27September

I LOVE BRANDY'S NEW BODY......

Many are saying she is too skinny sijui nini...

Uwiii mie ndo dream body yangu hii...

I love being skinny.....

Yani hapa nasubiria nishushe mzigo nianze diet ya kufa mtu...

Can't wait to be skin and bones again....hahahahahhahaha...

 

 

That Celine bag is the business..........

Comments (45)

 • Anonymous

  Anonymous

  27 September 2013 at 03:20 |
  me too, i love being skinny, mange subiri waje vibonge utaskia oh ukikonda unakomaa mara unakuwa shapeless..wembamba una raha yake bana na ndomana rahisi kunenepa kuliko kukonda.
  • muddy washington

   muddy washington

   27 September 2013 at 07:13 |
   Kwa sisi wapenda ma supporting documents that kujikondesha thing it's may be a big idea but not a good idea at all,but kila mtu na choice yake anyway.

   But kilichonisukuma zaidi nichangie hii post ni hilo libodyguard la bibie hapo nyuma,hivi likikashika kwenye kona ako kaboss kake na kuanza kukapa "chai" si itakua kama mjusi kwenye juu ya gogo,maana wana kanchezo ka kujamiiana na bodyguards hawa
   • Kidoti

    Kidoti

    27 September 2013 at 09:08 |
    Yaani Muddy huwa uaniacha hoi....Unaongea ukweli sana.. wanaume wengi especially wabongo wanapenda sana wadada wanene sio saana lakini.

    Mange wewe unapendeza ukiwa skinny maana ina boobs za ukweee!!! sasa utu kama kifuani hamna kitu kalafu ndio ubaki mifupa mmh not very attractive!!!!
   • Miss u turn

    Miss u turn

    27 September 2013 at 10:01 |
    Te tete u made my Jummah..
 • mammu2

  mammu2

  27 September 2013 at 03:41 |
  Mmh napita tu
 • Anonymous

  Anonymous

  27 September 2013 at 03:51 |
  We baby usije kuwa unajinyima kula while ur pregnant manake unavochukia maunene..nataka utuletee healthy baby hapa with beautiful skin kuanzia kg 4 nakuendelea...so jishindilie mafruit lots of juice maji yani piga menu ya nguvu na hivi uko mamtoni full ma variety of healthy food..ushindwe mwenyewe! Sio katoto katoke kamesinyaa ngozi hakana nywele...kuna zile pregnant care pils pregnacare..zinauzwa pharmacy ya boots kama huko zipo..nunua tumia pia manake issue yako ya kutema tema mate siifurahii...
 • baby ya Mange

  baby ya Mange

  27 September 2013 at 03:57 |
  Halafu mbona Lance mwenyew anaonekana hata hajali I mean hata ukiwa kibonge kwake poa tu lol just joking...nimesahau kutumia Id kwenye comment ya kusema nataka unizalie healthy baby...aww love u baby ake weka basi post mupya nawashwaaa kucomment
 • LAMAR

  LAMAR

  27 September 2013 at 04:48 |
  Mange naomba ushare hizo SLIMMING DIET TIPS zako na sie ambao we struggling day and night loose weighT MPNEZI WANGU
  • Anonymous

   Anonymous

   27 September 2013 at 12:05 |
   vidonge vya kutoka Philippines ndio anatumiaga Mange. Mange waambie wenzio si unashare kila kitu mbona hii unabania.
  • Uturn Addict

   Uturn Addict

   27 September 2013 at 14:20 |
   mange starves her self.. no slimming au healthy diet,,, kwa kifupi she eats no starch at all
 • k0ku

  k0ku

  27 September 2013 at 05:47 |
  Kimebaki kichwa tuu..ila hajatisha..
 • katerero tamu

  katerero tamu

  27 September 2013 at 06:06 |
  SKINNY Mange Kimambi Versus FAT Masogange Fineassgirl.... Napita tu
 • she-lube

  she-lube

  27 September 2013 at 06:23 |
  The western world = she's super healthy
  Africa = she's gravely ill

  Team skinny gal! ....all the way baby!cheers
  • MANGEBLOG'S MONSTER

   MANGEBLOG'S MONSTER

   27 September 2013 at 07:00 |
   I loove being skinny, u wear whatever you want, always looking sexy.. yes kwa standards za waafrica utaskia oh utadhani mgonjwa LOL nyie endeleeni kujinenepea tu, mtu unafikisha miaka 30 u look 50 tehe tehe teheee wengine bado ata watoto hamjazaa, sasa baada ya hapo sijui mtakuwa wakubwaje?? unasimama na mtu mdogo wako utadhani yeye ni mamaako kabisa..
   by the way I dont remember seeing her bigger, she's always skinny.

