10July

JACKY MAFURU- KITCHEN PARTY....

 

 

Decor by Herry Naser...chezea yeye...

Bride and maid of honor...

 

OK hands down, bi harusi mzurijeeeee???

 

 

 

 

 

 

kwa raha zenu......

 

 

 

 

 

Bride na mabesti zake. Ashura, Devota and Sarah...

 

Myler...

 

Bea, Saada, Killy and Jully

 

 

aaaaawwwww....Mishi na shoga zako mlifunikaaaaaaaaaa.......

 

Mishi na shoga zake waliingia hivi na sare yao wenywe....

 

 

wow, nimezipendaje hizi nguo?? WOW.....

 

 

Mamaaaa Amina designs....mzurijeeeeeee!!!

 

muda wa keki...

 

BFF Herry Nasser....huyo ndo alipamba....mtwangie

 

Mishi ulipendezaje sasa???

 

Mshi na shoga zake pia ndo walifanya suprise la kumleta malkia wa mipasho Khadija Kopa.....

 

Bi harusi alikata mauno hadi chini....

 

wenye viono vyao walivikataje.....

 

FARIDA Kwa kweli uliwafunika woooooote waliovaa sare hii.....

 

love love love this design....

 

Masha

 

Huyu dada nimempendaje. kwa raha zake....

 

ni mapozi tu.....

 

aaaaawwww @ Mariam i cant wait to hold the baby.....cuteness....

 

Mwanamke tako na haswaaaaa ukiwa nalo.....lolest

 

Salma Kimora...

 

Sarah

 

Mercy...

 

SHAMIM.

 

Kay

 

Ellygiver...

 

Philo

 

 

 

 

My girl Saada....

 

aaaawwwww....mi girl....

 

Bea and Saada....

 

 

Mboni wa the Mboni show...

 

Monica....

Comments (199)

  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 03:18 |
    off topic Sarah ana mimba tena? Mashallah
    • Anonymous

      Anonymous

      10 July 2012 at 03:25 |
      Yakwake inaitakia nini?cheers
      • Anonymous

        Anonymous

        10 July 2012 at 17:24 |
        jamani mtu kauliza tu....
      • forgot her name

        forgot her name

        11 July 2012 at 00:09 |
        ze utamu yutani yote kwishney yageuka uwanja wa fisi new mawaziri komenti mpya koku komenti rangi sawa na wajumbe baby ya mange wa kugushi like na dislike noti rechabo kazi kwelikweli niko mbioni kutafuta nyumba nyingine ya kupanga
    • PLUS

      PLUS

      10 July 2012 at 08:41 |
      HEHEHE KWANI ANALALA NA KAKA YAKE, MWACHE AWE NA MIMBA HATA MARA TANO
      • Anonymous

        Anonymous

        10 July 2012 at 17:26 |
        si kauliza tu jamani kwani ugomvi?
        • PLUS

          PLUS

          11 July 2012 at 09:27 |
          Ndo kajibiwa
          • fundi Ali Kariakoo

            fundi Ali Kariakoo

            12 July 2012 at 22:29 |
            鮑厚星, 陳暉鮑厚星, 陳暉鮑厚星, 陳暉 kimenukaa designer
    • Marinyau

      Marinyau

      10 July 2012 at 08:52 |
      Tena nimepita kwenye blog fulani nimeona na Jakete ana mimba sijui ya nanirolling eyes
    • makerubi

      makerubi

      10 July 2012 at 09:39 |
      si mchezo
      • muddy washington

        muddy washington

        11 July 2012 at 08:34 |
        lol sijui ninzie wapi,leo nilikua kwenye msiba Boston kuna mbongo mmoja mwanangu wa ukweli kafariki,Patreen Kibelloh,R.I.P. Brother,mbele yetu nyuma yako.

        Other kuhusu kp,naona imetisha mbaya,Mama Amina Plummer a.k.a Amina Design yuko juu sana huyu mtoto wa kike,manaake haeleweki kama ni mtoto wa kimanga au kibantu,anagonga kote kote,reception ya ukweli shepu mashallah.

        Mrembo picha namba 35 havumi lakini yumo,ana matako mazuri mbaya.

        Mwisho haitapendeza kama sijaizungumzia picha namba 32 na 35,dada kwenye piche hizo anaonekana anaijua michezo mingi sana pamoja na mikao husika ya michezo hiyo,(mumewe kama kaolewa lakini)anafaidi sana mautundu ya dada

        sayz muddy washington
    • Muke Ya Albino

      Muke Ya Albino

      10 July 2012 at 14:48 |
      Maandiko yanasema Enendeni mkaijaze Dunia..... .....
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    10 July 2012 at 03:28 |
    wow!brilllliant....very classiq everything on point! Every one looking fab,...the golden n blue color is awesomest....ukumbi umepambwa kizungu very simple n nice no makorokoro ya marangi mengi yani nimependa kila kitu hadi cake ilivosimple,hao wenye dresses za blue pendeza saaana wamefanya hii event iwe classiq zaidi marangi rangi nayo yakizi sanyingine hayapendezi.
    • 9ja girl

      9ja girl

      11 July 2012 at 00:45 |
      hump mhhh tanda la mchina mechi itaisha na penati
      • Mshamba

        Mshamba

        11 July 2012 at 07:14 |
        9JA Girl, Umeitoa wapi hiyo hump emoticon? Kweli U-turn mna vijimambo kweli. You cracked me up well and goodoh go onlaughing
      • baby ya Mange

        baby ya Mange

        11 July 2012 at 09:54 |
        heheh kumbe kikatoon cha kudo nilikiona but sikukielewa hahah...plz plz baby im start gettin tired of waitin for like n dislike....its kinda borin n it feels like im missin people attention n u dont hav time with me anymoreheartbreakhump najitaftia bby mwingine bye.
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    10 July 2012 at 03:35 |
    bi harusi mzuriii kweli, i like her dress n her make up.sema hair style kidogosoftdrinksilly
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    10 July 2012 at 03:49 |
    hehehe fashionista Saada kilemba chako ka bibi wa kichaga hahahaMJ
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    10 July 2012 at 03:51 |
    Devotha Diva mzuriiíi akinipa sikatai!blowkiss
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    10 July 2012 at 04:02 |
    wow didnt know Mishi got brown eyes....aw!sexy!Nywele yako pia iko juuuu sana ma,...

