15July

KENZO GOES TO UPARENI FOR THE VERY FIRST TIME....

 

We took the 7am flight to Kilimanjaro..... Kenzo aliliaje sasa kuamshwa 5am...lol

 

 

Kenzo and mommy at KIA......

 

 

 

its cold that side this time of the yr nilitamani kama ningekuwa nimebeba a heavy jacket na jacket sleeves for Kenzo....

 

My village, Kahe....OH MY Gold i love this place maana my dad loooooooooved this village yani alikuwa hapitishi a month hajafika kwao.....

 

washkji vipi???

 

vipi washkaji njooni basi mnipe hie....

 

 

 

give me that, now......lol

 

umemwita nani mzungu koko?? we usidanganyike na rangi hii ukadhani mie mtoto

mayai ntakupiga mtama....lolest...

OMG, my son is such a bully, sijui nimefanyeje, he is always hitting and bting other kids...duh....

 

 

Omary helping me carry Kenzo  to the family grave yard..., Omary has been our houseboy in the village for over 15 yrs..love him....

 

@ the family grave yard showing fundi the graves of my uncles and aunts that i want him to to take down  and redo really nice and modern..

yani this place was full of grass a few yrs back, yameenda wapi sijui. So i also made me promise the next time im here i wont be seeing any udongo, just grass.......

 

 

Kenzo playing on the family grave yard.....my father's grave on the back ground....

it brings me so much peace to know if my brothers or i die today we can be buried right next to our dad, lots of space in the family grave yard....

But i just want it to be all green again, i dont want to see udongo.......

 

Kenzo at one of my relatives houses.....

 

aaaawww, Then went to see my bamkubwa. He is my dad's older brother  & the one who

gave me away on my wedding day....

 

Kenzo with babu

 

 

aaawwww, what a coincidence. yani nimekuta team ya football ya Kahe called Agip ilikuwa ndo imeshinda hiko kikombe jana yake..

Agip was created and sponsored by my dad.....OMG, this was too emotional for me.....

i promised to help them out in honor of my dad who just loved football so much....

He was a hard core  SIMBA fan.....lol

 

aaawwww, some of the villagers came to meet me when they heard i was around.They made me tear up when they started talking

about my dad and how he created this football team...

 

The ladies cooking  tayari kwa party ya kushangilia ushindi usiku...uwiiii nilikosaje msosi

 

Then i went to see another relative, my 90 yr old babu/mjomba...

He is my late grand mother's brother.

imagine my great grandmother , his mother only died like 4 yrs ago at 108yrs old........

i got some good genes y'all .....ntaishije for long, labda mniloge....hahhahahaha

 

OMG, i needed to post this pic with the katv hapo pembeni.....lolest......this tv hata kuwaka haiwaki but my babu/mjomba anataka ikae

hapo hapo sababu my dad bought it for him like 200 yrs ago.....lolest........

i mean he uses another Tv, i just dont understand why he has to keep this one in his living room....lol

 

bye bye kids....

 

THANKS GOD MY MOM IS BURIED IN DAR, DON'T HAVE T FLY TO LINDI.....

Comments (135)

  • njokuno

    njokuno

    16 July 2012 at 00:16 |
    bado umakondeni
    • 9ja Girl

      9ja Girl

      16 July 2012 at 17:06 |
      mangelicious mimi penda little girl na orange dress mapozi yake balaa beautiful smile future MISS KAHE mwaa watoto wazuriblowkiss
    • forgot her name

      forgot her name

      16 July 2012 at 19:35 |
      CEO Half mpare half machinga chichemi chana mie kunyima ntu kitu nnacho dhambiii
  • koku

    koku

    16 July 2012 at 00:25 |
    ametoka kisharobaro KENZO. i like nywele za kenzo.cute cuteee!!heart mama mtu nawe umependeza,umetoka kiofisi zaidiceokubwa nadhani umeenda kuaga, safari ishafika sio? msalimie shemejiwakuache
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 01:17 |
    goodluck Mkombozi wa muaAfrica...nice once kenzoki mm penda ww.
  • Nai Nai

    Nai Nai

    16 July 2012 at 01:23 |
    Ooh dear Mzungu kenda kwao! Enjoy your visit bsby Kenzo naona unakula bata upareni. Watu walivyokuona airport walisubiri waone picha za kwa Obama. Haya Kenzo nae kama Obama kaenda kijijini kwaoyahoo
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 01:30 |
    safi sana Mange.inapendeza kwa kweli.we dada hunaga majivuno yani.god bless your heart.ni vizuri kukumbuka asili yetu.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 01:31 |
    baraka za wazazi na kutoa mikosi ni muhimu,maana mjini kumejaa kila aina ya balaa.hebu ona kijiji kizima kimefika kwa ajili ya mange,na pilau likapikwa. na nyie wengine nendeni makwenu kwa mababu,kazi kujifanya watoto wa mjini tuuu!! ndio maana hamfanikiwikissmyass
    • muddy washington

      muddy washington

      16 July 2012 at 03:13 |
      Hivi kwa nini vijijini wanafuga kuku wa ukweli lakini wenyewe hawali kuku mpaka mgeni aende?this is very disturbing kwa kweli nani analo jibu hasa kwa wenzetu mliokulia vijijini nisaidieni hapa.

