25July

KENZO'S FIRST DAY @ SCHOOL......

Kenzo and mommy in the toddler classroom...

nimeogopa kupiga picha watoto za watu maana nsije pelekwa mahakamani bure....lol.....

nkisha make friends na other mommies wakiniruhusu kurusha picha za watoto zao ntawarushia tu....lol

 

Aunt Theo thanks for the Lean swahili T-shirt.....we love it...

 

jamani mwanangu alifurahia shule, anasema mommy angaia toto (sio angalia) , toto niiiiiiiiiiiiiiiiiice....lol

 

Daddy late for work.....lol.....ila ilibidi akae tu na sisi shule mpake kieleweke....lol...

 

Mommy, daddy and Kenzo at school...

 

outside on the playground.....i love this school....

 

 

hapo Kenzo ananiambia 'mommy na wewe ingia' lol....

hajui english mwanangu atakomaje sasa .....lol....

so had to explain to the teachers what each swahili word that he says means in english...lol...

 

Comments (117)

  • c's mum!

    c's mum!

    25 July 2012 at 18:24 |
    amazing mangereza! she looks innocent, kweli watoto ni angels! i dont remember the last time mwarabu alikwenda shuleni kwa twins lol! kweli utamaduni unamatter! MUNGU AKUKUZIE MANGE! u look cute na abaya lako!blowkiss
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      25 July 2012 at 23:04 |
      c's mum muache shemnot worthy wangu kibongo bongo baadhi ya kina Baba akilipa Ada basiiiii anaona kamaliiizaaaa mwe !
      • Anonymous

        Anonymous

        26 July 2012 at 01:24 |
        hiyo mibuibui huogopi kupita nayo kitaani? just saying you are in America careful mamimto mwanao atakua anamulikwa na kioo cha ulinzi kama waarabu vile
    • 9ja girl

      9ja girl

      26 July 2012 at 01:14 |
      sinorita hiyo ni day care sio school marekani hakuna shule chini ya miaka minne
      • Anonymous

        Anonymous

        26 July 2012 at 15:48 |
        NAWEWE ACHA ULIMBUKENI..UMEANDIKA HAPA ILI TUONE KAMA UNAJUA NENO "DAY CARE"? SIE KIBONGO BONGO TUNAITA SHULE, MFANO SHULE YA VIDUDU NK WE KWANI UMEKULIA WAPI? MSHAMBA MKUBWA...freedom
        • Tajibeba

          Tajibeba

          26 July 2012 at 16:26 |
          education go Kenzo go teach them Kiswahili hao madogo hapo shuleni and be their mtemi si unajua tena wapeleke kibongo bongo .....hahahha me love some Kenzomoonwalker
        • Anonymous

          Anonymous

          27 July 2012 at 15:41 |
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 08:07 |
      shule ina magril madirishani utafikiri jela pande za wapi mnaishi salama hiyo pande
      • baby ya Mange

        baby ya Mange

        27 July 2012 at 02:23 |
        hahahahhahahahhaa OMG nimecheka mpk nimetaka kujikojolea,,,,jamani hii bloghakunaga
  • c's mum!

    c's mum!

    25 July 2012 at 18:27 |
    after sometime atacoupe, tena na accent ya marecani kabisa, the school looks good! lol KENZOKI uwe good boy, na usome kwa bidii!education
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    25 July 2012 at 18:49 |
    WALA USIJALI KUHUSU SWAHILI.. GIVE HIM A WEEK, GIRL,, ATASAHAU ATA KISWAHILI KIDOGO ANACHO JUA. KAMA UNAPENDA AENDELEE KUJUA SWAHILI UWE UNAMSEMESHA HOME NA VILE SITTER WAKE ANAJUA SWAHILI THEN ITAMSAIDIA ASISAHAU KABISA,, KIDS LEARN AMAZINGLY FAST. I WANT MY KIDS TO SPEAK SWAHILI LAKINI NAONA KADRI SIKU ZINAVYOKWENDA WANASHINDWA JAPO THEY CAN STILL SPEAK SOME WORDS NA KUCHANGANYA HIVYO HIVYO LAKINI WAKISEMESHWA WANAELEWA. DO THAT TOO AJUE JUE SWAHILI KIDOGO, ITS GOOD.
  • Liway