    Nimependa mshono wa huyu dd wa3 from the bottom peplum not sure of the spellin hehehe
    halafu kumbe decent maxi dress can change a person look!enhe
  • Aionic

    Aionic

    10 July 2012 at 04:08 |
    omgwtfha the expressions i had on my face when i saw the lady lying on the floor...hahaha i just had to comment on this post. lmaoooo...i cant stop laughing.. she mustve bn dead drunk to do tht or was in the best mood in her life...no hate! she gv me a gud laugh
    • anchiwela

      anchiwela

      10 July 2012 at 17:39 |
      Mhhhh kwakweli, umeona nilimshangaaje kweli kapinda alafu kipotabo
  • wifi ya mange

    wifi ya mange

    10 July 2012 at 04:35 |
    kweli hands down bi harusi mzuri sana.goodluck jacky
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 04:51 |
    Hivi huyu bea mbona always anavaa kiajabu hivyo???
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 05:20 |
    Hongera sana former jirani wangu wa Ubungocheers
  • kuntuafro1

    kuntuafro1

    10 July 2012 at 05:40 |
    Biharusi Kapendeza lakini angevaa nguo color nyingine sio hiyo. Kwa kuwa Gold ndio base color, her dress looks like Mwami dress tofauti ni kidgoo sana Mwami ilikua ni gold & Purple.Si unajua tena you need to look different on your special day ni one time thing hairudii tena i'm just saying.
    • KIBONGE

      KIBONGE

      10 July 2012 at 12:44 |
      kwel hata mie nmeona ingebid abadilishe kidogo kubadilisha rangi tu haitoshijmn,mana mwamvita alivaa miss tz kila mtu akamsifia na ilionekana sana tu kwa mitandao,af na rangi ya bint makamba pia ilkua nzuri
    • ney

      ney

      10 July 2012 at 13:44 |
      Dia sio kwmb wht matters on ths special day ni muhusika kuvaa anachopenda!?I mean she liked the dress in the 1st place thts why akaona avae hivo.
    • Pinky

      Pinky

      10 July 2012 at 15:05 |
      True that hata mimi nlivoona nlidhani ni ya mwamy alovaa miss tz
      • fundi Ali Kariakoo

        fundi Ali Kariakoo

        12 July 2012 at 22:32 |
        鮑厚星, 陳暉鮑厚星, 陳暉鮑厚星, 陳暉 kimenuka designer wa nguo
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    10 July 2012 at 07:15 |
    Hongera JACKY MAFURU,walipenndezajelicking I LOVE I LOVE THE DECOR WAS DOPEblowkiss
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    10 July 2012 at 07:26 |
    butceo mbona hukuwepo yani ukiupdate event pictures kama hivyo first thing natafuta in the pics is wheremange at,sasa nisipokuona naborekaje,see can i call it inlove or crush??LOLhappylicking
    • Jas

      Jas

      11 July 2012 at 09:55 |
      Hisia zangu zinaniambia kua siku zile ulivyowatukana kwenye mtandao bado wameliweka ndio maana hawakukualika kwenye shughuli za shoga yao.
      Ninavyokusoma kwenye blog yako naona wewe ni mtu usiependa kuguswa/kuchokozwa ila ukishamwaga cheche zako unasonga mbele na hujui kuweka kinyongo. Kwa bahati mbaya sio watu wote unaokosanana nao wana moyo kama wako.
      Kheri kama hukualikwa, kila uepukano nalo lina kheri na wewe kwani shughuli ngapi hua unaalikwa itakua hii.... mawazo yangu tuu.
      • Nai Nai

        Nai Nai

        12 July 2012 at 22:40 |
        Sidhani kama hisia zako ziko sahihi, simtetei Mange lakini haingii akilini wamnunuie kwa kuwa walitukanwa kwenye mtandao, kisha tena hao hao wamtumie picha za shughuli yao tangia mahari, sijui kibao kata mpaka leo kitchen party. Do you think ina make sense?
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 07:37 |
    huyo mercy ni mercy galabawa?
  • c's mum!

    c's mum!

    10 July 2012 at 07:38 |
    huyo dada aliyenyanyua mguu juu kha!lmao ila ol in ol kitchen party ilipendeza, akatulie sasa huko kwenye ndoa, ourceo unajua kuelezea story haswaaaaa big up kwako, na pics zimejipanga, nilipita jana kule kwa joka la mdimu, linalopopolewa mawe ya fatuma kha, mtiririko hauko sawa wallah, kila leo aheri ya jana, MANGE we nihakunaga
    • KIBONGE

      KIBONGE

      10 July 2012 at 12:29 |
      C'MUM kwan wewe sio waziri wa u turn? mbuna hujaweka kipicha
      • c's mum!

        c's mum!

        11 July 2012 at 08:51 |
        nitaweka bado sijapata what i want kuweka! mwahhhblowkiss , kwema utokako?
    • Anonymous

      Anonymous

      10 July 2012 at 13:06 |
      mwanamke mnafki wewe angalia tu usije kufa kinywa wazi
      • Anonymous

        Anonymous

        10 July 2012 at 19:55 |
        kissmyass mnafiki shangaz yako
        • c's mum!

          c's mum!

          11 July 2012 at 08:56 |
          blowkissblowkiss thanx mwaya kwa kunitetea!
      • c's mum!

        c's mum!

        11 July 2012 at 08:50 |
        fuck you tena unastahilislapping hebu tokomea huko, achana na mimi!chase nyooooooooo!
      • ngosha

        ngosha

        11 July 2012 at 15:23 |
    • Maudodo

      Maudodo

      10 July 2012 at 22:11 |
      yani c's mum we acha tuceo wetu kifaa bwana yani akipangilia picha na maneno utapenda zisiishe, me mwenyewe nilipita kwa shoga ako joka lo nilichefukwa, ye mwenyewe sare hana anamsingizia eti fundi ally, fundi ally myshakebutt kwanini asipeleke mapema.. bi harusi alipendeza na shughuli ilifana hasa wageni waalikwa waliitendea haki sare
      • c's mum!

        c's mum!

