|
 Talk show host, Ellen DeGeneres (ni mwanamke) na mke wake Portia
Haya leo, lets discuss a taboo subject , USAGAJI….
Kwanza kuna anaejua hili neno usagaji limeanzia wapi ama limetokea wapi?na kwanini wakaitwa wasagaji?wanasaga nini?? Hahahahhahaha????
Hivi ni kwanini usagaji umepamba moto Dar es Salaam kwa sasa? Ni katika kuwaiga wazungu au ni kwamba wanaume wetu wanatunyanyasa sana mpaka tunaona bora tuwe na wanawake wenzetu kwenye mapenzi? Au ni katika kutaka kujaribisha mambo tu?? Mambo ya kuwa CURIOUS????
Nimesikia sana sana high school and college students ndio wanaao-experiment sana na haya mambo??
Mdau have u tried it?why did u try it? What did u think of it?

Ellen na Portia siku ya harusi yao
Kwa hapa Tanzania mie naona imekuwa ni rahisi zaidi kwa wanaume ma-gay kujitoa hadharani than wasagani kujitoa hadharani? Je ni kwanini wasagaji wengi bado wanaona noma kujitoa
Mie mpaka sasa nawajua malesbian wawili tu ambao wao wamejitoa hadharani na hawajali if people judge them, na wao ni hardcore lesbians?yani ni wale ambao wako wako wanaume,wanatembea kiume,wanavaa kiume na wanatongoza mademu kupita wanaume.
Hivi sasa kuna story imeenea mjini kuhusu madada wawili ambao ni warembo mno kwamba walifumwa toilet waki....... huwa natamani sana kuwauliza wao wameamua kufanya hivyo kwasababu wameboreka au ni kweli wapo -in love, au wamechoka kuwa na wanaume au vipi???yani im really curious, so many questions to ask , ila sijui nitaulizaje without offending anybody or hurting anyone's feelings. Mtihani...
Hivi malesbian wanaweza kuambukizana ukimwi??? Na kama wanaweza kuambukizana ukimwi je ni jinsi gani wanaweza kujikinga wasiambukizane ngoma???
Mie navyoona ni kwamba ni frustrations to za wanaume zinawafanya wanawake waamue kufanya mapenzi na wanawake wake wenzao, na kwa wale ma-lesbian underage mie naona ni mambo ya kuiga uzungu uliopitiliza…wewe unaonaje mdau?

Just read in an American Blog kwamba Kwamba Mel B wa spice girls nae yupo penzini na Leona lewis…
|