02July

@LEVEL 8 WITH SAADA.....

 

Hot, hotter,hottest......

 

The top, thanks to my girl Saada...ananijuliaje style zangu.....

 

My girl Saada in bongo for the summer....

 

@ level 8.....

 

 

 

Check out the scene on the background...bongo pazurijeeee....lol

 

 

 

aaawwww....

 

Miss Saada....

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Comments (106)

  • HOT.MAMA

    HOT.MAMA

    02 July 2012 at 21:48 |
    Zexxy mama.Hot.Hot.Hot. My fingers are burrrnning!! Yo quiero agua mammmy!
    • koku

      koku

      02 July 2012 at 23:44 |
      mmmmmmmmmmmh umeamua kweli mange,hivyo vivazi!!na hiyo forever21 tight! next tym vaa hata kakoti ka kizushi
      • DESPERATE HOUSE WIFE

        DESPERATE HOUSE WIFE

        03 July 2012 at 00:23 |
        KOKU UMEONA EE? CEO UTASABABISHA WATU WAMWAGE DRINKS NA WENGINE WAVUNJIKE SHINGO HIVI HIVI LOL KINA TIPWAA IMEKULA KWENU IGA UFE!!
  • HOT.MAMA

    HOT.MAMA

    02 July 2012 at 21:49 |
    Zexxy mama.Hot.Hot.Hot. My fingers are burrrnning!! Yo quiero agua mammmy!
    • muddy washington

      muddy washington

      03 July 2012 at 02:01 |
      Nimewahi kusema hapa mange yaelekea ukibaki na bikini unakua juu sana.Mwili wako una vituo vingi sana vya raha kuanzia mdomoni kifuani... ambavyo si rahisi kuvigundua kama sio mtundu na mpeku peku kama mimi.

      Saada wa uk na wewe upaja na mgongo mashallah
  • fido

    fido

    02 July 2012 at 21:52 |
    Mbona kama uchi?
    • c's mum!

      c's mum!

      03 July 2012 at 07:48 |
      umetumwa??? we vaa dera! achana na watu na styles zao, mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
    • Anomy

      Anomy

      03 July 2012 at 20:04 |
      mhhhh sasa hiyo si sidiria, na tight
  • nyau

    nyau

    02 July 2012 at 22:05 |
    hii diet yako chiboko mweee!
  • Lise

    Lise

    02 July 2012 at 22:06 |
    mmmhh! mi chichemi...
  • PaRrOt

    PaRrOt

    02 July 2012 at 22:10 |
    I love love loooove ur hair! And the shoes too
  • Dodo

    Dodo

    02 July 2012 at 22:17 |
    Umependeza CEO,tuandikie basi ile diet yako tena!!
    • Tajibeba

      Tajibeba

      03 July 2012 at 18:42 |
      Kipande cha grilled chicken na salad hii itakufaa kabisa sababu utakula bila kulia. zile nyingine mwachie mwenyewe CEO wetu na Miriam Odemba maana mliletewe humu wengine wakapondaa
  • Anonymous

    Anonymous

    02 July 2012 at 22:26 |
    Mange hiyo nguo ni ya kupaform jukwaani kwa wanamziki au kuact movie sio ya kutoka nayo umechemka hapo
    • Da Tuu

      Da Tuu

      03 July 2012 at 07:51 |
      Hmmmm I am not sure
  • Maudodo

    Maudodo

    02 July 2012 at 22:31 |
    mange unatukill softly without papara, yani mpaka watu tunajipachika u CEO mchezo...waambie we umepewa hukujipachika mwenyewe na aliyepewa kapewa tuuu.....umetisha our1 and the only1 CEO....
  • Kika Rostammian

    Kika Rostammian

    02 July 2012 at 22:36 |
    OMG! Mange does it again! Love! Love! Love! I'm so getting skinnier asap! I'm on that 4 hour body diet gurrrrrrrlll! Looking smokin' hot Mange!
  • Anonymous

    Anonymous

    02 July 2012 at 22:42 |
    can we say SLUT!!!!
    • Nai Nai

      Nai Nai

      03 July 2012 at 00:11 |
      Mkienda kwa wengine wamevaa hot pants tena sio club wala nini hamsemi slut tena mnawasifia kikweli kweli, mkija kwa Mange slut!! Makubwa haya!!