        11 July 2012 at 08:55 |
        maudodo upo?? nalipendaje jina lako?? kha! ceo wetu hana mpinzani and wanajua hilo, lolest! mkinionea tajibeba na marichui waambieni wakam this way nimewamiss kha!blowkissblowkissblowkiss
        • Tajibeba

          Tajibeba

          12 July 2012 at 12:16 |
          miss you more my C's mum nilikuwa kimya bcz i was trying to register my signature Tajibeba in this addictive blog. im now officially on beibeyahoo Thanksceo for responding my email promtoblowkiss
        • m a r i c h u i

          m a r i c h u i

          15 July 2012 at 18:17 |
          miss you too c's mum hii nyumba mpya bado inazingua ..
    • Anonymous

      Anonymous

      11 July 2012 at 16:02 |
      C'S MUM..BWANAKO AMEACHA KUKUslapping ? MWENZIO WANGU ALITAKA KUANZA JANA..NILIKAMATA KONO LAKE KA CHEPEO NIKAMNG'ATA, ALITOA MLIO KA KONDOO ANAEPELEKWA MACHINJIONI..NIVOSIKIA ULE MLIO SI NIKAPANIC NIKAJIKUTA MKONO UKO KATIKATI YA MIGUU YAKE WACHA NIMINYE THEM BALLS, NIKASAHAU KABISA KAMA NDO ZILIZONIPA MA WONDERFUL BABIES..ALITOA MLIO WA AJABU SIJAWAI SIKIA B4 KHE, IT WAS REALLY SCARY!!NIKAMWACHIA MACHO YAMEMTOKA UTAZANI DUME LA PANZI ..MBONA ALIENDA KULALA. LEO NIMEJIKUTA NAMPIKIA SUPU ZA KUMPOZA KILA AKINIANGALIA HAAMINI YALOMSIBU ANACHEKACHEKA TU..HE HE HE BUT IM WATCHING MY BACK HAKUNA KURELAX UMU NDANI..RAHA YA NDOAcheers C'C MUM
      • Nai Nai

        Nai Nai

        12 July 2012 at 00:44 |
        rolling on the floorrolling on the floor nimechekaje leohahahahahaha , sidhani kama atarudia tena siku nyingine. Mimi wangu kwenye prenuptial tulikubaliana kuwa siku atakayonyanyua mkono wake ndio talaka yangu haina suluhu wala shahidi. Kupika mtu ni criminal offence, sasa ngoja uje ubebwe umepiga mume kama wanawake wa Kenyahahaha
      • c's mum!

        c's mum!

        12 July 2012 at 14:38 |
        kha yuke wangu imebidi ajufunze alama za nyakati! akiona simfai wenzie watanirukiaje fastaaaaaa??? kha! hebu tunywe na cheers juu kujipongeza kwa kuishi na hawa mabondia, lolest!popchampgnecheers
        • JaCqiie

          JaCqiie

          13 July 2012 at 22:50 |
      • Anonymous

        Anonymous

        15 July 2012 at 06:31 |
  • Dina

    Dina

    10 July 2012 at 08:09 |
    shakebuttMJ
    Sara ni mjamzito?cheerspopchampgne
  • Shanice

    Shanice

    10 July 2012 at 08:10 |
    Jamani Mange wangu wewe hukuwepo? every Town function napenda kukuangaliaga wewe, Shamim na Mwamvita!
  • mama t

    mama t

    10 July 2012 at 08:12 |
    fabolous decooor,big up kwa paco deco.marvelous gaun jack ulinogajeeeeeeeeeeeee sasa sweeeeeeeeeet ur a six million dollars.mange darling wapi sasa mimi bado ona wewe.saaaaaaaaaaaaaaaaaada all the way from uk as usual ulitokelezeaaaaa mimi penda wewe saaaaaaaaaaaaana
  • anchiwela

    anchiwela

    10 July 2012 at 08:32 |
    Jamaniceo wetu kibao kata hatukukuona, kitchenparty pia haukuwepo nini shida wanakuogopa niniwakuache
    • ney

      ney

      10 July 2012 at 13:47 |
      Mweeeeee
  • PLUS

    PLUS

    10 July 2012 at 08:40 |
    SHAMIM HAPO ILIKUWA BIG NOOOOOslapping
    • koku

      koku

      10 July 2012 at 13:36 |
      bora umeiona hiyo. kuna wengine nguo za kushonesha kwa fundi juma huwa haziwapendezi kabisa. vitambaa vya kuunga ungawtf hata huyo saada hakupendeza ni hizomatiti ndio zimempendeza
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        10 July 2012 at 22:20 |
        POINT!!
        HUWA MARA NYINGI NAONAGA SHAMIM ANAKOSEA, SHE IS A BEAUTIFUL WOMAN MWENYE UMBO ZURI, JARIBU LABDA KUBADILISHA FUNDI? THIS LOOK IS A BIG NO, ESPECIALLY HIVHO CHA TOP, MAKES YOU LOOK OLD.

        NA BIBIE SAADA, GIRL U LOOK DIFFERENT, NI HAYO TU.
        • PLUS

          PLUS

          11 July 2012 at 09:34 |
          yaani kalook old sana, utafikiri mmama wa kizamaniii, Shamim badilika bwanad'oh
  • Evannes

    Evannes

    10 July 2012 at 08:50 |
    Bi Harusi Kapendeza sana. Kila la Kheri mama. Salaam zangu za dhati zimfikie Devotha matron kwa kuvaa hiyo bdtight ya gold. Maana vinginevyo angeshine sana kuliko bi harusi. Safi sana Diva kwa kulitambua hilo na uka act accordingly..!!
  • KIBONGE

    KIBONGE

    10 July 2012 at 08:51 |
    :omg:wamependeza sana.... Jacky ni mrembo jaman wish ugoodluck , ,licking

    afu hiyo gaun n kama ya mwamvita....,
  • Baby Face

    Baby Face

    10 July 2012 at 09:00 |
    sonyaukojuu Jacque u look super AWESOME Ma'am.hakunaga

    You nailed it my dear... this so classy , i like the theme and everything you got choices Jacque.. wish you luck and super happy life in your future new life...
  • Mrs Jimmy Choo

