U Turn Blog
FINALLY FOUND THE LAST THING I WAS LOOKING FOR...A CUTE MOSES BASKET...LOL
Written by Mange   
Thursday, 19 August 2010 21:31

Mama k getting a cute moses basket from mamas & papas....the last thing i had to buy....

 

I have decided to buy most of my kids stuff from good stores like chicco ,mama & papas or mothercare etc ili hata nikimaliza kuvitumia viwe na hali nzuri niweze kumpa mwingine kama zawadi…(sidhani kama nitazaa tena,lol)


mnisamehe kuhusu hizo nywele....nimejichokea naona tabu hata kubrush nywele...lol...

 


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
YALIYOMKUTA DADA ALIETEMBEA NA MUME WA MTU....
Written by Mange   
Thursday, 19 August 2010 17:58

Mwanamke umbea babu,halo halo.

Wanawake wenzangu kila siku mnaambiwa msiwe mnatembea na waume za watu hamsikii sasa labda leo mtajifunza kwa yaliyompata huyu bibie anaejidai ni superstar mji huu,

Basi huyu demu aliekuwa akiishi marekani ila alirudishwa kwa deportation mwaka jana (natamani kuweka jina ila nahisi mama uturn hatoweka article nikiweka jina lake,ila jina lake linaanza na R) alikuwa anatembea na mume wa mtu ,sasa badala hata awe na adabu au heshima kwa mkewe dada akawa kazi kumtukana huyo mke kwa meseji na kumwambia mumewe hatorudi tena kwamba yeye keshamshika.

Basi siku ya tarehe 10 may 2010 huyo dada alipotea ghafla baada ya kutekwa na mijaune minne yenye misuli, mijanaume hiyo ilitumwa na mke wa huyo jamaa aliekuwa anakula nae uroda,unaambiwa walimfanyia vitu vyote vichafu unavyoweza kufikiria wewe na pia walimpiga picha wakati wakimfanyia hivyo vitendo,

Baada ya hapo wakamtupa pembeni mwa barabara akaokotwa na mapolisi na kupelekwa hospitali,

Tena siku hiyo nakumbuka watu tulikuwa tunajirusha kwenye kiwanja kimoja hapa dar habari zilipoanza kusambaa kwenye kiwanja hicho kwamba R kafariki dunia wengine walianza na kulia wakidhani mdada kafariki kumbe habari zilifika vibaya alikuwa amelazwa hospital akiwa na hali mbaya sana.watu walipokwenda kumuona hospitali akawa anajidai kachanyanyikiwa hakumbuki kafanywa nini au hao watu walimpeleka wapi huku alikata kutoka hospitali siku hiyo hiyo akiogopa waandishi wa habari watafika hospitali.

Inasemekana huyu dada sasa hivi kaacha tabia yake ya story ya uongo ungo na kutembea na waume za watu, tena huyo mama aliemfanyizia amemwambia akimsogelea mume wake tu basi picha zitakwenda kwenye magazeti

Sasa nyinyi mliobaki na tabia hiyo jiangalieni sasa,watu tunawapenda waume zetu sasa endeleeni kujileta tutawatoa roho mwaka huu.


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
KUELEKEA UCHAGUZI 2010.....
Written by Mange   
Thursday, 19 August 2010 17:36

 


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
ASHTAKIWA KWA KOSA LA KUAMBUKIZA WATU UKIMWI KWA MAKUSUDI....
Written by Mange   
Thursday, 19 August 2010 17:23

 

 

 

Nadja benaissa mwimbaji toka kundi la no angels la ujerumani ameshtakiwa kwa kumwambukiza mwanaume mmoja na gonjwa la ukimwi na kwa kujaribu kuwaambukiza wanaume wengine wawili na gonjwa hili…

Mwanadada huyo amekiri mwenyewe kuwa amekuwa akitembea na wanaume bila protection na bila kuwaeleza kuwa ana ukimwi…

Some people are just cruel, I mean wewe tayari unajijua utakufa hivi karibuni na kwenda kukutana na muumba wako alafu bado unaua watu???mmmmh


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
KILLY'S SUMMER VACATION IN EUROPE.....
Written by Mange   
Thursday, 19 August 2010 17:14

 

 

 

 

 

 

 

 


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
MSAADA WA KUANZISHA BIASHARA...
Written by Mange   
Tuesday, 17 August 2010 18:49

Mimi ni mama  wa 2 kids nahitaji kuwa mjasiliamali .

