Inshallah Mwenyezi Mungu azidi kukuzidishia Mange!Ramadhan Kareem nawe pia Mange Pamoja na U Turners wotee..Salaat na Sadakat muhimu kwenye mfungo huu.Ya Allah pokea dua zetu na funga zetu wote wana uturners.Amina
kabisa mange hakuna zaidi ya kumshukuru mwenyezi mungu kwani yeye ndie muweza wa kila kitu mshukuru mungu kwa kila jaala. mungu akuzidishie akuondoshee husda na hasad.
Mange kuna mtu anakuwekea picha na post u turn au ni wewe sababu kwanza nakupa pongezi una nguvu kama ni wewe mwenyewe ndio unafanya hii kazi, unalala late sana na early in the morning uko mitaani unawezaje maana saa hizi ni saa nane za usiku Usa na unatuma posti. Mmmh mwaya ndio mambo ya kuwa CEO....!!!!!ndio maana una maendeleo hongera .
kwa mambo uliyofanya na ukichanganya na kufunga Inshaaallah Allah atakupa daraja! Mwenyezimungu akutangulie katika funga yako. najua watakao sema anafunga nini yuko na mwanaume mkristo. Mungu ndiye anayejua ndani ya nafsi zetu.
LALA MBELE KULE..HAJUI WHAT U MEAN..KINAKUUMA KUBATIZA MTOTO HALAFU SIO MTOTO WAKO SASA..TUTOKEE NA UNAFIKI WAKO HUMU..SPEAK FOR URSELF YA WENGINE WAACHIE WENYEWE..ANZA KWANZA NA KUTOA MISAADA KWA YATIMA SIO UNABUGIA TU VYAKULA KIVYAKO NA FAMILIA YAKO..
mfungo mwema mange! utuswalie na sisi wadhambi..ila hata ukitoka we piga picha zihifadhi, mfungo ukiisha tuwekee tuu hatutashtukia kama ulienda kula wakati wa mfungo. lol...
RAMADHAN MUBARAK!! UNAFUNGA LAKIN AU NATEGEA???.......ISIJE IKAWA IKIWA PEKE YAKO NAPIGA MICOOKIES KIMYA KIMYA LOLS...MANGE HIYO DADA ZENAT NDO TAKUWA NALEA KENZO?????????
HIYO NDIO KUFUNGA KICHINA INAITWAGA BUT MUISLAM HUYU NAMUAMINIA ANATOKA KATIKA UKOO WA KISHARIFF PALE KAHE KWAO WOTE WAFUNGAJI WAZURI TU HASA DADA AMINA KIMAMBI,KUNA MWAKA NIMEWAHI KUWA NAE KARIBU ALMOST RAMADHAN NZIMA,HAFUNGI KICHINA ANAFUNGA KIKWELI KWELI,NA KILA KITU ANASIMAMISHA,YULE MUNGINE MREMBO ALIKUA NA DUKA PALE MWENGE NIMEMSAHAU KIDOGO JINA LAKE BUT NAE KIMAMBI PIA NI MFUNGAJI MZURI OR DADA ALMA KIMAMBI KIDOGO MTATA LAKINI AKIAMUA KUFUNGA NAE ANAFUNGA KIKWELI.
INSHALLAH RAMADHAN KAREEM KWA BLOGGER NA KWENU WOTE
nop....Mungu anayeabudiwa na waislam ni tofautikabisa na Mungu wetu Yehova,Mungu baba,Muumba mbingu na dunia,Alpha na Omega uliza ustaadhi yeyote atakwambia au maulamaa waliosoma quran mpaka ngazi ya juu kabisa......na ndio maana wanaojua wanashangaa Mange kumbatiza mtoto.....Kenzo yuko kwenye fungu bora zaidi.
Mange post za kinaa kama hii hapa nilikushauri usizipost. Unaposikia Blogger anachuja ni kwa sababu kama hizi. Wee unaruhusu tuanze kulumbana kidini kupitia familia yako ya kiislam na kikristo.