    Mrs Jimmy Choo

    10 July 2012 at 09:28 |
    ukojuu Iheart Jacky Mafuru!diva naye katokea
    kweli walipendeza sana wote!congrats Sarah!Muddy Washington umemuonamukeya Devota Diva?hahhahahah
  • luluirene

    luluirene

    10 July 2012 at 09:37 |
    Awwwwwwwwwwww watu walipendezaje sasa?!?!?!?!?igaufe



    Butterflyfan
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    10 July 2012 at 10:35 |
    Nilikua na harakisha ku-scrow down hoping will see Mange alivyopendeza...... Nimeshushukaje???fan
  • lulu ibrahim

    lulu ibrahim

    10 July 2012 at 11:19 |
    walipendeza shughuli nzuri sana, ila nilikuwa natamani kama ningekuona mange ambavyo ungependeza
    • Anonymous

      Anonymous

      10 July 2012 at 15:06 |
      Mange hapo hakanyagiii she is out numbered!!!kubwa
      • Kijaruba

        Kijaruba

        11 July 2012 at 00:11 |
        Sio kundi au group lake, maana mujini kuna makundi;

        1. La wale waliokulia Osterbay, Masaki, Mbezi Beach yaani wale life kwenye silver plate.

        2. Kundi la wale wamekulia Sinza, Chang'ombe Kurasini, Kinondoni, Tabata i.e kind of middle class lakini ama ndoa au biashara zimewatoa huko na kuwapeleka Mikocheni, Bahari beach, Mbezi beach, Osterbay na Masaki; Na hili ndilo hilo kundi la watu hapo juu.

        3. Kundi lingine ni la middle class wa Kariakoo; hawa wanapesa sana tena inaweza kufika stage ya kushinda wa class hizo nilizotaja hapo juu, pesa zinazotokana na majumba na maduka wanayopangisha Kariakoo.
        • Mshamba

          Mshamba

          11 July 2012 at 07:30 |
          Kijaruba umenilaughing sana! You are so right. i never actually looked at it that way kabisaathumbs up

          Hata mimi mwenyewe kundi langu ulilolisema hapo juu ni ukweli kabisaaMJdanban
  • lala

    lala

    10 July 2012 at 11:33 |
    blunt naona Sarah anafungua kindergaten! safi sana..........birthdaydance
    • anchiwela

      anchiwela

      10 July 2012 at 17:43 |
      dontbebitchy Wivu.com kama kuzaa kazi rahisi zaa ww alafu fungua kindagateni muache mama rara kwa raha zake babu weeeeee
    • PLUS

      PLUS

      11 July 2012 at 09:37 |
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    10 July 2012 at 11:41 |
    jamani bi harusi mzuriiiiiiii msafiiiiiiiii kila la kheri
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    10 July 2012 at 11:41 |
    watu woote mlipendezaa sanaaaaaaaa i can wait harusiiiiiiiii
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    10 July 2012 at 11:43 |
    mpambajihakunaga
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    10 July 2012 at 11:44 |
    Nampenda sana Sara Jamani , I cant wait to c another Malaika ...Mpoleeeee
  • space

    space

    10 July 2012 at 12:00 |
    they luk awesome,bt sijakuonaceo wapimange
  • dadayawema

    dadayawema

    10 July 2012 at 12:08 |
    Jacq mzuri sana...kapendeza sanaaaa
    waliopendeza
    1. nihuyo baada ya philo afu alitoka mwenye nywele nyingi sijui bea then wa chini yake, nguo yake nzuri, yupo natural, nice hair style...she luks sooo gud...nguo yake ina ua kwenye bega
    2. ni your gal Saada, kavaa vizuri, make up safi, nguo simple...safii. na kilemba ndio swaga, mwanamke kujiamini.
    3.Kay
    4. huyu chini ya bea na sada hapo nguo yake ya blue kitenge kidogo kaweka kiunoni, nguo classic...
    mshono wa nguo wa wema aliovaa siku anazindua movie yake naona ulipendwa... na huyo Monica bahili hivi kashona ile skirt ili aweze kuvaa na ofisini ila kapendeza

    3 leo nimeamini kweli nguo ni shepu ya mtu, yaani katika lile kundi la waliovaa sare ya bluu nimependa Mishi na Amina design ila jamani wengine mweee zimewatoa vibaya hatuoni kiuno wala mgongo ha ha ha wanadanganyana. amina mzuri,shape yake mashalllah
    Madiva wameolewa wote bado nani? sasa Sarah kama anzeeka, wapi devota wa Sweden? na vivian kanenepa sana ghaflaaa.
    Mange naona u turn inaniingia kwenye damu ngoja nikasome mimi...education is sex
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    10 July 2012 at 12:09 |
    Desperate nakubali nimechemka bwana ....hakiji kipicha mwenyewe nilipaka wanja nikapiga picha nitokee U-turn mwe !
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      10 July 2012 at 22:24 |
      LMBAO JAMANI POLE MWAYA, NA KUJIANDAA KOTE, LABDA CEO AKU EMAIL ZAIDI. UME MAKE SURE UME CLICK KUCHAGUA PICHA YA KUWEKA?JAPOKUWA UMESHA DOWNLOAD NA KU CROP BADO UNA OPTION YA KUCHAGUA MOJA. USIKATE TAMAA. TRY AGAIN
    • Nai Nai

      Nai Nai

      11 July 2012 at 14:59 |
      Kwanza kabisa hiyo picha yako ipunguze size kwanza maana tatizo mara nyingi huwa linatokana na ukubwa wa picha. Unafanyaje kuresize?

      Kama picha yako imefunguka kwenye window viewer basi pale juu utaona File;Print; Email; Open.

      Click Open then chagua Microsoft Office Picture Manager.
      Ukiingia humo utakutana na File, Edit, Views, Tools, Achana navyo hivyo; mbele yake utaona Edit pictures na Autocorret; Click edit pictures. Kisha utaedit picha yako humo kwa kuicrop sehemu unayotaka. Ukimaliza kuicrop (kukata sehemu ambazo huzitaki) close that kisha click RESIZE.

      Hapa kwenye resize ndio utapunguza ukubwa wa picha yako ili iwe web friendly. Pale kwenye Resize kuna Original size na Predefined width and height chagua hii kisha utaona size mbali mbali; hapo chagua WEB SMALL. Kisha save picha yako ili hizo changes zionekane. Mara nyingi watu hawaseti size ya picha kwenye camera kwa hiyo picha inakuwa size kubwaa inaenda kwenye MB badala ya kb.
    • Nai Nai

      Nai Nai

      11 July 2012 at 15:07 |
      Kingine baada ya kurisize picha yako ikawa web friendly na ushaisave, basi unaenda kule unabrowse na kuidownload kwenye account yako, utaicrop tena kama bado unaona size ni kubwa au you just wanna put a small part of your picture, kama picha yangu hapo unaona nimeweka macho yangu tu, sehemu nyingine za uso nimekata.

