|
UNYANYASAJI WA KIJINSIA AU MILA??? |
|
Written by Mange
|
|
Wednesday, 10 March 2010 00:01 |
|
Habari ndo hiyo! Wenzetu Swaziland wanawapima wasichana wao kutambua kama ni bikra au la! Msichana akikutwa bikra anapewa cheti ambacho ndiyo kinamhalalisha kuolewa, msichana asiyekuwa na cheti haolewi ngó! Hivi mpango huu ukianzishwa bongo jamani hii michango ya harusi isiyoisha kila kukicha si itakuwa ndiyo baibai??!!!!
.jpg)



Asante mdau Gwakisa kwa picha na story…
|