Shetani atokomee hana nafasi U-turn. Mungu ni yule yule hakuna miungu wengi.!!!!!!
Ila nyie kwa kuhukumu wenzenu hamjambo, mie nashauri kazana kuswali kwa nafsi yako kwani kuingia peponi utaingia peke yako. Kwa nini u-rule out kuwa wenzio wanamkosea muumba ili hali unayasahau yote uliyofanya wewe kwenye uso huu wa dunia? What makes u think kwamba wewe humuongopei muumba kwa matendo yako? Au ndio yale ya kuchagua nini dhambi na nini si dhambi?
wewe ni nani kumuhukumu mwenzio? ungekuwa perfect usingeingia humu kabisaa..kilichokuleta humu ndani ni nini? wabongo tunapenda sana kuzidisha mambo lol..waarabu na waislam pure uko irak na israeli wanapitishiana vipigo saizi kwa raha zao bila kujali mwezi mtukufu wewe unatuletea pointless judgements zako..kapike ftari uko usije ukaachika baada ya ramadhan..haya changanya magulu..
Hamna Desperate,mwezi mtukufu huu mwanangu mwenyewe "Sijatia" wala nini,ni mzuka tu wa ku type nikajikuta nimeweka dole kwenye cap lock ndio yakaja hayo maherufi makubwa,but i meant alikua na uhakika na anayonena kwamba eti hakujua mama kenzo ni muislam!!!
He kweli Mungu Mkubwa na Watu kweli Wanatubu Ramadhani hii Ahsante sitaharishaaaa kwa kuondoa Blog yako iliyokuwa inamsakama CEO Wetu.....Kwa hilo chukua tano ...Karibu U-turn ...c's Mum. & uturners mmeona ?... no more ze nanihiii kule
c's mum, u turn addicdt, marichui name nimeweza kuweka kapicha kukomesha wezi wa majina ya watu...picha yangu ndo hiyo mahalatitooo mkiona MAUDODO hana picha mjue huyo fake hahahaa...tukutane kilimani sesamiii...c'mum na u turn addict inabidi tumpeleke marichui kule kwa joka mana cmuoni...
U turn addict huwa napitaga mara moja moja ila mimi sioni mvuto kule kabisaaaaa, kunaniboa fulani dizaini ....utoto mwingiii...watu tunamiaka 54 bado mmoja tudai NSSF Zetu !
HIVI NYIE wambea inawahusu nini mange kumbatiza mwanaye!? hayo ni makubaliano ya wao wawili,yeye na mumewe for the sake of mtoto wao. hebu acheni ushankupe wa yasiyowahusu. tazameni picha,wekeni comment za kusifia au kukosoa,hayo mengine sio njia ya nyie kwenda mbinguni. IDIOTS!!
Umeona eeeeeh Koku! wanasahau matendo yako ndio yatakayohesabiwa siku ikifika, wanasahau pia Mungu wetu ni huyohuyo hizi dini ni majina tu tofautitofauti ila wote tunamwomba Mungu mmoja.
Nawatakia Ramadhan Kareem wana U-turn wote wenye mapenzi mema. AMEN.
NA NYIE MNAOENDA KWENYE BLOG YA mtaliki WA MAC ANTHONY KUMTUKANISHA MANGE SIO COOL AT ALL HEBU JARIBUNI KUMUEPUSHA DADA WA WATU NA HIZO SHARI NA MATUSI. NAJUA MNAMPENDA SANA MANGE,ILA MNAPOTIA VIJIMANENO HATERS NAO wanapata nafasi humo humo. kuweni wastaarabu eeh!!!
