26July

MORE HOUSTON PHOTOS..... OUT WITH FRIENDS.....

 

 

 

 

 

Do you like the hair?? call my baby Mage Mzindakaya +44 7773 292235

 

 

as we walked to the Irish pub we passed by this amazing GIANT park that my hubby designed almost 10 yrs ago

alijidaije sasa kutuelezea vitu for about an 10 tunaonyeshwa tu.....lol...

 

Mama Kitumbo, Andrew and Baba Kenzo......

the Park is trully amazing, im super proud of u baba Kenzo....

 

People @ the park.......

 

 

Andrew, Theo and i....

 

My hubby designed all this...the park is in the woodlands.....

 

 

There are some apartment buildings too....

 

@ the Irish pub for dinner and drinks......

 

 

Comments (108)

  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    26 July 2012 at 07:09 |
    Du kuzuriiii kumependeza kama X-Masss
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 07:59 |
      patricia na Andrew ni couple? waintroduce vizuri mangelicious wengine masingle and available tunamtolea mimacho mkaka
      • Anonymous

        Anonymous

        27 July 2012 at 18:59 |
        Yeah na mtoto wao Anaitwa Madeleine.
    • 9ja girl

      9ja girl

      26 July 2012 at 08:34 |
      nasubiri picha za two bedroom apartment ya miami mamimto au haijameet standard zako
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        26 July 2012 at 15:50 |
        Mbona umekazana sana Jirani Vipi kwani ? kwani wao Tembo mpaka wakae kwenye Linyumba likubwaaa mbona hayo mambo ya kizamani wewe , mchezo ni chumba sebule chumba ....Happy Now ? Ahaaaaaahhh! mnakera sanaloserloserloser
        • DESPERATE HOUSE WIFE

          DESPERATE HOUSE WIFE

          26 July 2012 at 16:46 |
          MARICHUI WEWE SI UNGOJE TU? ATAUMBUKA TU MUDA SI MREFU.. SASA SIJUI ANATAKA NINI? ULIZA TU PICHA ZA NYUMBA KAMA UNATAKA KUONA BADALA YA KUZUNGUKA NA MANENO. MH
          • m a r i c h u i

            m a r i c h u i

            26 July 2012 at 17:02 |
            DHW Wamezidi hawa Vilaza yaani ...wanaumbuka kutwa basi tu mtakufanavyo Vijiba Vya Roho....
        • Anonymous

          Anonymous

          26 July 2012 at 16:55 |
          HAHAHAA MBAVU ZANGU MIE..ETI KWANI WAO TEMBO..NIMECHEKA MPAKA NIMEANGUSHA MTOTO SAKAFUNI NITAPIJWAJE NA BABAKE LEO..slapping
      • If Not Why Not.

        If Not Why Not.

        26 July 2012 at 17:17 |
        We zomboko mbona umeshauka hivyo. Ngoja uumbuke. Mshenzi tumekuchoka. Kama huna vya kuandika we kaa kimya. Blalifuli.
      • Angel Afro-Mdhungu

        Angel Afro-Mdhungu

        27 July 2012 at 05:08 |
        dontbebitchy ...wait till she decorates her house, unafkiri ni easy!!!...hamkosi maneno duh!
      • Sensitive Samurai

        Sensitive Samurai

        28 July 2012 at 12:26 |
        chaseslappingkissmyass 9ja girl
        hilo tu ndo umeliona haya weye BICHAUPELE wakaa wapi

        wakuacheceoblowkiss
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    26 July 2012 at 07:11 |
    Mange Nywele hizo zinakupendeza sana kuliko zile mnaziita Blond ...something like thatpeace sign
    • Angel Afro-Mdhungu

      Angel Afro-Mdhungu

      27 July 2012 at 05:09 |
      life is about change...blond hair iko na raha yake piya....
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        27 July 2012 at 08:23 |
        Sitajoa ushauri nimesema ninavyoona mimi zipi kati ya hizo mbili zinampendeza ok !
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    26 July 2012 at 07:13 |
    Hongera Shem kwa kazi nzuri ...kila mtu anapenda kujivunia kile kizuri alichofanya ..cheerscheers
    • c's mum!

      c's mum!