   freedom
   • Anonymous

    Anonymous

    27 September 2013 at 16:04 |
    I support you, hao wanaojitia wanapenda supporting documents hizo so called supporting documents ukizeeka zote zinakua manyama yana hang hang, there is a reason why people die trying to be skinny and that is slim is sexy. I'm not saying its right to be anorexic etc but Africans should stop the mentality kwamba only curvy women are hot. Skinny is hot as well infact a skinny woman is more likely to remain hot even at the age of 50 huko as compared to someone thick, someone thick akizaa mtoto mmoja tu kishwa kazi yake! Hahaha slim is sexy all the way. Hate it or love it
    • Anonymous

     Anonymous

     28 September 2013 at 02:51 |
     bogus
     • Anonymous

      Anonymous

      28 September 2013 at 18:01 |
      Imekutouch inaonekana wewe una manyama yana ku hang hang. Pole!
 • k0ku

  k0ku

  27 September 2013 at 07:22 |
  Kwani hizo celine bag hazijaingia hata fake huko bongo? Maana za bei ya ukweli atakayeweza kubeba ni killy tuu.wengine mtasubiri sana made in morogoro .Lol..
  • makiria

   makiria

   27 September 2013 at 07:44 |
   ha ha ha koku jiwe la gizan hilo
  • rukia binti kasri

   rukia binti kasri

   27 September 2013 at 08:29 |
   hahahahahahahahaha ila Koku umeua eti made in morogoro wapi njomba.
   • Anonymous

    Anonymous

    27 September 2013 at 09:17 |
    lmao ila kuna kiwanda morogoro!! Canvas kama sikosei..koku unatakiwa uwe under arrest now
  • Uturn Addict

   Uturn Addict

   27 September 2013 at 14:22 |
   koku mgomviii.... eti made in morogoro.. zamani team hatuchovyi siku hizi ndege ndege kuku au bata ni majina tu...

   baada ya mange kutaja bei zake hadharani
 • Dogo ya mange UK

  Dogo ya mange UK

  27 September 2013 at 07:51 |
  Hapana kwa hii ckusapoti noo she look sick , n da mange I hope unakula chakula vizuri maunene tutayatokomeza baadae jishindilie mwanakwetu luv u sis mwaaa
 • Anonymous

  Anonymous

  27 September 2013 at 08:13 |
  teammange

  skinny looks awesome especially ukitunza ngozi yako. I'm skinny and I know itcheers
 • Louis VNITTON

  Louis VNITTON

  27 September 2013 at 08:17 |
  Mie mwenyewe napenda kuwa skinny bwana wee, siku hizi nimeongezeka uzito nimefika 60kg sasa hizo shikamoo zinavyokuja, mpaka naona duh sasa hii kali. Lakini nimekazana wiki hii naona shikamoo zimepungua anaamkiwa mdogo wangu, mie sipewi, wanaume wazima wanaamkia shikamoo kama sio kuzeeshana ni kitu gani? Hapa limebaki tumbo tu kidogo nikishashughulika nalo narudi kuwa spring chicken.
  • LMAO

   LMAO

   27 September 2013 at 12:17 |
   shost wee ni daktari? i mean medical doc? huwezi amini kama last week nilikesha hadi 5 in the morning nakusaka tuu kwenye fb kwenye maconference za madaktari bongo yaani acha tu natamani nikujue msomi wewe ha ha haaa crazy eeh?!! kuna doctor mmoja ni dentist ana phd sijui ni wewe naye ni mduchumduchu hiviii nahisi ni wewe, ulisomea norway right?
  • Anonymous

   Anonymous

   27 September 2013 at 13:26 |
   hahahaaa, pole louis kwa kupewa mashkamoo lol, nisivopenda hiyo mishkamoo ila mie mwenyewe hodari kwa kuitoa. jamani kweli unene ni majanga kuna siku hata mie nilimpa shkamoo dada mmoja alikuwa mnene kweli baadae nakuja sikia eti ni mdogo kwangu, nilimuoneaje huruma sasa afu nae aliitikia kwa shangwe akijua mie mdogo kwake kumbe aah, matunzo tu ya mwili!!
   • Kupapatikia watu

    Kupapatikia watu

    27 September 2013 at 23:19 |
    Kuna dada office mate wetu huwa anaamkiwa sisi tulomzidi umri zaidi ya miaka mitano tuna wachwa...unene = uzee...I love my skinny body...it's sexyyyyyy
 • Louis VNITTON