omg nimepita leo huko jamani Cmum na wenzako u need to chill out bana halafu kunacomment nimeona mtu anatumia jina langu halafu cmum kafikiri nimimi eti sijui nini baby ya mwenyewe,,thats not me,halafu haipendezi tena kama mnakuwa mnacomment kwa j lo everytime na id zetu za uturn yani its like all commenters wa hapa mmehamia kule....haipendezi
got u luv, mi nimeacha jana! tena nimekoma kabisaaaaaaa, sitaki kuwaudhi ndugu zangu! ila kuna mtu anaitwa chantell, huyo ni kiboko, we mdada hebu tuliza munkari, lol! nilikuwa nimemiss ugomvi tu, sifanyi tena wallah, labda watuchokoze, lol! peace basi jamani
WELL SAID BABY YA MANGE!! NILITAKA KUSEMA THE SAME THING, IRONICALLY JANA NIMEJIKUTA NIMEENDA KULE,(KWA YULE MTUMZIMA ALIYE MBIKIRI MTOTO WA KIUME HAHAHAHHHA) NAONA SIKUHIZI AMEWEKA NA LIVE CHART HALAFU I GUESS HACHUJI COMMENTS, (SO DESPERATE KUPANDA CHART) NYIE UTURN ADDICTS NA BIG NAMES MSIENDE KABISA.. ACHANENI NAO. MJUE MNAOPOENDA ATAKAMA NI KUMTUKANA LAKINI MNAPO COMMENT KULE NA MAJINA YENU MNAMPANDISHIA TU CHART AND NOTHING ELSE, AND SHE LOOOVES THAT GIRLS.. MI DESPERATE HOUSE WIFE SINTACOMMENT KWA MTU MWINGINGE, IM JUST FOR U TURN UNLESS OTHERWISE NI NECCESSARY, NAPITAGA PITAGA SOMEDAYS, THATS IT. C'S MUM, UTURN ADDICTS, MAUDODO NA WENGINEO MNAMAJINA MAKUBWA HUKU UTURN, EVEYONE KNOWS U, LETS JUST STAY HERE, KULE KWINGINE ATA CLASS HAKUNA, JUST BORING.. KAMA NI KUWACHAMBA ATA HUKU UNAWEZA KUWEKA KA COMMENT INCLUDING NA KULEE AMBAPO NAONA WAMESHAISHIWA, MI SIRUDI TEEENA!!
Kweli Koku, waambie, maana kwanza mwenyewe anafurahia mnavyomjazia traffic, mkimtukana yeye anaingiza pesa zake kilaini.
Jamani Ramadhani hii msifanye mzaha na Mungu, kama yeye hafungi au haimuhusu msiende kufungua saumu zenu au kujishindisha na njaa bure. Maana kufunga sio kuacha kula tu, ni pamoja na kuacha kila limchukizalo Mungu na wanadamu wenzio pia. Juu ya nini kugombana na Ramadhani hii.
Ramadhani Kareem wote waliojaliwa kufunga na ambao bado wanajishauri, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wafunge. Sie wenzenu leo ni Ramadhani ya 5, tunaanza kufunga saa 9 usiku kufungua saa 3 usiku, Mungu Mkubwa na Mwenye Rehma yaani ninajisikia powa kabisa. Tutakutana siku ya Eid wapendwa!!
Dadangu na wewe mbona waanza nitia shaka,na wewe unafunga kichina nini?ni wapi huko uliko katika dunia hii ambako mnafuturu/mnafungulia saa tatu usiku?!!! yote kwa yote swaum njema mama
gosh! amekuambia ataenda MIAMI ndo atakuwa anaishi hapo ni kwa wakwe zake "HTown" sasa ataonyeshaje nyumba yake na yy yupo Houston au unadhani Houston na MIAMI ni mji moja?
Hi Mrs Lowry, are u open for a new friend...I live in Toronto, i have iphone4s too. i live in one bedroom apartment which i have a balcony where I can see CNtower, it is about two hours to get to CNtower which is downtwn TO...so when you come to TO don't hesisated to I msg me....Have great Ramadan...keep my email kapuni and my phone pls....your new friend
hilo pozi lako hapo kwenye picha me hoooiii, unatunyaliiii...hahahahahaaaaaa. picha kama copyright hapa akitokea beautiful onyinye fake lazima tumkimbizeee, swaumu maqbul shostisto...