      Haya ile mimba ya Mange mwaka huu imekalia mgongoni? Mie naona hayo ni maandalizi ya safari, unambipu jamaa kidesign! Haya karibu mwaya utanikuta na ufunguo wangu mkubwa wa kuchongwa nakusubiri nikukabidhi mji.

      Ooops bajameni nalitaka kusahau nasie tunajipanga twende huko level 8 soon mtatuona tuko level 8 na gals!! Chezea sie peke yetu ndio tunaruhusiwa kuiga, nyie wengine dont try it at home!!
    • Muke Ya Albino

      Muke Ya Albino

      04 July 2012 at 23:35 |
      Hej! Hej! Me yangu macho.... .....worried
  • Anonymous

    Anonymous

    02 July 2012 at 22:45 |
    yani Mange huna hips kabisa!!!!!!!!!!!
    • Nai Nai

      Nai Nai

      03 July 2012 at 00:14 |
      Hana hips sasa anatembeaje? Bajameni ni bora useme tu yuko well toned!!

      Oooh I gotta go to the gym as In 3 months time I will be meeting my man Igotta look 10 years younger, I gotta get rid of those stretch marks, wapi Aq cream!!
      • Kika Rostammian

        Kika Rostammian

        03 July 2012 at 12:27 |
        Nai Nai I'm with you on that! Hitting the gym hard. Most of the ladies who are talking ill of Mange are probably fat jealous wives who can't keep their man's attention.

        Anonymous: Put that fork down and hit the gym!! Typing hateful remarks won't burn that flab!!
    • c's mum!

      c's mum!

      03 July 2012 at 07:50 |
      ondoa uzandiki! onyesha basi we zako tuzione kama sio size ya flamingo! hebu bwana tupishe huko ebo!
    • utajiju

      utajiju

      03 July 2012 at 10:53 |
      hembu tutokee hapa, hivyo vya kwako viko hapo. Hips za nini kwanza
    • Kika Rostammian

      Kika Rostammian

      03 July 2012 at 12:22 |
      What a jealous sad individual, DON'T HATE WHAT YOU CAN'T CONQUER! Go look in the mirror and tell yourself you love yourself, your insecurity is not cute! HATER!
  • Mie Hapa

    Mie Hapa

    02 July 2012 at 23:19 |
    Mange nimekushtukia umenunua camera mpya
  • Anonymous

    Anonymous

    02 July 2012 at 23:49 |
    This Saada girl is so pretty, hongera dada
  • Anonymous

    Anonymous

    02 July 2012 at 23:54 |
    We mtoto mbona umetoka nje na nguo za ndani tu?
    • Anonymous

      Anonymous

      03 July 2012 at 09:24 |
      mwenzangu hata mie nilipoanza kuangalia nikajua bado yuko ndani anajiandaa kumaliza kuvaa atoke kumbe ndo kamaliza, makubwa
    • utajiju

      utajiju

      03 July 2012 at 10:54 |
      hizo za nje zikoje
    • Anonymous

      Anonymous

      03 July 2012 at 18:51 |
      nitaku-nominate kwa how do i look nadhani unahitaji msaada kwa hiki kiwalo, loh
  • bilaurii

    bilaurii

    03 July 2012 at 00:23 |
    Shost umechemsha..... Au unapenda wanaume wakikusumbua maana kuna nguo kama mwanamke ukitoka nayo unajua kabisa hapa leo kazi ipo huko niendako.
    • Tajibeba