  Louis VNITTON

  27 September 2013 at 08:27 |
  Mange na mie nataka nikutumie picha ya bag yangu ya LV sijui ni vintage hili, nina mawili moja kubwa kidogo, moja kadogo lakini hilo dogo limechorwa jina langu kabisa kwa rangi nyeupe. Sijui limechorwa factory ya wapi, yaani jina lote refu kwa rangi nyeupe chezea LV weye! Nikikutumia picha ukaweka humu koments za wadau za kunicheka utazipotezea eeh mpenzi, hasa za Koku lol!
 • rukia binti kasri

  rukia binti kasri

  27 September 2013 at 08:32 |
  my favourite singer right here, jamani nampenda huyu dada hata aweje mm bdo nampenda tu, ananyimbo nzuri ila sielewi why havumi jmn haya kapendeza lakini.
 • ChinChila

  ChinChila

  27 September 2013 at 08:39 |
  For u its easy coz nature yako ni slim tiny body, u arent big . By the way ukiwa kibonge ndoa si ndo itaisha tena? Utaachwa liveeee mchana kweupe ee
 • k0ku

  k0ku

  27 September 2013 at 09:14 |
  Kuna watu tunafanya diet tangu tuna 4yrs old lakini wapi!!!ndio kwanza tunazidi kushupaa tuu..hizi diet zina maadili yake jamani. Msimuige mange kushindia paja la kuku. Mtapelekwa ward ya watoto wenye malnutritions...punguzeni maugali na mibia mnayokunywa daily...diet inaambatana na discipline ya mlo na mazoezi..acheni kuigaiga. Na kila mwili una diet yake..haziwezi kufanana hata kidogo.una kilo 120 halafu unataka diet ya mwenye kilo 70!!what the hell!!!?????? Ok bye
 • warda

  warda

  27 September 2013 at 09:16 |
 • MUKE YA ISHENGOMA

  MUKE YA ISHENGOMA

  27 September 2013 at 09:54 |
  Mzima kweli mpenzi wa mungu kwa mwili huo ata ajapendeza kwenye ukweli tuongee jamani kabaki mifupa tu ata kimziki ameisha siku izi, iyo body sio nzuri tusije tukaiga jamanikanuna
 • JAY

  JAY

  27 September 2013 at 10:19 |
  you can be skinny yet healthy, but in brandy's case, she better watch out her weight before she gets anorexic aisee!! am scared for her!!
 • Pretty Ngine

  Pretty Ngine

  27 September 2013 at 11:05 |
  heartbreak mmh usifikie hapo.. u hv nice body already.. kitako cha ushikaji cha Lance kushika.. atleast you looking real african.. jmn usifikie hiyo skeleton..ehe heee eeeeh!!!
 • CECILIA

  CECILIA

  27 September 2013 at 11:28 |
  Da mange hebu tupe slim diet tip nasi tupungue jamani mm nachukia unene sana
 • Anonymous

  Anonymous

  27 September 2013 at 12:26 |
  hy dada anangozi nzuri sana. OUT OF TOPIC jamani wadau mm nina vichunusi vidogo vidogo sana ukiminya vinatoka vitu kama maziwa naombeni kama kuna mwenye utaalamu sipendi kutumia cream za kuchubua uso maana mm ni mweusi. halafu mange uso wako ni mzuri japo una kijacho lkn hujaharibika.
 • neylicious

  neylicious

  27 September 2013 at 13:32 |
  hizo ndo gudmorning figure bwana zina raha yake kwa wanaozijulia ful easy to handle,to shift,to carry bas sawaaaa ila kwa wale wakaka wetu wa bongo akina uncle angu muddy mmh hapo hahisi kama yupo na mtu pemben keshazoea wale walojaliwa neema za allah
 • Anonymous

  Anonymous

  27 September 2013 at 14:14 |
  ASA HUYO MASOGANGE ANAHUSIKAJE HUMU JAMANI???
 • anonymous

  anonymous

  27 September 2013 at 16:32 |
  Hahahahah Celine feki bongo zimejaa wakibeba mara 2 zimesinyaa jman mie hayo maisha siyawez handbag za designer sitakaa nibebe mpka ntakapokuwa na uwezo wa kununua original Ata kma ni 20 years to come
 • muwakili wa mamaa mimba za majanini uganda

  muwakili wa mamaa mimba za majanini uganda

  27 September 2013 at 19:56 |
  Unene na matako ya kichina havina mpango sanasana mtaishia kutafunwa na kutemwa kama kuwa au umepata sana mtaambulia mimba zisizotarajiwa
 • Anonymous

  Anonymous

  27 September 2013 at 22:00 |
  Hivi kuna kadada fulani hivi instagram kanajiita bad_as_ _wanab sijui catherine shawa ana mashauzi kwa kazi ipi hasa? Sembe Au kudinywa? Basi shughuli anayo..
  • Kupapatikia watu

   Kupapatikia watu

   27 September 2013 at 23:27 |
   Nona wengine humu mnajipigia pande...unalipa lakini