      Ikishaonekana picha yako utawekea rating choices, choose G; maana hiyo ndio inafanya picha yako ionekane sehemu yoyote na kwenye website zozote, ratings nyingine zina limit wapi picha yako itaonekana.

      Jaribu hizo 2 process tuone, ukishindwa hizo tena basi itabidi uende baharini ukaoge maji ya chumvihahaha itakuwa labda bidada wa mine s kakuwekea gunduhahaha Just joking, I wish ningekuwa karibu yako ningesort out your problem.
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    10 July 2012 at 12:11 |
    hurl huyu anatapika au hahahahaaa
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 12:13 |
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 12:13 |
    mbona shogayo mti wenye kupigwa mawe sijui haukumuweka lohlmao
    • Maudodo

      Maudodo

      10 July 2012 at 22:26 |
      hana saresonya humu wanatokelezea waliovaa sare tusorry
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 12:20 |
    Hi dada Mange, picha zako ni nzuri sana ila picha ya 16 Jokate nguo yake imemuacha WAZI SANA na huyo mdada picha ya 32 and 33 mmmmmmm ana mambo.
  • Nai Nai

    Nai Nai

    10 July 2012 at 12:36 |
    Wow! Huku kwaceo wetu ndio event imeonekana vizuri kuwa ilikuwa classic, watu walipendeza sana hasa hao wadada waliovaa nguo ndefu za blue. Bi harusi alipendeza haswa kama kawaida yake!!

    Mishy unapendeza sana ukivaa nguo kama hiyo yaani hata sikukujua wallahi, kumbe wewe ni mzuri hivyoo? uache sasa kuvaaga zile nguo zinakutoaga kiroja midam ushajua ni nguo gani zinautendea haki uzuri wako!!

    Jamani dada wa manjonjo kwenye red carpet naona alikuwa anafuraha ya ajabu, mwacheni amwage radhi.
  • Nai Nai

    Nai Nai

    10 July 2012 at 12:39 |
    ceo mimi nina suggestion kwa hii sehemu ya kukomenti, kama Admin anaweza kuweka hiki kibox cha kukomenti juu ya hizo emoticons ingekuqa poa zaidi, maana tutakuwa tunavichukua kwa chini ya comment!! Lakini akishindwa hata hivi ni poa.
  • JaCqiie

    JaCqiie

    10 July 2012 at 12:55 |
    Philo's Hair is the business....Me love it

    woohoowoohoo
  • Muke ya Muchina

    Muke ya Muchina

    10 July 2012 at 13:12 |
    Biwaves harusiblowkiss na baadhi ya watu wamependeza piagoodluck

    Ngoma iko kwenye Blue carpet hapo bi dada huyo funga kazi na pozi lake la mwaka vishanshuda woote mikononot worthythumbs downthumbs down mnacheza na wa MUJINI nini keshapatadrinkbeer vyake mpaaanaaa!!!lmao
  • kibibo

    kibibo

    10 July 2012 at 13:19 |
    ktchen party ilikua poa sna mange, watu wamependeza kwel kwelukojuu
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 13:39 |
    oh, what's a cute bride!! her face is the next level beautiful
  • kibajaji

    kibajaji

    10 July 2012 at 13:41 |
    hebu watu tuwe wastaarabu ktk maamuzi ya wengine! mtu akizaa watoto hata 10 wewe inakuhusu nini? wanao uwezo wa kulea mkiona hivyo. acheni tabia za kifirauni kufuatilia issue za kuzaa au kutozaa. watoto ni zawadi toka kwa mungu. na tuliambiwa tuzae na tuijaze duniagoodluck
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 15:13 |
    Mange mbona we hakunaga kwenye Party za jackie? na kukiss ass kote kumweka kwenye blog yako bado hawakualiki au wanaogopa milipuko yako ya CL itawafanya wakuangalie weye muke ya muzungu na si mtarajiwa? looool, wakukomejeeee
  • anonymous1

    anonymous1

    10 July 2012 at 15:37 |
    haya kila la kheri huko uendakolicking
    :hump:
  • Mama S

    Mama S

    10 July 2012 at 15:38 |
    MJshakebutt jamani ilibidi tu nicomment kwa sababu ya hivi vikatuni viwili hahahha
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 15:45 |
    nzuri sana
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    10 July 2012 at 16:30 |
    MANGE JAMANI ULIMISI YAANI NILIKUWA NAKUTAFUTA NIONE DRESS
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    10 July 2012 at 16:32 |
    WOW, THE BRIDE TO BE IS LOOKING ABSOLUTELY GOWJAZ!! THA MAKE UP IS ON POINT, JUST PERFECT SHADES. HAIR TOO GOWJAZ AND DRESS AND SO ON AND SO ON. NA MATRON PIA KAMA KAWAIDA, THEY ARE BOTH SO BEAUTIFUL..

    WADADA WA BONGO NAOMBENI MUIGE MFANO (MNAJIJUA MNAO JIPAKAGA MAKE UP KAMA MAPEPO, PURPLE AND YELLOW AND BLUE EYE SHADOWS NA NYUSI MNAZIJUA SIHITAJI KUELEZEA) KUMBUKA KITU KIMOJA KWAMBA ONE DAY YOU GONNA SHOW THOSE PICS TO YOUR KIDS, SIDHANI KAMA UTAPENDA KUWASHTUA LOL AND SECOND NI MEMORY YA LIFE TIME,
    NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA KWA YOUR BIG DAY BI HARUSI.
    CANT WAIT TO C THE WEDDING PICS.
  • killer queen

    killer queen

    10 July 2012 at 16:34 |
    Bora jaky kajiamulia zake kuolewa na black wenzie sio lazima kila mtu aolewe na mzungu..kaona wazungu wanambabaisha alafu mbona sijaona zawadi jamani.mange mbona ujapiga picha za zawadi au akutunzwa
    • Anonymous

      Anonymous

      11 July 2012 at 06:31 |
      Ingia kwa Shamim ameweka video clip ya Jackie akimtunza mama yake....amechafua sakafu na notiiiiiiiiletsparty
  • Mie Hapa

