U Turn Blog
JAMII FORUM YANICHAMBUA VILIVYO...LOL
Written by Mange   
Tuesday, 30 March 2010 23:29



Hawa wanaojiita ‘wasomi’ wa jamiiforums inaonyesha wameelimika kwa kweli.lol..

Sasa wametuma comments page 22 kudiscuss kama Mange Kimambi ni celebrity au sio.

u-celebrity bongo??? Who cares kwanza???u-celebrity gani wakati macelebrity wenyewe tunapigana nao vikumbo kwenye madaladala?kha!

Ingia humu kuona wanaojiita ‘wasomi’ walivyotumia muda na nguvu zao kunijadili kiundani….

http://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/57153-celebrity-mange-lowrey-kupata-mtoto-muda-si-mrefu.html


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
TINY NAE KATOKEA MZURI...LOL
Written by Mange   
Tuesday, 30 March 2010 22:19



Wont say much kwa kweli , manake wananchi wenye hasira kali watanimaliza….haha

Kwa wale mnaongaliaga TINY & TOYA … embu jaribu kufikiria how Tiny (mwanamke wa T.I really looks, especially her nose..lol) alafu linganisha nahii picha……

Duh kweli picha za ku photoshop ni mwisho wa matatizo hadi TINY katokea ka mdoli…lol


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
HAPPY 4TH BIRTHDAY MALAIKA GRAY....
Written by Mange   
Tuesday, 30 March 2010 22:14



The cutest lil’ angel turned 4 today…Kisses baby Malaika.

Aunt Mange loves you….


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
NATAFUTAJE PICHA HUMU??
Written by Mange   
Tuesday, 30 March 2010 22:10

habari yako Mange,
Mdogo wangu anaolewa mwaka huu mwishoni. Nimekuwa nikitafuta picha zako za kitchen party, harusi , send off na bridal shower bila mafanikio yoyote je nitazipataje? Nimefika hadi page ya 25 sijaziona, Je niende page ya ngapi?

Pole sana mdau,

Huna haja ya kwenda from page to page, angalia hapo juu utaona kibox kimendikwa search fanya hivi

1. Futa hilo neno search ndani

2. Andika unacho kitafuta kwa mfanyo andika mange’s bridal shower au bridal shower, au andika ‘ wedding’ au andika ‘kitchen party’, au ‘sendoff’

3. Alafu click kwenye search

4. Kwenye page inayofata utaona options kadhaa sasa chagua option uliokuwa unaitafuta.

Ni rahisi mno kutafuta unachokitaka humu, tumia search tu, usiende page kwa page



Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
RICKY MARTIN AJITOA HADHARANI KUWE YEYE NI GAY.....
Written by Mange   
Tuesday, 30 March 2010 21:46



Jamani mna mkumbuka Yule jamaa wa kilatino alieimba ile nyimbo living la vida loca? Ricky Martin? I remember ile nyimbo ili pendwa ile mbaya, kila kona ilikuwa Living La vida loca…

Basi wale mademu wote uliokuwa unawaona kwenye video za Ricky Martin anawashika shika, ile yote ilikuwa danganya toto.lol

Jamaa kajitangaza hadharani juzi kwenye internet kwamba yeye ni homosexual,meaning he is gay anawahusudu zaidi wanaume wenzie kwenye mapenzi na sio mademu.

Ukweli ni kwamba mimi binafsi im not surprised kabisaaaaaa, Ricky always acted gay, he was too pretty,lol, everything about him was just very feminine.

Mdau je na wewe hukujua huyu jamaa ni chakula ya watu???(just kidding don’t mean to offend the gays)

kwa habari zaidi ingia humu

">

kwa mliokuwa mmemsahau kila kideo hicho..


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
MODEL WA KIDOSI ANATAFUTA MATANGAZO...
Written by Mange   
Tuesday, 30 March 2010 21:05





Anaitwa Nasreen, ukipenda kuwasiliana nae kwa kazi za matangazo wasiliana na uturn This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
KUMBE INAUMA JAMANI....
Written by Mange   
Tuesday, 30 March 2010 21:01

Hi Mange,

Ningependa ku-share na fans wa wa U-turn kujua jinsi gani wanawake tunatakiwa kuwa.

Nilikuwa na mume wangu wa ndoa na ndoa yetu ilifika mwaka mmoja tu. Mimi nilikuwa nafanya biashara yeye ni mfanyakazi na katika ndoa yetu tulikuwa tunapendana sana lakini bado tulikuwa hatujabahatika kupata mtoto.

Nilkuwa nimekwenda South Africa kwa ajili ya bihashara zangu nikiwa huko zilikuwa zimebaki siku chache nirudi tanzania na pia nika plan nirudi siku ya 1st Anniversary ya ndoa yetu ila nichokifanya siku moja kabla nikamwambia hubby kuwa nimekosa flight ya kesho yake hivyo nitakuja the next day basi akasikitika sana maana tuliplan nikifika tutoke out.

ila kumbuka kuwa niliamua kumdanganya nimfanyie suprise hubby wangu. Basi siku ilipofika nikarudi na nilipofika airport nikachukua tax ile nafika home mlinzi kanipokea nikamuuliza kama hubby wangu yupo akasema yupo nikaingia ndani straight nikaenda chumbani ile naingia chumbani nilimkuta hubby na mwanamke wote wpo kama walivyozaliwa.

nilichofanya ni kutoka pale nikaenda guest room nikavua nguo nikaoga nikatoa nguo zangu nilizoandaa kuvaa siku hiyo na suit ya hubby niliyomletea ili avae nikaziweka vizuri baadae kidogo mume wangu akaja chumbani nikamuuliza kama mgeni wake kaondoka basi akajibu kaondoka nika m hug na nikampa suit yake nikamwambia jiandae tutoke maana ni anniversary yetu basi tukatoka out tuka enjoy na tuliporudi home nikampa hata haki yake pia.