      Otherwise nice trip mama u turn especially kwenye wiki hii ya mwisho kuelekea ramadhani,ingependeza swaumu uianzie huko na wazee wako hata kama unafungaga kichina poa tu.

      Mwisho,i don't like simba sports club at all(but usiniulize napenda timu gani bongo)na ulipoitaja kidogo nitapike but nashukuru nika "save"
      • Anonymous

        Anonymous

        16 July 2012 at 22:09 |
        hahahaa ni kweli muddy..sie tulikuwa tunakula kuku wakipata ugonjwa wa kideli yani hapo tunachinjiwa kila mtu wake, unakula for breakfast, lunch na dinner..otherwise ni mpaka sikukuu. sukumawiki kwa kwenda mbele..
  • koku

    koku

    16 July 2012 at 01:35 |
    U-turn tumepata tuzo toka upareni mange!! naona umeshikilia kikombe.Duh kumbe hii blog ni kiboko.kanuna
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 01:36 |
    wow,
    niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiceeeeeeeeeeeee in kenzo s' voice.....

    hongera mange pictures are really nice
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 01:38 |
    kama maeneo ya tandika hizo picha. sina uhakika kwa sababu mwenyewe hasemi alikuwa wapi hapo. nice one. i loved it.
    • FENESI P. PATEL

      FENESI P. PATEL

      16 July 2012 at 08:22 |
      shakebutt WE SENGE KWELI SASA ADANGANYE ILI IWEJE????? OK KAMA IKO TANDIKA AU IKO CHAPA AU KAMA IKO KITANDA HAIKUHUSU, KWA VILE VEVE NAZOEA UWONGO NDO NADHANI KILA MTU...SASA KAMA HAIJAENDA UPARENI NAPIGA PICHA TANDIKA NANI NAKUULIZA HAPA???...NA AFANYE HIVYO KWAKUWA YEYE NAKUWA LIMBUKENI YA MAENEO YA KUVUTIA AU??....MANINAAAA.
    • KIBONGE

      KIBONGE

      16 July 2012 at 08:57 |
      eeh hivui hujui kusoma au? tandika?
    • Anonymous

      Anonymous

      16 July 2012 at 09:34 |
      ww mshenzi nn unayesema hapo tandika. unauhakika? hiyo inaitwa KAHE kama ulikuwa hujui unajiandikia vitu usivyo na uhakika kalale mbele kule
    • secky

      secky

      16 July 2012 at 10:36 |
      Tandika ndio kwenu nini si useme?maana unaambiwa ni upareni kahe unang'ang'ana.tandika angepanda preccision wewe kubwa jinga.tutokee hapa mfyuuuuuuuuuuuuuu
      chatterbox
      • Anonymous

        Anonymous

        16 July 2012 at 18:11 |
        jamani mbona mnamu attack huyo aliyesema kama Tandika. Mwanzoni mange aliweka picha bila maelezo ndio maana ali guess kama Tandika.
        • sushi puppet

          sushi puppet

          17 July 2012 at 13:10 |
          at wits' end angesoma mpka mwisho ndo akomenti sam pipo bana boringi kweli
  • Muke ya Muchina

    Muke ya Muchina

    16 July 2012 at 01:44 |
    KWELI MANGE WEhakunaga kwa raha zako yaani Kenzo kufika kakutana na washikaji acha aanze kujichanganya wa mjini wa mjini tuuuu..

    Mange safi sana naona ulipati:birthdaydance:popchampgnecheersdrinkbeercheercheerapplauseapplause
  • Inahusu

    Inahusu

    16 July 2012 at 01:49 |
    hakunaga I ADMIRE YOU FROM THE BOTTOM OF MY HEART DESPITE ALL PEOPLE TALK SHIT BRAVO.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 01:52 |
    nimechekaje ulivyosema *labda wakuloge* hahahaaaaaa!wakuache
  • Nai Nai

    Nai Nai

    16 July 2012 at 01:57 |
    hahahahahaha Eti unamuita nani mzungu koko!! Nimekumbuka joke sijui nimeisoma wapi, eti mtu alikuwa anakula muhogo umemkwama, akawa anamwambia mzungu kakaa pembeni yake kwa broken english ampe maji, sijui ze water kufanyaje, wacha mzungu amshushue, eti mshikaji si uongee kiswahili tu, utakufa bure na kiingereza chako hakieleweki!!hahaha Na imagine hapo watoto wanamwaga ung'eng'e wao waliojifunza shuleni "good morning mzungu"!!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 July 2012 at 02:27 |
    Awww baby jamani I missed uuuu yani I'm so addicted to u Mange wangu mpk basi aww so happy now!

    Such an adventure,,,this post made me even love u more baby wangu u've done such a great thing kwenda huko upareni especially kuvisit ur dad's grave,I'm touched for real!!aww I wanna hug u my baby awww me looove my baby shoo much mwuaaah!
  • Nora

    Nora

    16 July 2012 at 02:31 |
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 July 2012 at 02:39 |
    Hehehe baby u know why Kenzoki play bossy to other kid it only bcoz he is so used to play with big kids I mean older than him so when he meets young kids he want to show boss like he is a big one hahahaha so lovely!hapo vitoto ni urewadi urewadi hihihih
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 July 2012 at 02:45 |
    But baby why u never bring any flowers or light some candles to ur dad's grave?or it against ur muslim religion?!sorry baby if u find my questions too much..
    • Nai Nai

      Nai Nai

      16 July 2012 at 09:42 |
      Waislamu hatuwashi mishumaa wala kuweka maua kaburini, pangekuwa hapana kivuli angetakiwa apande mti wa kivuli pembeni, lakini Mashallah hapo kaburini kwa Mzee wake matawi ya mti yameinamia tayari yanatoa kivuli.