    Liway

    25 July 2012 at 19:08 |
  • CSA

    CSA

    25 July 2012 at 19:17 |
    Safii sana Education is Sexy,GO GO GOOO Kenzo
    educationteammange
  • anonymous

    anonymous

    25 July 2012 at 19:21 |
    Mbona hujaturushia picha za kwako? Maana Miami nyumba ka za bonhgo kutokana na joto lake. Au it doesnt meet ur expectations
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 01:16 |
      Hajarusha picha ya nyumba manake ni ka-apartment tu with no furniture wala nini hahahahah. Mange nilitaka uje USA upaone vizuri!
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        26 July 2012 at 06:08 |
        MH MWENZETU UMESHAFIKA KWA MANGE LINI? EMBU TUPE DETAILS ZAIDI YA "HAKUNA FURNITURE"? NA TV WANAYO?
      • forgot her name

        forgot her name

        26 July 2012 at 08:04 |
        kaapartment ka miami hakajameet expectation chezeya mzungu kakutana na two bedroom apartment one full bathroom
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        26 July 2012 at 08:07 |
        Binadamu tuna kazi asikwambie mtu haya wewe mwenye Bangaloo tuoneshe basi lol www.wivu.combitch
  • tifa

    tifa

    25 July 2012 at 19:40 |
    im happy for KENZO asome kwa bidii afate nyayo za baba na mama lol.
  • muddy washington

    muddy washington

    25 July 2012 at 19:50 |
    kweli mama kenzo sasa umekua mmarekani kabisa,naona umekua na discipline ya kimarekani,huku hatupigi watu picha ovyo bila kupata ridhaa yao wadau,safi sana kwa style hiyo marekani utaiweza mapema sana.

    Ushauri:usimuache mwanao akakisahau kiswahili,huo ni ushamba,english ataongea tu wala usihofu but home msemeshe kiswahili,atakua na advantage ya more than one language,achana na ule ujinga wa wabongo wengi eti akisema na kiswahili atakosa accent ya kimarekani,hakunaga iko kitu,huo ni uongo
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      25 July 2012 at 21:19 |
      POINT KAKA MUDDY.
      YANI KUNA WATU NI WASHAMBA AJABU.. ATI HAWASEMESHI WATOTO KISWAHILI ATA KIDOGO.. HALAFU WANAVYO JITAMBA? "MTOTO WANGU NI MMAREKANI" LMBAO.. SECOND LANGUAGE MATTERS ATA KAMA NI KISWAHILI.. MI NAWAONEAGA WIVU SANA HAWA WA MEXICO.. UNAKUTA VITOTO VYAO VINAONGEA SPANISH FLUENT NA SI KWAMBA ENGLISH HAWAJUI, WAPO KOTE KOTE.. WATANZANIA WENZANGU TUACHENI USHAMBA WA NAMNA HII.. TUPENDENI LUGHA YETU.. SASA CHAAJABU KUNAWATU WAMETOKA KIJIJINI SIKU WANAPELEKA WATOTO WAO KWA BABU NA BIBI NDO HAPO SASA, WANAWAAMBIA WATU "HUYU MTOTO NI MMAREKANI HAJUI KISWAHILI" KIRUU!!!!! ITAKUWA NGUMU KUONGEA FLUENT LAKINI ANGALAO AELEWE AKISEMESHWA.goodluck
      • baby ya Mange

        baby ya Mange

        27 July 2012 at 02:30 |
        jamani mbona sasa mnataka kuingilia maisha ya watu?kwani sikila mtu na mpango wake na jinsi anataka mwanae awe kama mzazi anataka mwanae aongee kipolish tu siyeye bana,,,,acheni majungu bwana kila mtu amlee mwanae kivyake sio kwasababu Kenzo anaongea kiswahili basi wasio ongea kiswahili washamba sijui malimbukeni kila mtu na mapendeleo yake bana.punguza hii kitukissass
        • muddy washington

          muddy washington

          27 July 2012 at 09:10 |
          alaa kumbe upo?!!!!haya tumekusikia mama,tumemuacha kenzo mzungu aongee kipolish
          • baby ya Mange

            baby ya Mange

            27 July 2012 at 17:48 |
            not worthy shuut...ur a moist man!...eti alaah kumbe upo
        • MISTRESS YA OBAMA

          MISTRESS YA OBAMA

          27 July 2012 at 12:13 |
          baby ya mange pata glass ya maziwa moto ingekuwa sio mfungo ungepata jichupa la moet maana duh, mie nimekipenda hicho kikatuni ulichosindikizia meseji!!!
    • muke na mnaija

      muke na mnaija

      25 July 2012 at 22:12 |
      Very true mudy, usiache kumuongelesha kiswahili.
    • KHC

      KHC

      26 July 2012 at 06:57 |
      Mange alishaishi Marekani miaka ya nyuma hata 1st born wake alimzalia huku Marekani na baadaye akahamia Dubai so u guys mnaotaka kumfundisha Mange jinsi ya kuishi Marekani nadhan inaijua kuwaliko..waulize wa TZ wa texas waliokaa muda mrefu wanamfahamu Mange sana..so SHUT UP guys n focus on your life..
      • Anonymous