Hongera Mange nimekufurahia kwa kuungana na familia yako.Wakwe wanaonekana ni watu wenye hekima mno. Mungu angekuwa hasamehi watu wangekabwa kwa maneno .Waliotaka ndoa hii ivunjike wapate funzo kwamba ndoa iliyounganishwa na Mungu mwanadamu hawezi kuitenganisha .Tena naona mna maelewano mazuri mno kwani ilipo nguvu ya mapenzi hakuna cha udini wala rangi. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
hebu muachen mdada wa watu ina mana yy kumbatza mtoto imekuwa kosa hamuwez jua makubaliano yao.........mbona nyie hamsem ya kwenu mnabak midomo mirefu km chupa..........ndio mana hamna mafankio kaz kusema ya watu....hlf mnajfanya wazungu kumbe waswahl mpaka mnabore............
Ramadhan kareem. Nataka kuwakumbusha wana uturn usichukue jukumu la mungu la kuhukumu kila mja atalipwa kwa amali zake so muache mtu na maisha yake kwani mungu ndio anayejua zaidi. Na la pili mm nampenda sasa dada Mange kwa hiyo naomba msimtaje kwenye blog za watu na kumshirikisha kwenye bifu za kijinga. Kwani kila mtu anajua hakuna kama Mange.
dear friend ukiona tumesema ni kutokana na wao kulianzisha! na ukiona kwenye hiyo blog tumemchamba ni kwasababu toka zamani tulikuwa tunamchamba ila tu, tulikuwa hatuweki ID! wakiacha hata cc tutakuwa kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa! so i respect wazo lako, ila tunaangalia upepo unavyovuma, ramadhan kareem my friend!
ni kweli kabisa c's mum ukichokozwa lazima ujibu mashambulizi, akikakaa kimya nasi tutapiga kimya...zamani tulikuwa tunabonyeza kianonny but now tumefungukaaaa ili ajue tumejipanga...Ramadhani karim shost....
but will be nice just to ignore them as the more you comment and mention her name in those other blog you give them more traffic and kind of make on Mange name since she is a brand .Ramadan kareem
Yani Mange unamchezea mungu, kufunga na kulala na mwanaume ambae si muisilam hata kama ni mume wako ni sawa? hiyo ni kushinda njaa tu manake unazini at the end of the day. Si kila kitu ulazimishe vingine achana navyo.
Usihukumu ili na wewe usijehukumiwa, funga ni baina ya mja na muumba wake. Kama ulitaka kumpa mawaidha au wasaa ungetumia njia nzuri lakini si ya kumkataza ibada, vile vile mwenzio ukiona kakosea muombee kheri ili Mungu amuongoze. Maana kuna makosa makubwa kuliko hili la Mange, kwa mfano mwanaume au mwanamke aliye ndani ya ndoa kisha anaenda kulala nje ya ndoa yake, hao mbona hatuwaambii eti wasifanye ibada kwa sababu wanatoka nje za ndoa zao?
KWANI KAKWAMBIA ANALALA NAE? KAKAA BONGO MIEZI NANE BILA KUFANYA UTAMSHINDA MWEZI MMOJA? HONGERA ZAKO WEWE ULOOLEWA NA MUISLAM MWENZAKO..TULIA SASA USIINGIE HUMU COZ SIZANI KAMA MUMEO WA KIISLAMU ATAPENDA KUSIKIA UNAANDIKA HAPA..
huyo mume ni waserikali kwa muislamu anajua kama huyo anakua hawara tu nikujitoa fahamu kwa binaadamu lakini ukweli anaujua muache aendelee tu kutengeneza mwili lakini sikufunga kwa ajili ya ramadhan..