      Kikubwa kingine anachotakiwa kufanya, awatolee sadaka marehemu wazee wake (kama alivyosema Mrs Patel) na kuwaombea dua kila siku. Kwa mfano kila tunaposali, baina ya sujudu mbili huwa tunasema " Eeh Mungu unisamehe mimi na wazazi wangu wawili"; sasa kama ni mtu ambae unasali vipindi vyote (sala 5) ni raha sana kwa wazazi wako maana wanakuwa wana muombezi 24/7.
      • Anonymous

        Anonymous

        16 July 2012 at 16:38 |
        Nai Nai speak for yourself makaburi ya wazazi wangu waislam yamejaa maua mishumaa kila ninachojisikia kuweka nimeweka nimejengea tiles yanameremetashame on you
        • FENESI P. PATEL

          FENESI P. PATEL

          17 July 2012 at 10:23 |
          KAMA NAWEKEA MAUA NA VYOOOTE HIVYO..VEVE NAPATA DHAMBI..DINI HAITAKI KABSAA HIYO KITU KUJENGEA KWA STYLE HIYO..JENGEA KWA KUWEKA ALAMA LAKIN SIO KWA NIA YAKUWEKA MATILES MAPAMBO HAYAMSAIDII KITU...DUA ZAKO NDO MUHIMU SASA...
      • baby ya Mange

        baby ya Mange

        16 July 2012 at 18:07 |
        slapping are u my baby?I'm not talking to u next time shuuut ur....thank u though!
    • Nai Nai

      Nai Nai

      16 July 2012 at 09:42 |
      Waislamu hatuwashi mishumaa wala kuweka maua kaburini, pangekuwa hapana kivuli angetakiwa apande mti wa kivuli pembeni, lakini Mashallah hapo kaburini kwa Mzee wake matawi ya mti yameinamia tayari yanatoa kivuli.

      Kikubwa kingine anachotakiwa kufanya, awatolee sadaka marehemu wazee wake (kama alivyosema Mrs Patel) na kuwaombea dua kila siku. Kwa mfano kila tunaposali, baina ya sujudu mbili huwa tunasema " Eeh Mungu unisamehe mimi na wazazi wangu wawili"; sasa kama ni mtu ambae unasali vipindi vyote (sala 5) ni raha sana kwa wazazi wako maana wanakuwa wana muombezi 24/7.
      • dundee

        dundee

        16 July 2012 at 12:41 |
        mapepo tu kujibebea makaburini eti kuwaombea wafu
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 July 2012 at 02:50 |
    Baby I want to see u eating some makandezzzz hehehe,,aww wish I was there with u baby wangu,I could stop kissing u holdin ur hand n playing with ur hair while exploring Kahe awww this is among the best post in our blog baby I really like it!
    • Anonymous

      Anonymous

      16 July 2012 at 22:14 |
      hahahahaa baby ya ma..umenivunja mbavu..eti while exploring kahe tetetee..mngepigwa mawe nyie sijui mngekimbilia wapi sipati picha..drinkbeer vijijini kuna raha zake jamani..
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 03:15 |
    mange umetupa fundisho ya kukumbuka tulipotoka hasa cc wa mjini
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 03:16 |
    mange umetupa fundisho ya kukumbuka tulipotoka hasa cc wa mjini
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 03:45 |
    hukulala kwenu mpare
  • chakachua

    chakachua

    16 July 2012 at 04:44 |
    Those pics reminds me when I visited Tanzania, I went all the way to my dad's village to see my mom and dad graves,It always brought me into tears,thats so sweet of u Mange.....there is nothing like Parentscrying
    • Mama Lisa

      Mama Lisa

      16 July 2012 at 14:45 |
      POLE MDAUcrying
  • Ti Vancouver

    Ti Vancouver

    16 July 2012 at 05:23 |
    Mange umefanya kitu kizuri sana kwenda kuwaona ndugu kijijini kwani wengi wanasahaugi kabisa hasa wenye mafanikio mazuri kama wewe.
    Ni baraka sana na inaonekana ukoo wenu una baraka ya maisha marefu huyo bamkubwa ana 90 lakini anaonekana yupo fiti kabisa. Vipi hawakukupikia KISHUMBA ?Kenzo angekionja angekuja kuwa mbahili mno ukubwani. Next time ukijaliwa kurudi huko usikubali kuondoka bila kukila kishumba.
    • Tajibeba