        Anonymous

        26 July 2012 at 08:10 |
        khc hajawahi kuishi alikua mwanafunzi alikua anasoma akapata mimba mwanafunzi akarudi bongo maisha ya kuishi marekani anayaanza sasa
        • Anonymous

          Anonymous

          26 July 2012 at 16:00 |
          POINTLESS..
        • MISTRESS YA OBAMA

          MISTRESS YA OBAMA

          27 July 2012 at 12:19 |
          kwa hiyo wakati anakaa marekani hata kama alikuwa ni mwanafunzi kwani alikuwa amekufa? ati alikuwa haishi marekani, liwalo na liwe alikuwa anaishi marekani as a student upo hapo wee cha wivu? kwanini mnajiona ka vile nyie ndo masenetor wa marekani wakati ni full ushuzz tuu???
      • Anonymous

        Anonymous

        26 July 2012 at 15:58 |
        POINT
      • Anonny Mom

        Anonny Mom

        26 July 2012 at 16:14 |
        Kama Mange anajua wengine wanaosoma hii blog watajifunza. Kujua Kiswahili ni deal kubwa msidharau. People pay dearly to learn a language. Kama waweza kujua ukiwa mdogo na kwamba its your mother toungue .. go for it and teach your children at home in America. Kwanza kujua kiingereza peke yake kama waamerika wengi walivyo its 50% being illeterate...!! Sio sifa.

        Mange kazana Kiswahili cha mtoto kikue na Mkwe wetu akijue vilevile.

        Anonny Mom!
    • mgeni

      mgeni

      29 July 2012 at 01:47 |
      Av been visiting this blog like 4eva,ila leo nmeguswa inabidi nicomment.Kitu muhimu SANA alichosema Muddy,do yo best cute Kenzo asisahau Ksw.By the way U av a very cute babyboy Mange,Kenzo is soo adorable.
  • Kenzo's grandmaa

    Kenzo's grandmaa

    25 July 2012 at 19:52 |
    graduation hahahaha all the best grand son, ingawa amekaa kumkosoa mwalimu, uwii sitaki kujua swaga za utulivu na kumsikiliza mwalimublowkiss
  • PPP

    PPP

    25 July 2012 at 19:53 |
    hehhee Mange u funny.. eti mwanangu hajui english atakomaje.. he will catch up tuu.. dont worry.. Good luck Kenzo!
  • muke ya muchaga

    muke ya muchaga

    25 July 2012 at 19:57 |
    its nice,yaani shule tu iko poa utupostie ne pic za teacher wake,gud
  • marikenge

    marikenge

    25 July 2012 at 20:06 |
    education
    blowkiss
    all the best baby Kenzo.....
    aaaaw Mange nilijiandaaje kukupigia niombe appointment..haha looh kuingia humu lahaula mwanamke umeshapaa.
    nimetamanije kulia... hehehe
    ramadhan karim CEO...
    MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUKUBARIKI
  • marikenge

    marikenge

    25 July 2012 at 20:08 |
  • marikenge

    marikenge

    25 July 2012 at 20:09 |
    goodluck kenzooo
    niiiiiiiiiice
  • mwenzenu mie

    mwenzenu mie

    25 July 2012 at 20:15 |
    baibui sijui abaya limekutoa kama mama wa kiarabu,eeh jamani kweli unachokipaka kinakupenda you can see tofauti ya vipodozi vya bei na vipodozi vya bei rahisi,vile vya bei rahisi lazima vikutese labda ulipukwe na upele au uungue upate miwani ya pembeni mwa uso au upauke sana kuliko sehemu zingine za mwili ili mradi tu vikutese kisa viko cheap.mama Bukhenzo umenoga ngozi inatereza utafikiri unaogea maziwa..good luck baby Kenzo akizoea atakua analia kurudi home,usijali kimombo ni sasa ivi ila mzoeshe na kiswahili.
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 16:07 |
      sio mama bukhenzo ni mama bhokenzo..bhoke n kenzo and not bukh n enzo ok!!r u new in here?
  • kuntuafro1

    kuntuafro1

    25 July 2012 at 20:15 |
    I dont want to see Kenzo atakavyokua amuita kila mtu bayaaaaaaaaaaa!It's good though kumpeleka mtoto shule mapema kunamfanya awe more independent.
  • Mshamba

