25July

AAAAWWWW.......WITH MY GIRL......

Yani its only been a week since i left bongo ila it felt like a yr without seeing Mwam....lol

so nilifurahije kumwona jana??? yani we had sooooo much to talk about kama hatujaonana mwaka mzima.....

 

 

Sisters for Life.....

Comments (85)

  • c's mum!

    c's mum!

    25 July 2012 at 18:08 |
    awwwwwww u guys mnapendana! nawaonea raha, mwammy is on point as usual, so classy lol! wallah mange u have true friends! bora kuwa na 2 friends lakini wa ukweeeeee, kuliko 10 wanafiki!blowkiss
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      25 July 2012 at 18:54 |
      UMEONA EE? NIKAMA MTU NA DADAKE KABISA. JUST NICE..
      MWAMVITA MWANAMKE MACHO, GIRL U HAVE SEXY EYES,
      • forgot her name

        forgot her name

        26 July 2012 at 01:08 |
        wazungu tumeingiliwa tupeni pole kuoa uswazi tunakomaje wageni hodi hodi tangu siku ya kwanza familia haibondiwtf
        • makerubi

          makerubi

          26 July 2012 at 10:27 |
        • If Not Why Not.

          If Not Why Not.

          26 July 2012 at 10:40 |
          Roho mbaya haijengi. Kwa taarifa yako "NYUMBA YENYE BARAKA HAIKOSI WAGENI" ndo nyie mkiona wageni mnazima jiko. au kama ni maji ya ugali yatachemkaaaa weeeee mpaka yanakaukia.
          • DESPERATE HOUSE WIFE

            DESPERATE HOUSE WIFE

            26 July 2012 at 17:15 |
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      25 July 2012 at 18:55 |
      AFU KAMA MMEFANANA VILEcheers
      • mie

        mie

        25 July 2012 at 19:14 |
        ndio wamefanana nywele!
    • Angel Afro-Mdhungu

      Angel Afro-Mdhungu

      26 July 2012 at 03:11 |
      I just luv Mwamy sooo damn much yaani she looks so sweet and always classy na kama kuna marafiki wanao kupenda na kuku jali Mwamy is Number 1. Yaani iko kwa raha na shida even siwajuwi in real life...she seems to be so kind and always supporting you when everybody wanakutenga.
      May God bless your friendship...
      Mange now u look like a true wifey...so classy wala hufanani na wale wanao penda kuji compare. keep that style, unaonekana msta'arab wa kweli.
      Bakiya na hiyo style ya sexy, elegant and of course classy. Ujilinde na ma ungovi na wa nonsense peaple(they hate how much they love you)Watakutiya stress za bure, na kutaka ushuke level kama yao. Kenzo has my afro big honey blond hair...Me love some Ken♥
    • muddy washington

      muddy washington

      27 July 2012 at 09:15 |
      Binti makamba popote ulipo salamu hizi zikufikie,i'll alwayz luv u mamaa,sijali kuonyesha hisia zangu hadharani hata shairi ntatunga just kukufanya utabasamu tu
  • c's mum!

    c's mum!

    25 July 2012 at 18:11 |
    wenzenu wanakwenda US na kurudi kama kariakoo, wazandiki na kundi lenu, toka muende ni miaka 10 sasa lol!wakuache wallah mange nyie nihakunaga i adore ur life style but i will never dare copying! chezeiya kugeuzwa, lol!
    • baby ya Mange

      baby ya Mange

      25 July 2012 at 22:20 |
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      25 July 2012 at 22:43 |
      laughinglaughinglaughing c's mum unajua umepinda ! hahahahahahakiss na unaweza kugeuzwa na kuishia kupata chips Mayai tu
    • ngosha

      ngosha

      26 July 2012 at 08:04 |
      c's mum hyo inaitw iga ufe,,,,,,, sie wengine tubakie watazamaji tuu,,,, kwenda mamtoni mwamy kama anaenda ngarenaro,,,,,, hahahaaaa...... wapi u turn addict na marichui???????
  • Toronto