Siku zikaenda hata miezi ikatika siku ya siku ya siku ikafika. Nilikuwa na mdogo wangu wa kiume anaishi Nairobi ambaye hajawahi kuonana na shemeji yake nilimpigia simu nikamsimulia yote yaliyotokea nikamuomba aje Tz kwa ajili ya kumuonyesha inauma vipi. Mdogo wangu kweli akaja nikampokea nikampeleka nyumbani kwangu nilikaa nae mpaka nilipoona muda wa hubby kurudi tukaingia chumbani akavaa bukta yake kifua wazi na mie nikavaa khanga nyepesi moja tu tukajilaza kitandani akaweka kichwa chake kwenye mapaja yangu. Basi muda ulipofika hubby karudi home akaingia mpaka chumbani ile kufika tu pale kaanza ugomvi akataka kumpiga mdogo wangu kwa kweli mdogo alikuwa na hasira naye sana alimpa kichapo sawasawa basi akatoka nje mdogo wangu. Hubby akanza kulalamika akasema eti anatoka anakwenda kuwachukua wazazi wangu na mie nikatulia kimya nikampigia mdogo wangu nikamwambia asikae mbali na home basi jioni kwenye saa 1 hivi wakaingia pale baba, mama na dada zangu mpaka ndani.

Mashtaka yakaanza alipomaliza kuongea nikamwambia naomba undelee na yale ya kwako yote uyaseme pale akinama chini kimya nika mwambia mbona huelezi siku nimetoka South ilikuwaje? Kimya basi nikawaambia jamani mwanaume niliyekuwa nae msubirini anakuja muda si mrefua akaingia mdogo wangu wote wakashangaa kumuona pale.

Ikabidi nitoe story yote kwa kweli yule mwanaume aliomba msamaha sana.

Wadau tusiwe na papara na hawa wanaume tuwe tunawachukulia taratibu au tusifikie kugombana wenyewe kwa wenyewe maana tutazidi kuchukiana.

Thanks

Mdau


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
INTERNET ILIPATA KIGUGUMIZI.....
Written by Mange   
Tuesday, 30 March 2010 12:35

SORRY GUYS,

SIKUWA NA INTERNET FOR 24HRS,Mambo ya kibongo bongo haya, manake unapiga simu customer service na wao hawajui kwanini hupati internet.

nilikuwa nna weka comments zenu through my Blackberry ila siwezi kuweka kuweka posts mpya through my phone…

I just got access 5 mins ago, so this evening I will update….


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
TRAFFIC LIGHT PARTY FEKI....
Written by Mange   
Sunday, 28 March 2010 23:05

Flier ya Traffic light FEKI

Hivi kweli unasubiri mtanzania mwenzio aanzishe kitu then wewe unataka tu kutengeneza pesa kwa kutumia idea zao?

Huyo ni uizi wa kiaina na vile vile unaweza kuwa sued,

Haya sasa kuna ma-dj fake wa huko Malaysia, dj sniper,dj slim etc wameamua kufanya TRAFFIC LIGHT PARTY huko Malaysia.

Kama mnavyojua Traffic light party, ilianzishwa na Mr.Gonga na Martin Jump Around. It was a great success in Bongo, Nimesikia huko London ndo kabisaa and I hear very soon inaenda Marekani.

Sasa huyo Dj Sniper ambae kwenye facebook page yake anajiita SNIPER MANTANA katoa hiyo Flier kama unavyoiona hapo juu, eti kaiweka facebook kawatag watu kibao wanaoishi Malaysia. Mie nimeiona last night kwenye facebook page ya mdogo wangu wa kiume ambae anasoma Malaysia so I was like kweli Traffic light party imekuwa international sasa imefika Malaysia.

Bahati nzuri au mbaya leo nimekutana na mmoja wa owners wa Traffic light party ,nikamwambia nimeona mnaenda kurusha another party in Malaysia msikose kunitumia picha for uturn and he was shocked , yani kama haelewi naongelea nini, baada ya kuingia facebook akaona, duh kumbe wajanja wameshaiba idea wanaitanganza traffic light party kama yao vile.

Guys, shame on you, shame on you mara 10 kama mmependa hiyo party ya traffic light waombeni wenye party mfanye, ofcourse u gonna have to give them something, ila sio fresh kumfanyizia mtanzania mwenzio..

Anyways, watanzania mliopo Malaysia msiende kwenye hiyo party just to teach them a lesson cos hao waandaji ni wajinga tu wasio na akili ya kufikiria kitu wenyewe na hawana hata ustaarabu wa kuomba rights ya kufanya hicho kitu, and im sure the party wont be the same cos its being done by CHEATS….

Nimeblock venue and date kwenye flier kwa makusudi cos sikuwa na haja ya kuwafanyia marketing kwa party ya wizi….

WATANZANIA TUPENDANE….

Flier ya Traffic light ya ukweli


Jamani watanzania mbona hatuna ustaarabu???


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
LOOK OF THE DAY- BIJOUX
Written by Mange   
Sunday, 28 March 2010 22:32


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
<< Start < Prev 41 42 43 44 45 46 47 48 49 50 Next > End >>

Page 49 of 103
 
U Turn Polls
Wangapi mnapenda U-tun ibaki hivi hata kama Mama u turn akifungasha Virago?
 
ADS Only