      Tajibeba

      16 July 2012 at 15:14 |
      haya tusubiri na wengine sasa waige maana kuna watu wanajua copy and paste kuliko maelezo wengine yetu kiburudisho. Kenzo's hair is to die for yani kumbe kipindii kile tunasema Nywele za kenzo za kukata kumbe mambo yenyewe ndiyo haya owkye now i understand muchagga mie. hope ulikwapelekea tuzawadi jamani watani wetu wa jadi.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 06:59 |
    so it was just one day trip?
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    16 July 2012 at 07:37 |
    Jamani Baby Kenzo kawa Mkaka ! hadi rahaaaa
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    16 July 2012 at 07:38 |
    Mama Kenzo kusafiri na Basi Mikoani kuna raha yake ..unamiss nyakati kama za kwenda kuchimba dawa ....ohooo kula dk 10 ...surprise
    • ngosha

      ngosha

      16 July 2012 at 11:26 |
      hahahaaa..... umenikumbusha sana, kuchimba dawa.......
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        16 July 2012 at 13:41 |
        Umeona eheeee hasa Usafiri Dar -Mwanza masaa yako 15 barabarani lakini unauona uzuri na ukubwa wa Tanzania kwa mapana yake ...
  • FENESI P. PATEL

    FENESI P. PATEL

    16 July 2012 at 08:25 |
    HONGERA CEO NAPENDA MIMI HIYO KENZO NACHIMBIA MKWARA TOTO YA KWAO L....USICHOKE OMBEA DUA ZEE YAKO NA DUGU YAKO..HATA KAMA NATOA SADAKA TIA NIA "SADAKA HII IWE KWA AJILI YANGU NA WAZEE WANGU WALOTANGULIA" MUNGU TAKULIPA......PENDEZA SANA NA KENZO WAKO.....
  • Mdigo

    Mdigo

    16 July 2012 at 08:48 |
  • Marinyau

    Marinyau

    16 July 2012 at 09:04 |
    Safi sana, utabarikiwa sana!!
  • makerubi

    makerubi

    16 July 2012 at 09:15 |
    Hongera Mange kwa kukumbuka ndugu zako! sio mjini tuuu hata vijiji nakonono . Pia nijinsi gani watu wanavyokuchukulia eti unaringa mbona umejinafasi na picha za sebule za kawaida? tena uko juu sana maana wengine kijijini kwetu full majani sebuleni, hata kupiga picha unaona nouma alafu tukija mjini tunajishebedua?graduationhahaha nyie na makochi kwa raha zenu.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 09:16 |
    kanuna hahahahahahha, am ua no1 fun mange, i have a litto chagga princess she will match kenzo for really.wakuache ni mimi mkwe mwenzio na mtani wako
  • The Evil HR Lady

    The Evil HR Lady

    16 July 2012 at 09:19 |
    nimecheka sana washkaji vipiiiii hahahah !!! yeah baba na Mama ni Mungu wa dunia,

    kwa sacrifice zote alizozifanya my dad, ninamshukuru sana Mungu kwa ajili ya kunipa yeye angalau kwa miaka 17 ya maisha yangu, love you daddy and RIP am celebrating you always
  • c's mum!

    c's mum!

    16 July 2012 at 09:27 |
    mwaya kwenda kunako asili ni muhimuuuuuu! unapata baraka mwanzo mwisho, hope kenzoki enjoyed!
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 09:41 |
    Sweet Mange, that is soooooooo good what you did visiting your fathers grave, it will give you inner peace, i know how it feels
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    16 July 2012 at 09:42 |
    Ni vizuri kukumbuka tulikotoka... mama U-turn umepata baraka za wazee, tunakuombea kila lililo la kheri katika safari yako.
  • Butterfly

    Butterfly

    16 July 2012 at 09:53 |
    ceo Sasa wewe ulikuwa mgeni wa nyumba gani? Kishumba ulilia wapi maana kama kote ulikuwa unasalimia na kutoka.peacecheers
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 09:54 |
    I love you baby Mange, ulivyofanya ni fundisho kwa jamii nzima ya Watoto wa Kitanzania hasa sisi kizazi kipya, kwenu ni kwenu tu! hata kuwe vipi, hata ukilala chini. Nimependa sana Mange, Mungu akubariki sana kwa kukumbusha hiki kizazi ambacho kinatoa mashauzi mjini kwao hawataki kurudi, hongera.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 09:57 |
    me lavu u Mke wa Msungu bee
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 09:59 |
    welcome katika wanaotembelea vijijini!
  • lulu ibrahim

    lulu ibrahim

    16 July 2012 at 10:04 |
    nono umekosea ungelala hata siku moja tu kesho yake ndio ukaondoka kwa watu wavijijini ninavyo wajua lazima walikuona kama unaringa ndio maana ujalala upareni.
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    16 July 2012 at 10:09 |
    Nai Nai bado nafanyia kazi kipicha ....
    • Muke Ya Albino

      Muke Ya Albino

      16 July 2012 at 15:41 |
      me kapicha kamegoma... nimenunajeeeeeesad
  • lilian bitegeko

    lilian bitegeko

    16 July 2012 at 10:18 |
    :newbie i ve neva get a chance to comment here in yua blog but nasema ukweli from the bottom of my heart i rill admire yu live like yu want na not like others want mi huwa napenda sana mtu wa namna hii i wish yu culd be my sister wa hiari i love yu so much tho ua not my ndugu! mungu akujalie kwa kila ufanacho na big up kwa kwenda kwenu kwani wereva u may be nyumbn ni nyumbn atilist na ndugu nao watafurahi kuwa dada mange alitukumbuka once a time na unzidi kujiongezea barka tele huko uendako!
  • secky

    secky

    16 July 2012 at 10:21 |
    Mange i'm very happy for what u did,ni jambo la maana sana kwa huu mwezi wa shaaban kukumbuka marehemu,mbona hukubeba maji ya marashi na udi wa vijiti kidogo ungewasha ukamwagia na marashi na mgetia fat'ha kidogo.basi mwite hata ustadh akuhitimishie.nami alhamis inshallah nnaenda kuzuru makaburi ya wazazi wangu.mungu akubariki mama uturn
    • 9ja Girl