    Mie Hapa

    10 July 2012 at 16:45 |
    Afadhali hukwenda...sasa full kujipendekeza kuweka picha zao...lol
  • Anonymous

    Anonymous

    10 July 2012 at 17:16 |
    Mboni mbona kapooza!kaogopa watoto classic kwenye kparty maana kazoea kitaani kwa kina fally ipupa tu
  • Jitu kali

    Jitu kali

    10 July 2012 at 18:28 |
    Jamani wote humo ni weupe hivi hakuna hata mweusi Mhh haya mboni kazi Black is beautiful bwanalaughing
  • kuntuafro1

    kuntuafro1

    10 July 2012 at 19:20 |
    lmao eti umbea shughuli wabongo wamedata wanavijimisemo!!!!
  • Bichwa Kubwa

    Bichwa Kubwa

    10 July 2012 at 19:31 |
    mmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhh!!!cheers
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    10 July 2012 at 19:34 |
    Wapi muke ya Patel hahahhaha muhindi wetu wa uturn hehhenerd
  • kenzos grandmaa

    kenzos grandmaa

    10 July 2012 at 19:40 |
    hahahahaha naona kijoti aka mpenda makombo,na nguo yenye kora kama mbunge aliyefukuzwa kazifreedom ila party ilikua poa nimependa Jullys hair style.
    • PLUS

      PLUS

      11 July 2012 at 09:48 |
      rolling on the floor watu mna maneno eti mpenda makombo, hahahaha
    • Anonymous

      Anonymous

      12 July 2012 at 07:06 |
      rolling on the floor umenichekesha mno
  • MAGJITHA

    MAGJITHA

    10 July 2012 at 21:29 |
    sonyaceokubwamukeyaukojuuwakuache ,goodluckmangeeducationMJ
  • megan

    megan

    10 July 2012 at 21:56 |
    pendeza sana hapo kakosekana tu maimatha wa jesse kwenye hilo kundi nimependa nguo zao hapana chezeya amina design hakuna kuachwa, mzurijeeee
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    10 July 2012 at 22:30 |
    humphump

    HEHEHEHHEHEE NILIKUWA SIJAONA HIKI KIKITU LMBAO BASI IKABIDI TU NIKIPOST, HAHAHAHAHA
    • Anonymous

      Anonymous

      11 July 2012 at 07:21 |
      mimi kimenitia stimu ya ukwee
    • c's mum!

      c's mum!

      11 July 2012 at 09:08 |
      hahahahahaha we nawe mpana! khaaaaaaa! nakwambia mange nihakunaga
  • koku

    koku

    10 July 2012 at 23:33 |
    hili gauni la bi harusi mtarajiwa linaleta songombingowhitch kuna sehemu nimekatiza ni malumbano ya hati miliki..lol..kati ya SHERIA NGOWI NA JACKY M, mkisikia limeibiwa na vibaka msishangaefreedom
    • kibonge

      kibonge

      13 July 2012 at 08:04 |
      wachina kiboko
  • Inahusu

    Inahusu

    11 July 2012 at 01:13 |
    Hongera Bibi harusi kwa kuelekea funga pingu za maisha na uende ukampede mmeo. Hongera sana.birthdaydance
  • Ti Vancouver

    Ti Vancouver

    11 July 2012 at 02:33 |
    Bibi harusi kapendeza mno mzuriii . Naona kila mtu kapendeza. Siku hizi bongo kama unataka kuolewa na mshiko ni mdogo naona unaweza kupata stroke kwa mawazo kwani watu wanaulambia mnoo.
    Ukianza kushuka mahesabu kwanzia kibao kata mpaka harusi si mchezo. Hongereni mnaolewa kipindi hiki.
    • BODABODA Girl

      BODABODA Girl

      11 July 2012 at 10:07 |
      laughing ni kweli kabisa mdau!!!unaweza ukajikuta unalia hivihivi kwa kukosa pesa za kupendeza
    • bimkora

      bimkora

      11 July 2012 at 17:29 |
      MUJINI KAZIigaufe
  • Fatuma mtanga

    Fatuma mtanga

    11 July 2012 at 08:40 |
    MANGE BWANA U TURN HII HATA HAINOGI SIO SIRI,MBWEMBWE ZIMEZIDI MPAKA IMEKUA KERO,NAUNGANA NA WASIOPENDA MABADILIKO HUMU NDANI KUILILIA U TURN YETU YA ZAMANI,VIKATUNI NA VIKOLOMBWEZO VIMEKUA KERO KUTOKANA NA BAADHI YA WATU HASA WAKUJA KUVITUMIA HATA PASIPOKUWA NA ULAZIMA WA KUFANYA HIVYO.

    SIJALI MADONGO TOKA KWA WAKUJA U TURN HABARI NDIO HIYO LIVE BILA CHENGA NA MANGE USIIBANE NIACHIE MWENYEWE
    • Lady L.A

      Lady L.A

      12 July 2012 at 00:45 |
      Nakuunga mkono shoga page imekua too busy ule uclassic wote umetoka..basi ukiifungua wenye simu ndio dah utasahau kabisaa mwisho unaghairi unaingia kwa nothing but confidence maan kwake ukiclik tu page imekuja juu..

      na hivi kunavyodorora siku hizi update siku 3 ndio uone mpya na simpya maana blog nyengine zishajaa.. Mange whats wrong????
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      12 July 2012 at 17:15 |
      NAFIKIRI NI WATU TU WAWE NA ADABU KWAMBA IF U DONT HAVE TO USE THEM JUST DONT. KUTIMIA KIMOJA AU VIWILI SI MBAYA, INA BOA PALE MTU ANAPOJAZA MKOMENT MZIMA KHA.. MI NAVIPENDA KWAKWELI
  • lulu ibrahim

    lulu ibrahim

    11 July 2012 at 09:30 |
    shakebutt hahahha jamani yani mi hoiii iki kikatuni
  • Vanessa

    Vanessa

    11 July 2012 at 09:34 |
    Huyo monica mama wa kimara aache kuvaa kama skul tocha anajizeeshaaaje?
    Sketi pana na urefu huo haikutendei haki na shape yako. Vaa nguo size yakokarate
  • Anonymous

