ETI WANAWAKE WA KIZUNGU HAWATEMI MATE WAKIWA WAJAWAZITO???DAWA YAKE NI NINI?
Written by Mange   
Wednesday, 10 March 2010 19:37

Sijui pa kuanzia, but for the past few month I have struggling with excess saliva on and off…eewww….

Nimejaribu ku-google mpaka nimechoka bado sijapata dawa yake. Hakuna kitu nachokichukia kwenye maisha yangu sasa hivi kama hichi kitu cha kutema tema mate. Its so disgusting, na kuna wengine huwa wananikata jicho kama wanatamani kunitukana wanashindwa ila nashindwa kujicontrol sio makusudi na kuna siku kuna baba aliniangalia vibaya kidogo nimtukane…hahaha…

Basi nimefikia sehemu kwamba nikiona siku hiyo nashindwa kabisa kujizuia kutema tema mate basi najifungia ndani siendi kwa mtu wala nini kwa vile najua kuna wengine nawakwaza.

Masikini shoga zangu naona sasa wamezoea tu mpaka hawaoni tena kinyaa, ila inanisaidia kwamba marafiki zangu wengi na wao pia ni wajawazito kwa sasa so they are being understanding as a matter of fact kuna mmoja wa rafiki zangu nayeye na hili tatizo kama langu, that has been comforting to me in a way...

Anyways, swali langu wadau hivi kuna dawa ya kuweza kunisaidia niache kabisa kutema tema mate kama kibibi kinacholamba ugolo? Au kama wale wasomali wanaokula mirungi? LOL

Swali lingine ni hili, kuna watu nilikuwa naongea nao kuhusu huki swala la kutema mate ovyo mmoja wao (mwanamke) akasema wanawake wa kiafrica tukiwa na mimba tunajiendekeza tu, mara kula udongo, mara kutema tema mate ovyo, mbona wazungu hawatemi mate wakiwa wajawazito?

Mdau, hivi ni kweli wanawake wa kizungu hawatemi temi mate wakiwa na mimba?nime-googgle na nikaona kwamba kuna wanawake wengi kwenye internet wanaongea swala zima la kutema mate na nimehisi ni wazungu. Wewe unalionaje hili swala?

I know it’s a disgusting topic to discuss but nielimisheni jamani na pia nisaidieni dawa ya kuachana na haya mateso….USISTA DUU WOTE UMENIISHA AISEE…HELLLLPPPP




Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Comments
Add New Search
Euvonia  - kutema mate..its horrible   |2010-03-12 17:41:33
greetings mange! congrats..congrats.
mimi ni mpenzi wa blog yako+ na blog
zingine mbili tatu hivi, ila sijawahi hata siku moja ku comment kwenye blog
yoyote,lakini leo imebidi ni comment , nilivyoona hii topic nikasema ngoja ni
comment u never know..may be my advice will help u.
Mimi na watoto wawili,
mtoto wa kwanza nilitema mate kama kwa 4 weeks only day time and evening.Ila
nilivyokuwa na mimba ya pili, (last year) nimetema mate kwa miezi mitano na
nusu. Nusu niingie wazimu.Nimeangaika na google, BABY CENTRE,nimetembea kutafuta
dawa, maduka ya kihindi sikupata..nimejaribu kila njia sikufanikiwa,nimekula dry
breads..wapi.. nilikuwa natema mate masaa 24 ishirini na nne.Najua wazungu
wengine wanatema matee, wengine hawatemi, ila wanaotema wanaona aibu kutema
mbele za watu.Mme wangu mzungu ,ilibidi azoee tuu hii hali, nikawa na sports
bottle kila mahali,IT WAS DISGUSTING AND HORRIBLE, U CAN IMAGINE...
This is
what happene...
Halma k  - k   |2010-03-13 12:49:18
bonjour madam,mie ni mama wa watoto 3 i have the same problem hata nile nini
haisaidi,my sec preg nilitema mate mpaka nikapungukiwa maji mwili,na pata
kichefukwa na kila kitu so hata maji siwezi kunwa vitu vya sukari ndo nasikia
kufa vitunguu vikikaangwa ndo natapika mpaka basi.uzuri kilicho nisaidia kidogo
ni pregna vitaminis,so ushauri wangu jaribu kutumia vitamis za pregnants.ok take
care
Najma  - Desouza   |2010-03-13 12:54:24
pole da manga i have same problem mie natembea na kichupa tinted natema hata
nikienda restaurant na hubby ye keshazoea natema hata nikiwa nimelala usiku
naamka kila sec kutema jamani sijuwi dawa yake nini.naona wafanyie uchunguzi
hili jambo lipatiwe dawa.wazungu wanatema sana lakini hawapendi fanya atharani
kama wala ugoro
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:angry::0:confused::cheer:B):evil::silly::dry::lol::kiss::D:pinch:
:(:shock::X:side::):P:unsure::woohoo::huh::whistle:;):s
:!::?::idea::arrow:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
U Turn Polls
Wangapi mnapenda U-tun ibaki hivi hata kama Mama u turn akifungasha Virago?
 
ADS Only