wewe uliefunga huku unatafta nini bdala yakufanya toba uwe na funga thabit embu acheni kujifanya mlikaa na mungu mkatunga nae sheris mwacheni yeye ndo atakae ttolea hukum
wewe hebu acha kutuharishia hapa? wewe ni mungu umjudge mange kisa mumewe mkristo? what do you mean anatenda dhambi kulala na mwanaume sio mwislamu? mimi mkristo nikilala na mume wangu mwislamu pia natenda dhambi au kwa kuwa ni wa dini yako inakua sawa? you're not God so shut the fuck up na endelea kufunga tuone kama wewe utaingia mbinguni Mange abakie....people like you make my blood boil
wewe unaesema mange analala la mwnaume wakikristo wakati anafunga nani alikwambia asipo funga ndo sahihi ana lala na mwanaume lakin anafanya ibada haimanishi kua ndo asifanye ibada ya kufunga kisa analala na mwanaume je wewe kuna maovu mangapi unayo ya fanya na ukaliona hili la mwenzako ndoo kuubwa kuliko yote hakuna zambi ndogo ndigu yangu so usimuhukumu mange mwache afanye ibada yake kama wengine wanao sengenya lakin bdo wanafanya ibada ya kufunga zote hizo zambi kwahiyo swala hilo tu mwachie allah atatuhukumu sikuhiyo mwenyewe ajuavo na wala sio binadamu yeyote mwenye mamlaka yakuhukum
Kaolewa na mkristu kakeep dini yake na kama kawaida mtoto anafuata kwa baba yake kama wewe kinakuuma shauri yako i'll say leave everything to Mwenyezi Mungu to judge who are you to judge her, nobody absolutely nobody.
Waislam tumeambiwa tukumbushane unapomuona mwenzio anakisea lazima umwwmbie na sisi Kama waislam tuna system yetu ya maisha uliowekwa wazi na Allah.na mungu wetu ni Allah Hana mshirika hatuna baba wala mwana wala roho mtakatifu kwa hiyo nyinyi ni nyinyi na sisi ni sisi.uislam uko wazi unakwambia wapi uko wrong na what is write ukitaka ndio hivyo usipotaka ndio hivyo na umpendae lazima umwwmbie ukweli.na mange tunamwambia according to uislam na sio kwamba tunamjaji.ukweli ni kwamba haiswihi kuweka nywele bandia, kuolewa na Dini nyengine, kutoswali, kutovaa hijabu, Kula haram, kusengenya,kuzini etc. Hata Kama watu wanafanya sio kwamba ukweli usisemwe. Ujumbe umefika
sasa unafikiri Mange hajui Quran inasema nini? she is not a 4yr old gal na ni muislamu maisha yake yote kabla hajaolewa aliyajua haya na kamake decision kuolewa na mkristu, I still insist let Allah judge her.
du umenifurahishaje sasa mdau....u r very right mimi ni mkristo na ni kweli Mungu wetu si mungu wenu,......(mimi naam, mimi ndiye wala hapana Mungu mwingine ila mimi”. Kumbukumbu la Torati 32:39. “Mimi ni wa kwanza na mimi ni wa mwisho, zaidi yangu mimi)...... ahsante ahsante saaana mdau mwaaaaaaaaaaaaaaaa!
Mungu wetu ni Mungu wa Upendo na Upendo wake ni wa Agape (Hauna Mwisho,hauana Masharti,ni upendo mkuu mnooo nashindwa kuuelezea.(Wakristo wenzangu waujua Upendo huu), Mange WE Love U...Upendo wa Mungu wetu ukufunike..na akuepushe na dhambi. Wanadamu wanapita tu..
wewe ntaku watu ka nyie mnatia hasira sana..tena wewe tunakuombea mwanao aje kupenda mkristo na aoe au aolewe uko tuone utamfanya nini. eti muislamu haruhusiwi kuolewa au kuoa dini nyingine. wote sisi ni binadamu tuko sawa na dini zote tumeletewa tu. lets have peace..dini safi ni kusaidia yatima, wajane na kujiepusha na mabaya ya dunia..ramadhan kareem
Umeona eeh mdau? Sijui kwa nini watu tu hodari kuhukumu wenzetu as if sisi ndio tumewekeana mikataba na Mungu ya kwenda kukaa mkono wake wa kuume pale itakapotimu siku ya mwisho. Hapo maneno mengi wakati jirani yake mtaa wa tatu analala njaa na wala hajajigusa kumsaidia chochote. Dini ni daraja tu la kutuunganisha na Mungu, sasa kama hatuna jema tutendalo hapa duniani ila tumeng'ang'ania mistari inasemaje, sina uhakika kama huo ufalme wa Mungu tutasikia hata harufu yake.