    Toronto

    25 July 2012 at 18:14 |
    kanuna true friends for life.
  • Anonymous

    Anonymous

    25 July 2012 at 18:42 |
    Ulaya ni ulaya mama Mzungu ushawiva tayari hapana chezea wewe toto la kipare na nyangumene mimi penda wewe.
    • Jino kwa jino

      Jino kwa jino

      26 July 2012 at 00:34 |
      Hivi us kumbe ni ulaya??? Mbona ramani ya dunia inafundishwa darasa la Sita jamani!! Kah! Watu wengine mko slow!!
      • KIRUU

        KIRUU

        26 July 2012 at 10:29 |
        freedom kibongo bongo ulaya ndo kila sehemu hawajui kutofautisha wala nn?!utashangaa bure n kuumiza kichwa wazoee...wamamtoni hao
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    25 July 2012 at 18:52 |
    U TWO ARE JUST BEAUTIFUL, THAT HAIR IS ON POINT!!cheers
  • tifa

    tifa

    25 July 2012 at 19:37 |
    nice pics jaman mmependeza sana wenye wivu wajinyonge najua kuna walionuna.
    hahahahhahah! iga ufe.
  • Kenzo's grandmaa

    Kenzo's grandmaa

    25 July 2012 at 19:42 |
    kama unaroho ya kwann hapo lzm ufe, nawapenda sanablowkiss , huo ndio unaitwa uBFF sio hao wengine wasiojua hata maana ya urafikicheers
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      25 July 2012 at 22:26 |
      yule mwaflani kila mtu ni bff wake hahahahahahahahahahaahah
  • mwenzenu mie

    mwenzenu mie

    25 July 2012 at 20:03 |
    mh jamani naomba unipe moyo unambie kaja kikazi,ila kama ndo kuona tu shoga yu wapi na amesetle vipi basi mie hoi,kha wengine majuu kwa mbinde kila ubalozi hataki kukuona mtu unaomba visa mpaka ya Afganistan ili mradi uondoke bongo na unanyimwa,wenzetu wanapanda tu ndege utafikiri wanapanda dala dala ama kweli vidole havilingani.....ni hayo tu wapenzi Ramadhani njema mmependeza sana ba ndugu.
    • baby ya Mange

      baby ya Mange

      25 July 2012 at 22:19 |
      laughinghahaha eti mpk visa ya afgastan
    • Angel Afro-Mdhungu

      Angel Afro-Mdhungu

      26 July 2012 at 03:15 |
      lmao "mtu unaomba visa mpaka ya Afganistan ili mradi uondoke bongo "laughing
    • Tajibeba

      Tajibeba

      26 July 2012 at 11:17 |
      Hahahah kweli kabisa wengine wanagundu na Visa kila wanapoapply wanakosa nahisi wanahitaji ibada maalum... on the other side wengine safari za nje ya nchi ni kana kwenda mtaa wapili na kurudi
  • marikenge

    marikenge

    25 July 2012 at 20:14 |
    aaaaaaaww
    what a friend jamani
    MWAMVITA YOU ARE SUCH A LADY
    hakunaga
    KAMA WEWE NA MAMA BOKHENZO
  • Jazline

    Jazline

    25 July 2012 at 20:38 |
    Beauty of African Queens ! Mumependetha Mange .
  • Muke ya mnaija.

    Muke ya mnaija.