      26 July 2012 at 07:50 |
      WE MREMBO UPO?? MITH U BANA KHAAAAAAA! LOLblowkiss
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        26 July 2012 at 15:52 |
        Miss u too Dear .....Upo ? Sasa Shem Muarabu anafunga au ulishamkatolisha ?waves
        • c's mum!

          c's mum!

          26 July 2012 at 17:31 |
          mamake kaja kumpikia futari, wapo hapo wanafunga, nimewaambia mwakani nitakuwa muislanu safi, lol! kaazi kwel kwel, ila saa ya kufuturu nimo bibi we, tena mapemaaaaaaaaa!
  • c's mum!

    c's mum!

    26 July 2012 at 07:48 |
    enjoy mama kenzo! its your tym wallah. umevumilia weeeeee sasa unakuwa awarded! kuna watu mnajua kuhav fun wallah, cheerscheers our CEO!
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 08:01 |
    kazi nzuri picha za mchana tuone ufundi wa shem
  • maudodo

    maudodo

    26 July 2012 at 08:04 |
    umeona ee marichui shem anatisha, waosha vinywa mmeona kazi hiyo na maneno yenu ya shombo,oooh cjui mpiga chundo cjuii nini na niiii heeeeeiiiiyasonya mange una haki ya kujivunia mumeo shostito weee...good job shem...
  • anchiwela

    anchiwela

    26 July 2012 at 08:11 |
    lucky woman, hubby ana maakili huyo, yaani naona sasa una peace ya akili, mwili na roho, watu hata cha kuchonga hawana umewafungaje midomo
  • tonga

    tonga

    26 July 2012 at 08:22 |
    mange pendeza sanaaaa.. kuwa basi mkristo jamani...proudly Engineers like Baba Kenzo....
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 01:00 |
      we nawe akiwa mkristo wewe utapata nini? mwachieni mtu na maamuzi yake.
  • PaRrOt

    PaRrOt

    26 July 2012 at 08:36 |
    Imagine kwa umri alionao Baba Kenzo sasa hivi, ten years ago ndo alidesign hii kitu, kweli wenye vipaji vyao nawapa hongera
  • ngosha

    ngosha

    26 July 2012 at 08:44 |
    natamanije na mimi cku moja kufika hapo????? but ndio hvyo tena,,, naishia kupasoma u turn tuu.... mungu ibariki Tanzania, mungu ibariki Magu
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      26 July 2012 at 16:03 |
      Why ukate tamaa Ungali hai wewe ? who know about tomorrow ? hahaha labda NSSF
      • maudodo

        maudodo

        27 July 2012 at 08:09 |
        hahahaaaaa.... marichui eti "labda NSSF" hahahaha i like thatblowkiss yani wanaboa me nilikuwa na mpango wa kuacha kazi nichukue mafao yangu nifungue biashara niwe nazunguka tu dunia yote kufungasha mizigo....hahahahaaaa
      • ngosha

        ngosha

        27 July 2012 at 08:17 |
        thanx mwaya kwa ku ni encourage......cheers
    • Kijaruba

      Kijaruba

      26 July 2012 at 17:18 |
      Hujafa hujaumbika usikate tamaa duniani, mimi ninakaribia kutimiza my greatest childhood dream!! Mradi ujiamini tu na umtegemee Mungu nothing is impossible in this world!!
      • ngosha

        ngosha

        27 July 2012 at 08:18 |
        kijaruba mwaya asante...... ctakata tamaa tena maishani...... u turn forever baby....drinkbeer
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 08:50 |
    Baba ya kenzo ni brazamenije!! naona kapiga kashati kadogo na ka jeans ka modo. hapana chezea muzungu!!!!
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 09:17 |
    • If Not Why Not.

      If Not Why Not.

      26 July 2012 at 17:21 |
      So if your new? This is uturn and Mrs Lance is our CEO, Csmum ni wazili mkuu, kuna koku, desperste, Marichui, na wengineo. Karibu mgeni ngoja tukutoe kamba mguuni.
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        26 July 2012 at 20:30 |
        laughinglaughing unakaribisha mgeni kwa mkwara hivyo si atakimbia ...labda kapotea mlangolaughinglaughinglaughing ..
        • If Not Why Not.