mie mwanangu babake muislamu na tulimbatiza. waislamu walipiga kelele wee, wakamtukana mpaka mate yakawakauka midomoni..now ukiwaangalia hao waliokuwa wanapiga kelele maisha yao yako shagalabagala..wanatamani ardhi ipasuke watumbukie jinsi maisha yanavowapeleka puta..sie na mtoto wetu aah tumetulia tu..kanisani twaenda, na kukitokea maulidi sijui hitma tunatinga kwa miraha yetu..dini zote tunaziheshimu..
Si afadhali huyu kaolewa, lakini amchukui bwana wa watu, ndoa, si kuaralisha tu, ya kwamba bwana na bibi mnamilikiana na kiapo, cha wawili, sio waume za watu au wake za watu, kwa hiyo akifunga ni sawa, huyu ni mume wake harali, na kila mtu na imani yake, mradi upendo.
CEO trend setter na unywele wako naona upo na joggar lako mwenyewe yaani watu si roho kuwauma wanashindwa kuelewa inakuwaje Mwa...na wewe ni close hivyo,ndio hapo wajue kuwa you have good heart,angalia dada Zenat una mtreat poa sana watu wengine wakichukua wadada hata picha hawawapigi wala kula nao pamoja hakuna roho mbaya tu
Jamanihivi nani anam mudu C's tafadhali mwambieni ajihifadhi na iko kichupi chake angalau kwa mwezi huu tu,then ataendelea kukivaa mwezi ukiisha,anazitoboa swaum zetu kaka zake,semeni nae nyie wadada wenzake labda atawasikiliza na kuacha kujimanua mwezi huu
astagafurullahi muddy! fumba macho ukiona kiumbe kimejichanua, lol! pole mwaya ila vumilia tu, ni vijimambo, nimekuanikia kabisa upate best view, lol! eti nani ananimudu?? kwani mie ebola?? lol! peace my kaka
Mie watu wananiacha hoi, wanapenda waume wa kizungu ila hamtaki wakristo.Hebu tuuilzane tu wazungu na uislam wapi na wapi? na waarabu ambao ndo size yenu wanaroho mbaya na ndo wabaguz vibayaaaa!
kweli Mange unajishindisha njaa tu. Kufunga gani wakati unalala na mwanaume mkristo?? na pia minywele ya bandia..puuhheeleeeseee, soma quran vizuri ujue what to do and when na sio kufunga bora liende! mimi ni muislam na nimeolewa na mzungu. sifungi vile najua haiswihi. bora utoe sadaka na zaka otherwise bora uwe tu mkristo! nufsaid#
shivaughn na neyy ujumbe umefika sasa sijui mnataka kusema mara ngapi ujumbe kaupata akitaka kuufanyia kazi ataufanyia asipotaka hamuwezi kumlazimisha now shut your big mouths and leave the rest to Mwenyezi Mungu yeye ndio atakejudge siku ya kiyama nyie ni wapita njia tu aaarrrrrgh!!!
wewe mbona hujawa mkristo?na kwanini hukuolewa na huyo mwislam mwenzako kama unaijua quraan vizuri.usimnyooshe vidole mwenzio kwa sababu jamii inamwangalia kumbuka mume upangwa na mungu .usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo.wewe siyo mungu kwa hiyo ujui kama inaswii au lah.umeamua kutokufunga hayo ni matatizo yako binafsi .Mwache Mange afunge bwana.