    25 July 2012 at 20:56 |
    Wapi wale waliokuwa wanasema eti marafiki wote wa mange wamemtema, please say that again!!!!!wakuache
    • primrose

      primrose

      25 July 2012 at 21:39 |
      MUKE YA MNAIJA
      Yaani wamuache miaka 100 CEO wa U-turn lol, watakaomtema ni hao hao vilaza sio educated wenzielaughing wanaokuwa influenced na umbea na wambea wa mujini,
      Hao waliokuwa wanasema hivyo walikuwa wanatamani iwe hivyo sio kwamba ni kweli,Mwammy she is a smart lady she knows what she is doing so urafiki wake na CEO kama kuvunjwa utavunjwa na them two but not outside influences,
      All I'm gonna say is watch this space Mangesto gal she is going into places where others have never dare before (I PREDICT)Or wish!!
      Sitoshangaa Mange akimake friends in higher places uko Miami this gal can dare and has abilities to so, she is social-able
      hakunaga
      • anonymous

        anonymous

        26 July 2012 at 05:59 |
        high places ndo nini, jifunze kiingereza. Plus Mange ana accent wamarekani wanadharau sana accent. Hapa sio Thailand au Dubai ambako English koko ya Arusha International school inaonekana mali.
        • primrose

          primrose

          26 July 2012 at 06:40 |
          I can speak perfect english acha ushamba wewe below is a definition of high places from the free dictionary on-line just Google it, its an EGLISH IDIOM
          friends in high places means:
          important people whom you can ask for support and help in getting what you want.

          So next time you want to criticise my English go Google words first before you even dare try,I live in an area where it's very rarely unamuona mtu kama wewe,so the only time I get to speak my language is either on the phones to friends and family au blogin
          Watu wanaojua lugha wameelewa people like you make my blood boiling,kuna Google ipo for your advantage kama uelewi kitu Google kwanza before ujamcritisise mtu mfyyyyyuuuuu utaumbuka siku ingine
          Kuhusu ku-make in USA all you need is a confidence and support network around you which MK has through her husband kama wewe bwana ako muendesha truck or ana-serve burger Kings then utaula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua, accent ya mtu na maendeleo yake ni vitu viwili tofauti ndio maana watanzania hatuendelei kwa kubelieve kama accent etc ndio vinatuangusha, yes i'm not saying its easier but YOU NEED TO DARE IN ORDER TO be successful NCHI ZA WATU OTHERWISE TUTAENDELEA KUBEBA BOX MPK UZEENI LOL,We niwe hater
          Habari ndio hiyo
          • Anonymous

            Anonymous

            26 July 2012 at 11:04 |
          • DESPERATE HOUSE WIFE

            DESPERATE HOUSE WIFE

            26 July 2012 at 17:20 |
            "YOU NEED TO DARE IN ORDER TO be successful NCHI ZA WATU OTHERWISE TUTAENDELEA KUBEBA BOX MPK UZEENI"

            cheers TO YOU. NOTHING TO ADD.
        • MARINYAU

          MARINYAU

          26 July 2012 at 08:58 |
          we hater tena una chuki binafsi...accent ndo imbague na marafiki!! Acha ushambadontbebitchy
  • Anonymous

    Anonymous

    25 July 2012 at 21:52 |
    Mange Dear hizo nywele umetumia method gani??? mmesukia kama freestyle braids au weaveing ya kushonea tu?

    I need to know...

    Im asking because nimeona gap ni kubwa n from the photos i cant really tell nimezoom mpaka basi. lol
  • Anonymous

    Anonymous

    25 July 2012 at 21:53 |
    Yule shoga yako mwingine yu kwa?
  • maudodo

    maudodo

    25 July 2012 at 22:03 |
    blowkiss I salute you mwamvita, hunaga makuu dada wa watu, mange umefurahije kama nakuona
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    25 July 2012 at 22:26 |
    baby 1st pic u got fake smilethumbs downshakebutt

    ur so sweet Mange wangu hata usipo paka make up....i like ur earings baby....
    ur sister Mwammy is cuute!
    • Miss independent

      Miss independent

      26 July 2012 at 08:43 |
      Umeona baby ya m. , actually pics zote smile hiyo haijatulia naona bado kichwa hakijatulia mange pole. . vyovyote vile everything wil b fine uko kwako sasa. . all the best.goodluck
  • Uturn Addict

    Uturn Addict

    25 July 2012 at 22:31 |
    kanuna mtalaka wa marc anthony@@@@@

    hahahahahaha that's what i call friendship wallahy daaa.