      Tajibeba

      03 July 2012 at 18:52 |
      haya baki wewe umejifunika gubegue ubakize macho tu . uzuri wa mwanamke uangaliwe babu eeh they you feel your a woman sasaje we kama umekoboleka wamejisemea kina Nai hit hit the gym
  • Joan Rivers

    Joan Rivers

    03 July 2012 at 00:52 |
    Narudi sasa hv nitoe vidonge vyangu
  • liz d'ass

    liz d'ass

    03 July 2012 at 00:58 |
    lukin fab! Mange puliiiz gain some weight... umeishaa sanaa babes..
  • Nai Nai

    Nai Nai

    03 July 2012 at 01:28 |
    Umekuwa kama Halle Berry na costume yake ya cat woman!! Chezea CEO wetu haya igeni na hiyo sasa!!!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    03 July 2012 at 01:31 |
    Awesomest!!....damn Baby ur fuckin too hawt meeiiinn I'm soloving that sexy bodyyyy!!baby do u watch rally? I mean do u know this sexy girls who always stand on rally cars wearing rally costume damn baby u got exactly body...perfect for wiggo wiggoli beibyy!the space
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    03 July 2012 at 01:34 |
    I'm was like mbona huyu Saada anakupendelea hivi lakinkuchek fresh hii top niyazamani nakumbuka ulishavaa ukitoka na baby Lance kipindi cha graduu yako!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    03 July 2012 at 01:40 |
    Kant wait to hold that sexy body I promise baby I'm gonna make u the happiest woman in the world like serious baby u got amazin body!sasa mbona baby wako mnene hivi siutanikimbia Mange wangu au tutazima taa
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 01:42 |
    Saada needs to fix her hair!halafu amekaa kusagana zile sleep over kwa bela hata let me shut up
    • Hold Your Tears

      Hold Your Tears

      03 July 2012 at 13:07 |
      hahahahahaha hahahahaha humu kuna watundu sana " Amekaa Kusagana" hahaahaha
  • Ti Vancouver

    Ti Vancouver

    03 July 2012 at 02:08 |
    Perfect body!Great boobs, The body you can watch all day long and enjoy. Hizi style za mavazi zikiendelea kuna mtu nitampiga marufuku kuangalia hapa kwani vishawishi njenje .
    Saada naye mzurii, lakini tafadhali saada next time badilisha zawadi ya mange kuna watu wakiona hizo twin towers zilizo saa sita hawalali. Asante uturn addict kwa neno twin towers. Kula tanoo.
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 03:58 |
    ahahahahahahaha u-turn balaa sasa wawezaje kumuangalia mtu na ku-judge kuwa amekaa kusagana jamani? how do you even come up with that? LOOOOL!
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 05:31 |
    Tacky tacky
    FP is giving you a ''Warning''
  • fashion police

    fashion police

    03 July 2012 at 07:00 |
    not wow, but acceptable.
    • fatuma mtanga

      fatuma mtanga

      04 July 2012 at 02:28 |
      umerudi..?karibu sana
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 07:23 |
    jamani mwenzenu nina wikisijaingia humu, i just dont like the new setup of the blogf
  • c's mum!

    c's mum!

    03 July 2012 at 07:53 |
    mange achana na watu, live your life! vaa hata pant i will suport u! u look perfecto! mamito!
  • ngosha

    ngosha

    03 July 2012 at 08:00 |
    hahahaaa..... hyo nguo ya leo duh, chiboko,,,,,
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 08:39 |
    Huyo dada hacheki jamani?
    • Marinyau

      Marinyau

      03 July 2012 at 15:28 |
      halafu anataka kufanana na Kim Khardashian original
    • Muke Ya Albino

      Muke Ya Albino

      04 July 2012 at 23:42 |
      Dada yupi? Aaa ah.... U turners Kweli kiboko, who ever Acheke nini sasa??
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 08:51 |
    mavazi hyo Mungu atusaidie sisi na watoto wetu na Ramadhani hii ya kesho kutwa......
  • sushi puppet

    sushi puppet

    03 July 2012 at 08:56 |
    mange always fresh
  • mama maendeka

    mama maendeka

    03 July 2012 at 09:16 |
    Uwiii! hvyo umesahau blause au ndo ulivyoamua. Haya bana fashion na zenyewe zinaangalia na maumbile pia jamani
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 09:26 |
    rudisha zile thumbs bwana
  • Anon

