02July

HAFLA YA KUTOA TUZO LIGI KUU YA VODACOM

 

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Bw.Kelvin Twisa akiongea wakati wa hafla ya

kutoa tunzo kwa msimu ulioisha wa ligi kuu ya Vodacom.

 

 

Waziri Mkuu Mstaafu Bw.Frederick Sumaye kushoto akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni hamsini

Mh.Mbunge wa Tabora mjini ambae ni Mwenyekiti wa Simba Sports Club wakati wa hafla ya kutoa tunzo kwa msimu

ulioisha wa ligi kuu ya Vodacom,katikati ni Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twisa.

 

Waziri Mkuu Mstaafu Bw.Frederick Sumaye akipiga picha yaukumbusho na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania

wakati wa hafla ya kutoa tunzo kwa msimu ulioisha wa ligi kuu ya Vodacom.

Iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania katika hoteli ya Dobble Tree Jijini Dar e Salaam.

Comments (13)

  • Anoni

    Anoni

    02 July 2012 at 08:20 |
    Hehehhe!! Ts clear mr Twisa ddnt undstnd the 'hamia airtel advert'!! Yani yy ndo akaamua kuhamia vodacom kabisaa!oh boy!talk abt greener pastures :-D
  • Anonymous

    Anonymous

    02 July 2012 at 09:48 |
    Huu muonekano mpya wa blog can be summarised to one word NARCISSISM
  • Loveness from Atown

    Loveness from Atown

    02 July 2012 at 10:22 |
    Napita tu, hongera Vodacom
  • ck

    ck

    02 July 2012 at 11:20 |
    Mange sio TUNZO ni TUZO
  • ck

    ck

    02 July 2012 at 12:12 |
    Yani hapo Kevin kafanana na Lamar Odom
  • Anonymous

    Anonymous

    02 July 2012 at 13:11 |
    huyu kaka nataka kuvunja nae amri ya 6.na nilivyo mkaree hanikatai ng'OOO.
    • lee

      lee

      02 July 2012 at 14:39 |
      una pepo la ngono wewe...kumbuka condom
  • Anonymous

    Anonymous

    02 July 2012 at 15:04 |
    baba mdogoooo
  • Delina

    Delina

    02 July 2012 at 15:13 |
    Jamn mbona sielewi hapo juu kwenye hiyo hundi imeandikwa YANGA SC. halafu anaepokea ni mwenyekiti wa SIMBA SC pliiz naomba mnieleweshe maana mie si mwanafun wa soka kiiiivyo...
  • Delina

    Delina

    02 July 2012 at 15:14 |
    Hiyo hundi ni ya SIMBA au YANGA?
  • Butterfly

    Butterfly

    02 July 2012 at 18:33 |
    Hiyo hundi ni ya Yanga ila simba wamepewa nafasi ya kuitunza tu mpaka Yanga wakimaliza migogoro ndio watapewa haaaa haaaa lol!!!!
  • Anonymous

    Anonymous

    02 July 2012 at 20:06 |
    shosti nasikia herri nasser kakuchamba balaa kuhusu mchango wa kibao kata pole weeeeeeeeee uwe unatoa michango ebooo
    • Anonimas

      Anonimas

      03 July 2012 at 23:22 |
      Sasa achangie wakati hakutaka kwenda? Hivi kumbe shughuli nyingi za mjini mashauzi kibao mpaka mkabane michango? Na ni lazima kuchangia? Watu wanajifanya wanataka kufanya makubwa kwa kutegemea pesa za watu. Kama ni hivyo I take back my compliment!