    HayHay keep showing us how to liv na sie tuangalie tu.

    Inaitwa iga ufe
    • ngosha

      ngosha

      26 July 2012 at 08:12 |
      weraaaa.......!!! huendi field wewe??? mbona ckuoni bwana..????blowkiss
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    25 July 2012 at 22:40 |
    wow ! mmependeza kweli rafiki wa kweli mnafanana Automatic !sonya
    • ngosha

      ngosha

      26 July 2012 at 08:14 |
      kama mie na wewe tufananavyo shostie,,,,birthdaydance
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        26 July 2012 at 16:56 |
        hahahahahahahaha kama kweli vileee tutume picha kwa mange hahahahaha
  • Mijjalicious

    Mijjalicious

    25 July 2012 at 23:22 |
    Nimewakubali miaka 100,licking
  • Anonymous

    Anonymous

    25 July 2012 at 23:26 |
    Watoto wa kiislam ushungi uko wapi na ramadhani hii?
    • SITAHARISHA

      SITAHARISHA

      26 July 2012 at 00:28 |
      Ushungi kwa Obama? na Arabuni watavaa nini, hebu huko!
      Yamenishuka na umbea wangu ati Mwamvita kamdelete Mange kisa Mange anamsema vibaya. Nakuacha miaka 10000 sikuwezi, mmependeza aisee
    • Anonymous

      Anonymous

      26 July 2012 at 01:30 |
      kumbe ushungi ni kwa ajili ya ramadhani tu?
    • Anonny Mom

      Anonny Mom

      26 July 2012 at 10:38 |
      Ushungi au bila ushungi.. uadilifu kwa Mungu ni ndani ya roho. Mange just be yourself.. fanya ile kitu roho inataka kwa wakati huo.
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 00:48 |
    pendezaaablowkiss
  • koku

    koku

    26 July 2012 at 01:42 |
    kwani comment yangu ina mafunzo yoyote mange? mbona umeibania?. but msg imekufikia mlengwa japo ingekuwa vema na wengine wapate kujifunza chochote mweeee!!freedom ..
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 01:50 |
    Dini kweli inahitaji moyo.
  • Jazline

    Jazline

    26 July 2012 at 01:55 |
    Mama sitas ! uuuh lalaaa .
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 02:26 |
    Ushauri wa bure,Mwammy,ledi Peti na Theo ndio marafiki zako wa kweli.Achana na wale sitopenda kuwataja majina nisije kuwakwaza bure.Waliosema usiwaweke kwenye blog yako na walikuwa wanakusema vibaya, nadhani umenielewa hapo.Jifunze kutokana na yote yaliyotokea.
    • MTANI

      MTANI

      28 July 2012 at 15:47 |
  • siyawezi

    siyawezi

    26 July 2012 at 06:51 |
    dontbebitchy una kazi darling,kama roho inakuuma kula kiwembe basi maana sio kawaida
  • U-Turn-Freak

    U-Turn-Freak

    26 July 2012 at 06:56 |
    ASALAM ALEKHUM...

    najua ni mwezi mtukufu lakini nina swali
    where can i find a place wanauza flags printed bikini? Mi nataka Tanzania flag printed bikini, nimecheck websites hadi nimechoka naona tu USA, Jamaican, British lakini sijaona mwenye tengeneza zenye flag za S.Africa au TZ.

    PLease nisearchieni, i need this special bikini by Xmas.

