30July
HOUSE HUNTING WITH MY FAMILY......
Jumapili ya leo we spent the whole day looking at houses.......its not fun aisee.....
nimechokajeeeee......I had asked my hubby not to buy a house mpaka nifike tuchague pamoja.....lol....
Hubby chatting with the owners of the house and our real estate agent, Hector taking notes,,,
Hector is awesome if u r looking for a house let me know....he listens na hatupotezei muda kuangalia nyumba ambazo hatuzitaki.....
I love the high roofs on this house.....
The pool is a must have since my son is a little fish....lol
heeeeeyyyyy.....
i have to admit the whole process of settling down is very very very tiring.....duh.....







Comments (164)
MJAMAICA WA LANCE
all in all hongera mama.
Anonymous
Muke Ya Albino
two bedroom apartment
Anonymous
Anonymous
kuntuafro1
Labda atakua amenunua huku kwenye hii website http://www.milanoo.com/Shoes-c1399 wanauza red soles shoes lakini sio CL.
DESPERATE HOUSE WIFE
The hater
DESPERATE HOUSE WIFE
UTURN FOREVER BABE!!
primrose
napita tu
Anonymous
Anonymous
mama kenzo wapi icon ya MFYUUUUUUU nataka nitumie miee
Anonymous
Nai Nai
baby ya Mange
hannah
Anonymous
kuntuafro1
THE FUN THING IS WAKIKUONYESHA MODEL ZAO NDIPO MTU UNAPOCHANGANYIKIWA ZAIDI, UKIANZA KUFANYA COMPARISON UNAONA YA PILI NZURI KULIKO YA KWANZA, UNAENDA NYINGINE UNAONA NAYO NZURI BASI UNASHINDWA UCHAGUE IPI!!!!
koku
DESPERATE HOUSE WIFE
romiego
ngosha
m a r i c h u i
Mshamba
Anonymous
romiego
baby ya Mange
Anonymous
If Not Why Not.
romiego
Mshamba
Njokuno
romiego
m a r i c h u i
Kijaruba
slim
Chaunabe
ROMIEGO
mke mwenza
Anonymous
Chaunabe
hongera bibi kaza butii sasa tuone wakina adunje na wao wana hunt nyumba bongo.
Anonymous
Ti vancouver
Anonymous
MJAMAICA WA LANCE
http://www.milanoo.com/Fashion-Pink-Glitter-Studded-Peep-Toe-Red-Bottom-Sandals-p177126.html
dola 76 tu wanakutumia.hahahahahha. kushindana na mange kimambi huku tutachanika mikundu mwaka huu.
DESPERATE HOUSE WIFE
koku
If Not Why Not.
Anoni Fan
yaani kwanza mie nlivoviona tu, nkaguna, nkajua mchina huyu!umeona soli ilivyokua na bad finishing!!cl za ukweli ukiziona dada utadhani zumechorwa, yaani finishing nzuriiii!!!
watu bwana!!yaani ka mie yeye nngekua naona aibu!!
m a r i c h u i
SITAHARISHA
uswazi.com
Yousou
Anonymous
m a r i c h u i
m a r i c h u i
Anonymous
m a r i c h u i
Oshin
i like ur life style dear..
Muke Ya Albino
ngosha
Anonymous
Macho
c's mum!
maudodo
romiego
NOONE
Untouchable girl
Dogo la Mange
FENESI P. PATEL
FENESI P. PATEL
anonymous
ngosha
tifa
tifa
:nanikanuna: mtaaa wa pili
tonga
ney
Anonymous
BEUATFUL
asya
ndebi
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Kama hampendi Our CEO anachoweka kwenye blog yake, piteni kimya kimya. Msisahau kuwa hii blog ni ya Mange ' www.mangekimambi.com', pia nanukuu maneno yake hapo juu "my world, my way, my life". Sasa nyie msipende kumpangia CEO wetu cha kuweka. Haya mashauzi yake wengine ndio dawa yetu ya kuondoa stress, pia yana fanya tupite humu kutwa mara 10. Mkitaka blog za habari ipo blog nzuri sana ya ankal ina habari zote. Humu tuacheni na mashauzi yetu wenyewe tumeyazoea. UDUMU CEO wetu, the one and the Only MANGE KIMAMBI LOWREY. Nani kanuna?!!!
MISS U TURN
Mdau
murembo by nature
SAPRAPASEN
93
BEAUTIFUL ONYINYE
Anonymous
Anonymous
baby ya Mange
m a r i c h u i
romiego
wa ukwee
Tajibeba
c's mum!