          If Not Why Not.

          27 July 2012 at 16:31 |
          Marichui, Namkaribisha kwa mikwala ili aishie sebleni. Unajua mgeni mwingine ukimkaribisha sebleni ataingia hadi chumbani.
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 09:20 |
    kanuna
    andunje, kidoti, sitaharisha,uso sambusa na nani tena.... yule... kule.. nimekumbuka ... kama sijakosea nailoni
    • MANGI HANIONI a.k.a MAMA KUNTU

      MANGI HANIONI a.k.a MAMA KUNTU

      26 July 2012 at 20:36 |
      Mscheeeeeeeeeewwwww!umenimiss eh, we nafute
    • siyawezi

      siyawezi

      26 July 2012 at 21:50 |
      Bi cheka aka south africa
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    26 July 2012 at 09:29 |
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 09:30 |
    Hivi Mange unafunga kweli??
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 19:35 |
      devil ANAFUNGA ILA SIJUI KUFUTURU NA DAKU NDIO HUKO PUB
    • baby ya Mange

      baby ya Mange

      27 July 2012 at 02:02 |
      baby jamani umempotezea wapi Judi angewajibuje sasa hawa,,,SMH
    • If Not Why Not.

      If Not Why Not.

      27 July 2012 at 16:35 |
      Unauliza anafunga nini? Hivi hawa watu akilimgando hadi karaha. Mtu asemeje muelewe. Au unataka ajibandike stika usoni kila picha atokelezee na stika "I AM FASTING" Au unauliza kama anafunga milango? Sa atalala nyumba wazi?
      Pumba.co.tz.
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    26 July 2012 at 09:31 |
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 09:32 |
    Hivi mange unafunga kweli??
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 09:49 |
    Mmependeza wenyewe, mnapendana na mashosti wenu!!! God bless you all. Theo nimekupenda, unanitamanisha na mimi kurudia hiyo issue imekutoa gadoooo
  • kombo

    kombo

    26 July 2012 at 10:06 |
    Looking gud guys,!
    Mange mbona hujamualika Luiza Mbutu wa Houston?...Tumemmiss
  • BEUATFUL

    BEUATFUL

    26 July 2012 at 10:17 |
    MHH MANGEE MFUNGO HUO ZINGATIA WEWE... MIMI CHAPA WEWE KULA BATA SANA HAAAAPANA ILAAA OMBA MUNGU SANA SAWA MAMITO
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      26 July 2012 at 16:50 |
      KWANI SI MNAKULAGA BAADA YA SAA 12 JIONI MPAKA MAJOGOO ASUBUHI AU? MAANA HII OUTING NI USIKU..
  • SAPRAPASEN

    SAPRAPASEN

    26 July 2012 at 11:02 |
    education HONGERA KWA SHEM LETU LOL HAKUKIMBIA UMANDE SORRY KWETU NDIO UMANDE HUKO KWAO TUNASEMA HAKUKIMBILIA STAREHE KWANZA LOL NDIO MAANA SASA UNAKULA RAHA MTOTO WA KIPAREgoodluck
  • JUMONG

    JUMONG

    26 July 2012 at 11:08 |
    hii promo ya nywele tutakomaa tuambie na bei basi Mange
  • koku

    koku

    26 July 2012 at 14:50 |
    hongera.. mange kuna wadada 2 walikuwa wanakusema huko twitter. missie popular na shamimu. ngoja niende tena, nikiikuta post nitaicopy na kuja kuipaste hapa. wameniboaje sasa!! am sure wataifuta tuu
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      26 July 2012 at 15:53 |
      He ! I cant believe
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 15:58 |
      wakuache mtoto wa watu level yako tofautieducation Shamim ni fake eti CLsonyashame on you
    • Kijaruba

      Kijaruba

      26 July 2012 at 16:12 |
      Koku achana na Shamimu, yule ndio alikuja kucoment humu kuhusu CL alizonunua Mange ni feki ndio akaonyesha kwenye blogu yake boksi la CL feki lilivyo, wakati huyo Mnyamulenge Mariam aka MP ndio alitoa darasa kabisa kaenda kucopy na kupaste kuhusu CL za Mange alizoonyesha hapa, na watu wakamshambikia.