      9ja Girl

      16 July 2012 at 16:57 |
      fatha unatia mwenyewe? relaksi makaburi ni nyumba zetu za milele usiogope kwenda mnwenyewe mpaka maalim akupeleke
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 10:24 |
    Mange wat u did iz great!!i luv it,licking am proud of u!!
    • Tajibeba

      Tajibeba

      16 July 2012 at 14:54 |
      as in seriously your licking what she did? i mean is theren any correlation with the symbal you have used? i 100% agree she did honor o her late dad and relatives but why you decided to use that licking mouth as a symbal
  • kenzos grandmaa

    kenzos grandmaa

    16 July 2012 at 10:25 |
    hahahahahahakunagaceo we noma,halika!! nishangae kipareee mm,nimependa swaga za mjukuu upareni,asante kwa kuleta kombe bloginiiblowkissmangeblog
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 11:23 |
    kanuna SITAHARISHA,Hahahaahaaa Mange safi sana kwa kuwatembelea wazee utapata baraka tele
  • diq

    diq

    16 July 2012 at 11:44 |
    hakunaga aah CE hapo umenimaliza kabisa. yaani nimekuwa cwez kuikosa kufungua blog yako kila siku.
  • mie

    mie

    16 July 2012 at 12:31 |
    safari njema. naona klm umeipandia kia. kutambika muhimu vinginevyo utaishia jfk.
  • cute massai

    cute massai

    16 July 2012 at 12:37 |
    lovely!!ua so blessed honey
  • Mdau

    Mdau

    16 July 2012 at 12:53 |
    safi sana nimekupenda kwa hilo.. ila siku nyingine ukienda MAKABURINI UVAE KIISLAM I MEAN UJIFUNIKE NA KICHWA, CAUSE HAPO UKIFIKA NI LAZIMA HUA TUNATOA SALAAM NA DUA ZA KUWAOMBEA HAO WALIOLALA? thats very important Mange wangu. MAY GOD BLESS YOU ALWAYS
  • Hs

    Hs

    16 July 2012 at 13:25 |
    My God Mange pleaseeeee....yani unatoa picha ya makaburi eti wataka kubadili yani thta is sooooooooo "look at me am a good heart girl"....tenda mema nenda zako no need kushow case!!

    jus an advice my dear
  • koku

    koku

    16 July 2012 at 13:26 |
    FARAJA KOTA YUPO BUNGENI anaapishwa mweee!!!!!!!!hebu washeni tv muone.lol..shower
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 13:29 |
    Many congratulations for doing the right thing Mange.

    Umenikumbusha nami na ndugu zangu 2008 tulifanya hivyo. Nilifiwa na baba 2007. 2008 nikapanga kwenda kujengea kaburi la baba vizuri zaidi. Baadaye wazo likaja nikawaomba ndugu zangu wote tuchange tujenge makaburi yote ya ndugu yaliyokuwa na hali mbaya. Basi ndugu zangu tukachangishana kila mtu na uwezo wake tukajenga yoteee. Ikawa so emotional lakini pia very rewarding kukutana na ndugu wengi kwa pamoja, kuzungumza na kupendana zaidi.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 13:36 |
    waooooooooo ongera mrembooooooooooooo wazima uko
  • kiherehere

    kiherehere

    16 July 2012 at 13:45 |
    ukitokeaa mkoa wa kilimanjaro kuzuru kwenu lazima big upceo
  • glory

    glory

    16 July 2012 at 13:52 |
    one thing i admire about you is despite the fact umeolewa na mzungu, you are still very proud of being an african nevertheless a tanzanian..unamuita mumeo baba kenzo, unamfundisha mwanao swahili, unafunga khanga ukiwepo home na leo ndo umemaliza kabisa kwenda kwenu kijijini yani typical african lady..Big up Mangeblowkiss
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 13:58 |
    licking to Omary, ni vigumu kupata msaidizi anayekaa mda mrefu kiasi hiki nowadays, muendeleze kielimu shostitoooo, ni mimi mkwe mwenza na mtani, naomba a.k.a wadau
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 13:59 |
    newbie hongera dada kwa kukumbuka kwenu
  • chezza

    chezza

    16 July 2012 at 14:14 |
    Kenzos Grandmaa,ni harikaaa na sio halika..Mange huna ndugu usangi? Kenzoki angetoka vigimbi vya miguu bila kupenda...rolling on the floor chezee milima ya usangi.
  • mama t

    mama t

    16 July 2012 at 14:21 |
    yaan nimekosa neno ambalo litafit hapa mange dear,inshaalah mwenyez mungu akuzidishie upendo na baraka tele kwa wewe na kizaz chako.love u mingi
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 14:27 |
    safari nzuri sana na safari kama hizo hufungua milango ya kheri. kama huta-mind mwana blog bora tumia lugha unayoweza kuzungumza kifasaha manake hiyo lugha ya watu ulivyoikeng'eta humo ndani, hata mtoto year seven atakucheka. halafu maneno ya kulogwa humu ndani yanakuja vipi jamani? au wewe ndiyo zako kuloga wenzio? wachawi wapo kila aina. toka radclif aka harry potter to bibi nyambulukunyi wa madongo kuinama.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 14:30 |
    Nimependa idea yako ya kukumbuka kwenu pia kuwaombe ni kitu kizuri kama alivyoshauri nainai. i like it.
  • Miss u turn