    Mshamba

    25 July 2012 at 20:34 |
    Happy to see Kenzo is doing well and enjoying life in America. He is going to pick English in a matter of days and you are going to be shocked how quickly he forgets swahili. Mkumbushekumbushe jamani Kiswahili asikisahau kabisa. Blow him kisses for good luck in his new life.
  • SITOHARISHA

    SITOHARISHA

    25 July 2012 at 20:39 |
    Mpe one month hatokumbuka hata lile neno bayaaaaaa. Cute kenzoeducation
    • SITAHARISHA

      SITAHARISHA

      26 July 2012 at 00:33 |
      NA WE TAFUTA JINA LAKO LOL, BAYAAAAAAAAAA!
      • anchiwela

        anchiwela

        26 July 2012 at 08:17 |
        hshahaha nyie kina harisha mnanischa hoi mie
      • Tajibeba

        Tajibeba

        26 July 2012 at 16:36 |
        sasa na wewe si ulock your name usiibiwe mwambie ajiite nimeshaharishachase
      • Anonymous

        Anonymous

        27 July 2012 at 15:50 |
  • primrose

    primrose

    25 July 2012 at 20:46 |
    Yaani Mange this blog inakusaidia kuweka so good memories few of us will ever have in documentation and pictures,(hadi nakuonea kadonge)I wish I was able to do it kwa ajili ya wanangu,I mean Kenzo akikua he has got some of his life memories documented all the way mpaka raha,wengi tunapiga picha but hatuna au hatuwezi kuweka mtitiriko mzuri wa life ya wenetu,somehow CEO blog inakusaidia sana kuweka so many good memories ya lifestyle yako I admire you for that!!Nakuona umerudi kwenye abaya my sis from another mother without knowing me in person lol,Good lucky to Kenzo in his new school, Please CEO usiache ku-uptodate blog wengi(u-turn addicts) hii ndio fb page yetu na stress releaser lol,Mungu akupe maisha marefu zaidi ya kutuentertain sisi na wewe kuwa mwenye furaha na maisha mema daima milele
    • Anonymous

      Anonymous

      25 July 2012 at 23:04 |
      YOU CAN MAKE YOUR OWN SCRAP BOOK WITH WORDS AND DOCUMENT EVERY STEP...YOU DON'T NEED A WEBSITE.
      • primrose

        primrose

        26 July 2012 at 06:15 |
        Hey sweetheart I know that, that's why nikasema or I should say Mange can do on here analeft footprint zake all she need is keep all the posts zinazohusu family occasions na lifestyle yake,mimi ile kupiga picha tu mtoto kaanza shule ni mbinde, I'm talking about the whole MK package the way she handles things in places like school on the plane etc, I haven't got all the guts to do it meaning taking photos everywhere etc,SCRAP BOOK YES I HAVE BUT NO MOTIVATION TO DO IT, MK atleast she get motivated na readers wake kupost things like that, for me by the time I get to document it, too tired to write etc so nabakia na picha tu,and yes I have like thousands of pictures
        • forgot her name

          forgot her name

          26 July 2012 at 08:15 |
          primrose unatia aibu mtoto siku ya kwanza shule unasema mbinde kupiga picha? ina maana huna camera au mbinde ya nini kuclick button kuna kazi gani? mfanyie mtoto ukodak kila tukio sio lazima uandike mashairi ya mange kumbukumbu za utoto hazijirudii usimkoseshe haki yake hajakulia kijijini huyo
          • primrose

            primrose

            26 July 2012 at 22:16 |
            kwikwikwi uturn kwa madongo mmmhh ok bana natia aibu but hizi sheria za nchi za wenzetu yaani hata ukitoa kamera darasani watakustop,si umeona MK mwenyewe kashindwa kupiga watoto wengine,sio kwamba siwapigi picha au shida camera no bali sio darasani au na wanafunzi wenzie,si unajua unapojaza fomu lazima uweke signature kuruhusu mtoto wake picha yake ipigwe??
            basi nitaanza kuifanyai kazi my scrap book maana motivation zero baada ya kazi nyingi etc
        • Anonymous

          Anonymous

          26 July 2012 at 22:34 |
          I understand but please try to make memories for your little one(s)trust me when he/she get older those memories will be cherished...and with technology you can make documentaries/movies even better don't think about it... act on it...all the best
  • SIMPLY