    Anonymous

    11 July 2012 at 14:00 |
  • Sio siri

    Sio siri

    11 July 2012 at 14:02 |
    umeona koku ee hapa iko kazi hata mimi nimeona kwa jirani mjadala unavyoendelea ila sheria anatakiwa adhibiishe yrye ndo kacopy au manake mboana atajishushia hadhi , wanasema eti hata suti ivyo hivyo , chezeawabongo , mpka china mwanawani
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      12 July 2012 at 17:19 |
      EMBU NA WEWE KIZURI SHEA NA WENZIO LOL, NI NINI NA NIWAPI? KWANI NANI KAMKOPI NANI?
  • sushi puppet

    sushi puppet

    11 July 2012 at 14:03 |
    igaufe pesa mambo yotekweli ilipendeza sana ,ila huyo paco deco gues he can be flipped both wayskissass
    • Anonymous

      Anonymous

      13 July 2012 at 14:35 |
      sasa inamaana hujui kua analiwashakebutt we huo sherehe ya wanawake yupo na mashosti. na boyfriendmzungu ni muke ya muzungu pia
  • Anonymous

    Anonymous

    11 July 2012 at 14:06 |
    umeona koku ee hapa iko kazi hata mimi nimeona kwa jirani mjadala unavyoendelea ila sheria anatakiwa adhibiishe yrye ndo kacopy au manake mboana atajishushia hadhi , wanasema eti hata suti ivyo hivyo , chezeawabongo , mpka china mwanawani
  • Anonymous

    Anonymous

    11 July 2012 at 14:21 |
    MMEPENDEZA WANASHUGHULI WOOTE. ILA HAMKOSI KULALAMIKA OOH TUMECHANGISHWA HELA NYINGI, OHH CHAKULA KILIKUWA KIBAYA SIJUI AKITOSHI OHH KILIENDA KIKARUDI..TULIZANENI, SAWA,,PIGENI TU MAHESABU YA HIYO MIKOPO MLOCHUKUA YA KUNUNULIA NGUO NA VIPODOZI MJUE MTARUDISHA VIPI..cheers
  • Anonymous

    Anonymous

    11 July 2012 at 14:38 |
    saadas twins nao hawakurudi nyuma heheheMJletsparty mange turudishie basi ile midole myeshakebutt na ya kijani tujione kama tunatoa pumba au point..it means a lot to us though..All the best mtarajiwa
  • Anonymous

    Anonymous

    11 July 2012 at 15:06 |
    Herryshakebutt
  • Mshamba

    Mshamba

    11 July 2012 at 16:22 |
    Unabania sana comment mpaka inaudhi!
  • Anonymous

    Anonymous

    11 July 2012 at 17:49 |
    uyu alielala hapo chini kwenye carpet mtu mzima ovyooo, kujirusha fahamu mchana kweupee..hana hata haya isitoshe ana watoto sijui watamuonaje na mumewe pia ka anae, na kama hana imekula kwake..watuwazima wengine mhhh watoto wana afadhali..bitch ntakuslapping
    • makerubi

      makerubi

      13 July 2012 at 08:35 |
      uliambiwa watoto wake na mume wake wanaingia uturn?? hii blog unasoma wewe na mumeo sio wote waume zetu wanakuja huku hujasoma comments ya Muddy Washington kamsifiaje? rudia uperuzi ndo pozi lakeigaufe
      • Anonymous

        Anonymous

        14 July 2012 at 19:30 |
        KISS THISshakebutt
  • Anonymous

    Anonymous

    11 July 2012 at 17:51 |
    kuna mafuru mmoja alikuwa mwalimu wetu ubungo nhc primary school..ni mama yake uyu jackie nini?goodluck
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    11 July 2012 at 17:56 |
    smokesilly so so boared n nothing new to readwhew!
  • anon

    anon

    11 July 2012 at 18:41 |
    Heee kumbe Sheria Ngowi ni fake designer? Eti china copy and paste anaweka label tu? dah kina dada wa mjini wamemuabisha kiasi gani? Jackie kapendeza na gauni lake la china
  • teddy

    teddy

    11 July 2012 at 21:17 |
    Can you elaborate the saga between sheria ngowi and Jaque Kicthen party dress sheria kachambwaje kwenye facebook. Sheria katweet kuwa Kaiga design yake ambayo alivaa Mwamvita kama sikosei kwenye Miss Tanzania.
    • forgot her name

      forgot her name

      12 July 2012 at 03:29 |
      nielewavyo bongo kuna mafundi cherehani tu wajuzi wa kuangalia katalogi wanakushonea nguo kama origino hakuna cha dezaina wote kukopy kwa kwenda mbele
  • Dodo

    Dodo

    11 July 2012 at 22:33 |
    Gauni limezua ugomvi na sheria Ngowi...
    • PLUS

      PLUS

      12 July 2012 at 08:52 |
      omg kwani hakulishona Sheria Ngowi? hata kama mimi nitaleta ugomvi, wakome kuigawtf
    • Anonymous

      Anonymous

      13 July 2012 at 14:39 |
      softdrink no wonder niliona gauni kama liko familia. yeeeesssss ni kama la mwavita
  • Anonymous

    Anonymous

    11 July 2012 at 23:38 |
  • Dragon

    Dragon

    12 July 2012 at 00:59 |
    Mmependeza wadada wa mujini.
  • Anonymous

    Anonymous

    12 July 2012 at 02:57 |
    U-turn imefuliajeeeeeeeee! Girl just close the damn blog cos your really have nothing post hahahahahahahahahah.
  • The ONE

    The ONE

    12 July 2012 at 07:36 |
    blog inaboa sana sasa hivi
  • Mama Lisa

    Mama Lisa

    12 July 2012 at 10:10 |
    ceo safari njema! hata ukiibania msg delivered..
  • killer queen

    killer queen

    12 July 2012 at 11:44 |
    ni kweli hilo gauni la jaky ndo lile alilovaa mwamvita makamba kwenye miss Tanzania ata ukiangalia kwenye blog ya 8020 utamuona nalo mwamvita ,,,aibu ganiii jack nae mtu kwenye bigparty yako inabidi utoke tofauti kidogo mbona ata mafundi wa mtaani wanashona vizuri tu nguo za kichenparty tena unakua wa pekee..
  • Anonymous

    Anonymous

    12 July 2012 at 13:48 |
    mange asante sana kwa picture nzuri za party ya jack ila nimeshachoka kila nikifungua u-turn nakutana nazo hii ni week sasa,naomba hata umlete kenzo na dada yake wa Dubai.blowkiss
  • Anonymous