      Lakini cha ajabu mie nimeenda kucopy kwenye official website ya CL kuhusu maduka yanayouza CL original na hayo maduka aliyokuwemo Mange yametajwa kwenye Store Locator ya hiyo official website ya Mange, mbona aliibania comment yangu kama lengo lao ni kufundisha watu na kusema ukweli?

      Isitoshe ni suala la shule ndogo tu, kama mtu anaweza kucopy kiatu akakitengeneza kikaonekana kama original atashindwa kutengeneza box la kuuzia hilo viatu likawa kama original? Use your brains ladies, mwenye kuweza kununua original mwacheni anunue, nyie ambao hamna huo uwezo nunueni hizo feki mvae lakini they will never be CL kwa sababu hazijatengenezwa na Christian mwenyewe!! They will always be fake, pirate, na mwenye kununua au kuuza atakuwa anashiriki na yeye kwenye wizi!

      Na wee Mange usibanie comment yangu, wao nimewaambia bila kukutaja jina wala kukuhusisha I just copied from horses mouth kwanini hawataki kusema ukweli?
      • Anonymous

        Anonymous

        26 July 2012 at 16:38 |
        tatizo la shoga analeta biashara bongo. sasa anashindwa kuwaambia wateja hii cl ninayoleta ni fake! hivyo kakazana kusema *kama kuna maziwa fake kwanini ufuge ng'ombe*! bora uwe muwazi acha kuzunguka mbuyu ZEZE. hata mimi nimeona hiyo stori. na kuna twit moja wameweka live kabisa MKwakuache
        • Anonymous

          Anonymous

          26 July 2012 at 22:03 |
          Zeze ni mshamba wa kila kitu,Maziwa fake anaijua bei yake? aulize aambiwe.Mwezi mtukufu amejaa uongo na wivu.Obagi anaijua au kaona fake yake.Nguo zake za Primark eti anajua fashion gani?Nijuzeni hii imekaaje?
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        26 July 2012 at 16:54 |
        SASAAA, KUNA HUYO MMOJA HUYO.. "S" ANADHUBUTU? ANAJUA NINI? KWIKWIIIII, ITS JUST FUNNY, THIS MADE MY DAY.drinkbeer
    • Kijaruba

      Kijaruba

      26 July 2012 at 17:15 |
      Tena inawezekana kabisa hata zile Obagi waliziendea kuzitengeneza China, ndio maana walivyotaka kuwaingiza watu mkenge Mange alivyosema ukweli wakachukia.

      Jamani nachukia sana uwongo ni bora mtu umwambie bwanaee hii ni copy aka fake aka pirate, lakini sio kubeba fashion magazine kufyatua kila kitu kuanzia nguo, viatu, mikanda, mapochi (eti Hermes; mavi ya kuku!!) kisha unakuja kuwagonga wenzio mabei. Ndio maana imesemwa ni ngumu kwa wafanyabiashara kwenda peponi kweli ukitaka biashara halali utapata faida kidogo tu haitatosha kutanulia mjini!

      Msiniulize nimjuaje lakini nina cousin wangu ana duka lake Karikaoo miaka sasa na mchezo wote naujua tangia enzi za Thailand mpaka sasa wamehamia China. Tena kuna kipindi wachina walikuwa wanakuja Dar na sample za lesi materials, watu wanachagua wanakwenda kufyatua zinaletwa Bongo, vitenge sijui vya wax sijui nini! Tena viwanda vya vichochoroni. Huko India nako kuna mafundi ndugu zake Mrs Patel!!
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 01:55 |
      Hivi hawa ni nani hapa mjini missie popular na shamimu?Wanavaaje Kwanza?Nisije jichosha kwa kucomment kumbe wanaangalia magazine kuziona hizo fashions?Mtaongea sana kama uwezo wa kufanya hivyo hamna mnyamaze.Waachieni wenye uwezo wafanye wanachotaka. Fake fake ni nini?Fake ni vitu unavyotulazimisha tununue na kutuekea risiti za kichina.Tumia wewe kwanza tuoneigaufe Huoni haya huu mwezi mtukufu kufumbia watoto wa wanawake wenzenushame on you .ceo sijamtukana mtu hii ndio habari ya mjinifreedomblowkisspopchampgne
    • c's mum!

      c's mum!