skuzote nimekuwa nasoma jinsi watu wanavolumbana kuhusu baby wangu na dini yake ila wewe ndo umeongea point...basi kama ni kweli maandiko yenu haya ruhusu haya Mange anayofanya bora basi baby ubadili dini uwe mkristo tu mpenzi wangu kwani Mungu wetu ni mmoja haimaanishi ukiwa mkristo unapotea hapana yani naona itakusaidia manake sisi katika dini ya kikristo hakuna masharti kama hayo imani yenu ya kiislamu inamambo mengii...nway mihata sijui bwana
Dini zote zingekuwa na flexibility maana mtu hujui nani utakutana nae na utampenda wa kutoka dini gani,dini create struggle za dunia na za kibinadamu,mimi naamini dini zililetwa ili watu tuwe na muelekeo tusifanye mabaya au kufanyiana mabaya kama ilivyowekwa justice system, in fact dini ni muongozo tu wa maisha i'm sure you can make religion flexible for you and it can work,kwani naamini sio kila mtu anafuata yote yalioandikwa kwenye vitabu vya dini most of us we choose and pick what suit us,
Mkubali mkatae uislam haunegotiate na matakwa ya binaadamu. Mnajifanya kumtetea mange Leo kaburini ambako atakwenda anytime peke yake hamtakuwepo na Siku ya qiyama kila mtu ataitetea nafsi yake hata mama hata Iona mwanae Siku hiyo. Deep down nafsi yake inamsuta na kumwambia what ur doing is wrong ni kwasababu ya kutaka maisha ya kidunya ndio maana wengi wanajikuta ktk position Kama Yake. Tunapenda short cut lkn tunasahau kuwa kifo tunatembea nacho kila Dakika.
watu wanajidai wabishi lakini ukweli unabaki pale pale bora atoe sadaka kuliko kushinda na njaa. swaum na weaving wapi na wapi?? hata mkijidai anaosha nywele daily, still ni zero work..mtabisha sana lkn habari ndo hiyo. chagua mzungu/mkristo au uislam. labda umsilimishe mzungu wako. hivi vitu havichanganyiki unless huo uislam wenu ni wa kichina!
Kama nimekuelewa vizuri, wewe pia unaangukia kwenye kundi la akina Mange, sasa mbona naona ndio uko mstari wa mbele kumnyooshea kidole? Ya kwako umerekebisha au ndio kichina china hivyo hivyo?
yani skuizi majitu kibao yanakomment humu sijui beautifull onyinye sijui marikenge sijui marisimba sijui muke ya matako matako gani boring kishenzi yani hata blog hainogi tena tulishajizoelea kumsoma Koku,desperate,tajibeba,marichui,bby ya Mange na wengioe ila saivi imekuwa fujo majina kibao mpk uchafu...mxiiiiiiii
Ahsante sana. Nami nawaombea wasomaji wote wa u-turn Ramadhani njema. Tukumbushane kuwa huu ni mwezi wa mfungo na mwezi wa kumwabudu Muumba wetu, kutenda mema, kusaidiana na kuwapenda majirani zetu na kuacha maovu (chuki, kusengenya, kudanganya n.k.)
asalaam alykhum da mange japo msg zangu huwa unaziban sijuhi kosa langu au kipi ninachokiandika kibaya but bado nakupenda na nakutakia ramadhan njema nawe pia
Comments (167)
Muke ya sharobaro
maudodo
maudodowayue@gmail.com
m a r i c h u i
Anonymous
Anonymous
Anonymous
sweet
PaRrOt
Sasa kuchangamsha genge uwe unatuwekea picha za mapishi ya maakuli utakayokua unajipikia ftari lol.
Au utuwekee pics za Kenzo, hata akiwa anacheza tu tumuone, sio lazma za bata. soon unampeleka play group watamkoma wa huko wataitwaje BAYAAAA HEHEHE
Anonymous
Mama Lisa
Anonymous
asya
Anonymous
MISS U TURN
Angel Mdhungu
Jino kwa jino
If Not Why Not.
siffah
Anonymous
Kijaruba
koku
FENESI P. PATEL
muddy washington
INSHALLAH RAMADHAN KAREEM KWA BLOGGER NA KWENU WOTE
Anonny Mom
But well said Muddy.. nia yako ni kuonyesha kwamba ni familia inayomwogopa Mungu.