Nina mtaji wa Tsh 5,000,000.00 tu nataka kuanza Biashara  angalau na mie nijikwamue kimaisha

Nashindwa nianzie wapi hapa dar kupata kibanda gharama na Bei kubwa ambayo itanimalizia mtaji wote

Kina  dada / mama / baba wenzangu nipeni mawazo nianzie wapi mie  nimechoka kuwa tegemezi  nahitaji kutoka  natamani sana .

Dada mange usiweke mail yangu. Kama kuna mtu atahitaji kuwasiliana na mie nitampa

regards


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
LOOK OF THE DAY....HAWA...
Written by Mange   
Tuesday, 17 August 2010 18:46


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
MOM OF THE YEAR...LOL
Written by Mange   
Tuesday, 17 August 2010 18:40

 

 

 

 

 

 

Kutoka kwa mdau

 


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
MKENYA AMUUZA ALBINO KWA MIL.400....SCARY....
Written by Mange   
Tuesday, 17 August 2010 18:31

 

Raia wa Kenya Nathan Mtei anayetuhumiwa kumleta nchini mlemavu wa ngozi(albino) Robinson Mkwana Mnyoti (hayupo pichani) ili kumuuza jijini Mwanza. (Picha na Clara Matimo).

BAADA ya wimbi la mauaji ya albino kwa ajili ya kuuza viungo vyao kudhibitiwa na Jeshi la Polisi nchini, mbinu za wauaji zimebadilika na sasa wameanza kuwauza wakiwa hai. 

Hali hiyo imedhihirika baada ya polisi mkoani hapa kufanikiwa kumnasa raia wa Kenya akituhumiwa kumsafirisha albino kutoka nchini mwake hadi jijini hapa kwa lengo la kumuuza. 

Mkenya Nathan Mtei (28) hivi sasa anashikiliwa na Jeshi hilo mjini hapa kwa tuhuma za kumsafirisha binadamu mwenzake, albino Robson Mkwana Mnyoti (20) kwa lengo la kumuuza. 

Kamanda wa Polisi wa Mkoa Simon Sirro, jana alithibitisha tukio hilo na kusema, “ni kweli tunamshikilia Mtei tangu Agosti 15 mwaka huu alipokamatwa saa 10 jioni akihusika na tuhuma za kufanya biashara ya viungo vya albino.” 

Sirro alifafanua kuwa walipata taarifa kutoka kwa raia wema na askari wakajifanya wanunuzi wa viungo vya albino. 

"Tulipata namba yake na tukampigia Mtei akatuahidi kuwa atafika nchini Agosti 12 mwaka huu akiwa na ‘mzigo’, ni kweli alifikia hoteli moja (jina tunalo) iliyopo Nyakato na tulipokwenda akaomba Sh milioni 400 ili aweze kutupa viungo hivyo,” alisema Kamanda Sirro. 

Aliongeza kuwa baada ya kutoa hizo Sh milioni 400 walishangaa kuona wanakabidhiwa binadamu hai na kuambiwa waende wakashughulike naye wenyewe. 

Alisema baada ya kumhoji mtuhumiwa, alikiri kuwa kweli hufanya hiyo biashara ya viungo vya albino ingawa hakuwa tayari kusema amekwishafanya mara ngapi. 

Kamanda Sirro alifafanua kuwa Mtei alimchukua Mnyoti kwa makubaliano kuwa anamleta Tanzania kumtafutia kazi ya udereva, lakini haikuwa hivyo. Kamanda alisema mtuhumiwa atafikishwa mahakamani leo kujibu mashitaka yanayomkabili. 

Tanzania iligubikwa na mauaji ya albino na viungo vyao kuuzwa kwa imani za kishirikina, kwamba vikitumiwa vinaweza kusababisha utajiri. 

Hivyo wavuvi na wachimbaji madini walikuwa wakiaminika kujiingiza katika imani hizo na kusababisha mauaji hayo kukithiri, huku baadhi ya albino wakinyofolewa viungo wakiwa hai na kuachwa na ulemavu wa kudumu. 

Hata hivyo, Serikali iliamua kulivalia njuga suala hilo na baadhi ya watu kufikishwa mahakamani na baadhi yao kuhukumiwa vifo.(Picha na stury from Habari Leo)


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
LOOK OF THE DAY....MBONIE....
Written by Mange   
Monday, 16 August 2010 19:13


Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Page 4 of 102
 
U Turn Polls
Wangapi mnapenda U-tun ibaki hivi hata kama Mama u turn akifungasha Virago?
 
ADS Only