      27 July 2012 at 08:04 |
      hivi wanaijua midomo ya u-turn au wanaisikia! tutawaanzishia mpaka wawe wanaota mitusi, tena wamkome mange kabisaaaaaaaaaa! wasiniharibie toba mie, maanina zao!fan
      • If Not Why Not.

        If Not Why Not.

        27 July 2012 at 16:48 |
        Tena hawa inatakiwa tuje tuwafturu siku moja. Wapuuzi wakubwa na miwani zoa za kuziba hadi kichwa. Nyokonyoko cl??? Kama unaweza panda juu uendeukazibe. Halafu huyo shamim nilikuwa nampendaga sana kumbe na yeye zero tu. Asijaribu kuruka sarakazi mbele ya bamkwe ilhali kavaa taulo. Wazandiki, wanafki wakubwa. Watamsoma mange wetu kama preti namba za gari. Halafu na hapa nyumbani kwetu wapaone kambi ya jeshi. Blalifokos.
        • Anonymous

          Anonymous

          28 July 2012 at 03:31 |
          Ni mnafiki mkubwa na anapenda kujipendekeza siku yake inakuja.
          • Anonymous

            Anonymous

            28 July 2012 at 07:45 |
            Mnafiki hajui kuvaa hajawai kupendeza! Kajificha Kwenye kimvuli cha fashion blog yake Watu wanadhani wa maana wanaishia kupata surprise kila siku mana sivyowanavyomdhania Kumbeni bonge la mshamba, mie hula sihangaiki name kucomment nshajua tu haju chochote! Na huyo mp si atulietu anatakatuseme nini alivokaa kishamba tayari! Aargh
  • Mpashkunata

    Mpashkunata

    26 July 2012 at 14:50 |
    jamani baba Shani yuko wapi au ndo hivyo tena huyo Andrew ndo baba kijaho maana hizo pause mmh
    • SIMPLY

      SIMPLY

      26 July 2012 at 15:43 |
      haaaa..... i wanted to ask the same question. Mange were is baba shani!
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 15:51 |
      HATA MIMI NIMESHTUKAA....., BABA SHANI AU TUNA SHEMEJI MWINGINE?
  • wa longi

    wa longi

    26 July 2012 at 14:57 |
    kazi nzurii lance,mangelicioushakunaga kama veve
  • wa longi

    wa longi

    26 July 2012 at 15:00 |
    nywele ni nzuri mpaka zinanifanya nilicking naungana na marichui this hair do u justiceceo
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    26 July 2012 at 15:26 |
    cute cute....blowkiss
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      26 July 2012 at 18:58 |
      rolling on the floor YANI BEAUTIFUL NIKIONAGA HII PIC YAKO INANIFURAHISHA TU EH, U ARE BEAUTIFUL INDEED, MWANAMKE MAKE UP.. INANIKUMBUSHA WALE WANAWAKE WA KI NIGERIA KWENYE ZILE MOVIES ZAO ZA ZAMANI LOL
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    26 July 2012 at 15:47 |
    IS Back niliborekaje sasa ?
  • PaRrOt

