06July
WATOTO WANAHITAJI MSAADA.....
Dear Dada Mange
Hivi karibuni nilienda kumtembelea mama yangu mkubwa aishie mbezi makabe,huyu mama yangu ni mwalimu,kwa bahati nzuri nilipata bahati ya kutembelea shule anayofundisha inayoitwa makamba,kusema kweli hii shule wanafunzi wana hali ngumu sana,katika darasa moja kuna dawati moja tu na wanafunzi wengine wote wanakaa chini.Niliumia sana,Nikajaribu kuongea na mwalimu mkuu akasema ni kweli hali ni mbaya sana,wanamatatizo mengi lakin kubwa linalowaumiza zaidi ni madawati kwan utakuta katika darasa moja kuna dawati moja tu.
Hivi karibuni nilienda kumtembelea mama yangu mkubwa aishie mbezi makabe,huyu mama yangu ni mwalimu,kwa bahati nzuri nilipata bahati ya kutembelea shule anayofundisha inayoitwa makamba,kusema kweli hii shule wanafunzi wana hali ngumu sana,katika darasa moja kuna dawati moja tu na wanafunzi wengine wote wanakaa chini.Niliumia sana,Nikajaribu kuongea na mwalimu mkuu akasema ni kweli hali ni mbaya sana,wanamatatizo mengi lakin kubwa linalowaumiza zaidi ni madawati kwan utakuta katika darasa moja kuna dawati moja tu.
Dada Mange tunawezaje kuwasaidia hawa wanafunzi?
Hii ni picha ya darasa niliopiga hapo shuleni.
Dada naomba uwasiliane na mimi jumatatu, ntakupa chochote kidogo nilichonacho. ungeweka na number yako ya simu ili na wengine watakaopenda kusaidia wakupigie simu. Ila naomba urudi kutueleza msaada walioupata hawa watoto.....
MANGE KIMAMBI

Comments (31)
muddy washington
asanteni
Anonymous
Anonymous
Anonymous
mama peace
Anchiwela
Anonymous
KISA ANAFUNDISHA MAMAKO NDO UNAONA WANATESEKA?
c's mum!
koku
anonymous
huo ndio mchango wangu ila naomba na walimu waelimishwe.
Anonymous
Kumtumia hela tu kienyeji sio busara. Iwe a bit organised kwamba zikusanywe na kukabidhiwa mwalim mkuu au iwekwe order ya madawati na kupeleka madawati moja kwa moja.
Ushauri tu jamani.
koku
Anonymous
KUNTU
Anonymous
Oscar Mashauri
Mwananchi
mangekimambi
uturnaddict
Kanunue madawtu unayoweza peleka kwani hupajui?
We waambie watu wachangie halaf uangukiwe na jumba bovu
uturnaddict
nainai2
1. Kwanza kutengeneza madawati ya mbao ni uharibifu wa mazingira, jinsi tunavyozaa watoto wengi na population inavyozidi kuongezeka lazima tukate miti ya kutengeneza madawati zaidi kwa hiyo madawati ya mbao sio sustainable solution.
2. Madawati ya mbao yanaharibika haraka ukizingatia aina ya mbao inayotumika kutengenezea na magumashi ya mafundi wetu, kwa hiyo unaweza kujaza darasa zima madawati by next year hakuna kitu.
3. Hatuna utamaduni wa maintanance, madawati yanayoharibika badala ya shule kuwa na karakana za maintanance na repair, na kama sio shule basi ofisi ya kata; madawati yanayoharibika yanaishia kufanywa kuni za kuchemshia maji ya kuoga kwenye nyumba zilizo karibu, au kuni za kukaangia mihogo.
Tufanyeje?
Umefika wakati sasa wa kutafuta njia mbadala ya kuwapatia watoto vifaa vya darasani. Nafikiri tutumie aina fulani ya viti vya plastiki ambavyo ni vidogo na ni size ya watoto kama wanavyofanya nchi zilizoendelea. Viti vikiwa vikubwa vitaishia kwenye BAR, PUB, Glosari sijui na vilabu vya pombe au kwenye vijihoteli vyetu au kwa mama ntilie. Lakini vile size ndogo hawawezi kuvitumia kwa matumizi mengine.
Kuhusu kuandika, tuige wasouth Afrika wanavyotengeneza zile hand desk za plastic ambazo wanatumia kupunguza uhaba wa madawati.
Shule nyingine za majuu zimewekwa kapeti tu watoto wakiingia darasani wanavua viatu wanakaa zao chini pasafi mwalimu anaendelea na somo hasa pale wanapochanganya madarasa na kuwafundisha watoto wengi kwa pamoja. Ila ikifika wakati wa kuandika ndio kwenye madawati. Idea ya kuweka kapeti darasa zima inafaa tu pale ambako kuna usafi wa hali ya juu na sio kwetu, lakini kwa mfano kwenye hilo darasa pangetandikwa kapeti kwa muda watoto wakasoma wakati uvumbuzi wa kudumu unaafutwa ingekuwa poa tu.
Nai Nai
pili ni ra
kuntuafro1
mimi
Anonymous
WA MIGO MIGO
Anonymous
Anonymous
Kalomba na namba yake ya sim ni0713309366 na msaidizi wake ni zania
senkondo namba yake ni 0655852077, kwa wale
wanaotaka kupeleka hayo madawati wanaweza either kuyafikisha shuleni au
kuwasiliana na hizo namba za walimu hapo juu watayapokea kwa mikono miwili.
Kuhusu bei za madawati ni kati ya 75000-80000 kutegemea na aina ya dawati.Ila naamini kwa wale watakaotembelea hapo shule mwalimu mkuu na msaidizi wake wanaweza kutoa maelezo zaidi kuhusu haya madawati.
Aisha
Kalomba na namba yake ya sim ni0713309366 na msaidizi wake ni zania
senkondo namba yake ni 0655852077,kwa wale
wanaotaka kupeleka hayo madawati wanaweza either kuyafikisha shuleni au
kuwasiliana na hizo namba za walimu hapo juu watayapokea kwa mikono
miwili.
Mungu awabariki sana
Mdigo
Anonymous