futari. Wanafunzi wa vyuo wanafturu kantini.

      Halafu nijuze kufunga kwa mtu kuna uhusiano gani na futari? Au nyie ndio wale waislamu design ya siwezi kufunga sina wa kunipikia futari? Kwa taarifa yako kubwa ni kufunga tu, na kufungua ni maji au tende au maziwa, kile kitu mtu anachokula mwanzo basi. Hicho ni chakula tu kama mlo mwingine wowote na sidhani kama Mungu atamjaji kwa kula chakula baada ya kumaliza kufunga, bali atamjudge kuhusu matendo yake na ukamilifu wa saumu yake. Kwa mfano kama wewe ni muislam na ulikuwa umefunga leo itabidi uilipie!!hahahahahaha peoplee saum sio futari no wonder wake zenu wanawaste a lot of time jikoni kupika vyakula ambavyo wala huwa hamlagi kila siku badala ya kula tu milo yenu ya kawaida, kama ni wali au ugali basi umemamiliza. Do not complicate this religion hakuna sheria wala fatwa ya kuhusu futari.
      • Mshamba

        Mshamba

        29 July 2012 at 11:56 |
        Hapo Kijaruba umenenacheers Watu wengine wanaongea vitu bila kufikiri kabisa. Na ahsante kwa kutuelimisha sisi wengin tusiokuwa tunaelewa sheria zote kuhusu nywele na rangi za kucha na nywele!thumbs up
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 19:52 |
    Mange ww ni mrembo, nadhani kila mtu anajua hilo. Huu ni mwezi mtukufu na ww ni bint wa kiislam ambaye nina uhakika kabisa unafahamu mipaka yamavazi hasa ktk mwezi huu mtukufu, nguo ulovaa siku umempeleka Kenzo shule ndio haswa inapendeza ktk mwezi huu na inabidi ukivaa vile ujitande ushungi au kijiushungi kufunika nywele zote!Jisitiri kwa kuufuata muongozo wa Qur'an japo kwa mwezi huu na uwaombee maghfira wazazi wetu walotangulia mbele ya haki. RAMADAN KAREEM!
  • mama otieno

    mama otieno

    27 July 2012 at 22:42 |
    mange baby yani wallahi sio siri umependeza sana na habaya lako,...yani yani unawakimbiza wadada wengine wanatamani maisha yako,tena ndio umefanikiwa kufika kwa baby wako na unaishi miami,..unaona wanavyojitahidi kukucopy eti na wao wanajaribu kuiga huaga nachekaga kama mwee mwonyewe.ila mama uko juu tena juu kabisa mange kimbizaa me no 1 u turn fan!kimbizaaaa mamaceo
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 22:57 |
    mijitu mingine sijui ikoje kila kitu atakachofanya mange lazima wamkosoe ovyoooooooooooo
    • Anonymous

      Anonymous

      28 July 2012 at 03:18 |
      Anayemkosoa ni Shamim tu,na kumfumbia mafumbo.
      • Kijaruba

        Kijaruba

        28 July 2012 at 13:04 |
        Ile duah ya kwa watoto yatima si mchezo, wengine wala hatukuwajua kuwa wamo kwenye msafara wa mamba, sasa wanajionyesha wazi wazi; chezea watoto yatima Mungu huwa anapokea dua zao hapo hapo haicheleweshi!!

        Sasa kwa mfano mtu mwingine kwenda Marekani mpaka usubiri msafara wa serikali upate tiketi ya bure au ya kuhonga kwa bei ya chini; mwingine mpaka uzichange weee ndio uende utaacha kutokwa na maneno!!

        Kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo eeh jamani!!
        • Anonymous

          Anonymous

          29 July 2012 at 02:03 |
          Unakunywa Soda gani?Kijaruba wangublowkisspopchampgne
        • Mshamba

          Mshamba

          29 July 2012 at 11:59 |
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 23:08 |
  • Anonymous

    Anonymous

    28 July 2012 at 00:25 |
    Mwaya umependeza hata usipofunika nywele, plus, this is Miami and not Iran.
  • mama t

    mama t

    28 July 2012 at 02:06 |
    darling always unatokelezeaaaaa.
  • muke ya kibabu

    muke ya kibabu

    28 July 2012 at 04:52 |
    peace kenzo now full siturola bongo alikua anapuyanga kwa mguu,chezea Marekani
    • Kijaruba

      Kijaruba

      28 July 2012 at 12:48 |
      hahahahahaha Umenichekesha asubuhi na mapema; hiyo siturolahahaha ya Kenzo tangu Dubai, nadhani baba yake aliifungasha kuitanguliza huko kwao. Na kutembea Bongo kwa miguu kumemfanya akue haraka maana angelemaa na siturola!!

      Huko atawaona mpaka watoto wakubwa wazima miaka 5 wako juu ya siturola!!hahahahahaha
  • Anonymous

    Anonymous

    28 July 2012 at 10:45 |
    leo NDIYO RAMADHANI WAKATI JUZI ULIKUWA NA KIKAPTULA UNASHEHEREKEA UBATIZO,
  • Mshamba

    Mshamba

    28 July 2012 at 11:59 |
    Mange, labda mimi ni mshamba kama jina langu lakini naona ulivyovaa ni vizuri kabisa muda wote ulikuwa umefunika nywele labda picha ya mwisho na inatokea wakati ukiwa na mtoto ikatoka kama hii sio mazoea. Kiujumla sioni tatizo lolote la nguo imekufunika mpaka chini. Sasa watu wanataka nini??? Yo look good and enjoy your life people are never satisfied and they will always talk.
  • Jazline

    Jazline

    28 July 2012 at 19:17 |
    Mange vipi , kitu na boxi tayari kalenga mwenye mali ??? Shwari lakini ?
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 05:43 |
    Hawa nao wanaokupa hedeki kwa vazi ulilovaa wananiboa. It is the 21st century for God's sake anatakiwa avaeje na yuko Miami in summer time......
  • Anonymous

    Anonymous

    30 July 2012 at 07:54 |
    Nawe pia Ramadhani Kareeem. Ila huoni haya wewe binti gani wa kiislamu na Ramadhani yote hiii hata kujistiri?Hata hiyo funga yako tuna wasiwasi nayo.Haya maisha ya dunia yasikuvimbishe kichwa.Kumbuka siku moja utakuwa ndani ya kaburiiiiiiiii
  • mammy joseph

    mammy joseph

    30 July 2012 at 08:53 |
    surprise mie sina neno
  • mchaga

    mchaga

    30 July 2012 at 10:15 |
    umefunga huku una jasho la janaba pole mdada