    PaRrOt

    26 July 2012 at 15:56 |
    aaaaaaaaaand we are baaaaaaaaaaaaaaack! nimesinziaje leoyawn
  • MPEMBA

    MPEMBA

    26 July 2012 at 16:20 |
    WAMENUNAJE WANAFIKI? MUNGU AKUPE MARA MIA YA HIVI ULIVYONAVYO
  • Anony

    Anony

    26 July 2012 at 16:56 |
    Wow! Kumnbe hiyo park kadesign baba Kenzo? Kudos to him. Huwa naitembelea mara moja moja, watoto wangu wanapenda kupanda hivyo viboti.
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 17:24 |
    JAMANI TUFANYE MAMBO KADRI YA VIPATO VYETU. HII IGA IGA SIO NZURI. KWANINI ULAZIMISHE KITU AMBACHO HUNA UWEZO NACHO!!NA MTAUZIWA SANA HIZO CL FAKE,KAMA MNAPENDA KUWA MATAWI YA JUU SI MVAE VYA UKWELII.KWANINI MNA-CHEAT! MTAKULA HADI MAYAI FAKE KWA KUPENDA NANYIE MUONEKANE MPO!!
  • SHANI

    SHANI

    26 July 2012 at 17:25 |
    WAPI BABA YA SHANI AU ANDREW KATAKE OVER DU KAMA NI KWELI SASA BIASHARA ZA KUCHANGANYA WATOTO RANGI HAPOO NDIO ZINAKUJA LETA BALAA AZAE TU DUME WASIJE KUONEANA WIVU KWENYE RANGI NA NYWELE...freedom
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 19:24 |
  • Kenzo's grandmaa

    Kenzo's grandmaa

    26 July 2012 at 19:35 |
    mmh bora ambavyo unatuwekea mapicha maana usipoweka twaboreka,naomba uwe unaweka hata kama unaenda maliwatoni kuliko kutoweka kbs ceo plzblowkiss
    • c's mum!

      c's mum!

      27 July 2012 at 08:01 |
      kwi kwi kwi! khaaaaaaaaaa!
  • Kenzo's grandmaa

    Kenzo's grandmaa

    26 July 2012 at 19:35 |
    mmh bora ambavyo unatuwekea mapicha maana usipoweka twaboreka,naomba uwe unaweka hata kama unaenda maliwatoni kuliko kutoweka kbs ceo plzblowkiss
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 19:47 |
    Hata Mange mimi sikubali lol tuonyeshe nyumbani kwako Miami bwana yaani tumeambualia drive way tu aku...come on girl I think we will like you more if you keep it real lol...Dont worry hata starlisha anakaa kwenye two bedroom apartment...:)
  • koku

    koku

    26 July 2012 at 22:44 |
    mange tafutia ufumbuzi hayo macho yanadumbukia ndani(sio unavyofikiria ndugu msomaji) lol. either kuna make up unatumia au hunywi maji ya kutosha..inakufanya uso uonekane mzee. please fanyia kazi hilo jambo...freedom
  • Miss u turn

    Miss u turn

    26 July 2012 at 22:57 |
    mange shem wetu wa kweli...mwaya maana wabongo wengi wanakimbiliaga wazungu bora wazungu..km kwa yule wa SOUTH AFRICA wakwake mpakasura imekuwa yadrinkbeer
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    27 July 2012 at 01:39 |
    slapping every one u call ur babywtf i dont want that baby.....u have only two baby's in this world me n baby Lance fullstop...fuck that hair meiiin!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    27 July 2012 at 01:42 |
    jamani baby huyu Theo sialilipiwa mahari nakumbuka hadi picha ukatuwekea hapa imekuwaje tena?na nikicheck hilo tumbo inaonesha kipindi cha mahari alikuwa tayari anamimba....ila uwepo wa kaka Andrew na hii mambo ya kuweka mukono juu ya tumbo gizani sijui kwa park ndo inaleta wasiwasi....
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    27 July 2012 at 01:44 |
    yani wazungu bana wanapendaga vitu wanajua wenyewe sasa huo ukuta hapoday dreaming
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    27 July 2012 at 01:52 |
    yani baby wangu unakaupole flani hivi usoni Mange wangu sijui ni vimacho vyako Mange wangu aww,,,ur so sweet baby wangu...
    baby naomba nikusaidie kufunga halafu we upumzike like for one day...
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    27 July 2012 at 01:58 |
    but baby plz edit that my baby...u cant call everyone baby!yani jus bcoz u like her hair,,,she is ur baby already.....naaah baby!sitakiiiiiii,,,,
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 11:19 |
    USHAMBA WA BONGO MWINGI HAMNA GENI HUMU HIVI WEWE UNATUMIAJE ELIMU YAKO KUTWA KUMFIKIRIA NA KUPOST JINA LA STARLISHAS ATAKUUMBUA WE NA MMEO MAISHA YAKO NA MMEO YEYE KWAKE BEI YA MBOGA UNALO MPARE MPENZI WAKE ANAZO HAJAAJIRIWA WE MMEO MWAMBIE AKUFUNGUE HATA KADUKA KA MAYAI KAMA ANAZO CHEZEYA MATAIFA MAGENI PIGA BAO ZUNGU SUBTHUU WAULIZE MASHOGA UKWELI UNAKUUMA HAPO UMEFULIA STARLISHA KIMBIZA WAKUJA HUYO
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 16:54 |
      SHOSTI MBONA HATA KUANDIKA HUJUI? UNATUPA TABU SANA WASOMAJI. HUNA NUKTA WALA KOMA, ULIISHIA DARASA LA NNE NINI!!MMH KAZI UNAYO MWAKWETU ILA POLE SANA..ELIMU YA WATU WAZIMA LAZIMA IKUHUSU...goodluck
    • If Not Why Not.

