U Turn Blog
NIFANYEJE?
Written by Mange   
Wednesday, 11 August 2010 19:14

Hii dada mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24 nina tatizo na mpenzi wangu tunaka siku mbili tunagombana je nikwwanini inakuwa ivi naomba ushauri nifanyaje ili tusigombane


Kuwasilina na uturn tuma email kwenda This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
ETI ZANZIBAR KUWA NCHI KUANZIA OCTOBER????? NYERERE MUST BE TURNING IN HIS GRAVE!!! MAONI????
Written by Mange   
Wednesday, 11 August 2010 19:06

 

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inafanya marekebisho ya katiba ya mwaka 1984, ambayo yanaipa Zanzibar hadhi kamili kama nchi ndani ya Jamhuri ya Muungano.

Marekebisho hayo ya katiba yanatarajiwa kuwasilishwa katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoanza leo Zanzibar, ambapo pia yataruhusu kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi wa Oktoba mwaka huu.

Kwa mujibu wa rasimu ya marekebisho ya katiba hiyo, sura ya kwanza ibara ya kwanza iliyokuwa ikisomeka, Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefutwa chini ya marekebisho hayo.

Rasimu hiyo ambayo itawasilishwa na Mwanasheria Mkuu, Idd Pandu Hassan, inapendekeza kifungu hicho sasa kisomeke ‘Zanzibar ni nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na visiwa vidogo vilivyoizunguuka na bahari yake, ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliitwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar’.

Aidha, marekebisho hayo ya katiba yamegusa kifungu cha pili na kueleza kuwa Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Marekebisho hayo pia yamegusa mamlaka ya rais katika kuigawa Zanzibar katika mikoa, wilaya na maeneo mengineyo kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.

Kabla ya marekebisho hayo kifungu cha pili cha Katiba ya Zanzibar kilikuwa kikisomeka ‘kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za serikali, Rais wa Jamhuri ya Muungano akishauriana na rais anaweza kuigawa Zanzibar katika mikoa, wilaya na maeneo mengineyo kwa kufuata utaratibu uliowekwa’.

 

Kwa habari zaidi ingia humu


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
MAMA UTURN NA ZE MATE!!!
Written by Mange   
Wednesday, 11 August 2010 18:57

Ze matez

Nimeona comments nyingi zikiulizia kikopo…hehehehe…

Well, Mungu hakupi more than you can handle siku zote, manake sometimes huwa na complain sana inakuwaje mie bado nna tema mate mpaka leo,wakati kuna rafiki yangu wakati mimba zetu changa tulikuwa tunatema wote mate, mwenzangu ameacha zamani sana mimi sina hata dalili,as a matter of fact jinsi navyokaribia due date date yangu ndio jinsi yanavyozidi….

Nikajiambia nisikmkufuru mwenyezi Mungu manake kuna wengine naongea nao wananiambia wanasumbuliwa sana na CONSTIPATION sasa mdau kutema mate na constipation mara mia kutema mate manake haileti maumivu yoyote….

Anywaysm my 2 biggest problems through my pregnancy have been kutema mate na heartburnm,heartburn imepungua sana baada ya kufika abu dhabi nilipata doctor mzuri sana akanipa dawa nzuri ya kupunguza heartburn , kwa kweli nashukuru,manake nilikuwa silali kwa heartburn….

Mdau mmoja kauliza nalalaje je natema nikiwa nimelala?? Well, yes, nalala na kOpo next to me…hahahhaha…REALLY DISGUSTING I KNOW….ITS PURE TORTURE…

But Napata moyo sana napoongea na watu na wananiambia mara nitakapo jifungua na mate yanakatika hapo hapo….na nina ndugu yangu mmoja na yeye yupo in her last few weeks na bado anasumbuliwa na mate…

My biggest fear ni kuzaa alafu yasikatike…sijui ntaishije…another fear i had was how would i hubby handle it? but he is been wonderfully supportive,,

Mimba yangu ya kwanza sikuwahi kutema mate,wala kuumwa heartburn,yani I just cruised through it,was expecting the same thing this time…lol…anyways mimba za ukiwa in ur early 20s wanasema huwa nirahisi sana the older u get the more difficult it becomes……



Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
MAFASHIONISTA KAENI MKAO WA KULA...MZIGO MPYA WAJA KIKIS FASHION BOUTIQUE...
Written by Mange   
Wednesday, 11 August 2010 00:25

 

 

 

Fashionista wa ukweli na owner of kikis fashion boutique yupo Los Angeles ,Marekani akiwakusanyia viwalo vya ukweli…

All the latest trends zinakuja....