    Miss u turn

    16 July 2012 at 14:31 |
    Nimerudi jamani kumbe huku mtaani kwetu kumependeza hiviv daaacheers nilikuwa busy na kubeba mabox kwa kuongeza shift nami niweze kuja bongo .Mangehakunaga kama nyumbani nimeeeipenda hii nilidhani na wewe ni km kin ASCKALA HATA AKIJA BONGO TANGIA WAFIWE ETI ANAFIKIA KWA MRAFIKI ANAJIFANYAGA HANA NDUGU YOYOTE TENA..PONGEZI KWA MALEZI ULIYOYAPATA KWA WAZAZI WAKO WOTE THAT WHAY LEO UPO HIVI...NA KUWAKUMBUKA KILA MARA.. PAMAJA NA FAMILIA ZA PANDE ZOTE
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 14:32 |
    Mange waadha na ighobe kana waadha na kini? kana wahingwa mighuva? hahahahahaha chezea lugha ww
  • wifi ya mange

    wifi ya mange

    16 July 2012 at 15:04 |
    thats good wifii!
  • space

    space

    16 July 2012 at 15:08 |
    thts is a very kind of u mange,umenifurahisha tht hujui kupretend u always stand on true colours..si watu wote wenye kama wako or wanaokumbuka walikotoka,wengine wakishafanikiwa hawageuki nyuma.,en ni vizuri unakumbuka wazaz wako thou ni marehem,be blessed mange.i wish i cud tell u a million of things but since i cant do it all i can say is tht AM PROUD OF U. http://u-turn.co.tz/media/zoo/assets/images/smileyz/groups/default/ceo.png
  • space

    space

    16 July 2012 at 15:08 |
    thts is a very kind of u mange,umenifurahisha tht hujui kupretend u always stand on true colours..si watu wote wenye kama wako or wanaokumbuka walikotoka,wengine wakishafanikiwa hawageuki nyuma.,en ni vizuri unakumbuka wazaz wako thou ni marehem,be blessed mange.i wish i cud tell u a million of things but since i cant do it all i can say is tht AM PROUD OF U. http://u-turn.co.tz/media/zoo/assets/images/smileyz/groups/default/ceo.png
  • Nai Nai

    Nai Nai

    16 July 2012 at 16:10 |
    Haya wale IGA IGA united hivi ndio vitu vya kuiga sio kujishebedua tu hapa mjini.

    Yaani kwa kweli inashangaza sana wengine kwao unapanda daladala tu na mama zao hatujawahi kuwaona hata kwenye sherehe tu za birthday zao, sijui unawaonaje mashosti waliokukuta mtu mzima bora kuliko mamako aliyekuzaa. Akishaondoka ndio utaona umuhimu wake.
  • Muke ya sharobaro

    Muke ya sharobaro

    16 July 2012 at 16:32 |
    OMG i went to this vilage last time..jaman nikuzuri yaan sio vijiji vingine..niliwauliza wana vijiji kwa kimambi wapi?wakanionyesha i was so happy was tempted kuwaambia wana uturn that niko Kahe kwa muke ya Muzungu!Jaman pale sokoni wameongelea sana kuhusu ur dad that he was agood person yaan amewanyanyua watu..was happy and proud to be a uturner..yaan nilikua nasisimka ka sijui nini uku nikijidai yaan nataman niwaambie kuhusu uturn ila naanzaa wapi?was jus smilling telling my colleague that uku ni kwao muke ya Muzungu...I didn't realized how much i lov u mpaka nilivyofika Kahe..yaan kiherehere nilichonachoooo kisa kwa kina Mange...
  • totoz ya kenzo

    totoz ya kenzo

    16 July 2012 at 16:56 |
    kanuna wengine upareni wataishia kupasikia tuuu...au ndo aibu kutuonyesha nyumba zao za udongooo?ukojuu kwenu ni kwenu hata kama kichakanslapping pumbavuu kaz kupiga picha madukan kwa watu..huna kwenuu
  • Pretty Woman

    Pretty Woman

    16 July 2012 at 17:19 |
    U a true woman my dear Mange, may God Bless U!!!!!!!!!!!!!
  • totoz ya kenzo

    totoz ya kenzo

    16 July 2012 at 17:43 |
    igaufe naona mtalaka wa mac anthony kajaribu kuvaa shati ka la abby kwenye kili awardsomg na ilo kaptula kubwa ka lumbesa yan kawa ka katundikwasorry
  • ANONYMOUS

