NAPATAJE RAHA?
Written by Mange   
Monday, 08 February 2010 18:34

Ni jinsi gani mwanamke unaweza kuongeza stimulation kwenye "Clitoris" yako when getting intimate with your partner? Mimi nina upungufu mmoja kwamba nikiwa kwenye tendo hilo, siwi stimulated during intercourse ila mtu wangu akiwa nje. Je ni nini nahitaji nifanye kama ni chakula gani cha kula, au vitamins au kingine ambacho nifanye ili kuongeza hisia kwenye Clitoris yangu. Samahani sana kwa kuchanganya lugha, sijaweza kutafsiri maneno mengine kirahisi ( you're more than welcome kunitafsiria ili wadau wako wote watoe maoni yao)

Chantel - us

Kuwasiliana na uturn tuma email kwenda This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Comments
Add New Search
jane  - mie pia     |2010-02-13 21:53:48
jamani mie pia nko mkumbo huu wa kutoskia kitu katika tendo la ndoa.ILA NNAPENDA
KUSEMA HIVI-WANAUME WETU WA KIAFRICA NI WAGUMU SANA KTK SWALA ZIMA LA KUMSAIDIA
MAMA APATE WET.yeye akishainua kichwa basi hawezi kuwaza hata kama ukimwambia
anasema subiri cha pili itakuwa poa.yaani mie wananiudhi hapa ningeolewa na
mweupe ila sasa ndo hivo nko na mtz basi kwa hiyo naona kama imekula kwangu.i
hate this habit jamani
Anonymous   |2010-04-07 10:32:40
mi nafikiri inatakiwa maandalizi mazuri ya awali kabla ya tendo mambo yatakuwa
safi tu. agrey
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:angry::0:confused::cheer:B):evil::silly::dry::lol::kiss::D:pinch:
:(:shock::X:side::):P:unsure::woohoo::huh::whistle:;):s
:!::?::idea::arrow:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
U Turn Polls
Wangapi mnapenda U-tun ibaki hivi hata kama Mama u turn akifungasha Virago?
 
ADS Only