JACKY MAFURU'S KIBAO KATA......
Decor by Paco decorations...
Herry Nasser 0652 909311
Bi harusi akiingia...
Bi harusi mtarajiwa, Jacky Mafuru...
aaawwww...mzurijeeee!!!
Bi harusi na mabesti zake...Devota,Ashura and Sarah
Mishi akiwa na Bi harusi...
Naskia Bi harusi alimwaga raziii...aliingia kati kama hivi na kukata mauno ya balaaaaa....
Hubby gonna have a really good time...lol..
guests shughulini....
Edna, Jacky and Edith....
Bijoux, Jacky and Devota wa Sweden....
Amina designs and Mishi...
Elinora and Mariam
Happy....umependezaje sasa shosti???
Aunt Lilly and friends...
Sarah, Ashura and friend.
Vivien, the bride and friend...
Zena and Gyver
Devota lookinh soooo pretty.....
My girl Saada,Philo and friend...
My girl Saada....mgongo sexyyyyyyyy.....lolest....
KIbao kata...watu walikataje sasa??
Nargis and friends
Masha, Mama Kibunju and friend...
Sintah, A.K.A JLO a.k.a unstoppable a.k.a nothing but confidence...lol...
Bea, Saada, Bijoux and friend...







Comments (89)
Anchiwela
muddy washington
DESPERATE HOUSE WIFE
Anonymous
utajiju
Nai Nai
ngosha
DESPERATE HOUSE WIFE
fatuma mtanga
DESPERATE HOUSE WIFE
The Evil HR Lady
DESPERATE HOUSE WIFE
Megan
Anonymous
koku
Fatuma mtanga
Nai Nai
DESPERATE HOUSE WIFE
Tajibeba
DESPERATE HOUSE WIFE
liz d'ass
Megan
DESPERATE HOUSE WIFE
muddy washington
melisaa
DESPERATE HOUSE WIFE
Anonymous
melisaa
Anonymous
Anonymous
koku
DESPERATE HOUSE WIFE
DESPERATE HOUSE WIFE
nyAaaaaa
Tajibeba
Muke ya Muchina
by the way mtarajiwa kapendeza xana tuuu
Dragon
Nai Nai
Weee muweke tu huyo long time and old friend of JG humu unatafuta watu wale I screeeeem!!
Ti Vancouver
Marinyau
Nai Nai
Kama alivyosema kaka yangu wa kwetu mwisho wa reli, kibao kata ni ngoma ya waswahili wa pwani, kule bara kuna ngoma ya warumba, na nyinginezo. Mimi nakumbuka cousin wangu wakati anaolewa mwaka 1992 Manzese darajani, tulicheza kibao kata usiku kucha. Sasa hivi kibao kata kimekuwa fashion kinachezwa mpaka uzunguni na wazungu pori na uwepo wa blogs unafanya kionekane.
Ila kitu kimoja nataka kusema hapa, ustaarabu wa waswahili na mambo yao including vyakula, na tamaduni na desturi zao mnavipenda na mnaviiga lakini ikifika kwenye kila jambo baya mko mbele mbele kusema kuwa huo ni uswahili. SASA LEO NASEMA WAZI HII MAMBO YA KIBAO KATA NDIO USWAHILI WENYEWE HASA!! sio kusema mabaya mazuri yake hamsemi kama ni uswahili.
Nai Nai
Anonymous
WA MIGO MIGO
Anonymous
Tajibeba
Marinyau
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Tajibeba
Maudodo
ndalandefu
Anonymous
Anonymous
Philo, I am dying for that afro, provided its real. Bi harusi, duuuh aunt wewe mzuri balaa naomba huyo kaka asikufuje tu
utajiju
mdau
sushi puppet
JUMONG
FENESI P. PATEL
Cherokee D'ass
unafiki@work.com
Muke ya Mpare a.k.a wifi ya Mange
MUKE YA MUNGONI
Cherokee D'ass
Nai Nai
Zamani kabisa kina marehemu Farouk walikuwa wanacheza NACHI, sisi tukiwa wadogo tulikuwa tunawaona siku za sikukuu tu tukienda kwenye viwanja vya Temeke pale mbele ya Chang'ombe polisi walipojenga kanisa sijui nyumba za SDA ndio palikuwa viwanja vya sikukuu kwa watu wa Temeke, kwa mjini ilikuwa ni Kidongo chekundu tunakwenda kuwaangalia marehemu Farouk na wenziwe wanacheza NACHI ukumbi umezibwa magunia. Na kunakuwa na ngoma na kinanda fulani hivi kile cha kusukuma na mikono, hiyo ndio ilikuwa ngoma ya magay.