    ANONYMOUS

    16 July 2012 at 18:36 |
    good mama k!!i never comment on yr blog but today nimekupendaje?always fikra zangu nimeziweka most africans wakitoka nje au share with wazungus 90% they forget OTHER RELATIVES HOME OR WHEREVER THEY ARE.. na kujijali wao as baba,mama na watoto..for this GOD BLESS YOU!!NAFUTA HII FIKRA FROM NOW .
  • Megan

    Megan

    16 July 2012 at 18:41 |
    Herawee dada Mange,wakwe Kimambi,wavo Kenzo,Urewedi?..Iki umanje chathu?!Nekiti ooh,
    Uhirie kindu chedi thana,kutonga kahe kukedhia..Mrungu akughenje.Nkedhie Kenzo aho..!
    I like the pic of u n Kenzo hapo nje with bicycle..
  • Anonymous

    Anonymous

    16 July 2012 at 19:15 |
    slapping sasa Mange unashanga why Kenzo mgomvi wakati wewe ndo mgonvi number one?!?!!?!? He got it from his mommmaaaaaa
  • anon

    anon

    16 July 2012 at 19:32 |
    So after this trip ndio unaenda zako Kwa baba Kenzo nini? huwezi jua lini utarudi bongo tena!! safi nakutakiwa maisha mema
  • Designer wa mwammy

    Designer wa mwammy

    16 July 2012 at 19:47 |
    mange full kudeka kwa daddy bamkubwa
  • Mama A

    Mama A

    16 July 2012 at 20:49 |
    Mange kati ya vitu vilivyo nigsa leo ni kumtaja marehemu mama, kila siku roho ilikua inaniuma nikiona unasifia baba tu,amini usiamni chozi lilmenitoka kwa furaha,hataka mazazi alikosea alwayz ni mzazi atabaki kua mzazi i love u mingi sana mange baraka zitaendelea miminika juu yako
    kises
    • Anonymous

      Anonymous

      17 July 2012 at 09:41 |
      Ameen niko nawe
  • Dodo

    Dodo

    16 July 2012 at 21:54 |
    Uwiiiiii,nimeshinda hapa airport nikingojaceo ushuke kumbe umeenda upareni..But I love that mama Bhokenzo,u r the besthakunaga kamamange ...
  • mary

    mary

    16 July 2012 at 22:01 |
    kumbe kwenu maskini wakubwa kujishaua tuu.that is ur background na ndo familia nzima mpo choka mbaya.ss mashauzi yote ya nini?sikutegemea.pyuuuuuuuu
    • TMK

      TMK

      17 July 2012 at 10:22 |
      lmao mashauzi.com kushnei!
    • Anonymous

      Anonymous

      17 July 2012 at 10:22 |
      lmao mashauzi.com kushnei!
    • c's mum!

      c's mum!

      17 July 2012 at 11:20 |
      kafirane mbele huko! nyama zako za chini! usituletee shombo ndani humu, tunaanza kufunga hatutaki kabisa mabeef! pua ka bibo! nyooooooo!
  • mary

    mary

    16 July 2012 at 22:04 |
    maskini mkubwa ww na ukoo wenu woteeeeee.mbona nashangaa?shukuru umeolewa na mzungu ndo anakubeba.unless ur nothing from ur grands,aunties and uncles.kawasaidie kwanza hao nduguzo maskini wakubwa,poleeeeeeeeeeeee
    • makerubi

      makerubi

      17 July 2012 at 09:03 |
      He makubwa! wewe mshamba nini?slapping yeye amekwambia huko alikokwenda ni kwa ajili kutuonyesha utajiri wa ndugu zake? mbona watu mnamtafutia sababuceo wawatu? Wewe ndo unajishebedua kumfuatilia Mange kila anapokuwa/anapokwenda uone kama kuna utajiri loh mbona unakazi?. Wewe utajiri wako mbona huuonyeshi? fungua blog basi nawe ujishebedue mshamba wewe. umeingia uturn kwa ajili ya kumchamba mange au! Acha roho mbaya kutukana watu pasipo sababu kinachokushangaza nini sasa mshamba wewe. Hayo ndo maisha yake, nayuko free kwenye blog kufanya anavyotaka. Mbona wewe kwenu mjini na nduguzo kijijini ufungui blog tukaona?
      • Anonymous

        Anonymous

        17 July 2012 at 15:37 |
        MAKERUBI NAONA UNA HASIRA NA HUYU SURA MSAMBA KA MIE!!!SIKUJUA KAMA BADO TUNA WATU WA AINA HII KARNE HII..UKIZINGATIA WOTE TUNATOKA NCHI MASKINI TANZANIA..HUYO ALOANDIKA INAONEKANA MPAKA LEO ANAVAA CHUPI LAKE LA KANIKI ALILOSHONA SHULENI AKIWA DARASA LA SABA AKIKAA K YOTE NJE...PUNGUANI KWELI HUYU MFYUUUUbitch
    • c's mum!

      c's mum!

