|
MWAMVITA MAKAMBA ON WOMEN MAGAZINE TODAY.... |
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 04 February 2010 20:38 |
|


Mdau,
Did you read the daily news today?? Kila Thursday huwa wana kipande ndani ya gazeti lao called women magazine na kila wiki huwa wana-highlight wanawake mashuhuri
2 days after uturn tum-recognise Mwamvita Makamba gazeti mashuhuri la Daily News na Lenyewe leo limem-salute Mwamvita.
I told u, simfagilii kwa kuwa ni rafiki yangu ila because she deserves it….
Kuna semehu ndani ya hiyo article daily news na wenyewe wamekubali Mwamvita ana leadership skills za hali ya juu….
Kaka Michuzi hongera na wewe kwa hii article ulioandika juu ya mwamvita unawapa na wanawake wengine moyo wa kufanya kweli….
Hongera Mwammy, you are unstoppable….
|