Ngoma ya kibao kata kama ilivyo Baikoko ni ya kuchezesha nyonga na imetokea tanga kwa hiyo hao magay lazima wanapenda kwenye hizo ngoma kuonesha uhodari wao. Isitoshe makabila ya pwani ya mkoa wa Pwani, na Morogoro hawana ngoma ya kuchezesha nyonga zaidi ya unyago na kinyantindili cha wandengereko. Pwani ya Lindi kwa wamwera ukitoa unyago ngoma yao kubwa ya kutingisha shingo na vichwa.
Kiufupi tu ni hivi Kibao kata cha siku hizi kimebadilika kama ambavyo Baikoko itabadilika. Kulikuwa hakuna mambo ya kukatika mpaka watu wanagalagala chini, kulikuwa hakuna makeke yote unayoyaona siku hizi, it was just simple kukata viuno basi, hakuna tofauti na wanavyochezawarumba. Ila uchezaji wa kibao kata siku hizi ni balaa hatakwenye Dictionary haupo na wala hauna vocabulary. Na si kibao kata tu yaani kuna evolution ya aina yake kwenye kucheza taarabu, na ngoma watu wanaoversexualize uchezaji mpaka ngoma yenyewe inakosa thamani. Mtu huhitaji kutumia maguvu kuonyesha uhodari wako, huhitaji kugalagala wala sijui kufanya nini, kiuno tu chenyewe peke yake chatosha kuonyesha wewe mkali tena bila kutafuta support kwa kushikilia kitu au kunyanyua mikono juu, kule kwetu Lubumbashi utakuta wanaume wanakatika na hawanyanyui mikono juu kutafuta support!!
muddy washington
Anonimas
Mie Nyamirambo nimekaa siku chache tu nina ndugu zangu huko, Buyenzi uswahilini usipime; lakini siku hizi waswahili wengi wamehamia Cibitoke nako nina ndugu zangu kibao. Huko Lubumbashi ndio usipime, nikienda Uganda napo sikosi pakukaa, Mombasa ndio kabisa. Mahali mimi mgeni sina ndugu ni Nairobi kwa kweli nikienda kwa mikutano ya weekend inabidi nikae kwa hotel
Wajua sisi wengine tumechanganyika sana makabila na hii intermarriages ndio usiseme unajikuta mwisho wa siku lugha kibao unaongea!!
muddy washington
Nai Nai
Muke Ya Albino
BODABODA Girl
baby ya Mange
Manake bongo bwana starehe haziishi I mean kila wknd its happening sasa ukisema kila event uwepo unaweza ukashindwa kumaintain ur standard yako kuhusu mavazi,hair,shoes etc n u don't have to force anything n its not like huwezi kufanya hivyo no pia tu ile respect kwa watu wasipokuzoea zoea machoni..so our Ceo rockkkkk!!!
wifi ya mange
kenzos grandma
Joan Rivers
bi harusi ni mzuri sana but mavazi bigi nooo. i love saadaqa dress wish huo mshono ndo angeshona bi harusi.
haya na wewe nothing but confident sijakuelewa na hilo shart.
SUPER WOMAN
Anonymous
Anonymous
baby ya Mange
Married But Available
Maudodo
Anonymous
muke ya red indian
Anonimas
Mjini kwa Dar ni Kuanzia Kariakoo mpaka Kivukoni basi, wanaotoka maeneo hayo peke yake ndio watoto wa mujini, wengine wote wa Sinza, sijui Mikocheni sijui Osterbay, Masaki, Kinondoni kamwe hawawezi kuwa watoto wa mujini.
muddy washington
Ti Vancouver
Bora kuuliza kuliko kuitikia kitu hukijui. lov u all.
Anonymous
Anonymous
Anonymous
totoz ya kenzo