    SIMPLY

    25 July 2012 at 21:06 |
    Mange,one question i thought you said you were only staying in Hfreedomfreedomfreedom uston for three days!!!!freedomfreedomfreedomfreedom
    • muke na mnaija

      muke na mnaija

      25 July 2012 at 22:17 |
      sasa umeambiwa hapo bado yupo huko soma ile post ya kuwish Ramadhan Kareem utaelewa yuko wapi.
  • cheusi

    cheusi

    25 July 2012 at 21:33 |
    Soo happy for Kenzoki, my God lead his way
  • Anonymous

    Anonymous

    25 July 2012 at 21:33 |
    Na wewe wacha ungo sasa baba akiwacha nani atawarudi home maana wew tunajua bado uendeshi kwanza una licence na uende kuomba social number ndo uanze kuingia mtaani kwa sasa ww una miguu. Unavyosema kenzo ajui kithungu sasa wanaonga vipi na dad wake na babu zake sema anachanganya lugha zote mbili bana, wacha fix smtimes. mfyeeeeeeeeesorry
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      26 July 2012 at 06:16 |
      SWEETIE, UMEONA AMESEMA "FIRST DAY OF SCHOOL"? USUALLY UNAKAA NA MWANAO HIYO SIKU MNAONESHWA MAZINGIRA NA KUCHEZA CHEZA NA MWANENU.. NA KAMA NIKUONDOKA BASI UNAMUACHA MWANAO WHICH MEANS MANGE ANGEONDOKA NA BWANAAKE NA GARI LA BWANAAKE AU PIA KAMA HAENDESHI KUNA TAX KILA KONA.. WATU WENGINE BWANA.. UMEANDIKA KWA KAHASIIIRA MPAKA ATA SPELLINGS UMEKOSEA KIBAO
      we hater
      • ngosha

        ngosha

        26 July 2012 at 08:33 |
        blowkiss u speak it all DHW
      • Anonymous

        Anonymous

        26 July 2012 at 16:29 |
        umeona eeh, sijui limekurupuka kutoka wapi..halijui hata kuandika, halafu hapo litajidai lisomi..
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 16:23 |
      WE NAE POMBE BADO HAZIJAKUTOKA KICHWANI UNAPARAMIA UTURN..BADALA YA KUSEMA ACHA UONGO WASEMA ACHA UNGO..AU USIKU ULIKUWA UNAwhitch NA UMEKOSEA SPELLING KIBAO KWA KIHEREHERE CHAKO..SUBIRI POMBE ZIKUTOKE NDO UJE KU KOMENT HUMU CHAPOMBE WEWE..
    • Anonymous

      Anonymous

      28 July 2012 at 06:15 |
      True that....
  • maudodo

    maudodo

    25 July 2012 at 21:35 |
    waaaooohhh am happy for kenzo, naona siku hiyo yote uliimalizia shuleni, watoto huwa wanaganda hawataki mzazi aondoke shuleni mpaka aje azoee umeipata kazi, i can't wait to c kenzo's first uniform, atatokelezeajeeee......mange abaya limekutoa..ablowkiss 4 kenzo
  • malaginagi

    malaginagi

    25 July 2012 at 21:47 |
    mtoto,wa,kislam,unachezea,magovi,ya,kizungu,yote,ni,njaa,na,we,nenda,kabatizwe,tu,watu,wanatoka,dini,ya,kiza,we,ndo,unazidi,kujitia,kizani,shame,on,you
    • anonymous

      anonymous

      26 July 2012 at 05:53 |
      Hahahahahaha. Kweli lakini msiponde sana wakristo wakati kwao ndo mnakokimbilia. Hamna anaomba visa ya Afghanstan
    • If Not Why Not.

      If Not Why Not.

      26 July 2012 at 11:02 |
      We mshenzi umepinda nimecheka balaaaaa.
    • Kijaruba

      Kijaruba

      26 July 2012 at 17:01 |
      DONT JUGDE SOMEONE JUST BECAUSE THEY SIN DIFFERENTLY THAN YOU!!!

      Hiyo team yenu mnayoongelea magovi as if hao waganda wenu, wajaluo na wakikuyu wanatahiriwa!

      Na mnavyosema as if wengine mmeolewa mna waume hamzini, au wengine hamtoki nje ya ndoa zenu, hamuibi (hata ukiuza na kununua feki vyote wizi tu; ukiiba computer ya bosi wako ukablogu, ukiiba muda wa mwajiri wako; pesa za bwanako anapokuwa amelewa vyote ni wizi tu mbele ya Mungu) as if hamsemi uongo wala hamsengenyi. So dont judge others as if you are saints. Yakushughulishe ya kwako uyatendao kwanza kabla hujahamia kwa wenzio semeni na nafsi zenu kwanza!!
    • ISIDINGO

