|
Written by Mange
|
|
Sunday, 07 March 2010 15:26 |
|
Hi Dada Mange
Naomba msaada wako, nahitaji kujifunza kiingereza cha kuandika na kuongea mimi nipo Dar. Yani huwa natamani sana nikiwaona watu wanaongea fluent english. Nilishasoma english course lkn naona bado sija-improve. Kwa hiyo dada kama unajua chuo chochote Dar naomba nielekeze ili na mimi niwe kama ninyi maana hiyo ndiyo lugha ya kimataifa. Nilisikia British council wanafundisha lkn sina uhakika. Asante kwa msaada wako Lanta
|