    Anonymous

    12 July 2012 at 13:58 |
    U-BLOG SIKU HIZI IMEKUWA MASHUGHULI
  • Anonymous

    Anonymous

    12 July 2012 at 14:02 |
    mange kushiney kweli kuachwa noma vp mzungu wako mjenzi imekuwaje tena? usijishauwe mkanda wako upo wewe kubali umeachwa
    • SOMO MTWARA

      SOMO MTWARA

      14 July 2012 at 02:49 |
      SASA KAMA KAACHWA WE NDIO UTACHUKUWA NAFASI????
      SASA KAMA KAACHWA YEYE NDIO KWANZAAAA?
      SASA KAMA KAACHWA? ULIAMBIWA NDOA YA MANGE NI KAMA MANENO YA KWENYE QUR-ANI HAYABADILIKI???
      SASA KAMA KAACHWA ULIAMBIWA LANCE KAONDOKA NAYO MANGE AKIPATA MUME MWINGINE ATAKUWA HANA CHAhump KWA HIYO HATOSIKIA UTAMU??

      KAACHWA WINNIE MANDELA, PRINCESS DIANA, NA WENGINE WEENGIIIII TUU...

      HAYA TUAMBIE NYUMBA NGAPI UMEJENGA NA MAGARI YA KIFAHARI MANGAPI UMEPATA TANGU MANGE ALIVYO ACHWAAA???/we hater
  • Anonymous

    Anonymous

    12 July 2012 at 14:42 |
    Mange si unaona wamama wa bongo wakivaa nguo za hivi wanavyopendeza eeeh zimetulia rangi moja wamefunika manyama yao kwa raha zao na wamependeza hata khadija hizi ndio nguo za kuvaa sio marangirangi kumix havinogi na nimefurahii watu wote hawajaweka maorganza kama makicheni party mengine inavuruga kwa kweli grifreedom
  • Anonymous

    Anonymous

    12 July 2012 at 17:03 |
    jamani we neednewpost pleeeeeaseceo its verry very boring
  • Aunt yake Kenzo

    Aunt yake Kenzo

    12 July 2012 at 17:17 |
  • mamasai

    mamasai

    12 July 2012 at 18:16 |
    Shamim sijamwelewa alivovaa! alikua kiofisi zaidi na sio kishughuli.
  • Anonymous

    Anonymous

    12 July 2012 at 18:34 |
    sasa jackie anagombana nini wakati gauni hili ni la mwammy kabisa? kama lile la mwammy ali design sheria ngowi basi ana haki ya kulalamika coz hili ni copy asilimia mia..no further discussion..next..
  • mtajijua

    mtajijua

    12 July 2012 at 19:48 |
    hamnaga hela za kuja harrods nini? nguo za harrods ndio utakazo vaa peke yako bongo mzima labda ushindane na mama kikwete lasivyo meezeeni tu.i mean versace,alexandra macqueen, stella na wengineo sio sheria ngowi kila kitu feki tu.kazi mnayo.
  • Maudodo

    Maudodo

    12 July 2012 at 22:29 |
    hump jipinde kidume, full miuno mpaka tanda linataka kuvunjika chezea mchakabwengo weyeeee.....!!!!
  • Maudodo

    Maudodo

    12 July 2012 at 22:29 |
    hump jipinde kidume, full miuno mpaka tanda linataka kuvunjika chezea mchakabwengo weyeeee.....!!!!
  • kibonge

    kibonge

    13 July 2012 at 08:17 |
    ceonewpost au umeenda kwa ba'kenzo kuhump

    blowkiss ourceo
  • makerubi

    makerubi

    13 July 2012 at 08:21 |
    mwamvita alivaaga gauni kama hilo la Jack wapi vile! Jack pendeza sana, Shamim, Shamim mh sijapenda top yake na skert ya ofisi tena imepauka. Mboni blouse nzuri sana ila kazidisha hilo liurembo hapo kifuani na hiyo ya chini kama imegawa mara mbili kile kituchetu au macho yangu maana miwani nayo.
  • makerubi

    makerubi

    13 July 2012 at 08:48 |
    picha ya 20 wa tatu kutoka kulia ni Robertha Feruzi dada wa Devetha Feruzi? Duh umekuwa bi dada jamani hakuna mwembamba duniani enzi zile za Primary Mwenge na Sekondary ulikuwa katoto wala hatukutegemea kama ungefumuka hivyo hongera bi dada mzuri, umekuwa na gauni umelitendea haki. Bila kumsahau Anitha Goshashi pendeza wewe. Mwenge Primary School mko juu enzi hizi.
  • Aunt yake Kenzo

    Aunt yake Kenzo

    13 July 2012 at 11:13 |
  • shostito

    shostito

    13 July 2012 at 13:23 |
    angevaa gauni lingine hilo alishavaa mwamvita....
  • Mvaa Back to Africa

    Mvaa Back to Africa

    13 July 2012 at 20:51 |
    Jamani, kweli wamependeza, ila I hope Matron pia kasikiliza kitchen party, maana naona ndoa yake inayumba hadi tusiotakiwa kujua 2najua.
    Mume wake kutwa anaandika facebook jamani whoever knows where my wife is, tell her I am looking for her, mara nini nini.
    Mi simchukii mhaya mwenzangu, ila naona soon, atakuwa divorced kama sio kuachwa, au kama vp, akiona hataki mjibu mumeweee, basi awe anadelete comments za mumewe kwenye wall yake, sio anaacha woooote tunaona jinsi ndoa yake ilivyooza
  • Anonymous

    Anonymous

    14 July 2012 at 14:23 |
    mmh!!!!!!!!!!!!!!!!napita
  • Anonymous

    Anonymous

    14 July 2012 at 19:38 |
    MANGE IVI VIKATUNI VITAZUA BALAA UMU NDANI MANAKE VIMEKAA KIUCHOKOZI SANA. WE MWENYEWE SI UNAJUA WATU WA UMU TULIVOPINDA NA KUPINDANA NA KUPINDWA..HAYAA MIE YANGU MIJICHO..shakebutt

    NI NDALANDEFU HAPA NAONGEA.
  • shiner tonny

    shiner tonny

    24 October 2012 at 20:56 |
    mpambaji ametishajeeee,.goodluck