      ISIDINGO

      27 July 2012 at 12:31 |
      wee firauni kuna wamarekani ambao wanatairiwa na wengine hawatairiwi, ni kama bobgo na africa kwa ujumla, kna baadhi wanatairiwa na wengine hapna tairiwa unajua hilo we kenge maji? sio kila mzungu ana govi ku na wa waswazi na magovi yao pia, nyama we!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    25 July 2012 at 22:09 |
    awww baby u look so cuuute in ur baibuiiiii,,,,i wanna huuug uuuu my sweet love awwwheartheartheart
  • Anonymous

    Anonymous

    25 July 2012 at 22:19 |
    Jamani vipi nyumba yako, magari yako jmani maana ulisema ukifika tunaenda wewe, sasa umeweka shule kabla ya nyumba, wakati kwa wakwe uliweka kila kituuuuuuuuu mpaka driveway, chumba cha kulala, jiko, ect.Ata kama ni aptmes weka akuna ataekucheka wacha machauzi wewe.
    • Anonny Mom

      Anonny Mom

      27 July 2012 at 16:44 |
      Wee usilazimishe taarifa hapa. Ndio chanzo cha ugomvi maana watu watakuelewa unamkandya Mange. Kama ndio nia yako, mi sijaona mahali Mange aliposema "naenda kwenye villa yangu miami".

      Mange na familia yake saizi ndogo, hata kama wako kwenye flat inawatosha. Why do you want her to have extra space for nothing.

      Niruhusuni niwaambie wanangu wa u-turn.. a classy individual can also live in a flat. haina maana kwamba ameshuka. Mange kwanza maliza mfungo, tengeneza "your home" popote ilipo maana ni kazi ya mwanamke. Baadaye weka picha utakapopenda usiwe na presha.

      Itabidi niwe U-Turn Mom sasa!!!
  • Uturn Addict

    Uturn Addict

    25 July 2012 at 22:20 |
    woow i hope hasumbui wakati wa kuamka mama most of the kids do.

    Ceo i hop unajua mashart ya funga......@?

    Weaving na kichwa wazi mhmmmmmmm hay ni maoni tuuuu
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 16:00 |
      hivi ukioga josho kubwa baada ya tendo la ndoa au hedhi si inabidid ufumue nywele au weaving inaruhusiwa?
  • pacha wa mange

    pacha wa mange

    25 July 2012 at 22:30 |
    mange sasa hivi yupo miami, alisema atakaa kwa wakwe kwa siku tatu, nimekujibu mdau ulieuliza
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    25 July 2012 at 22:59 |
    All the Best Baby Kenzo ...yaani shule ina mvuto hiyo ndiyo tofauti ya kwetu na Mbele !rolling eyes
  • koku

    koku

    25 July 2012 at 23:22 |
    sasa hapo subiri kesi tuu, maana najua vitoto vyetu kwa kung'ata na kufinya wenzao ndio vyenyewe. kama kenzo hana hiyo tabia, you are SAFE.peace
  • Anonymous

    Anonymous

    25 July 2012 at 23:23 |
    Usihofu mange mzungu koko wetu atajua english, bora babake ni mdhungu na yuko kwao sio shida, kazana tu nakiswahili asisahau
  • koku

    koku

    25 July 2012 at 23:27 |
    next mama mtu kuchakalika kutafuta kazi, najua ndio mpango mzima wa kumpeleka kenzo day care.. all the best mangerezawelcome kubeba boxiiiiiii
    • MMWEE

      MMWEE

      26 July 2012 at 01:46 |
      Aah koku, CEO wetu sio wa kubeba mabox..watabeba wengine sio yeye, huna mume jina...
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 00:39 |
    kumbe unaogopa mahakama eeh...nilidhani wewe ni kufotoa tu kila mtu. angalia usimfotoe chris brown utaondoka na ngeo let alone mahakama!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    26 July 2012 at 01:05 |
    but baby i thought all kids are in summer holiday or US got diff syllabus,,,tea
    aww baby i really like u in ur baibui wallahi
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 01:17 |
    I'm sure wazungu wanakukoma na hiyo bui bui yako. Ebu ingia store uone watavyokuangalia na chuki
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 07:24 |
      Nakubaliana na wewe hilo buibui kwanza kenzo akikua usilivae shule watamtania mtoto bure akose raha kweli ukiingia dukani utajuta kulivaaa utake usitake hiyo minguo huku hawaipendi vaa tu kiheshima kwa mwezi mtukufu sio mibubibui utamfanya mwanao anyanyasike akikua uyaache hayo
      • Anonymous

        Anonymous

        26 July 2012 at 08:20 |
        wadau mmeona ee kaja na ndege ya waarabu tena na miguo yao utashangaa watu wanatoka nduki dukani wanakuogopa
        • Anonymous