      If Not Why Not.

      27 July 2012 at 16:55 |
      So what? Lia sasa naona unahasira hadi unataka kubast. Ustuharibie swaum toka hapa. Sitahatisha, sitaharisha, harisha sasa upoze hasira. kenge wewe.
    • Sensitive Samurai

      Sensitive Samurai

      28 July 2012 at 12:48 |
      sorry HEBU RUDIA TENA KUANDIKAtea
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 11:22 |
    Unakatabia kakubania comment ila msg zinazokera na kukupa ukweli unaogopa starharisha ana mshiko inabidi ukamuazime hata usafiri mtoto anachagua leo lipi walahi kajaliwa toto la nguvu jeupe no obagi wewe mange kambali habari ndio hio mashauzi ya hapa utambuka kitoto kikali sie twakiogopa level nyingine class nyingine habari ndio hio
  • Anonny Mom

    Anonny Mom

    27 July 2012 at 11:55 |
    Haha haha "Baby ya Mange" .. Sounds innocent but so funny and sweeet! Nacheka mwenyewe. Lance naona huwa anashika mbavu akisoma bym anavyofurukuta humu.
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 12:03 |
    mage hongera sana mm ni mwana uturn for really. ur hubby is handsome your fully of life and u baby kenzo as well so habari ya mali na vinginevyo vitakuja tu naona watu hapo wanajadili kuhusu nyumba yako hata kama ni two bedroom sio tatizo as long u have happy marrige mungu atashusha baraka zake. hata wao sijui kama wana mali za kutisha na walizipata toka angani hawakufaifaight na maisha? be happy with what u have kwanza shem wangu anaonekana ni intelligent so mtakuwa na maisha mazuri tuu. wao waume zao nadhani wachimba miferejii wanajishaua hapa
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 12:56 |
    mange umependeza sana
  • kuntuafro1

    kuntuafro1

    27 July 2012 at 22:50 |
    Good job Shem wetu Lance,10yrs ago ulidesign kitu kama hiki!!! wewe ni mkalihakunaga kama Lance.
  • MildredFischer

    MildredFischer

    30 July 2012 at 00:34 |
    Houses and cars are expensive and not everybody can buy it. But, mortgage loans are created to aid different people in such situations.
  • ISIDINGO

    ISIDINGO

    29 July 2012 at 05:05 |
    yaani mie ndo namshangaa daily, hivi kabla hajajulikana alikuwaje jamani? maana kama wakati huu anavaa maronyaronya sijui huko nyuma alikuwaje, simpendi mjalaana yule ni mnafiki mno bora mchawi kuliko mnafiki ptuuuu. bibi wee unaingia humu. huji kuvaa sijui na kupika kama unajua. hata ex wa mark antony naye kuvaa sifuri kelele nyingiii. mji una malimbukeni huo acheni kabisa halafu wanajiona hakunaga kama wao.