    Anon

    03 July 2012 at 09:33 |
    Jamani huyo muzungu yuko wapi aje achukue mkewe? Hivi hana hata chembe ya hofu akiona huu uvaaji wa mkewe?
  • JUMONG

    JUMONG

    03 July 2012 at 10:02 |
    ulipendeza ila watu walitulia kweli kwenye seat zao? nahisi mimacho yote kodoooooooooooo kwako, tulishasahau hivi vi vazi vyako naona umeanza tena

    na hiyo smile yako mbona ilikuwa fake sana?
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 10:43 |
    HAAAAAAAAAAAAAWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWTTTTTTTT DAMN!! SHIT I WISH I COULD ROCK THAT!! WHY LIE? MNAO HATE WOTE YOU WISH YOU COULD TOO!! HOT MAMA HOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTTTTTT!! N BY THE WAY THE SHORT HAIR LOOKS REALLY GOOD ON YOU!! LOOKING LIKE CAT WOMAN ABOUT TO KICK SOME BAD ASS!!
  • utajiju

    utajiju

    03 July 2012 at 10:52 |
    Pendeza sanaaaaaaaaaaaaaaaa.
  • Muke ya Mpare a.k.a wifi ya Mange

    Muke ya Mpare a.k.a wifi ya Mange

    03 July 2012 at 11:21 |
    Mama Bhokenzo, you look mwaah, yaani hiyo body navyoitamani sooo sex,utanifanya nianze kupiga desh, na wapare mlivyobahili kaka yako atakavyofurahi sasa ninavyompunguzia gharama
  • muke ya mswahili

    muke ya mswahili

    03 July 2012 at 11:41 |
    Mmmmh hii inaitwa "Iga upigwe talaka tokomea"
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 12:45 |
    MANGE NAOMBA UMWAMBIE WEMA ASIJARIBU KUWEKA MAMBO YAKE YA NYUMBA HADHARANI ILIKUONYESHA WATU WATU KUWA NYUMBA NIYAKE MWAMBIE AKAE KIMYA TU HATAWAKISEMA SIO YAKE YEYE MWENYEWE ANAJUA NIYAKE NASEMA HIVYO KWASABABU MWENZAKE KATAKA KUONYESHA WATU KADI ZA GARI SASA KAPATA MATATIZO PLS MWAMBIE ASINYESHE HAKI ZAKE ZA NYUMBA MM NAMPENDA WEMA SIPENDI APATWE NA MATATIZO HASA KIPINDI HIKI MAMBO YAKE YAMEANZA KUMNYOOKEA ,,NAOMBA USIWEKE HII COMMENT WEWE SOMA TU BASI NIMEONA NIKUAMBIE WEWE KWASABABU SINA PAKUONGELEA SWALA HILI MM NI FANS WENU WOTE NAWAPENDA NASIPENDI MKIANDAMWA NA MATATIZO YA DUNIA,,ASANTE SANA
    • Anonymous

      Anonymous

      04 July 2012 at 17:05 |
      mbongo pure uoga uoga tu asionyeshe nyumba kwa nini maendeleo hayafichwi mchawi mkubwa wewe kama huna nyumba kaa kimya sura kaa tako
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 12:46 |
    MMEPENDEZA SANA TU
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 13:17 |
    Kama changudoa
  • kibibo

    kibibo

    03 July 2012 at 13:25 |
    mh! mange wataka watoa watu roho, kifua knaita mtoto wa kipare
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 13:31 |
    Mange hilo vazi kusema spider man. Mwanangu angekuona angekuita spider man (he is 4 years old)
  • u turn masalia

    u turn masalia

    03 July 2012 at 13:33 |
    Mh unaonekana kama wale wanaokuaga mawindoni
  • lookie lookie

    lookie lookie

    03 July 2012 at 14:10 |
    lookin sharp!
  • ms. thailand

    ms. thailand

    03 July 2012 at 15:05 |
    mange haya maandishi (comments) ziko faint. do something about it watu tuna strain macho kuona.
    • Anonymous