    Wenu, U-Turn-Freak
    • camila

      camila

      26 July 2012 at 09:29 |
      hapana chezeya kabisaaaaaaaaaa, mnapendeza sana aiseee... nawapenda sana...
    • Anonny Mom

      Anonny Mom

      26 July 2012 at 16:19 |
      Tengeneza yako dear upate haki miliki na pia utengeneza pesa. kama hazipo ina maana unawapa watu idea tu watengeneze wakuuzie by december..
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    26 July 2012 at 09:20 |
    ukojuuceo na mwammy binafsi nawapenda snaaaa iyo inaitwaigaufe
  • camila

    camila

    26 July 2012 at 09:33 |
    hapana chezea, sisters for life...
  • camila

    camila

    26 July 2012 at 09:51 |
    hapana chezeyaaaaaa....... uko juuu kama mawingu ya blue....
  • mfukunyuku

    mfukunyuku

    26 July 2012 at 10:25 |
    sonya hahahaaaaa wale wenye viroho korosho kwishney, jaman jaman watanzania tuandamane ppf,nssf na mifuko yote wamesema hawatupi mafao mpaka tufike miaka 55 maisha haya nani atafika jaman uwiiiiiiiiiii nitalia kichina mie sasa naacha kazi mwezi wa 8 leo hii naambiwa siruhusiwi kuchukua jasho langu wapi na wapi hiyo????????? hivi hii nchi inaelekea wapi kila kukicha mambo yanajitokeza
  • Prettyngine

    Prettyngine

    26 July 2012 at 10:31 |
    Wakuache miaka 800.... yeuwiiiii... ninapendaje haya.... namba moja ndio wewe... na mbili ndio wewe... namba tano ndio wewe... wakuacheeeeeeeee africast la kaskazini na kusini wa TZ. limetokaje zuriii? limepataje bahati..? mwanamke lilia bahati si uzuri tu!! unamuanaje mama Anna Mkapa... wawaache miaka mia... with luv.. point 5.
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 11:04 |
    :cushakunaga
    s:
  • Mangelicious

    Mangelicious

    26 July 2012 at 11:13 |
    Best BFF you look so cuteigaufe
  • asya

    asya

    26 July 2012 at 15:01 |
    SOOOOOO LOVELYYYYY!!!!FRNDSHP 4EVER!!
  • Kijaruba

    Kijaruba

    26 July 2012 at 16:20 |
    Watu limewashukaje sasa? Yaani kuna watu wanaumia sana na huu usister wa Mange na Mwammy! Lol pole zao. Hebu endeleeni kupiga mapicha wadada, tena safari mutuwekee tena na caviar na vijiko vya gold kama bata zenu za Dubai. Mwaga mapicha yako na Mwammy humu mwaego!!
  • Janet Mcharo

    Janet Mcharo

    26 July 2012 at 16:44 |
    wapi kisa jamani
  • Anonymous

    Anonymous

    26 July 2012 at 17:34 |
    WAPARE WANA URAFIKI WA KWELI. MTU AKIKOROFISHANA NA MPARE BASI AJUE YEYE NDO MWENYE MATATIZO MAKUBWA SANA..MTU KA UYO NI WAKUMchase
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 01:43 |
    hivi...uzuri wa istangram pictures ni upi mbona hazitoki poa?
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 11:14 |
    Mange where did u get basketball wives earrings.. Nazitafuta kishenzi! Love them!
  • anonymous

    anonymous

    27 July 2012 at 11:50 |
    nice pics yr lovely friends
  • anonymous

    anonymous

    27 July 2012 at 11:51 |
  • Anonymous

    Anonymous

    27 July 2012 at 12:17 |
    shakebutt watajibeba
  • katyuska cardona

    katyuska cardona

    27 July 2012 at 12:46 |
    mange u and mwam are like mwaah, super friends. i respect.
  • space

    space

    27 July 2012 at 15:09 |
    frnds fo life..pendeza sana nyie
  • Dee

    Dee

    28 July 2012 at 09:41 |
    Hey , I super LOVE Mwammy, She works her A** out to live a comfy life , Big Up Gal , i admire u alot.
    Barikiwa.
  • MTANI

    MTANI

    28 July 2012 at 15:49 |
    Huyu dada urafiki wenu nadhani ni wa kweli Mungu awalinde mdogo wangu yaani si unajua wewe nikubwa hakikisha unapita kitanza hiyo na mshikamane kama ndugu wanaopendana
  • Anonymous

    Anonymous

    29 July 2012 at 00:37 |
    Michael Jackson look!