Tajibeba
coco
Ann leys
Kijaruba
CEO please naomba na mimi uninunulie hicho kiatu kwenye hiyo website nataka nikamchome nacho mtu fudenge nikienda Bongo next month. Sasa hivi niko kwanza nashiriki Olympic kama athletic wa nchi fudenge!!! Halafu naomba mniambie huwa inakuwaje mtu anaalikwa kwenye sijui kitchen party, au kama kuna kitchen party ya mutoto wa mjini mwezi wa 8 au wa 9 naombeni mnialike nataka nikivae hicho kiatu najua by then CEO wangu wa ukweli atakuwa keshanitumia!! Chezea mjumbe wa nyumba kumi wa Mange blog lazima atokee kishua!! Na nikifika Bongo wala sitajificha ntaweka tangazo humu niliyemkera aje anione face to face
Ni mimi ninaeiwakilisha nchi fudenge kwenye olympiki as a Wrestler!!
ngosha
karibu ktk kitchen party ya muke wa okwi, sept 9. kakaa kwenye ndoa kwa miaka 6 na mwaka huu ndio anafanyiwa kitchen party inahuuu....
Kijaruba
Ngoja tusubiri na wengine nao waanze kuchagua majumba huko Bongo, na kwingineko. Na nyie mnaochukia sijui kinawaleta nini humu ndani kama nzi kwenye soko la samaki au soko la utumbo!!
Tena chagua yenye concrete fance kabisa wale wagagagigikoko waliokuwa wanakudiss huko club waliokosa kazi ya kufanya wasijekukuchungulia si unajua watu waliozoea umbea na udaku hawakawii kugeuka mapaparazi. Kukiwa na concrete fence hawawezi kuruka ukuta.
Eti tunamchukia Mange kama nini, mnamchukia au mna M=envy? Leteni na nyie picha za magari yenu na picha za majumba yenu mbona hana hiyana atazirusha tu. Maweee!! badala ya kutafuta maisha na pesa mmekaa kutafutana, si bure muwe kama mimi ninaecheza mieleka tu mmjue moja!!
Independent Girl
Tajibeba
Mshamba
Tajibeba
Nai Nai
Mange ile pesa yako uliyoivuta kwa kuuza ile nyumba yako Bongo kwa huko Marekani unaweza kununua nyumba ya pili kubwa tu na nzuri yenye swimming pool ndani sehemu nyingine ukitaka na chenji inabaki! WINK!!
Anonymous
Anonymous
Mshamba
Anonymous
CL
Tajibeba
Anonymous
jane
mimi ni mara ya kwanza kucomment kwenye website yako,lakini kila siku lazima niingie humu, kwakweli mange unajivutia sana the way unavyoishi kikubwa sana unajali na kuheshimu sana ndoa yako, maana wengine kama wewe wengi ni hawajatulia na ndiyo maana mungu anakubariki kwanza kwa moyo wako wa upendo hasa kutoa kwa watoto yatima, na hao ndo wanakuombea kwa mungu ili maisha yako yaendelee kuwa mazuri wewe pamoja na familia yako, watanzania tumekuwa watu wa kuongelea sana watu mabaya mazuri wanayaacha,mumgu akubariki huko uliko na familia yako usiwasahau wahitaji kama unavyofanya. maisha mema mtegee sana mungu.
Anonymous
m a r i c h u i
wifi ya mange
hapana chezeyaa
Mama maendeka
hakunaga kama MANGE
KAle michemsho HONGERA bar uongeze KITUMBO
Kijaruba
SUNA
m a r i c h u i
bimkora
folowa
Anonymous
Natasha
baby ya Mange
baby ya Mange
Anonymous
u bought a Porsche before house? unless u paid cash otherwise not a very good decision if u financed it and to plan to finance a house too....
romiego
MRS SOLIS
Anonymous
kuntuafro1
Kikiwa na sole like this one http://i.ebayimg.com/06/!!d3Dm(!!3M~$(KGrHqMOKjUEtlZnMF,DBLlchGmfzQ~~_2.JPG ujue hiyo ni fake.
Na kama sole yake ni kama hii hapa http://i.ebayimg.com/22/!!d3DmVw!nM~$(KGrHqQOKjwEt8nE9T(CBLlccCLb,Q~~_2.JPG
Kidogo tutakuheshem kama tunavyomuheshimu kama
Anonymous
Anonymous
mama otieno
mama otieno
baikoko
Anonymous
Anonymous
muke ya kibabu
camila
Anonymous
romiego
Anonymous
Anonymous
m a r i c h u i
Anonymous
Mshamba
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Anonymous
space
kuntuafro1
MAPENDO DAIMA
U-Turn-Freak
))Leme guess, Mange atachagua nyumba yenye its own driveway, majani green mazuri mazuri tena yale ya kimayami(miamian), yenye kengere tena ya digital hivi, yenye security suv.(ili awakamate wanga(maana marekani wanaonyeshaga ghost hunt zile show, sasa kuna camera mpya ukiinstal zinakamata hata wanga wa mchana na wachawi wa usiku, mwishoni bungalow lake lazima litakuwa na dimbwi la kuoga na firiji ya silver au black yenye TWO DOORS, na atakuwa jirani wa yule nani anacheza NBA na anafuga midevu na anayale marangi rangi yakuchorwa kwenye arms, anachezea ile timu fulani kule M-Heat. mmh mange nahisi atakuwa na VIP passes to see his new hometown team, mayami! Miami! M-I-A. salimia Trina na Trick Dad yule rapper kibonge mwenye madevuuuuuuu....
Wenu U-Turn-Freak