      Anonymous

      03 July 2012 at 17:52 |
      naaaaaaaaah
  • Muke wa Madilu wa ZAIRE

    Muke wa Madilu wa ZAIRE

    03 July 2012 at 17:15 |
    ...MUMETOMBOKA..LOOKING SEXY N STUNNING..MUKE YA MADILU MIMI NI EX WA PEPEE KALEE NIMENYEGEKA SASA
  • can u blow the whistle baby!

    can u blow the whistle baby!

    03 July 2012 at 17:18 |
    Baby where is my comment?! Kuhusu Lamar..I love uuu baby wangu,baby listen to Taio Cruz latest song 'there she Goes'I like the way that girl whin' her body n she got same body like uuu baby
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 17:53 |
    mwernzangu nmi nilijua kavaa corset anasubiri kutupia top lol!!!!!
  • Catherine

    Catherine

    03 July 2012 at 18:44 |
    Mange, now that's seroiult HOT! ningelikuwa mwanamume...
  • Catherine

    Catherine

    03 July 2012 at 18:45 |
    I mean, Mange that is seriously HOT! Ningelikuwa mwanamume...
  • Tajibeba

    Tajibeba

    03 July 2012 at 18:59 |
    the good thing about the new version of the blog is i can comment and re comment and recomment without retpying my name Tajibeba hapo nimeipendaje sema mange vikatoon vyangu vya Tajibeba naomba chonde chonde uvirudishe im missing them big tym i wont sifia you mpaka uvirudishe nimezira ( in Kenzo way Bayaaaa)
  • wifi ya mange

    wifi ya mange

    03 July 2012 at 19:21 |
    wifi hivo vivaziiii!!
    nway u wear what u feel comfy in!
  • MUKE YA ZERUZERU!

    MUKE YA ZERUZERU!

    03 July 2012 at 21:33 |
    UNA CHIOO DADA?? AU TUKUNUNULIE?
  • Angel Mdhungu

    Angel Mdhungu

    03 July 2012 at 22:30 |
    Mange Mange....u look MUAHHH...
    Nywele fupi very good kwako, zinakupendeza...na ukiva sexy clothes u look more interesting, you'are skiny but with curves I LOVE THAT.
  • Nai Nai

    Nai Nai

    03 July 2012 at 23:17 |
    You gotta show him what he is missing daaaamn (in Will Iam voice) I swear Mange your hubby is flying to Dar pretty soon!!!
  • can u blow the whistle baby!

    can u blow the whistle baby!

    03 July 2012 at 23:25 |
    Muddy anaongeaaga kishamba!
    • muddy washington

      muddy washington

      04 July 2012 at 02:31 |
      karibu sana beautiful.
    • Anonymous

      Anonymous

      05 July 2012 at 00:29 |
      freedom of speech@work
  • Anonymous

    Anonymous

    03 July 2012 at 23:27 |
    How to look good naked!!! Mwenzangu nimejionelea nijitafutie mashoga wapya mie bi Nyakomba kha!!
    • Anonimas

      Anonimas

      05 July 2012 at 02:36 |
      Utasutwa mjini hapa huyo sio shoga mpya na hiyo top aliyovaa aliletewa na huyo huyo shost wake mwaka jana mwishoni kama sikosei, sasa upya umetokea wapi? Na kishawahi tokea humu mara kibao eboo!!
  • anoni

    anoni

    04 July 2012 at 12:32 |
    surprise Mange, siwezi kusoma vilivyoandikwa! yeuwiiii! vimebananaje?!!!!!! [-O
  • U-Turn-Freak