          Anonymous

          27 July 2012 at 10:50 |
          Muarabu aliyevaa expensive abaya kama ya Mange, na ushungi na uso kajifunika akiingia dukani mwenye duka anasema leo Mungu kaniona, na wateja wengine mnaweza hata msihudumiwe maana mteja wa ukweli kaingia dukani, sie nyie wenzangu na mie wa pesa za mawazo za kuchangisha unafanya window shopping unaishia wao wakiingia kushop ni shopping ya ukweli.
    • Kijaruba

      Kijaruba

      26 July 2012 at 16:35 |
      Acheni uwongo wenu hapa, waarabu gani wanaowanyali wakati most of the things now viko owned na waarabu, kuanzia viwanja vya mipira, timu za mipira, masupermarkets ( yes wanashare kwenye supermarkets kubwa mpaka 30 to 40 percent)na wana own viwanda, na wana finance vitu kibao. Tena waarabu wake zao na watoto wao wanakwenda kula bata Ulaya na Amerika na wanasafirisha mpaka magari yao kwa ndege kwa ajili ya kutanulia. Wana majumba makubwa wamenunua huko. Hapo wanaweza kumfikiria kuwa ni mke wa Sheikh kutoka Qatar ana pesa ya mafuta bure.

      Au nyie mnaongelea waarabu gani? Wale wamangakoko wenu wa Kariakoo na Unguja?
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 02:39 |
    Niceeee..Mange mpenzi angalia wamarekani wasije wakam segregate mtoto kisa baibui...wanatabia ya kudharau na kuchukia muslims...utagungundua soon as you live here..watoto wengi wa kiislam wanakua bullied kisa religion..protect our kenzo please
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      26 July 2012 at 06:20 |
      SAD BUT TRUE.
      • Anonymous

        Anonymous

        26 July 2012 at 06:31 |
        I agree..
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 07:27 |
      SAD BUT TRUE FOR REAL DW. KAMA UNAMPENDA MWANAO ACHA KUVAA NGUO HIZO HATA WALIMU WATAKUWA WANAKUMAIND KISIRISIRI TAFADHALI KAMA MDAU ALIVYOSEMA PROTECT YOUR BABY
      • 9ja girl

        9ja girl

        26 July 2012 at 08:24 |
        Agree na wadau
      • Bokora

        Bokora

        26 July 2012 at 20:54 |
        wee akili yako mbaya mtu kuvaa anachotaka walimu watamuchuki mtoto, Marekani free of every thing hata ukivaa kichupi ukatembea barabarani ni wewe.kuna waarabu wangapi tunawaona wamefunika hadi uso lakini wankuwa treated the same like you uliye jivalisha uchi, acheni ushamba na kuizalilisha Uislam.
      • baby ya Mange

        baby ya Mange

        27 July 2012 at 02:41 |
        off topic heheh about two days ago nimeona kwenye taarifa ya habari Egypt wameruhusiwa kutangaza taarifa ya habari huku wamevaa ninja smthing like that siko sure wenye kufuatilia news watakuwa wanajua zaidi,,,,ndugu zetu waislam mnamambo
  • Muke ya muchina

    Muke ya muchina

    26 July 2012 at 05:03 |
    goodluck Kenzoeducation kiswahili ndio mpango mzima Mama Kenzo akiongeza na Spanish mwanawane itakuwa poaaaaa Go kenzoo gograduation
  • tonga

    tonga

    26 July 2012 at 08:20 |
    gud Kenzo, soma uje kuwa Electrical Engineer kama mimi.....
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 08:43 |
    I'm always happy to see fathers being part of their children lives.
  • kirikuu

    kirikuu

    26 July 2012 at 09:21 |
    naomba kukumbusha kuwa hilo abaya linavaliwa na mtandio kama unafuata dini yako fuata maamrisho na makatazo yake sio nusu nusu,kila mmoja ni mchunga kwa mwenziwe,ni ukumbusho kwako.
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    26 July 2012 at 09:24 |
    educationgoodluck baby kenzo
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 09:26 |
    Mange hapo ni Miami au Houston maana naona Kenzo kaanza shule na kama vile hamjaenda Miami au umeahirisha kuhama tujidai sisi wa houston tukikutana na wewe tupate picha na kuonekana U-turn sisi. Maana tutakutana tu mitaani kama unapenda kujichanganya maana sisi kwa shughuli hazituiishi, mara msiba,mara maulidi,mara harusi ilimradi vurugu la H-TOWN. Karibu bi shosti.
  • mashauzi.com

    mashauzi.com

    26 July 2012 at 09:41 |
    graduationgoodluck tototo Kenzo...

    St. Kayumbaz huku bongo..watoto wetu wanachezea..slappingeducation

    its a matter of time..Kenzoki atakuwa anaspeak vema kiinglish..watoto wako wepesi kukamata lugha.
  • babyface

    babyface

    26 July 2012 at 10:49 |
    education go baby Kenzo
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    26 July 2012 at 15:18 |
    so so happy 4 kenzoblowkiss
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    26 July 2012 at 15:19 |
    baibui looks cute on u Mange...softdrink
  • Super model