Mfungo mwema!
Anonny Mom!
Anonymous
m a r i c h u i
anonymous
Anonymous
l
Anonny Mom
Shetani atokomee hana nafasi U-turn. Mungu ni yule yule hakuna miungu wengi.!!!!!!
Jino kwa jino
Mgeni
Anonymous
muke ya jaluo
mchaga
muddy washington
DESPERATE HOUSE WIFE
muddy washington
Anonymous
SAPRAPASEN
Super model
Anonymous
baby ya Mange
Anonymous
Jino kwa jino
Anonymous
Anonymous
Daisy Daniel
Mammu
m a r i c h u i
c's mum!
m a r i c h u i
Uturn Addict
heeeeyyyyya got back my id mana nlivoanza kutumia pinky mhmmmm kama nilisahau;ika vileeee
maudodo
c's mum!
m a r i c h u i
ngosha
c's mum!
kuntuafro1
Anonymous
koku
Muke Ya Albino
Nawatakia Ramadhan Kareem wana U-turn wote wenye mapenzi mema. AMEN.
koku
Mamaa Ims
baby ya Mange
c's mum!
DESPERATE HOUSE WIFE
kuntuafro1
DESPERATE HOUSE WIFE
Uturn Addict
word DHW mi kule thendi tena...??...??...??
Ntapitaga tu siku moja moja
Nai Nai
Jamani Ramadhani hii msifanye mzaha na Mungu, kama yeye hafungi au haimuhusu msiende kufungua saumu zenu au kujishindisha na njaa bure. Maana kufunga sio kuacha kula tu, ni pamoja na kuacha kila limchukizalo Mungu na wanadamu wenzio pia. Juu ya nini kugombana na Ramadhani hii.
Ramadhani Kareem wote waliojaliwa kufunga na ambao bado wanajishauri, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wafunge. Sie wenzenu leo ni Ramadhani ya 5, tunaanza kufunga saa 9 usiku kufungua saa 3 usiku, Mungu Mkubwa na Mwenye Rehma yaani ninajisikia powa kabisa. Tutakutana siku ya Eid wapendwa!!
muddy washington
bimkora
Pinky
aunt c's mum nlikubamba unakazia pale mwengeeee
mangeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
c's mum!
ngosha
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
:shower:
BEAUTIFUL ONYINYE
maudodo
muke ya okwi
c's mum!
muke ya okwi
TI Vancouver
Anonymous
Angel Mdhungu
Ramadhan Kareem.
tinas
kivespa
good luck baby mange
Dogo mange
Anonymous
Sensitive Samurai
kutopenda yawenzenu
Keep moving our
Anonymous
Rachel
c's mum!
maudodo
Anonymous
MUKE YA PEDESHEE
Beauty
Nai Nai
Anonymous
Kiruuu
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
bigmama
mkweli
maudodo
Anonymous
mkweli
Anonymous
l
neyy
Muke ya mnaija.
Elyc
Anonymous
MGENI
Anonymous
koku
valu valu
Anonymous
muke ya muchaga
Anonymous
NamyCage
DESPERATE HOUSE WIFE
UTURN FOREVER BABE!
muddy washington
DESPERATE HOUSE WIFE
c's mum!
baby ya Mange
kwaito
Uturn Addict
siffah
shivaughn
neyy
Muke ya mnaija.
Anonymous
baby ya Mange
Butterfly
BEAUTIFUL ONYINYE
NamyCage
Anonymous
Shose
new version
MissRemy
Anonymous
shivaughn
MGENI
Usichukie rafiki, ni kwa roho safi tu......
Anonymous
Anonymous
Ahmed
Quchi
nakshi
Ahmed
Muke ya mnaija