BREAKING NEEEEWS...LOL...
Written by Mange   
Thursday, 04 February 2010 23:45

Haya wadau wa u-turn story hii fresh out of the oven dakika tatu haina

Kigogo mmoja (jina kapuni) anaejulikana vizuri mjini hivi sasa yupo njiani kummwaga mke wake mpya aliemuoa mwaka jana baada ya kumfumania laivu akifanya mapenzi na kijana mdogo (jina kapuni) anaefanya kazi kwenye kampuni ya mgodi nchini.

Kigogo huyo alikuwa amempandisha chati mke wake baada ya kumtoa kwenye shida na kumweka kwenye jumba la dhamani na kumnunulia vitu vya dhamani na kumlelea wanae.

Binti aliendelea kula uroda na kijana huyo wa mgodi mmoja maarufu (jina kapuni) bila kujua kwamba Kigogo huyo anae mueka mjini amemuekea security kali ya kumfatilia .

Kina dada acheni tamaa, mnapenda kuwa na vijana wa umri wenu sasa kinachowapeleka kwa vibabu vizee visivyoweza kuwaridhisha ni nini?

Mie namsubiri kwa hamu huyu dada arudi mtaani ,bora yamemkuta ya kumkuta manake amekuwa na dharau sana na alisahau alipotoka.

MDAU, MASAKI


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:angry::0:confused::cheer:B):evil::silly::dry::lol::kiss::D:pinch:
:(:shock::X:side::):P:unsure::woohoo::huh::whistle:;):s
:!::?::idea::arrow:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
U Turn Polls
Wangapi mnapenda U-tun ibaki hivi hata kama Mama u turn akifungasha Virago?
 
ADS Only