    Super model

    26 July 2012 at 15:45 |
    Wooow... Kenzo looks excited! Umependeza na baibui mange ungetupia na mtandio could be perfect... Allah amuongoze kenzo in his school life... And as Muddy said usiache kumsemesha kiswahili it will help him alot! Mfungo mwema kpnz
  • folowa

    folowa

    26 July 2012 at 16:06 |
    mange umenichekesha eti kenzo hajui kienglish atajua tuu chezea marekani , nakumbuka ulisema one of your this year resolution is kenzo to speak swahili, please usikubali asahau kuiswahili ajue vyote ni asset kweke in future , imagine ajue kiwsahili , engli, french , spanish , u see cv yake italipaje? achana na washamba ambao wanaona watoto wao kuongea kiswahili ni ushamba , nakuamiania mange , na resolution yako nyingine ya kuwa too skin umeiachivuje , watajibebea!
  • Megan

    Megan

    26 July 2012 at 22:04 |
    Hhahahahaha niko hapa na my nephew, after showing him pic ya Kenzo at school.Hiyo pic ambayo Kenzo yuko na dady yake,my nephew said this."Aunt look,thats his teacher.Nkamuambia no,thats his daddy..he kept saying wow! his teacher is dressing nice."..watoto wana vituko sana,nimecheka mpaka basi.
  • Toronto

    Toronto

    27 July 2012 at 02:00 |
    igaufe semeni yote ila habari ndio hiyo yupo USA.
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 02:00 |
    Ata-cope veeery soon. mwanangu came when he was 6. N now he has that american accent ambayo sometimes nabakiagawtf did u just say???? N Kenzo is waay young and these little ones cope really fast u will b amaized. Good luck and by the way, u have a very cute looking son .
    Nb: Tuwekee ki-icon cha Kenzoki hapo
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 09:49 |
    FUNIKA NYWELE HIZO MWEZI MTUKUFU UMEKAA KAMA MWANGA SHETANI WAHED MMOJA PUMBAFF! AFUU RAMADHANNNN NA PUA UMEZIBANA SI BORA UTEMBE UCHI KAMA KAWAIDA YAKO
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      27 July 2012 at 16:28 |
      OK SASA KAMA UNAONA MANGE NI SHETANI KWA KUTOKUFUNIKA KICHWA WEWE NI MALAIKA KWA KUTUKANA HIVI? AU KIISLAM DHAMBI NI KUTOKUJIFUNIKA TU, UKIJIFUNIKA NA UTUKANE UTAKAVYO HAPO POA? MTU KAMA WEWE NDO UNADHALILISHA DINI YAKO. MI MKRISTO NAJUA HATUTAKIWI KUTUKANA WATU NAMNA HII IWE JANUARY AU DECEMBER.. MH KAZI KWELI KWELI.
    • Anonymous

      Anonymous

      27 July 2012 at 17:01 |
      NAWEWE FUNIKA MAV..ZI HAYO UNATULETEA HARUFU MBAYA HAPA..CHUPI IMEKAA UPANDE SHAVU MOJA LIKO NJEE LINAKULA VUMBI..UMEGOMBANA NA MAJI? TUTOLEE KIHARUFU CHAKO HAPA MCHAFU MKUBWA WEWE MXIIIMFYUUUU!!!!chase
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    27 July 2012 at 16:24 |
    rolling on the floor NINJA STYLE TENA HIYO KALI.
  • FENESI P. PATEL

    FENESI P. PATEL

    29 July 2012 at 12:10 |
    WIVU + CHOYO = HASIRA NA MATUSI....NA MTATUKANA SANA MWAKA HUU....KAMA VEVE NDO MUNGU HUKUMU YEYE.
  • Marshall

    Marshall

    05 October 2012 at 09:13 |
    I know this if off topic but I'm looking into starting my own blog and was wondering what all is needed to get set up? I'm assuming having a blog like
    yours would cost a pretty penny? I'm not very internet savvy so I'm not 100% sure. Any tips or advice would be greatly appreciated. Many thanks