      17 July 2012 at 11:24 |
      we matako nakwambia mwanzo na mwisho kuleta mabo yako ya kizandiki humu! utakuwa minessota tu, puuuuuuuuu tumekutema! unamtafuta mange lakinimange kakuacha sana mdada, jipange upya, jipange sana! mange vifurubwido kama hawa ni wa kuwapuuza tu, achana nao kabisaaaaaaaaaaa!
    • Anonymous

      Anonymous

      17 July 2012 at 15:31 |
      WE MWANAMKE TEMA MATE YAKO YA UGOLO CHINI KHA!!!UNGEKUWA TAJIRI UKO KWENU UNGEPATA MUDA WA KUINGIA HUMU KWA MANGE? UNAOWAKASHIFU NI WATU WAZIMA NA HESHIMA ZAO WAWEZA PATA LAANA USIZOTEGEMEA WEWE PUSI..SURA KA MFEREJI WA MATAKOshakebutt NA USIZANI LAANA UNAPATA UKIJULIKANA TU..NEXT TYM MANGE AKIENDA KWA YATIMA DUA LINAKUANGUKIA WEWE..U BETTER BE SCARED..VERY SCARED!!!ROHO MBAYA KA TIGO INAVOKATA KINYES..

      SALAMU KUTOKA KWA NDALANDEFU!!!
      NYANYUA DOMO LAKO UONE NITAKUslapping MPAKA UTEME NGESE..
  • marikenge

    marikenge

    16 July 2012 at 22:22 |
    Safi sana CEO .. joka la mdimu na mashostize waige mambo mazuri kama haya...
    Marichui wangu jitahidi kipichaaa... wapi c's mum. muddy na bangikoku
    • c's mum!

      c's mum!

      17 July 2012 at 11:25 |
      nitakiweka beste! nataka kuweka kipicha cha kipapa cha mtoto, natafuta kipapa kizuri cha kizungu nakiweka hapa lol!
    • Anonymous

      Anonymous

      17 July 2012 at 16:11 |
      hahahahaaa watu mnamajina ety marikengee teh teh
  • marikenge

    marikenge

    16 July 2012 at 22:25 |
    ila Mange jamabi turudishie yale madole tuendelee na kazi yetu mie na baby yako ya ukwee
  • Maudodo

    Maudodo

    16 July 2012 at 23:18 |
    kenzo kaniacha hoi hapo aliposema 'nani mzungu koko, ntakukata mtama', yani kama vile anamwambia au nikupe zaMJ ndo utajua me mzungu orijinali, ourceo umenifaurahisha kwenda kuwatembelea wazee kijijini , yani hata wasoweza kufika mjini wamemuona mjukuu(kenzo)...yani umenifurahisha sana, take thatblowkiss
  • Ifunganya

    Ifunganya

    17 July 2012 at 00:26 |
  • brother kay

    brother kay

    17 July 2012 at 00:46 |
    Ahh!! Sorry to hear that you lost both of your parents, also i'm glad to see you coping well with that. anyway huko upareni naona walikukaribisha kwa MAKANDE,najua vizuri mambo yako.goodluck
  • ROSE

    ROSE

    17 July 2012 at 02:15 |
    My dear Mange hongera sana kwa kutembelea KIJIJINI kwenu nakuona wazee na makaburi,nimefurahi pia nimemuona Baba yako mkubwa nathani atakuwa Baba ya Amina,Alma na wengine,his such a lovely Dad...sasa wazo langu tunge jitahidi wana Uturn tufanye mchango tena tukijaliwa,tuwanunulie watoto wa Kahe zawadi kidogo kama vitu vya shule na yebo yebo ni wazo langu tu msinislapping all the Best
    • Anonymous

      Anonymous

      17 July 2012 at 09:43 |
      wamekwambia wanashida?
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    17 July 2012 at 08:41 |
  • little M

    little M

    17 July 2012 at 08:52 |
    ooh kahe my lovely place my sweet home! seeing omari, mzee kimambi and see ur home place back then we used to call garden ndio ilikuwa kiwanja hicho chakwenda kujidai! my god mangegoodluck thanks for the pic!yaani umenikumbusha sana kijijini kwetu its nyc and gud kukumbuka tulipotoka> hongera sana kwa hilo jst keep it up, mrungu akughenje........
  • Loveness from ATOWN

    Loveness from ATOWN

    17 July 2012 at 09:39 |
    Mange kwa kweli umefanya vizuri sana kwenda KAHE kwani hakuna kama nyumbani ambapo wazazi wako wametokea, upande majani kwenye makaburi kama ulivyoahidi utuletee picha majani yakikua.goodluck
  • matem

    matem

    17 July 2012 at 12:20 |
    jaman muddy washungton bonge la handsomeee,uwiiiiiiiikiss
  • Anonymous

    Anonymous

    17 July 2012 at 15:08 |
  • Mama B

    Mama B

    17 July 2012 at 16:33 |
    oh, Nimependa sana safari yako na kumzoeza mtoto mambo ya alipotoka. one thing umeboa ni kusema u thank God UR MAM WAS BURIED IN DAR OMG u must go to ur mama mdogo na ndugu zake. wale ndo ndugu zako hasa my dear
  • Mie Hapa

    Mie Hapa

    18 July 2012 at 15:23 |
    we si umeolewa? utazikwaje kwenu tena? au baba Kenzo ni hawara tu
  • geza ulole

    geza ulole

    30 July 2012 at 02:46 |
    Kumbe kwenu kumichoka namna hiyo vuta mkwanja upajenge...hata angalau a decent house mume ya Mange aweze fika! Maana nina uhakika akija huko lazma alale Moshi mjini kama sio Machame