Will update you mzigo ukifika bongo….


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
NIWEKE LACEWIG KWENYE HARUSI YANGU??
Written by Mange   
Wednesday, 11 August 2010 00:23

habari,

nategemea kuolewa harusi  mwezi wa 11 mwaka 2010,ila nina nywele  chache sn  pia zimekatika mbele,nahisi kama lace wig linaweza kunifaa ili hiyo siku yangu ya harusi  nikaiona ya tofauti,

naombeni ushauri wenu,

Sisy M

naomba email yangu usiianike


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
MAMA U-TURN IN SOHAR-OMAN....
Written by Mange   
Wednesday, 11 August 2010 00:13

 

Abaya shopping...mwezi mtukufu ndo huoo....hope my baby

will be born during Ramadan...what a blessed baby he will be!!

trying out a few......

my favorite time of the day....

staying at the crown plaza....classy hotel....

so arabic right about now...

Arabic nite...

 


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
DEBBIE'S BABY SHOWER.....
Written by Mange   
Tuesday, 10 August 2010 23:52

 

EVENT::DEBBIE'S BABY SHOWER
VENUE::THE PLAY ARK- London
COLOR:baby blue,royal blue and white
THEME::RUBBER DUCK

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
ZALI LA MENTALI KUMPATA JUMA NATURE????
Written by Mange   
Tuesday, 10 August 2010 00:28

 

Sir nature akilisakata na lil’ kim wakati wa fiesta..i bet he was in 7th heaven…lol


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
UTAMADUNI WA MTANZANIA NI UPI???
Written by Mange   
Tuesday, 10 August 2010 00:17

 

Hello mamii,

Mambo...?mimi ni mdau wa u turn na huwa sikosi kupitia na kuingalia blogu yako angalao mara moja kila siku..kwa ufupi i am very addicted to it...

Kumekuwa na mjadala kwa muda mrefu katika sehemu mbalilmbali kuhusu ni upi hasa utamaduni wa mtanzania/mu-afrika na hasa linapokuja suala la mavazi...kumekuwa na mabishano makali mara tu picha na hasa zetu wanwake nzinapojitokeza katika mavazi ambayo kwa maoni fulani ni ya kizungu mnoo...sasa hapo mi ndio huwa kila siku siachi kujiuliza maswali...hivi tuna khakika kweli na hicho tunachokisema au kukijadili...utamaduni wetu ni upi hasa? kuvaa nguo fupi ni utamaduni wa kitanzania/kiafrika au wa kizungu?

Mange hii ni picha ya ilipigwa wakati wa enzi za ukoloni katika mkoa mmoja Tanganyika ya enzi hizo na hawa katika picha ni wake za machifu wakiwa na mmoja wa wamisionari wakati huo....sasa wadau tuingalie picha hii na tujadili...naamini wadau watatoa mchango wao ili kuweka sawa the perspective kuhusu utamaduni wa mtanzania/muafrika na hasa linapokuja suala la mavazi

Picha kwa hisani ya blog ya swahilitime

Nakutakia kila la heri katika safari yako ya umama. be blessed mamii.

Yours Mama Jo.

P.S TAFADHALI ISIICHAPE ANUANI YANGU YA E-MAIL HEWANI.


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
ASEEL IN HER ZONE...
Written by Mange   
Monday, 09 August 2010 23:53

ok, guys lunch is over,,,,lets go to my house...

uncle lance i didnt invite u here to tickle me....

hihihihi...stoooooppp.....

Aunt mange come join us pls...

yes, im very tired these days...kuchana nywele tu matatizo...nimesarenda...

me and my mommy are soo pretty...

oooh cute!!! a gift for the baby from Aseel and her mom Marnie...

cant wait to see whats inside..im so excited...

Marnie trying to explain the gift...i love it,its a lovely baby picture frame

from pottery barn kids..

Aseel has the same frame...soo cute..u can put pics of the baby from the month

they are born up to a yr old...love the foot and hand prints..cant wait to use it..

Aseel showing off her little silver sofa and tent...she is too cute...

 


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Page 7 of 102
 
U Turn Polls
Wangapi mnapenda U-tun ibaki hivi hata kama Mama u turn akifungasha Virago?
 
ADS Only