KUTEMA MATE WAKATI WA MIMBA...
Written by Mange   
Thursday, 11 March 2010 19:27




DEAR MANGE,

KWANZA NAKUPA HONGERA SANA KWA KUWA MAMA-TO BE. CONGRATULATION MY DEAR.

NAJUA U WILL NOT REGRET KUITWA MAMA - YOU WILL SEE HOW HAPPY U WILL BE.

LET US COME TO OUR MAIN TALK - MY DEAR EVEN ME WAKATI NILIPOKUWA PREGNANT, MATE YALIKUWA YANASUMBUA MPAKA NILIENDA KUMUONA DOCTOR MAY BE IF THERE IS ANY DAWA TO MEZA LAKINI WAPI. MWISHO I COME OUT WITH ONE SOLUTION - NILINUNUA UBUYU MWEUPE, USIOKUWA NA SUKARI WALA RANGI - HOPE YOU UNDERSTAND WHAT I MEAN WITH WORD "UBUYU" THEN NIKAUTIA KATIKA CONTAINER NDOGO NIKAWEKA CHUMVI, BASI KILA MAHALI NILIPOENDA KIKOPO KILIKUWA NDANI YA POCHI- TUNDA MOJA MOJA NAKULA IKIISHA UCHUMVI CHUMVI NATEMA, KIKOPO KIKIISHA NAJAZA TENA. AT LAST NIKAJIKUTA NAFIKISHA MIEZI 6 NA MATE YAKAACHA YENYEWE KUJAA MDOMONI. NA BORA IWE NI MATE TU SOMETIMES UTASUMBUKA SANA NA VOMITING AMBAYO HAINA DAWA MPAKA IFIKE MIEZI KADHAA KAMA MIMI KUTAPIKA NILIACHA NIKIWA NA MIEZI 6.

SO DONT WORRY HAYO NI MABADILIKO MADOGO TU YATAISHA LAKINI FAIDA ZAKE NI KUBWA.

MDAU

MAMA ZARINA AU FATMA AMANI


Kuwasiliana nasi tuma email kwenye This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-03-12 19:14:38
Fatma ni wewe ulisoma jangwani form 4p au nakufananisha?
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:angry::0:confused::cheer:B):evil::silly::dry::lol::kiss::D:pinch:
:(:shock::X:side::):P:unsure::woohoo::huh::whistle:;):s
:!::?::idea::arrow:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
U Turn Polls
Wangapi mnapenda U-tun ibaki hivi hata kama Mama u turn akifungasha Virago?
 
ADS Only