    U-Turn-Freak

    04 July 2012 at 14:57 |
    ...hi everyone....am super..in..love..with.. the UTURN-new-look!!jamamani..sijawahi..sikia..hiyo place..above..Is-it-a-hotel,dancing-club, strip club au kitu..gani? i usually hear kempiski or diamond jubilee>>>
  • lisilocheka

    lisilocheka

    04 July 2012 at 15:46 |
  • Anonymous

    Anonymous

    04 July 2012 at 16:17 |
    rolling on the floor manges blog bayAaaaa
  • Anonymous

    Anonymous

    04 July 2012 at 16:50 |
    howt
  • Anonymous

    Anonymous

    04 July 2012 at 18:49 |
  • Anonymous

    Anonymous

    04 July 2012 at 19:05 |
    thumbs up hot hot
  • utajiju

    utajiju

    04 July 2012 at 22:52 |
    testing
  • utajiju

    utajiju

    04 July 2012 at 22:53 |
    testing
  • NASONYAJEEE

    NASONYAJEEE

    05 July 2012 at 01:00 |
    Shoga hua napenda styles zako n how u dress suits ur body lakini kwa kiwalo hiki mmmmhhhhhhhhh UMECHEMSHA BIG TYM!BOOOOOOOOOOOOOHYAH!shame on you
  • Anonimas

    Anonimas

    05 July 2012 at 02:41 |
    Watakaokuwa wanaishangaa hiyo pant yako watakuwa wageni humu, maana ushaivaa wee na huwa unaionea sana hiyo sana sana unabadili blouse tu. Cha ajabu wakienda kwingine wakakuta mtu kavaa zile hot pants fupii, bila stockings wala nini wanasifia. Wengine tunawaona wanene wanavaa skin tights tu na blouse na ni watu wazima sio teenagers lakini hawashangai, lakini hapa wamefika ferry!!
  • Baby Mawalla

    Baby Mawalla

    05 July 2012 at 09:19 |
    Catherini, mbona hukumalizia? Umesema ungelikuwa mwanamume ungeli...ungelimfanya nini Mange?
  • Catherine

    Catherine

    05 July 2012 at 09:26 |
    Kika I agree with you 100%! Instead of f***** feeling jealous, those fat mamas should just hit the gym big time instead of vomiting their scornful opprobium on these beautiful pages.
  • muke ya muchaga

    muke ya muchaga

    05 July 2012 at 11:02 |
    hehehehehe mange weeee
  • CatherineCatherine

    CatherineCatherine

    06 July 2012 at 11:40 |
    Baby Mawalla, nilfundishwa kuwa kuna vitu vy "kufanya" ambavyo si lazima uvitamke.
  • Anonymous

    Anonymous

    06 July 2012 at 12:34 |
    WE nawe unajifanya una style sasa hyo nguo gani??mi nahisi ni kama ya kufanyia mazoezi ama kuperform jukwaan......hapo sio mahali pake bana...leo hujapendeza hata kdgo....devil
  • Catherine

    Catherine

    11 July 2012 at 12:52 |
    Huko majuu, fashion hii inavaliwa na ma-dominatrix wanaopenda kuwadhibiti mademu au mabwana zao. Anyway, it's so hot that computer monitor yangu inafuka moshi. ha ha ha!!!1
  • Mgogowa dodoma

    Mgogowa dodoma

    13 July 2012 at 12:01 |
    Caherine umetaja neno dominatrix ukanikumbusha mbali sana wakati nasoma UK mama mmoja blonde alininulia jacket na suruali za ngozi nyeusi, kiboko na pingu ili nizivae na niwe 'afande' wake. Mengine nitawaachia kwenye imagination zenu, hasa kwa kuzingatia kuwa mwezi mtukufu umekaribia.