NIMCHAGUE YUPI AWE MUME WANGU???
Written by Mange   

Hi Mangi,

Jaman pole as now itabidi tukuite mama ushauri but ndo hivyo tuvumilie sie wanawake matatizo yetu mengi. Well dia nisaidie to post this in your blog nipate ushauri though i know its not possible kumshauri mtu to choose a partner in life but atleast maoni na ushauri unaweza ukakupanua mawazo na kuona mbali ambapo ulikua huoni. Ni hivi wapenzi, mimi naona nimefikia umri sahihi wa kuingia kwenye marriage atleast i have achieved all that i planned for and now i am ready to settle for it tatizo ni kwamba i have 3 choices in mind na sijui nani nimchague awe mume wangu. Kati ya hawa watatu mmoja ndo nipo kwenye relationship nae tatizo i do not feel him to be my lifetime partner, nadhani nilifanya mistake kumkubali mapema kabla sijajua if realy i was in love!nilikua nimetoka kwenye heartbreak so sikufikiria ila nikamkubali fasta kupunguza machungu japo yeye anaonekana yupo seriously committed to me! Kaka number two hayupo hapa nchini ila anategemea kurudi rasmi next month huyu yeye alinifatilia siku nyingi sana before hata huyu wa kwanza but nikawa namtolea nje then akaondoka nchini tukapoteza mawasiliano. Last year alirudi for likizo fupi akafanya jitihada kuntafuta hatimae akafanikiwa yan kwa hizo siku alizokua hapa tuli enjoy sana na mpaka he managed to convince me kumpenda sasa tatizo yeye hajajijenga kabisa ina maana akirudi i have to give him another two years before he settles down for marriage. Sasa na sie wanawake tunavozeeka haraka si nitakua kizee na mbaya zaidi wanaume hawatabiriki waweza msubiri afu baadae akaingia mitini ukakosa hata wa kukusalimia!!Kaka number 3 yeye yupo tayari kunioa hata kesho, shida ni kwamba i dont trust him maana kuna siku nilipigiwa simu saa kumi na moja alfajiri na mdada through his own phone akinambia jamaa ni wake lakini nilipomuuliza jamaa akakana kabisa nikamuuliza inakuaje basi huyo dada kunipigia simu asubuhi ile tena na simu yake jamaa kama sio kweli walilala wote jamaa bado akawa anakataa baada ya kumbana sana ndo akakubali!nilimnunia for like 4 months without taking his calls or msgs,tatizo alikua anapafahamu kwetu so akawa kila siku anakuja kunivizia home ili aongee namie,akawa anaomba msamaha sanasema iweje Yesu alisamehe 7*70 mie nishindwe kumsamehe?hatimae siku moja nikaone niende nimsikilize tu ndipo aliponambia alikosea na sasa yuko tayari kwenda kunitambulisha kwao na anytime tufunge ndoa. Mtihani upo hapo sasa...wadau naomba ushauri na sio kunizodoa jaman haya mambo yanachanganya mwe!!

Taty.



Kuwasiliana nasi tuma email kwenye This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Comments
Add New Search
annonymous   |2010-03-13 04:29:46
u guys are actually missing the point
as said by the gal she is in a
relationship with only namba 1, but these other 2 she isnt sure with them and
its them that wants her...its not fair giving her all that attitude when anyone
can get into a situation like that...
she is just asking for advice u aint got
2 be mean...

listen taty i know the situation u r in is confusing but am sure
deep down u'r heart u must have more feelings for one of the guys...so go for
it, is its meant to be it will be...let God show you the way...our advice might
lead you on the wrong path...

peace y'all!!!
Anonymous   |2010-03-13 08:48:11
the point is loud and clear no 1 misunderstood it. she wants some advices and
she gets them either good or bad. she is in a relationship with no 1 and not
sure of 2 & 3?? c'mon!!! i ain't seeing any relationship here. she's sleeping
and tripping with all of those three and that's y is confused. and to 2 make
the matter worse nobody has proposed to her. u r just wasting our time. please
bring up this topic again when they all have proposed!!

No 3 is best 4 yah gal
bcoz u r the same!!!!
Sweet  - Mume   |2010-03-15 06:56:19
You have to buy time hadi namba 2 aje ili umjue kama na yeye yuko serious pamoja
na hayo mimi nakushauri mume na.2 kwani ni vizuri mkaanza kwa pamoja kuliko
kurukia matawi ya juu maana mengine nayo unakuta yako na wengine pia. msipende
dezo ya kukuta kila kitu ndani vitu vingine hamjui vilitoka wapi. Cha muhimu pia
uangalie mtu sio vitu alivyonavyo maana mume mzuri hupewa na Mungu. Jaribu
kufunga na kuomba utapata ufumbuzi.
Anonymous   |2010-04-05 15:35:57
marry the one who loves you not the one you love.
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:angry::0:confused::cheer:B):evil::silly::dry::lol::kiss::D:pinch:
:(:shock::X:side::):P:unsure::woohoo::huh::whistle:;):s
:!::?::idea::arrow:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
U Turn Polls
Wangapi mnapenda U-tun ibaki hivi hata kama Mama u turn akifungasha Virago?
 
ADS Only