LAUNCH- SAMSUNG MISS TANZANIA INDIA....
Written by Mange   
Monday, 08 March 2010 18:17


Vodacom Miss Tanzania organiser Hashim Lundenga congratulating Samsung Miss Tanzania India.



amsung Miss Tanzania India Richa Adhia


Richa Adhia being crowned Samsung Miss Tanzania India by Samsung Country Manager Simon Kariithi.


HE K V Bhaghirath Indian High Commissioner to Tanzania Chief Guest making a speech


Tanzania House Of Talent THT performing at the launch of Samsung miss tanzania india




Kuhusu SAMSUNG Miss Tanzania India

Miss Tanzania India ni jukwa linalotoa fursa kwa wanawake wa Kitanzania wenye asili ya kihindi kuweza kushindana kuonyesha Urembo na Vipaji vyao ambapo mshindi atavikwa taji na kuiwakilisha Tanzania kwenye fainali za Kidunia za Miss India Worldwide

Shughuli hiyo yameandaliwa kusherehekea urembo na sanaa Kutoka bara la Hindi na kulipatia Mrembo Mtanzania mwenye asilia ya Kihindi kuitangaza Tanzania kimataifa na kujihusisha na shughuli za kijamii ikiwa pamoja na kuchangisha fedha zitazotumika kutoa misaada mbalimbali kwa jamii ya Kitanzania.

Samsung Miss Tanzania India ni wakala rasmi was mashindano ya kimataifa ya Miss India Worldwide nchini Tanzania\


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:angry::0:confused::cheer:B):evil::silly::dry::lol::kiss::D:pinch:
:(:shock::X:side::):P:unsure::woohoo::huh::whistle:;):s
:!::?::idea::arrow:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
U Turn Polls
Wangapi mnapenda U-tun ibaki hivi hata kama Mama u turn akifungasha Virago?
 
ADS Only